Тёмный

Annoint Amani - Haina maana ( Official music video) 

Annoint Amani
Подписаться 267 тыс.
Просмотров 101 тыс.
50% 1

#hainamaana#annointamani#
Lengo la Mungu kubariki wengine ,yule alipata kidogo au kingi agawane na wengine,
Ukweli haina maana unafurahia maisha mwenzio anapata shida ,
Hata kama hufai kutoa vyote,lakini jitaidi angalau wenzio waionje furaha yako kulingana na uwezo ulio nao 🙏,
Annoint Amani
Song,Haina maana
language Swahili)
Tiktok ,Annoint Amani tz,
WhatsApp & call
👇
+255767240181 = +255755099942 )
👇
Video directed by Mr,
+255748262634 )
audio ,A.E.A tones studio prod by Meddy
+255748262634 )
Dar es Salaam Tanzania )

Видеоклипы

Опубликовано:

 

5 май 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 157   
@brianuniquecop943
@brianuniquecop943 2 месяца назад
Wimbo tamu sana.. Pokea upendo toka Kenya ... Tuzidi kusifu mungu pamoja.
@Peninnah-hi1lx
@Peninnah-hi1lx 2 месяца назад
Watching from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 wimbo mzuri sana mungu azidi kukuinua
@CosmasMaweu-vl4qk
@CosmasMaweu-vl4qk 2 месяца назад
Wimbo mzuri sana mungu akubariki sana azindi kukupa neema Kila wakati❤
@user-pw8ml6ts8r
@user-pw8ml6ts8r 2 месяца назад
Amina 🙏
@kipchumbavincent2837
@kipchumbavincent2837 2 месяца назад
Wow,
@willbroadkaizirege4470
@willbroadkaizirege4470 2 месяца назад
Omukama wange Booojo🤲🤲🤲
@user-rt6fh1wf3t
@user-rt6fh1wf3t 2 месяца назад
Kutoka kenya nakukubali my brother may God bless you ❤❤❤❤
@marynyanje3904
@marynyanje3904 2 месяца назад
Amen mungu nkumbuke namm naukumbuke wengine
@Mobilo-dv5yc
@Mobilo-dv5yc 2 месяца назад
Tuzid kumuomba mwenyez mungu bila yeye si sio kitu Asante yesu 🙏
@thekipandes
@thekipandes 2 месяца назад
Kali sanaaaaaaaaaaa
@fredmambo8500
@fredmambo8500 2 месяца назад
Be blessed annoint amani amen 🙏🙏🙏🙏🙏
@NeemaMateleka
@NeemaMateleka 2 месяца назад
Kaka mungu akubariki ujimbe wako unaendana na majanga ya mwaka huu wengine wanashelekea maisha wengine wanateseka mungu akubaliki sana tueaombee wezetu kiujumla
@lazarebama8876
@lazarebama8876 2 месяца назад
bonsoir je vous suit depuis le Burkina Faso mais je comprends les paroles mais ça me touche que vous bénisse
@jeanmariesemahore8873
@jeanmariesemahore8873 2 месяца назад
Napenda wimbo sana
@manisobblowi8894
@manisobblowi8894 2 месяца назад
Am watching from Saudi Arabia ila nmetoka kenya wow hapo sawa bro mungu kukupa nguvu za kumsifa yy tu❤❤❤🎉🎉😊😊😊
@user-mk1bl2fw6w
@user-mk1bl2fw6w 2 месяца назад
Nice song
@swaibushemdoe2143
@swaibushemdoe2143 2 месяца назад
Mtumishi wa mungu
@mary-cm5je
@mary-cm5je 2 месяца назад
🙏🙏🙏🙏
@user-lf7ow5hd2d
@user-lf7ow5hd2d 2 месяца назад
Aki wembo u naupenda sana
@leilaathumani3611
@leilaathumani3611 2 месяца назад
Amen 😢🙏🏽
@winfredwavinya4014
@winfredwavinya4014 2 месяца назад
Nimekua nikisubiri kwa ham Sana HUU wimbo ee MUNGU unajua sababu MUEKE MTUMISHI WAKO AZIDI KUKUTUMIKIA BEST SONG EVER❤
@leilaathumani3611
@leilaathumani3611 2 месяца назад
Brother much love ❣️❣️❣️
@joshfaulu2156
@joshfaulu2156 2 месяца назад
Kazi safi🎉🎉🎉
@margaretoajango-il7vy
@margaretoajango-il7vy 2 месяца назад
Napenda nyimbo zako keep it up
@mtumbili
@mtumbili 2 месяца назад
Lit 🇰🇪💪
@user-em8ir2qq8x
@user-em8ir2qq8x 2 месяца назад
kazi njema brother, nyimbo ya kubariki Mungu akuongezee uendelee kutumika
@anitahwanza2132
@anitahwanza2132 2 месяца назад
❤❤
@phyllisafandi9943
@phyllisafandi9943 2 месяца назад
Amen
@prayer254
@prayer254 2 месяца назад
Amen 🙏
@Madina-uw6ce
@Madina-uw6ce 2 месяца назад
Iam watching from Saudi but iam from kenya 🇸🇦 🇰🇪 ❤
@emmacradamumo9828
@emmacradamumo9828 2 месяца назад
Nice song🎉🎉🎉🎉🎉
@simonphabiano9050
@simonphabiano9050 2 месяца назад
Kama Saida Kaloli🎉
@Fol189
@Fol189 2 месяца назад
If you Know you always be blessed with Songs from this our best Young musian Say God bless him by liking this comment 🙏🙏
@RaphaelOgol-gv8qq
@RaphaelOgol-gv8qq 2 месяца назад
Am blessed.thanks alot for the nice song ❤❤
@paulinanduku2748
@paulinanduku2748 2 месяца назад
God as you bless me also bless others 🙏much love from❤🇰🇪
@EvangelistJsolomonMkwata
@EvangelistJsolomonMkwata 2 месяца назад
❤hii location nimeakumuka
@titusangore2912
@titusangore2912 2 месяца назад
Watching from Kenya kazi nzuri sana brother keep it up
@user-dq1go7kd1z
@user-dq1go7kd1z 2 месяца назад
Congrats bro keep on
@swaibushemdoe2143
@swaibushemdoe2143 2 месяца назад
Mm mwisilam lkn nakubari sana kaka nagombana na watu kwajiri yako hawataki nikisikiliza nyimbo zako
@estermachea3373
@estermachea3373 2 месяца назад
Usiache kusikiliza unapata baraka sana kaka yangu
@annointamani3285
@annointamani3285 2 месяца назад
WOOW NAMSHUKURU MUNGU KWA KIBARI , Asante sana kwa sapot yako rafiki yangu, Anae kuvutia kusikiliza nyimbo zote ni Yesu anaeimba ndani yangu 🙏,Karbu sana siku moja ntafurah tukiwa pamoja 🙏
@MargaretAtieno-xx7ys
@MargaretAtieno-xx7ys 2 месяца назад
Woow barikiwa Sana mtumishi uko juu sana
@swaibushemdoe2143
@swaibushemdoe2143 2 месяца назад
@@estermachea3373 Asante sana dada angu
@rynkenya3706
@rynkenya3706 2 месяца назад
Washindwe devil is at work bt watatulia
@juliusmusyoki78
@juliusmusyoki78 2 месяца назад
Hongera Amani.. nyimbo nzuri sana
@user-qo9ew5gl3y
@user-qo9ew5gl3y 2 месяца назад
Satisfait
@pendotv5110
@pendotv5110 2 месяца назад
Atumbuke kabisa😢
@Phoebenafula
@Phoebenafula 2 месяца назад
Hongera sana mtumishi wa Mungu, Much love from 🇰🇪
@JuliusAtulo
@JuliusAtulo 2 месяца назад
Truth and facts, am blessed again to hear from you
@mrnickmusician7139
@mrnickmusician7139 2 месяца назад
❤❤❤❤❤nice soñg keep it up brother 😭😭😭🤲🤲🤲🇰🇪🇰🇪
@catherineonyamo-vb3zd
@catherineonyamo-vb3zd Месяц назад
Amen,mungu anapokubariki atubariki na sisi wengine,wimbo mzuri sana
@annabelrimui3660
@annabelrimui3660 2 месяца назад
❤❤❤
@BonifaceKimuli
@BonifaceKimuli 2 месяца назад
Congrats bro
@sheddywisdomofficial
@sheddywisdomofficial 2 месяца назад
This touches more, i feel it in my heart
@JulietKiyeng-ln9to
@JulietKiyeng-ln9to 2 месяца назад
I like the message may God continue blessing you in Jesus name 🙏
@EvaNanjala
@EvaNanjala 11 дней назад
napenda sauti nzuri una ujumbe tamu
@bensonmailu
@bensonmailu 2 месяца назад
Kazi safi kaka keep it up 🙏
@GospelSupporters
@GospelSupporters 2 месяца назад
Wow 💪
@santanabii5374
@santanabii5374 2 месяца назад
Nashukuru tu kaka Annoint kwa nyimbo zako ,,,zinanitia nguvu kama yesu naomba miguu,,,,jitu la mbinguni ,,,,,wewe ni nani,,,ulichagua kunichukia na mengine natamani nikuzawadi kaka ukija kenya please 🙏🙏🙏🙏🙏
@mikejmusic254
@mikejmusic254 2 месяца назад
God bless you brother keep going 🙏🏿
@user-wl7ii1yt5g
@user-wl7ii1yt5g 2 месяца назад
❤❤❤❤❤❤❤
@F.S.L.C.
@F.S.L.C. 2 месяца назад
WOW - THIS IS NEW STYLE - AMAZING - THANKS GUYS.
@sakinasampamba705
@sakinasampamba705 Месяц назад
Amina
@justerkamala3933
@justerkamala3933 2 месяца назад
Katonda wangee..omkama wangee ,yooo tukumbukee,wow ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@willbroadkaizirege4470
@willbroadkaizirege4470 2 месяца назад
Katonda waitu niwe mulinzi waitu ebilo byoona
@user-lp5fv1on9d
@user-lp5fv1on9d 2 месяца назад
Nyimbo zuri Sana kaka mimi na Familia yangu yote keep up love from Kenya ❤❤
@jesikakamwabusila15
@jesikakamwabusila15 2 месяца назад
Kwa kweli sisi tunaokufahamu umeimba uhalisia na matendo mema unayoyatenda,hongera Sana.
@nasahazamaisha28
@nasahazamaisha28 13 дней назад
Mwanzoni nilidhani ni Saida Karoli... Hiyo beat Kali sana!
@samwelmigera7274
@samwelmigera7274 17 дней назад
Mukama Wange🎉🎉🎉🎉 wahaya apo vipi
@JoshuaMenza
@JoshuaMenza Месяц назад
Natamani niimbe na wewe ju sauti yako iko sawa na mm nimsanii chipukizi
@kwagalavkylydia7914
@kwagalavkylydia7914 2 месяца назад
Katonda wange...Mukama wange.......Ugandans where are you? Nice song. Thanks Amani
@KomuhendoPeace
@KomuhendoPeace 2 месяца назад
We are here for him more blessings 🙏🙏🙏
@kwagalavkylydia7914
@kwagalavkylydia7914 Месяц назад
@@KomuhendoPeace Thanks dear for the solidarity.
@carenkimonge6374
@carenkimonge6374 Месяц назад
Wimbo wa maama sana.nilikuwa fan wako sana kutóka kenyà wakàti ulisema eti rúto alishinda basi nikakoma kusikiza zako nyimbo.lakini msamaha upo
@johnmalembo6464
@johnmalembo6464 2 месяца назад
Umetukumbusha maana ya DINI YA KWELI NI MATENDO mema SI majina yaliyosajiliwa kwenye mamlaka za dunia
@maurinekipkoech2354
@maurinekipkoech2354 2 месяца назад
Amen 🙏🙏,tukumbuke,katonda wangee, listening 🎧 from KENYA 🇰🇪🇰🇪
@mbambujanet9362
@mbambujanet9362 2 месяца назад
This is from Uganda ❤❤❤❤katonda Wenger means my God
@user-gs6ks7ic1w
@user-gs6ks7ic1w 2 месяца назад
Glory be to GOD 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@JoshuaMenza
@JoshuaMenza Месяц назад
Mm nimkenya ila nakubali kazi yako #wimbo mzuri sana
@DiminaMakuto
@DiminaMakuto Месяц назад
Lesson kubwa sana
@user-ok6gf2mq9g
@user-ok6gf2mq9g Месяц назад
🙏🙏🙏Amina
@EmmahMueni-ej5nq
@EmmahMueni-ej5nq Месяц назад
Hii wimbo naisikiza mara Tano daily naipenda sana juu ya massage yake
@Mkungajackson0098
@Mkungajackson0098 Месяц назад
Jamani kaka umeimba, utukufu kwa Yesu
@emmahokore2531
@emmahokore2531 2 месяца назад
wash and wear!!!God kindly help your people ,Katonda wange!!
@willbroadkaizirege4470
@willbroadkaizirege4470 2 месяца назад
Katonda mulinzi wa boona
@NurdinAbubakar-yd7qm
@NurdinAbubakar-yd7qm Месяц назад
Barikiwa Sana mtumishi
@angelamalande4470
@angelamalande4470 Месяц назад
This one you winning it love sooooooooooo much keep moving and more blessing upon you
@WemaNella
@WemaNella 2 месяца назад
God bless you♥
@apostleelisha2994
@apostleelisha2994 2 месяца назад
Safi sana
@lwzmangulu7532
@lwzmangulu7532 2 месяца назад
Unajua kuimbaa Sana brooo mungu ibariki kazi ya ndugu yetuu Annoint kijana mwenzangu 🙏🙏🙏🙏❤️🇹🇿🇹🇿
@willbroadkaizirege4470
@willbroadkaizirege4470 2 месяца назад
Mungu akazidi kumpandisha viwango vingine. Amina.
@EsperancePendezaFidele
@EsperancePendezaFidele Месяц назад
Ubarikiwe Sana yani
@faidonrungwe6890
@faidonrungwe6890 Месяц назад
♥️♥️♥️♥️♥️♥️💃💃💃💃🎤🎤🎤🕺🕺🕺🕺♥️♥️
@chefjaji4225
@chefjaji4225 Месяц назад
Haina maana nikifanikiwa peke yangu ❤❤❤🎉🎉🎉🎉🙏🙏🙏
@user-tu7ou9iz3c
@user-tu7ou9iz3c 2 месяца назад
Wow amazing keep going kakagu
@user-sv4oy2dw1n
@user-sv4oy2dw1n 2 месяца назад
Oooh katoda wange mukama wafe😢
@KakayiEsther-bv3lj
@KakayiEsther-bv3lj Месяц назад
Hallelujah big time to you brother, a smile on my Chick after hearing katonda wange wawoo and l was tortured mentally Amen watching from Saudi Arabia but Ugandan love my continent!!!
@esthermuia6074
@esthermuia6074 Месяц назад
This song is deep😢😢😢 Tuombeane Tukumbukane,🧘🙏
@washkagunda864
@washkagunda864 2 месяца назад
Safi kabisa brathy
@millicentakinyi5504
@millicentakinyi5504 2 месяца назад
Mungu mwema😂😂😂❤❤❤🇰🇪🇺🇬kweli🙏
@justinakitua3519
@justinakitua3519 2 месяца назад
Thanks Brother Annoint for this wonderful message. God bless you keep you to bless us more
@estherlemburismollel5901
@estherlemburismollel5901 2 месяца назад
Annoint, Annoint, nakuita mara nyingine Annoint, Mungu akupaishe utukufu hadi utukufu, duh, unaimba hadi mbingu zatikisika. ❤
@willbroadkaizirege4470
@willbroadkaizirege4470 2 месяца назад
Amina.
@maryndindamutwii8906
@maryndindamutwii8906 2 месяца назад
Wow wow to God be the glory
@willbroadkaizirege4470
@willbroadkaizirege4470 2 месяца назад
Ameen
@marthakoech5342
@marthakoech5342 2 месяца назад
I am watching from Europe I love so much your songs, May God continue blessing you 🥰🥰
@nancycheby125
@nancycheby125 Месяц назад
Wooow powerful song
@ZawadiRimba-gy4dn
@ZawadiRimba-gy4dn 2 месяца назад
Be blessed ❤❤❤❤❤❤ mtumishi wa Mungu ♥️❤️♥️
@FollowGospelSingers
@FollowGospelSingers 2 месяца назад
🎉🎉🎉
@nabiibikemwayowele
@nabiibikemwayowele 2 месяца назад
KAMA wewe umesha pitiya shida Nazani Wimbo uhuu umekubariki vya kutosha umaskini Nimateso sijuwi KAMA Nawewe unahamini ilo Analo Nisema Mtu wa Mungu Annoint Amani Omba Mungu Leho kupitiya Wimbo uhuu Akika Mungu Atakubariki Tupo DRC CONGO Lubumbashi Nakuombeya Neema Na Baraka wewe unaye sikiya Wimbo uhuu Naitwa NABII BIKEMWA Mtoto wa UVIRA
@JescahSimiyu-rm5qp
@JescahSimiyu-rm5qp 2 месяца назад
Wimbo huu unagusa sana,barikiwa sana Annoint
@willbroadkaizirege4470
@willbroadkaizirege4470 2 месяца назад
Mungu na akabariki Kaka Annoint
@denishotieno5460
@denishotieno5460 2 месяца назад
Great amani keep it up
@davidsibejo4916
@davidsibejo4916 2 месяца назад
Haukosei kila nyimbo
Далее
MWANAFUNZI MALAYA
13:01
Просмотров 1 млн
Dora does the Tyla Dance 😳 #shorts
00:16
Просмотров 1,5 млн
Good dad 🥰 #demariki
00:17
Просмотров 2,1 млн
PENZI LA DADA WA KAZI 💞 | Love Story
30:06
Просмотров 4,7 млн
5УТРА - Белая полоса
3:13
Просмотров 529 тыс.
Jakone, Kiliana - Асфальт (Mood Video)
2:51
Просмотров 3,8 млн
Big Baby Tape, Aarne - Supersonic
2:44
Просмотров 805 тыс.