Тёмный

ANAPOISHI CRISS MZIWANDA SEBULENI KWAKWE KUNA MOTO/AOENESHA BAR KUBWA ANAYOMILIKI 

ZamaradiTV
Подписаться 239 тыс.
Просмотров 142 тыс.
50% 1

Usisahau ku"SUBSCRIBE" RU-vid channel yetu kwa videos nyinginezo
#zamaraditv #mambonimengi

Развлечения

Опубликовано:

 

28 ноя 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 170   
@hawakindamba6519
@hawakindamba6519 6 месяцев назад
Yan huyu kaka kama umjui unaweza kusema analinga sema nimemuona live kwenye msiba wa rafiki yake alifiwa na mama ake ni mtu poah sana❤
@lil_billy909
@lil_billy909 7 месяцев назад
Camera 📷 man anajua zamaradi mwongeze mshahala
@theopistamwayeya1764
@theopistamwayeya1764 7 месяцев назад
Huyu kaka msafi, kila kitu utafikir ni vipya kabisaa, hongera.
@NgengeMkeni-uo5hq
@NgengeMkeni-uo5hq 7 месяцев назад
Great interview.. Chriss ana utulivu sana kwenye maelezo yako. Smart!!!
@uwimanacitegetse9926
@uwimanacitegetse9926 7 месяцев назад
Mufananowake ndivyoalivyo hatanyumbanikwake nimusafi❤❤❤ tofauti nawengine he’s so handsome❤
@florahbenedict
@florahbenedict 6 месяцев назад
Huyu ni mwanaume! Mwanaume narudia tena, kupima akili ya mtu ni pamoja na unayojieleza! Nimependa sana! Imetulia sana!
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh 7 месяцев назад
Nimechunguza sana wandishi wa habari mukienda majumbani nyie ndio munajilia camera man anakula kwa macho kwa nini humwambii aweke chini nae ale au anywe😂😂❤❤❤❤❤❤
@Nadhifasaid-1654
@Nadhifasaid-1654 7 месяцев назад
😂😂😂 wewe kumbe unawaza kama mimi
@annaedwardrobert6778
@annaedwardrobert6778 7 месяцев назад
Mnajuaje km hawali
@marrypius576
@marrypius576 7 месяцев назад
Anakula baada ya show jmn sas akiweka camera chini wew utaonaje sasa 😂😂😂
@yasminoluoch169
@yasminoluoch169 7 месяцев назад
Sheria no moja camera man hula baada ya kazi
@hawasaid7151
@hawasaid7151 7 месяцев назад
Anakula baada ya show kuisha hawawez kustop kuacha ku record
@bainolatino3412
@bainolatino3412 6 месяцев назад
Mtangazaji mwenyewe amevutiwa na maisha ya mjamaa
@JanethMadios-oe5ue
@JanethMadios-oe5ue 7 месяцев назад
Mmmh yaani wasaniii anajifanya ka ma alikuwa hana taarifa ya ugeni😅😅😅😅😅😅
@bennamush4616
@bennamush4616 7 месяцев назад
😂😂😂 wanajifanyaga hawana taarifa Ila wanakuwa nazo kabisa wasituone watoto
@gracepatric4371
@gracepatric4371 7 месяцев назад
Na pale getini mwanzo mtu alikuwa standby kabisa miguu imeonekana
@pendokimesu
@pendokimesu 6 месяцев назад
😂😂😂😂😂
@JanethMathias
@JanethMathias 7 месяцев назад
Sema mwana aongezag sana masifuri
@abisinaramadhani1460
@abisinaramadhani1460 7 месяцев назад
Kwan huyu salimu yeye tatembelewa kwake lini
@HoneysugarPudding
@HoneysugarPudding 7 месяцев назад
Huyu kaka ukimuona live mzuri zaidi anarangi flan ya rangi mbichi nilimuona kwenye pub yake yeye na rafiki yake Rammy❤
@bahatirngulika4493
@bahatirngulika4493 7 месяцев назад
Ht mi nlimuona kazimoto tabata ana rangi amazing sn
@HoneysugarPudding
@HoneysugarPudding 7 месяцев назад
@@bahatirngulika4493 kabisa yaani rangi ya asali mbichi halafu hata haringi yuko poa sana
@giztony2009
@giztony2009 6 месяцев назад
This dude is very humble and cool
@stellaemmanuel5526
@stellaemmanuel5526 6 месяцев назад
Siku tunasubiri tuone kwako ndugu mtangazaji 😄
@safiaimran6455
@safiaimran6455 6 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂😂😂
@TALLUBOY
@TALLUBOY 5 месяцев назад
Bi gapu mzee Chris Wauni tunapika muelewe Wadada na siyo tunashindwa Kuwa na nyinyi hapana Ni wasumbufu sana
@jackycharles6419
@jackycharles6419 7 месяцев назад
Smart sana humble saf kaka
@shukranjulius9526
@shukranjulius9526 6 месяцев назад
Kiukweli hajisifu wala nini hongera sana kaka mziwanda
@tabithadaniel7364
@tabithadaniel7364 7 месяцев назад
Wix na serum juu safi sana mziwanda
@dady_media5899
@dady_media5899 6 месяцев назад
Hii show bizz ni Kali Kinomaaaa ✌️
@bennamush4616
@bennamush4616 7 месяцев назад
Mkaka yupo smart sana usafi mwingi so yule kichaa aliekuwa katuvalia boxa kwenye interview hana adabu kabisa
@machasofficialsite6221
@machasofficialsite6221 6 месяцев назад
Yupi alivaa boxa
@edinalihedule7609
@edinalihedule7609 6 месяцев назад
Kalumbu🙏🙏wagogo yetu nyama😋
@user-ok3vl2et4y
@user-ok3vl2et4y 6 месяцев назад
nakupenda mziwanda❤❤❤❤
@user-if6xd4hz4p
@user-if6xd4hz4p 6 месяцев назад
Uuuuh this life amaizing
@jamessitati7396
@jamessitati7396 6 месяцев назад
well organized guy
@skyscapeinternational9658
@skyscapeinternational9658 6 месяцев назад
chriss mnyama sanaa ni icon
@carolinemahenge1674
@carolinemahenge1674 7 месяцев назад
Nampenda sana uyu kaka
@happnesskatandula4189
@happnesskatandula4189 6 месяцев назад
Ilove the story hauna masifuli kk muonekano wako na story yako mwingine angeanza misifa
@RoseKesi-zj4yy
@RoseKesi-zj4yy 7 месяцев назад
Mwenyewe nilikuwa ni mkelewe maana anafanana na ex wangu
@Tiffany340
@Tiffany340 6 месяцев назад
Inawekana ndo kafungiwa chumbani pale 😂😂😂 we linnah weee
@HappyKasinde
@HappyKasinde 7 месяцев назад
Nakupenda sana
@bainolatino3412
@bainolatino3412 6 месяцев назад
Mchizi kafanana na 2pac sana jamani au naiona mimi tuu hii
@KhadijaAbdallah-kn3ii
@KhadijaAbdallah-kn3ii 7 месяцев назад
Huyu kaka namkubali sana
@beatricemshiu2816
@beatricemshiu2816 7 месяцев назад
Mnaosifia usafi, ni kwamba mnasahau kuwa hao hupewa taarifa kabla hivyo wanajiandaaga kabisa
@ramlabaruani4202
@ramlabaruani4202 7 месяцев назад
Hata kama msafi ni msafi tu
@beatricemshiu2816
@beatricemshiu2816 7 месяцев назад
@@ramlabaruani4202 uzuri hamna aliesema ni mchafu
@pascalinajames9117
@pascalinajames9117 7 месяцев назад
We ukiambiwa salehe anakuja kwako kutakua kusafi hvyo ukijiandaa..acha wivu omba Mungu akupe roho nzuri😏
@beatricemshiu2816
@beatricemshiu2816 7 месяцев назад
@@pascalinajames9117 labda kwako sho🤔
@melanialeonard4031
@melanialeonard4031 7 месяцев назад
@@pascalinajames9117 waja mnafurahisha nadhan ataenda kwa jiran kuazima mpk fagio kuna wale watu akivua nguo hizo hizo anatumia kufagilia ndan😂😂😂😂😂😂
@Simulizinafilamu
@Simulizinafilamu 7 месяцев назад
We chris acha uongo eti ushawahi kukaba..Umemkaba nani😂
@lightnessabdallah2340
@lightnessabdallah2340 7 месяцев назад
Jmn mk waandishi wa habari wanavaa helen 😢😢😢😢
@monicachondo6784
@monicachondo6784 6 месяцев назад
Kwa mwandishi wa habari za burudan kama Mziki, it’s allowed and normal too May angekua anatangaza taarifa za habari angevaa official bila bling bling zozote
@rukiajuma9295
@rukiajuma9295 7 месяцев назад
Albert 😢😢😢anko chipe
@jumalihumbo5314
@jumalihumbo5314 7 месяцев назад
Kuna mwanetu chuo alikua anamuelewa sn uy jamaa mpk kiparangoto akakipig ili t afanane n uy jamaa😂😂😂
@Atb300
@Atb300 7 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂
@RoseKesi-zj4yy
@RoseKesi-zj4yy 7 месяцев назад
Nampendaga Sana huyu kaka❤❤
@HappyKasinde
@HappyKasinde 7 месяцев назад
Nakupenda sana
@kudoja_fish_shop9592
@kudoja_fish_shop9592 6 месяцев назад
Mbagala na temeke ndio makao makuu ya masela mavi tanzania
@Devo_xoxo2
@Devo_xoxo2 6 месяцев назад
Chumban kwake kulikuwa na fezza akaona asichomoe betri
@halimanassoro1762
@halimanassoro1762 7 месяцев назад
❤❤
@sylivesterbulili6636
@sylivesterbulili6636 7 месяцев назад
Wow❤
@Japhee93
@Japhee93 3 месяца назад
Tumieni na drone italeta muonekano poa wa video hasa from aerial angel
@baimarrajahbuayan6237
@baimarrajahbuayan6237 7 месяцев назад
Ni. Mgogo lkn ni. Msmart mno Mashallah 🎉🎉😂
@janeschurmanns7364
@janeschurmanns7364 7 месяцев назад
Kwani uliambiwa wagogo sio smart
@silviambalwa8862
@silviambalwa8862 6 месяцев назад
Nampendaga uyu kaka mwee😢
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 6 месяцев назад
Kaka auna baya kabisa mzwanda
@TaarabChannel
@TaarabChannel 7 месяцев назад
Mpitie na kwangu jamani
@user-bq7tg8zi1z
@user-bq7tg8zi1z 6 месяцев назад
Nice
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 6 месяцев назад
Chris ni, kijana ana jitambua
@selestinsongola2787
@selestinsongola2787 6 месяцев назад
Ebwana unyama mwanetu huyo Dom moja makao makuu
@cynthiapwani1383
@cynthiapwani1383 6 месяцев назад
Sio kapewa taarifa ndo akaweka usafi hapana huyu bro muonekano wake ni msafi halisi sio wa kukulupushwa kwa kweli kama mijanaume mingine loh usafi ni lazima sio kushikiwa bakora ni afya pia yani anavutia complete mpka unatamani uendlee kumsikiliza kwa kweli.😂
@mwanamutemi
@mwanamutemi 2 месяца назад
But in the ancient Middle East, the writers of the Hebrew Bible forbade tattooing. Per Leviticus 19:28, “You shall not make gashes in your flesh for the dead, or incise any marks on yourselves.” Historically, scholars have often understood this as a warning against pagan practices of mourning
@mfaumejames7344
@mfaumejames7344 7 месяцев назад
Wa kwanza leo😅😅
@selinathindwa9754
@selinathindwa9754 7 месяцев назад
Ndani ni kunzuri, ni msafi kuzidi hadi baadhi ya wanawake
@tanzcanmediatv4473
@tanzcanmediatv4473 7 месяцев назад
Kabisa
@EmJesho
@EmJesho 7 месяцев назад
Sana
@nasraabdallah8566
@nasraabdallah8566 6 месяцев назад
Kamzidi mwene wa ndindi😂😂😂
@rosesilio9008
@rosesilio9008 7 месяцев назад
Kaka msafi wewe kuna miwanaume wengine ni wachafu hatari ukiingia chumbani kwao uvundo wa viatu na soks mpaka utakimbia
@NgengeMkeni-uo5hq
@NgengeMkeni-uo5hq 7 месяцев назад
Dahh, umenusaje harufu ukajua hakuna uvundo?
@mariyam9219
@mariyam9219 6 месяцев назад
Mahogany nyie ote mnavaa evening kama wanawake kawekeni kuma basi muwe mademoiselle kabisa
@roserobert4951
@roserobert4951 6 месяцев назад
tumesoma wote nakukumbuka sana 😂
@AniphaMbeyu-ft9ue
@AniphaMbeyu-ft9ue 6 месяцев назад
Watoto wa temeke oyeeee
@zeyanaalhabsi8636
@zeyanaalhabsi8636 6 месяцев назад
❤❤❤❤❤❤❤
@edwardfaraji1133
@edwardfaraji1133 7 месяцев назад
Gym sana mwanangu huyu...
@user-eo4hd8xu6d
@user-eo4hd8xu6d 7 месяцев назад
😂😂😂Saleh muhuni ww maswali yako dah
@dianacharles8147
@dianacharles8147 7 месяцев назад
😂twende tukaone
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 7 месяцев назад
🎉
@kimodonaa
@kimodonaa 6 месяцев назад
Uyu ni yule mme wa lolita au namfananisha
@user-oe9zv7hq9p
@user-oe9zv7hq9p 7 месяцев назад
Umo ndani chumbn kwako Kuna fedha keys 😂😂
@IbrahimMvanga-sk4gr
@IbrahimMvanga-sk4gr 7 месяцев назад
Kaka mcheshi huyu had raha
@user-wb4bz6sy2v
@user-wb4bz6sy2v 4 месяца назад
Temeke school na school bus wap na wap jmn mbn anatk kutuchap
@18nationmedia46
@18nationmedia46 6 месяцев назад
igizo liko poa
@newzon5300
@newzon5300 7 месяцев назад
WATAKUJA KUFILA UYU MSENGEE😅😅😅😅
@amanieliraha2505
@amanieliraha2505 7 месяцев назад
Wa sita
@shmsazahir4021
@shmsazahir4021 7 месяцев назад
Babu maparaa umejitahidi msaf
@gracepatric4371
@gracepatric4371 7 месяцев назад
Ila salehe hahahahaha king'ang'anizi, hahahaha
@greeneraston6102
@greeneraston6102 5 месяцев назад
Yaan huyu Kaka lazima tuendane na mim coz I like sweet things like chocolate 🍫🍫🍫🍫 biscuits na zile cake's
@abassimussa7473
@abassimussa7473 7 месяцев назад
Swali ni mjengo ni wake ama amepanga ?
@mrambadiana9678
@mrambadiana9678 7 месяцев назад
Sasa utajenga kabla hujapitia kupanga acha wivu na ushamba
@paulalove1223
@paulalove1223 7 месяцев назад
Kwani mtu akipanga anakua hajakamilika Yani mtu hakosi chakukosoa kaona vyote kamkosa
@emmanuelmchomvu2676
@emmanuelmchomvu2676 6 месяцев назад
Ww umejenga au
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh 7 месяцев назад
Kwetu huku United kingdom kuna baridi ndio limeanza😢😢
@slimshed55
@slimshed55 6 месяцев назад
Nicheki Basi nami niko huku nina zawadi yako
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh 6 месяцев назад
@@slimshed55 Hiyo zawadi itume humu humu tuipokutana
@slimshed55
@slimshed55 6 месяцев назад
@@FatimaAli-of4gh Nipe basi namba ya whatsApp bwana Fatma🥰😊😁😁
@safiaimran6455
@safiaimran6455 6 месяцев назад
@@FatimaAli-of4gh😂😂😂😂😂 hutaki zawadi
@slimshed55
@slimshed55 6 месяцев назад
@@safiaimran6455 Hataki zawadi si bora niikupe wewe tu jamani hahaa 🤣 😂
@mukeshimanarose1334
@mukeshimanarose1334 6 месяцев назад
🧦
@gracelwoga9891
@gracelwoga9891 6 месяцев назад
Ila anajishaua
@HalimaMohamed-em9zg
@HalimaMohamed-em9zg 6 месяцев назад
Sio kwer
@Jassmin-media-official
@Jassmin-media-official 6 месяцев назад
Nilishangaa huyu kijana kua gay na akina Haki duh wanaume wanapungua dar
@machasofficialsite6221
@machasofficialsite6221 6 месяцев назад
Duh jamaa shoga? Khaa
@darajalakidatukilomgi2362
@darajalakidatukilomgi2362 5 месяцев назад
Chuki itakuua wewe, punguza kupaniki
@yussbreezy918
@yussbreezy918 5 месяцев назад
​@@machasofficialsite6221hakuna anayefahamu hilo
@mariamibrahim6738
@mariamibrahim6738 7 месяцев назад
Tz na drama zots izo akuna barabara nzuri mtaani km kwetu burundi tuna paves mitaa yote mjii unapendeza ila tz loooo pachafu
@dolphin4791
@dolphin4791 7 месяцев назад
Kuma ww
@charlesmtaita9664
@charlesmtaita9664 7 месяцев назад
​@@dolphin4791😂😂
@tanzcanmediatv4473
@tanzcanmediatv4473 7 месяцев назад
Burundi ipi unayoongelea tutasitisha misaada tunayowapa kila sehemu pumbavu
@tanzcanmediatv4473
@tanzcanmediatv4473 7 месяцев назад
Mungu akubariki kijana mtanasharti na anayempenda Mungu
@souvenirweber7169
@souvenirweber7169 7 месяцев назад
Mjinga wewe Burundi nchi maskini na ndogo kama mkoa wetu mmoja unalinganisha na Tz nchi kubwa mala dufu kwenu? unataka kutukanwa? Iseme tenw Tz K wewe
@dangomc_niger
@dangomc_niger 7 месяцев назад
mme wa lolita
@user-uj4rt1vx3h
@user-uj4rt1vx3h 6 месяцев назад
𝖄𝖆𝖓𝖎 𝖘𝖒𝖆𝖗𝖙 𝖒𝖐𝖕 𝕽𝖆𝖍𝖆𝖆
@NgengeMkeni-uo5hq
@NgengeMkeni-uo5hq 7 месяцев назад
Huyo dogo mtangazaji ana wenge kinoma.. inabidi umwache host wako ndio akutembeze kwenye nyumba yake. Sio wewe ndio unakuwa kimbelembele kama kwako
@dreamonline1997
@dreamonline1997 7 месяцев назад
Mashoga uwa wana viherehere
@machasofficialsite6221
@machasofficialsite6221 6 месяцев назад
Host wake yupi tena wakati yeye ndio host
@sarachawe8113
@sarachawe8113 6 месяцев назад
​@@machasofficialsite6221atakua haelewi😂😂😂😂
@zalhathasaid2060
@zalhathasaid2060 6 месяцев назад
​@@machasofficialsite6221😂😂😂kupatwa kwa host
Далее
КАКОЙ У ТЕБЯ ЛЮБИМЫЙ МАРМЕЛАД?
00:40
Эмоции💫 | Тгк: D1ashenka✨
0:22
Просмотров 2,9 млн
Эмоции💫 | Тгк: D1ashenka✨
0:22
Просмотров 2,9 млн