Тёмный

ALIYEHUKUMIWA KUNYONGWA, AKAACHIWA ATAMANI KURUDI TENA GEREZANI..! 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 545 тыс.
50% 1

ALIYEHUKUMIWA KUNYONGWA, AKAACHIWA ATAMANI KURUDI TENA GEREZANI..!
Tete Mwamtenga Ni mfungwa aliewahi kukaa gerezani zaidi ya miaka 18 kisha kuhukumiwa kun'yongwa kwa kesi ya mauaji.
Kutokana na adhabu hiyo Tete aligoma kula siku 7 hali iliyopelekea kurudiwa upya kwa uchunguzi wa kesi yake na kugundulika hana hatia.
Lakini baada ya misuko suko yote aliyokutana nayo gerezani hatimae akatoka, Na aliporudi nyumbani alikokuwa akiishi na familia yake hali aliyoikuta AKATAMANI KURUDI TENA GEREZANI.
www.youtube.co.... Watch More Videos here: goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: globalpublishers Instagram:
globalpublishers Twitter: GlobalHabari Install Global App: ANDROID: goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: goo.gl/2j

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 760   
@happinessmwenda2773
@happinessmwenda2773 5 лет назад
Makubwa makubwa.Mungu wa mbinguni haujawahi kushindwa kwa haya yanayotokea duniani ardhi yetu imelaaniwa.Machozi ya hawa watu miaka yote hiyo na maumivu yao haviwezi kupotea bure.Eheeeee dunia tambara bovu.
@tausingomeni2568
@tausingomeni2568 5 лет назад
Miaka 20 bila hatia😭😭😭, pole baba angu.
@jacksonzakayo7276
@jacksonzakayo7276 5 лет назад
kweli kabisa mungu yupo maumivu yatakuja waludia malipo nihapahapa
@hatibuselemani871
@hatibuselemani871 5 лет назад
Inauma kwel 2taishiji kwahal h
@charlesvicent6952
@charlesvicent6952 5 лет назад
Happiness Menda
@utapatatabusanautanyooka2600
@utapatatabusanautanyooka2600 4 года назад
Kabisa
@RAUNATION
@RAUNATION 5 лет назад
Km umeumia km mimi weka like
@maida2710
@maida2710 4 года назад
Nimeumia sana ila mungu yupo
@ashamagumba8832
@ashamagumba8832 4 года назад
nikweli siyo wote wenye makosa
@kissamwanjonde6058
@kissamwanjonde6058 3 года назад
@@ashamagumba8832 kweli
@kissamwanjonde6058
@kissamwanjonde6058 3 года назад
@@maida2710 kweli
@kissamwanjonde6058
@kissamwanjonde6058 3 года назад
duh
@aminamauhfoda9201
@aminamauhfoda9201 5 лет назад
Kama unaamini wanafungwa sio wote wenye hatia wengine wanafungwa kwa makosa yakusingizia gonga like tujuane
@evachriss5906
@evachriss5906 5 лет назад
Wapo wengi sana siyo wadogo hasa masikini
@fatimahassan864
@fatimahassan864 5 лет назад
Wengine sawa sawia kweli watuhumiwa
@ifgodsayyes.nobodycansayno1796
TENA SAAAAAAAA ILA MALIPO NI HAPAHAPA DUNIANI AHERA NI HESABU
@fadhililaulian9530
@fadhililaulian9530 5 лет назад
Wengi woohusingi ziwa hichokitu yawezekana labuda
@latefaafreca5486
@latefaafreca5486 5 лет назад
Wengi sana kusikia history unaweza kulia mungu baba awatete
@aminasalum1954
@aminasalum1954 4 года назад
Majaji mnadhima kubwa mbele ya ALLAH mtaenda jibu kwadhulma zinazofanyika
@sumatraveler1957
@sumatraveler1957 5 лет назад
Mzee a’ngati maneno ni ukweli mtupu. Pole mzee.
@shamadaabdul6705
@shamadaabdul6705 5 лет назад
Kama unasoma koment kama mm na umeumia kama mm gonga like pamoja
@sakinahizza3132
@sakinahizza3132 5 лет назад
Yani inauma sana
@bitricmlema7583
@bitricmlema7583 5 лет назад
Shamada Abdul polisi hawatauona uflme wa mbinguni
@neemamasimba2981
@neemamasimba2981 4 года назад
Nimelia jamani jamani jamani jamani , nimesika maumivu .
@christinakomba3524
@christinakomba3524 3 года назад
Yani Mungu atusaidie
@tabuselemani6869
@tabuselemani6869 5 лет назад
ama kweli sio kila alioko jela ndio mwenye kosa pole sana baba angu
@ndagaramisperes6685
@ndagaramisperes6685 4 года назад
Mh
@superwomankulwa620
@superwomankulwa620 4 года назад
Yupo mungu akimu wa haki😭😭😭☝️
@gracekalihose8504
@gracekalihose8504 4 года назад
Nimelia mimi,ninaamini msamaha huu utawafanya baadhi ya maaskari wajirekebishe,huu ni uonevu wa hali ya juu,Mungu mbariki Rais Magufuli
@mtawatawatvonline8393
@mtawatawatvonline8393 4 года назад
Dah polisi wetu wataenda kusema nini kwa mungu
@alijuma6502
@alijuma6502 5 лет назад
Pole sana baba yangu. Mungu yuko nasisi binaadam. Dunia nimapito tuu. Sote tunapita.
@bahatimohd1450
@bahatimohd1450 5 лет назад
jaji wa majaji yupo hai,hakimu wa mahakimu yupo macho milele pole sana haki haipotei
@sabinaviolet805
@sabinaviolet805 5 лет назад
Amen
@ifgodsayyes.nobodycansayno1796
HAKI IKO KWA WALIO NA PESA MASKINI KAMA SISI HATUNA WA KUTUTETEA ILA MUNGU TU
@mwanajumaomahundumla6504
@mwanajumaomahundumla6504 5 лет назад
Moyo unaniuma mpaka najishangaa huu uonevu umekuwa mkubwa sana jamani mtu anahukumiwa bila kosa anatoka akiwa maskini kabisa na kilema juu wenye makosa wanatanua daaah jamani
@januarymalaysia667
@januarymalaysia667 5 лет назад
Naona mwajuma mapovu yanakutoka tuu
@zuleyvendor6577
@zuleyvendor6577 5 лет назад
@@januarymalaysia667 😂😂😂
@samweliclement7433
@samweliclement7433 5 лет назад
Mwanajuma O Mahundumla. Uonevu. Huu upo. Sana tatzo ni kwamba. Idara huska watembelee polsi na magereza waone unyanyasaj uliopo
@ngoshathedon3498
@ngoshathedon3498 5 лет назад
Pole sana kaka iko cku mungu atakulipa.
@mwanajumaomahundumla6504
@mwanajumaomahundumla6504 5 лет назад
@@januarymalaysia667 inaonyesha na wewe ndio wale police na majaji wanyonya damu za watu ukweli wangu umekuuma
@monicaopondo3539
@monicaopondo3539 4 года назад
Wewe kaka mshukuru Mungu kuwa amekuhurumia kakupa uhai hadi huyo huyo Mungu kamtumia Raisi Magufuli mkaachiliwa. Mshukuru Mungu sana. Mungu amejitukuza katika mambo yako.
@HASASON
@HASASON 5 лет назад
😢😢😢 Pole Baba leo ndio nimejua kazi ya Mrema rasmi nilikua sijui maana ya parole kumbe ni kazi ya Mungu kabisa kama ya watumishi wa Mungu, Mungu akubariki baba yangu Mrema na Magufuli
@zefamange7281
@zefamange7281 5 лет назад
MAMBO KAMA HAYA WATU WA HAKI ZA BINADAMU HAWAYAONI KABISA, WANAHANGAIKA NA SIASA
@rosemarymlaki2270
@rosemarymlaki2270 4 года назад
Wapuuz
@georgekimasa7393
@georgekimasa7393 5 лет назад
Ungekuwa unakumbuka hata jina moja la askari ingekuwa vyema ukasema ili atuwa ichukukiwe hata kama wamestaafu wangetafutwa na kuchukuliwa hatuwa.
@janemando5969
@janemando5969 3 года назад
Da ase noma san
@shemsakiobya1094
@shemsakiobya1094 4 года назад
Allah Allah ametenda kazi yake,mungu amlinde Rais wetu.
@susanraphael5894
@susanraphael5894 4 года назад
dah magufuri lazima aende mbinguni
@sylviah9666
@sylviah9666 3 года назад
😪😪😪😪😪😪dah! What happened to East Africa! What happened to Africa at large 😭😭😭😭😭😭😭ah! Pole babangu
@bakarymchimika9843
@bakarymchimika9843 4 года назад
Inauma sana tena sana
@rehemaaithumani3076
@rehemaaithumani3076 4 года назад
Pole Sana ila kwa mungu haki yako italipwa🙏🙏🙏
@emmanuelymaziku7031
@emmanuelymaziku7031 4 года назад
Rehema Aithumani Amin nmeumia sana yan ndugu
@rehemaaithumani3076
@rehemaaithumani3076 3 года назад
Yani sana kufungwa bila hatia lawful yake yote iliishia Jena😰
@joramsonedward6681
@joramsonedward6681 5 лет назад
Haya ni kwel ata me na rafik zangu tulishikwa kwenye mkesha wa mwaka mpya asubuhi tunaambiwa tunakesi ya ubakaji!!! Polis mungu anawaona
@marryoscar745
@marryoscar745 4 года назад
Pole Sana dawa yao kurogwa tuu
@wanderenyeura9011
@wanderenyeura9011 4 года назад
Hahaha eti ubakaji hahaha
@abuumwichumu5520
@abuumwichumu5520 3 года назад
Ikawaje sasa mlifungwa au upo gerezani unaangalia kipind 🤣🤣😡
@asinatikarim5401
@asinatikarim5401 3 года назад
@@marryoscar745 kweli kabisa
@salarytz9153
@salarytz9153 5 лет назад
Ngoja nikwmbie mzee wangu bdo una nafac ktk dunia hii na haya yalitokea kw kukufikisha sehem flan ya maisha yako mungu Ana makusud nawe muombe kw dhat utapata maisha mazur
@zuberigasper6493
@zuberigasper6493 4 года назад
salary tz kweli lakini kadhurumiwa inauma sana
@samsonjoel4669
@samsonjoel4669 4 года назад
Maporis wengi hamutafika bingun hira mwenyez hatawachoma Kabisa😭😭🙏🙏
@wlkmwlkm8486
@wlkmwlkm8486 5 лет назад
Pole sana, Tanzania yajifanya inch ya amani kwa ukimia wao bt hakuna watu wabaya na roho mbaya km hao
@bonendaki5762
@bonendaki5762 4 года назад
Nimeumia sana kwa habari ya mtanzania maskini huyu,Mungu ni mwema
@samuelnyabange2069
@samuelnyabange2069 4 года назад
Serikali imlipe fidia kwa utendaji mbovu wa watumishi wake.
@bonendaki5762
@bonendaki5762 4 года назад
@@samuelnyabange2069 Akipata wanasheria wazuri anaweza lipwa,ila kwa jinsi mambo ya mahakama yanavoenda kwa polepole anaweza lipwa akiwa mfu
@nkwabihamisi1433
@nkwabihamisi1433 3 года назад
Kwaya
@nkwabihamisi1433
@nkwabihamisi1433 3 года назад
Mahubili
@kalumbugideon4159
@kalumbugideon4159 3 года назад
Inauma Sana Ndugu zangu Watanzania....Kuna haja ya kumshukuru Mungu kwa ajiri ya Rais John Pombe Joseph Magufuli.... Asante Sana Mungu....
@salmamusa9085
@salmamusa9085 4 года назад
Subhannallah 😭 😭 yani imeniuma pole Sana baba yangu
@prettyakoth4306
@prettyakoth4306 5 лет назад
This is why i always pray for wafungwa bcoz 90% of them r always innocent
@ahmedabubakary217
@ahmedabubakary217 4 года назад
Pole sana umegusa mioyo mingi sana ya watanzania wanyonge na wapenda amani ktk nchi hii. Kwani hayo yaliyokukuta ww ktk hii nchi yetu si ww wa kwanza wapo wengi wenye mikasa kama yako lkn hawajapata pakusemea . na ukweli unabaki pale pale jeshi letu LA polisi linafundisha maasikali wote nidham uadilifu na kufuata sheria lkn baadhi ya asikali hukosa uadilifu na kujifanyia kazi kinyume cha sheria na kuangalia tu maslahi yao binafsi na kulichafua jeshi LA polisi kwa ujumla. Mungu atakulipia hayo makubwa yaliyokukuta na Nina imani hata raising wetu wanyonge na mpenda haki Mh, John pombe magufuli . amasikia kilio chako na yupo makini sana kufuatilia uonevu kama huo hilo atalifanyia kazi tu
@faridhassan2308
@faridhassan2308 4 года назад
Pole sana baba ,kwa kweli imeniuma sana
@swahibamnene5847
@swahibamnene5847 4 года назад
Pole mshukuru mungu
@sasha-ri7tf
@sasha-ri7tf 4 года назад
Pole sana hao ndio askari wetu makuma ya mammamazao wametutesa sana na mimi mmoja wao ila jambo la faraja kwangu Allah kamuhukumu askari aloamrisha niteswe kabakia mifupa tuu hivisasa kashaliwa na funza kitambo.
@johnmaduhu3595
@johnmaduhu3595 4 года назад
mungu anawaona hao polis inauma Sana ukwer
@johnmaduhu3595
@johnmaduhu3595 4 года назад
daaaaa mungu c mama na mtu huyu
@claralassonn8833
@claralassonn8833 5 лет назад
Jamani hii ni ngumu sana unampiga mtu asiye kuwa na hatia tuwaombee walio magerezani wengi wamefungwa bila atia
@happypa2027
@happypa2027 3 года назад
Kabosa
@emmanuelsimon545
@emmanuelsimon545 5 лет назад
Mungu atalipa huyo jaji kama wahusika walisema mbele yake na akakaidi hiyo laana itamkuta na kizazi chake
@idayagangs124
@idayagangs124 5 лет назад
Inshallah
@zuberigasper6493
@zuberigasper6493 4 года назад
Emmanuel Simon amiiin naimkute kabisa laana hio
@emmanuelymaziku7031
@emmanuelymaziku7031 4 года назад
Emmanuel Simon kwel jmn mbn binadamu tupo kama wanyama lakn,serikal iweke mikakati juu ya hawa maaskar yan huwa wanajiona kama n Mungu watu
@fatmazenafzena917
@fatmazenafzena917 5 лет назад
Subhannallah.....sasa jamani bas angalau atibiwe hiyo miguu...kimbilio letu ni moja tu... ALLAH ATAKULIPIA BABAANGU KAMA C HAPA DUNIANI BAS HUKO CKU YA HUKUMU.POLE SANA
@suezanna2690
@suezanna2690 5 лет назад
Hivi Tanzania 🇹🇿 hamna human rights this guy needs to be compensated
@waukweelinikkon6555
@waukweelinikkon6555 5 лет назад
Yesu urudi,Watu wako wanateseka Huku,njoo utoe hadhabu Kwa waonevu Baba,toa hadhabu Hadi Kwa vizazi vyao
@magymagy2156
@magymagy2156 5 лет назад
Amen
@asnathmwaipopo6877
@asnathmwaipopo6877 5 лет назад
Amen jamani mpaka machoz
@fathiyafaki9072
@fathiyafaki9072 5 лет назад
Amen
@financialloan9818
@financialloan9818 5 лет назад
Soon ataludi maana aliyo yasema kama dalili za kuja kwake saiz zinajionesha wazi
@prettylove5295
@prettylove5295 3 года назад
YESU Rudi Tena jaman 😭😭😭
@khadijamadry7822
@khadijamadry7822 4 года назад
Hao maaskar wangepewa adhabu ya kukulipa pesa za kukupotezea mda nimeumia sana baba angu Hakimu Mungu😭😭😭
@isunga1964
@isunga1964 5 лет назад
Dah pole sana baba mungu amtupi mja wake
@jafetymartin3785
@jafetymartin3785 5 лет назад
Hlw
@kakaaignas3675
@kakaaignas3675 5 лет назад
Umeona wa2 wanaonea sana
@kakaaignas3675
@kakaaignas3675 5 лет назад
Duuh inauma
@jenifernicholaus9
@jenifernicholaus9 5 лет назад
Ajali morogoro
@jackjohnjohnsirifeta6144
@jackjohnjohnsirifeta6144 5 лет назад
duuuuh pole sana jamaa angu mungu akulinde
@commanderthecomedian1814
@commanderthecomedian1814 5 лет назад
Hao askari nimewalaani in jesus name
@samanthaali873
@samanthaali873 5 лет назад
Pole sana imeniuma mm waalhy hawa maskari wengi laana tupu
@mwanaidiomar3678
@mwanaidiomar3678 4 года назад
Mungu amuadhibu uyo wakili wallaih
@lucypaschal1095
@lucypaschal1095 4 года назад
Mmh jaman watu wameanza case tangu hatujazaliwa mpaka leo tumekua watu wazima na wengine wameoa na kuolewa dah huzuni sana
@sebastiankulaya2432
@sebastiankulaya2432 3 года назад
Kweli umeolewa nimependa smile lako
@goodluckmrosso486
@goodluckmrosso486 5 лет назад
Jaman kunanini juu ya maasikari wetu ? Uonevu ,chuki,visa,ubabe,laana,mikosi na mambo yote mabaya ya dunia! Cjui kwanini mnawatesa watanzania wenzenu jaman
@bernardlaurenty698
@bernardlaurenty698 5 лет назад
Good luck Mrosso Chan data most
@rosesamwelitenga4648
@rosesamwelitenga4648 5 лет назад
Yaan mi siwez kuolew na askari au mwanajeshi..
@ndagaramisperes6685
@ndagaramisperes6685 4 года назад
Hujkoxea
@magejuliani5293
@magejuliani5293 5 лет назад
Mungu wangu!
@twaribuswalehe8307
@twaribuswalehe8307 4 года назад
pole sana
@OmanOman-gp7xm
@OmanOman-gp7xm 3 года назад
Imeniuma saaana kwakweli mungu shuka utowe ukumu kali kwaliotenda unyamaa huu wakumyanyasa uyu baba tena alipwe kwamiaka yote waliyomzika uko jera kumbe jela nikaburi lawalio hai tanzania choonde tembeleheni magerezani muokowe watu pia muogope mungu mungu yupo nanimkali chooonde gerezani watu wanateseka bila kosa
@falansiclassic2669
@falansiclassic2669 5 лет назад
Nime umia sana ila mungu ata kulipa bb angu pole xan naomba like km umeumia
@mariamulenga8846
@mariamulenga8846 5 лет назад
Pole baba angu
@zunirasalim7660
@zunirasalim7660 4 года назад
Subhana Allah.. Pole baba
@mariamissa4029
@mariamissa4029 2 года назад
Subhannallah😭😭😭😭pole sana kaka allah atakulipa hapa hapa duniani
@peterkalii5939
@peterkalii5939 3 года назад
Kama umesikia 34-52 ukadondokwa na machozi piga like.Mungu atasimama kwa nafasi yake
@elizamwamkenja485
@elizamwamkenja485 3 года назад
Mungu nisaidie mwanangu asije kunambia akiwa mkubwa anataka kuwa polisi.... Nitaumia sana kiukwel
@khdijaahmed8458
@khdijaahmed8458 5 лет назад
Daaah pole pole san baba yangu ila mungu yupo pamojaa na wew😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@joycenahimana6079
@joycenahimana6079 5 лет назад
Pole sana
@rahmahussein4019
@rahmahussein4019 5 лет назад
This is absolutely heartbreaking , subhanallah .
@ashrafadam4629
@ashrafadam4629 4 года назад
police wa kitanzania muwe mnafanya tafiti kabla ya adhabu,kwa maelezo haya inaonesha wazi mnafanya kinyume na sheria kwani mmemueleza hbr ya dhamana ,akakubal,kafka ktuoni mnaanza kumpiga na kumbambikia kesi,malipo ni hapa hapa tuh dunian,nanyi mtaipata an mtakufa vby sanaaaaaa !!!!
@khadeejaabdullah7083
@khadeejaabdullah7083 5 лет назад
Mmmmh pole sana
@khadijajuma7142
@khadijajuma7142 5 лет назад
Daaahh hii Dunia ina dhambi nyingi sana,mda mwengine tunasema maisha magumu nchini kumbe laana za watu wasio na hatia machozi yao yanalaani hata kuzaliwa ardhi ya nchi yake!!
@danieljoel4605
@danieljoel4605 5 лет назад
Kweli mungu hashindwi
@khadijajuma7142
@khadijajuma7142 5 лет назад
Kabisaa
@naimanurdin2846
@naimanurdin2846 5 лет назад
Jamani Nimelia sana mwenzenu Alafu Eti Tanzania ina Amani namna hii kweli jamanii😢😢😢😢😢😢Naamini Mungu Atafanya malipo yake hapa hapa Duniani😢😢😢
@hamzangakola8822
@hamzangakola8822 5 лет назад
Mwenyezi mungu ametuahidi tusipofuata utaratibu aliotuwekea kuishi hapa duniani. Basi tutapata taabu sana. Tungekuwa tunahukumiana kutokana na mifumo ya mwenyezi mungu. Dunia ingekuwa haki inapatikana na Amani ingepatikana. Lkn hatutaweza kurudisha utulivu tena ktk hii dunia. Mifumo ya kibanadam ktk kuhukumiana haitendi haki hata kidogo
@winfridamwambogoja8962
@winfridamwambogoja8962 3 года назад
Pole kaka yangu Mungu akuteteee sana kikubwa unapumua mpaka Leo basi haki yako itapatikana tuuu,,, nilikuwa cjawahi kuiona uliishia kunisimulia tuuu kweli inaumiza mnooo mnoooo
@donkingtz2535
@donkingtz2535 4 года назад
Magufuli baba natamani undeleee kukaa kwenye hichi kiti milele mpaka parapanda ipigwe
@mcctz3672
@mcctz3672 3 года назад
Wewe uwezo wa kufikiri ase poleee
@mcctz3672
@mcctz3672 3 года назад
Huna uwezo wa kufikiri wewe
@mussandimbo4910
@mussandimbo4910 5 лет назад
Pole sana mtani .mungu yuko nawe.
@yuventmpiru7738
@yuventmpiru7738 4 года назад
Luka : Mlango 3 14 Askari nao wakamwuliza, wakisema, Sisi nasi tufanye nini? Akawaambia, Msidhulumu mtu, wala msishitaki kwa uongo; tena mtoshewe na mshahara wenu.
@Chris.B.Justin
@Chris.B.Justin 3 года назад
Kama umeumia na kutowa machozi vile huu bwana alivyo vuzwa mufupa wa muguu gonga like yako hapa.
@fidesbenard2701
@fidesbenard2701 5 лет назад
Kuna mambo yanaumizaga duniani jamani pole ndugu yetu..Mungu atatenda haki😢😢
@estomiailomo2659
@estomiailomo2659 5 лет назад
pole sana babaangu hawo maasikali walio kufanyia ivyo mungu awalaani juu ya vizazi vyao
@kelly-drichfabrice9957
@kelly-drichfabrice9957 5 лет назад
Mzee pole sana Mungu iko pamoja nawe
@summanelson5523
@summanelson5523 5 лет назад
Jamani polisi usalama wa raia!!!! Mnawabambikia watu kesi hadi wanakaa jela miaka yote hiyo!!!!! Pole sana Tete. Mwachie Mungu na hao waliokubambikia kesi Mungu atawahukumu. They will have no peace!!!!!!
@mrsdeborahurio
@mrsdeborahurio 3 года назад
Mungu atakulipia, hapa hapa duniani! Uwe na moyo mkuu, pole sana.
@najmerry2977
@najmerry2977 5 лет назад
Pole sana baba
@peninathomas2190
@peninathomas2190 4 года назад
Na hii ndio sababu inanifanya niwachukie Askari polisi. Wengi wao ni miungu watu, wamejaa uonevu na uvivu. Kama wangekuwa wanafanya kazi yao ipasavyo hata wimbi la matukio ya kiovu lisingekuwepo. Kilichopo ni.... Wahalifu wanakuwa huru na waso hatia ndio wengi wao wavafia gerezani. Mwenyezi Mungu tujaalie hofu yako katika kuifanya kazi yoyote ili taifa lipone
@zuleyvendor6577
@zuleyvendor6577 5 лет назад
Ila kuna watanzania wana roho za kinyama kuliko nchi yyte duniani....japo wako kimya ila ni watu wabaya sana ila hyo kesi yako ni kama mtu aliyekuwa anakujua aliamua tu kukupoteza.... Wicked world 😠😥
@lovederyare6756
@lovederyare6756 5 лет назад
Dunia imejaa dhuluma😭😭😭😭
@kingkongmadiba3174
@kingkongmadiba3174 5 лет назад
Mr. John Pombe Magufuli Raisi wetu wa wanyonge Upo wap ?!
@jofreykamugisha2613
@jofreykamugisha2613 5 лет назад
KingKong Madiba bintik
@lilianngowo8316
@lilianngowo8316 4 года назад
mheshimu Raid wawanyonge, uko wap
@gracesanga9025
@gracesanga9025 5 лет назад
😭😭😭😭😭😭😭😭Eeh Mungu wa wanyonge
@lydiahjoshuah5264
@lydiahjoshuah5264 5 лет назад
Pole mungu ni mwaminifu
@dengerengisaruni1859
@dengerengisaruni1859 5 лет назад
Duuuu namwomba mungu mtoto wangu asisome fani hii ya kiwaskari jamani pole sana baba mungu akutiye nguvu
@simonjuma2912
@simonjuma2912 5 лет назад
Daaah pole sana ndugu yaani unavyo simulia inauma sana ndani ya moyo hiii serikali yetu haijitambui miaka 18 kesi ya kusingiziwa daah kmaa uliachana sh 500 ina thaman kubwa leo hii ni elfu 10000 MUNGU yu mwema sana ndugu usijal kuanza moja sio ujinga
@halisiaisaya7832
@halisiaisaya7832 5 лет назад
Pole
@olivemwamengonakilimombeya6951
Yupo MUNGU msemaji wa mwisho
@hawababuu4350
@hawababuu4350 3 года назад
Pole baba... Ma jaji na polisi kesho kwa Mungu muna maswali ya kujibu.
@jrrashidi8955
@jrrashidi8955 4 года назад
Mungu awalaani wote wanao bambikizia watukesi waopamoja navizazi vyao
@j.thomas6198
@j.thomas6198 5 лет назад
Askari Judge Mungu awahukumu mkiwa hai. Pole sana ndugu yetu. Jipange Mungu atakuongoza
@hanifajuma342
@hanifajuma342 5 лет назад
Nashukuru kua mkenya, Kenya police wanapeleleza kwa kina na sio dhana. hakuna kuumiza mtu bure. this is inhuman.
@dorismamf7404
@dorismamf7404 5 лет назад
Bora yenujaman kwetu kunatisha
@al-bashirclinic3326
@al-bashirclinic3326 5 лет назад
polen sana kwa kumuua marehemu ndio changamoto za dunia........au mm ndio cjaskia vizuriii
@yusufally6853
@yusufally6853 5 лет назад
Dizzle Eppa ...walisingiziwa sio hao.
@abdallaathumani2549
@abdallaathumani2549 4 года назад
Inauma sana kwa mungu watajb
@phanicenyambasi9470
@phanicenyambasi9470 3 года назад
Inauma sana
@janethdaud1082
@janethdaud1082 4 года назад
Pole Sana baba Mungu atakulipia tu
@bulilotv279
@bulilotv279 4 года назад
Dah mungu anawaonaaa IPO siku atawapa zigo hao walio watuhu kosa la kisingiziwa
@wanderenyeura9011
@wanderenyeura9011 4 года назад
Pole sana man
@khneesajumaa2052
@khneesajumaa2052 5 лет назад
Pole sana kaka hawa askri wanaobambikia watu kesi mungu anawaona maghufuli atawanyoosha tu
@tausingomeni2568
@tausingomeni2568 5 лет назад
Machozi yananitok😭😭, roho inaniuma 😢yaan naona umri wko kama baba angu wamekudhulum uhur wko ungekuw sasa hv na mtt mkubw kam mie maan miaka hyo nimezaliw mpk nazeek sasa, ni muda.ila yupo mungu wenye haki ya kwel. Malipo yko baba angu utayakut peponi. Pole mguu utapon mungu hashindw na kitu🙏
@bintikiziwi4600
@bintikiziwi4600 5 лет назад
Yeyote anayefungwa kwa uongo lazima Mungu asimame nao na wanatoka wote kwa uwezo wa Mungu
@abdallahfabofabio8428
@abdallahfabofabio8428 5 лет назад
Noma sana
@zubemiloneamohamedizahera6231
@zubemiloneamohamedizahera6231 4 года назад
Pole sana baba malipo hapa hapa dunian Inauma sana 😢😢😢😢😢😢😢
@muhidinihassani520
@muhidinihassani520 5 лет назад
Watu wanahubiri AMANI kwa uoga wa maovu yao ,Ila mungu yupo
@jordanyassin6038
@jordanyassin6038 4 года назад
Kila mwanadamu atahukumiwa pole Sana MUNGU akupe maisha marefu
@pauleverest438
@pauleverest438 3 года назад
Mungu ni mwema, haki itapatikana
@godfreychaba9673
@godfreychaba9673 5 лет назад
andhaa kanoon,pole sana
@thaniasimai407
@thaniasimai407 5 лет назад
Innalillahi wa innailaihi rajioun 😭😭💔💔
@loreenkiria2062
@loreenkiria2062 5 лет назад
godfrey chaba
Далее
iPhone 16 для НИЩЕБРОДОВ!
00:51
Просмотров 610 тыс.
To mahh too🫰🍅 #abirzkitchen #tomato
01:00
Просмотров 1,2 млн
iPhone 16 для НИЩЕБРОДОВ!
00:51
Просмотров 610 тыс.