Тёмный

ARUSHA: KIJANA AKUTWA AMEJIUA KIKATILI CHUMBANI, PEMBENI YUPO MPENZI WAKE AMEFUNGWA KAMBA... 

Global TV  Online
Подписаться 4,9 млн
Просмотров 57 тыс.
50% 1

ARUSHA: KIJANA AKUTWA AMEJIUA KIKATILI CHUMBANI, PEMBENI YUPO MPENZI WAKE AMEFUNGWA KAMBA...
TUKIO la kutisha limetokea Mkoani Arusha baada ya kijana mmoja kukutwa chumbani akiwa amefariki akiwa na mpenzi wake...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Опубликовано:

 

20 май 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 259   
@globaltv_online
@globaltv_online Год назад
BREAKING NEWS! USIKUBALI KUPITWA na HABARI ZA GLOBAL TV. JIUNGE na WhatsApp Group Now: chat.whatsapp.com/Kh8n9Xk0OWJ...
@repsphrs5051
@repsphrs5051 Год назад
Mashaka gani! Wakati mtuhumiwa wa kwanza ni binti na ndie anapaswa kusaidia polisi kuwa alinyongwa na nani na yeye kafungwa na nani hyo mikono
@aishahussein9348
@aishahussein9348 Год назад
Kweli
@jayloveofficial8428
@jayloveofficial8428 Год назад
Sindio jamani
@JacklineKileo-oe7ej
@JacklineKileo-oe7ej Год назад
Mtuhumiwa wa kwanza ni bint Haina mbambamba!!
@michaelkapaya5996
@michaelkapaya5996 Год назад
Binti si yupo jamn ndio anajua ukweli wote ko uchunguz uanzie Hapo hapo kwa binti.
@teddyelizabeth9358
@teddyelizabeth9358 Год назад
Hivi siku hizi kuua ni kawaida? Hammuogopi Mungu jaman 😢 hiyo ni damu ya mtu itawaandama sana, pia baba jovin usikubali kabisa pambania haki ya kijana mpaka kijulikane tena hata kiimani tupo pamoja nawe, anza na wote wanao pindisha mpaka walio shiriki kizazi Chao chote
@sudymgeni701
@sudymgeni701 Год назад
Uyo dada anajua sana.msikubali na msizike msipokee mwili.nendeni kwa R.P.C haraka mpate majibu.
@estherphilipo5845
@estherphilipo5845 Год назад
Pole sana baba so sad inauma sana kufiwa na mwanao mungu akutie nguvu na mama yake pia
@AishaHaji-jn7sg
@AishaHaji-jn7sg Год назад
Arusha jaman…napata huzuni sana matukio mengi ya huzuni na kutisha yanatokea Arusha…sending prayers to y’all ❤❤
@sianagodson3690
@sianagodson3690 Год назад
Yaan acha Arusha tuombe Mungu sn
@user-eb3sr5wi5v
@user-eb3sr5wi5v Год назад
Kaman tunaomba wanasheria walisimamie hili jambo,haki itatendeka,,,itajulikanatuuuuuuu
@polycarptarimo5141
@polycarptarimo5141 Год назад
Mazingira ya tukio yanatilia shaka sana
@angelnicholaus9248
@angelnicholaus9248 Год назад
Jeshi la polisi waliwezaje kumuachia huyo binti ambaye angetoa ushahidi wa nini kilifanyika,askari hao kwa kweli ni dhihaka na ingefaa hata huyo mkuu wa kituo aachie ngazi na hao wengine wote walioenda eneo la tukio,kwanini polisi mnajidhalilisha kwa kiwango hiki kama kweli ni watu wenye mafunzo kwa kazi hiyo!
@angelaminde1247
@angelaminde1247 Год назад
Tulia dada hapa kuna sintofahamu. Kama unakula ugali wako vizur dada tulia mengine tumwombe Mungu tuu😢😢
@danieljoseph1610
@danieljoseph1610 Год назад
Nawe umeanza uongo! Nani kakwambia kaachiwa?
@angelnicholaus9248
@angelnicholaus9248 Год назад
@@danieljoseph1610 nimeona na kusikia kwenye video sijui unachoongea hapa ni kitu gani
@marrypius576
@marrypius576 Год назад
​@@angelnicholaus9248 hajielew kabisaa 😂😂😂
@JohnsonMbise-nd7mk
@JohnsonMbise-nd7mk Год назад
Mlivyofanya ipo siku mtafanyiwa taratibu miaka 3 haitopita
@catherinemichael1275
@catherinemichael1275 Год назад
Siyo kweli kamateni hao wazazi wa binti wanajua kila kitu
@paskaziasholla7471
@paskaziasholla7471 Год назад
Yaani polis huwa wanajizalilisha na kujiondolea heshima na imani kwa raia
@kinondoni4668
@kinondoni4668 Год назад
Yaani siku ya kwanza fujo cosovo Yapili kifo mmh sio poa Wakwanza kueleza ni mtuhumiwa Alie hai, aeleze vizuri Mwanzo.
@paskaziasholla7471
@paskaziasholla7471 Год назад
@@kinondoni4668 pamoja na wazazi wake
@kinondoni4668
@kinondoni4668 Год назад
@@paskaziasholla7471 waa siku ya fujo Sio mmoja walikuwa Wengi. ALL.
@paskaziasholla7471
@paskaziasholla7471 Год назад
@@kinondoni4668 ujue walikuja kwania yakuuwa tu hata wangemkuta kwao wangetimiza nia yao kiukweli nimeumia sana sana
@kinondoni4668
@kinondoni4668 Год назад
@@paskaziasholla7471 sheria itumike haki iwekwe wazi. Pole sana wafiwa Baba ifike mahakamani Usijalie uuuwaji huo. Haupendezi Ng'oo
@michaelsamson9663
@michaelsamson9663 Год назад
Upelelezi utanzia apo kwa uyo mwanamke watakamatwa
@jacquelinekennedy5740
@jacquelinekennedy5740 Год назад
Polee sana Baba .. MUNGU awafanyie wepes haki itendeke 😢😢
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 Год назад
Amiin😭😭😭😭
@idrisalubwaza3028
@idrisalubwaza3028 Год назад
MKUU WAJESHI RA PORISI UKOWÀPI WAJIBUSHA HAO PORISI HAPO HATA KAMA HUJASOMA
@shadiathemedshadiathemed8699
Akamatwe demu si kaona tukio Zima
@OmanOman-bx5du
@OmanOman-bx5du Год назад
Kumekucha. Arusha tena
@charlesmugisha6529
@charlesmugisha6529 Год назад
Kuna dalili ya upumbavu kupitia kwa awa maaskari mh IGP awa maaskari wachunguzwe Kuna kitu Kama sio rushwa basi ao maaskari wanausika.
@kinondoni4668
@kinondoni4668 Год назад
Uchunguzi ufanyike kwa kina Ukweli ujulikane
@fredrickkingu2030
@fredrickkingu2030 Год назад
Ila jamani kweli maaskari wetu kuweni na huruma tendeni haki hii picha hata si nzuri hv kweli mtu ajinyonge alafu huyu afungwe mikono na kweli upumbavu huyo.
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Год назад
Sasa kama alifungwa na huyo mwanaume baadae ndipo aksjinyonga jee muhimu uchunguzi ufanywe na ahojiwe huyo mwanamke
@chateismail2270
@chateismail2270 Год назад
Tusiegemee sana kusikiliza upande mmoja. Pande zote mbili zisikilizwe. Watu wa arusha mi nawajua sana kwa kutunga maneno.
@hamzaeleuter8268
@hamzaeleuter8268 Год назад
Mbona lawama kwa askari sasa
@janemushi850
@janemushi850 Год назад
Kuleni sana rushwa kwa damu za watu ila kumbukeni na nyie mna uzao
@salamanauthar5261
@salamanauthar5261 Год назад
Muulizeni huyo binti alofungwa ni nani alomfunga hiyo kamba???
@teddyelizabeth9358
@teddyelizabeth9358 Год назад
Binti ksshiriki hilo ni igizo
@mwanahamisndarai1613
@mwanahamisndarai1613 Год назад
Binti si rahs ashiriki kumuua wakati yeye alitoroka nyumban kwao kwa ajili ya huyo kijana anaonekana alikuwa anampenda. hapa itabidi Binti kuhojiwa aseme ukweli wasisikilize upande mmoja tu.
@salamanauthar5261
@salamanauthar5261 Год назад
@@teddyelizabeth9358 Dunia imekwisha 😭😭
@salamanauthar5261
@salamanauthar5261 Год назад
@@mwanahamisndarai1613 Ndioo
@khadidjasuleiman8006
@khadidjasuleiman8006 Год назад
Innalillahi wa inna ilaiyhi Rajiuun 😢 Tanzania 🥺🥺🥺
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 Год назад
😭😭😭😭😭
@zakatizakatyasini2026
@zakatizakatyasini2026 Год назад
Pole sana baba unaongea kwauchungu sana
@user-vp3vl1xt7j
@user-vp3vl1xt7j 4 месяца назад
Usikubali kama Sheria haiwezi kuchukua hatua Fanya unavyoweza huyo Binti kama hataweza kesema ukweli na yeye afe kwa njia ya imani
@laylayl5166
@laylayl5166 7 месяцев назад
😭😭😭😭dunia simama nishuke kama wamemuua siyo haki wangempeleka police tu
@shadiathemedshadiathemed8699
Daaah kuna kitu jmn uyo bint anajua kila kitu
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 Год назад
Yeesu nimeskia daraja la Mungu nikashtuka nlijua wamewatumbukiza kule mtoni na lilivyo refu😭😭
@user-rv7zt6tj3d
@user-rv7zt6tj3d Год назад
Neno subra lina maana kubwa sana. SUBRA
@gerowadamwandika669
@gerowadamwandika669 Год назад
Bila kupepesa macho familia ya huyo bint ndiyo iliyomuua huyo kijana so sad . Na huyo bint anajua kila kitu , apelekwe polisi akaisaide.
@Kharua-pw8fw
@Kharua-pw8fw Год назад
Jaman kijan wa watu mzuri jmn asa inamana hatatongonzwa ten huyo mtoto wao washenzi San na hao maskari ndo mana wakistafu wanakuwa wana laana hao mungu atawalipia baba😭😭
@sagandamalechampullo659
@sagandamalechampullo659 Год назад
Familia ya Mwanamke ihojiwe Kwa Kina
@fredymwakikono1575
@fredymwakikono1575 Год назад
Amenifurahisha hapo kwa namna ya imani na hataki kuulizwa imani gani, nafikiri nao wapate uchungu kama walivyofanya wao
@meshackthomas1341
@meshackthomas1341 Год назад
Mimi nilishaga wai kusema. IPO sababu ya selikali kuwa makini na maeneo haya . Arusha,moshi ,bukoba, Mara, nisehem ambazo zinawatu wengi hawasamini uhai wa mwingine na hofu ya mungu nindogo sana nk
@ndossi90
@ndossi90 Год назад
Mungu awape wepesi Familia poleni wote wafiwa Mungu akasimame na kila nafsi iliyo husika kwenye njama adi mauaji
@abiboseleman1649
@abiboseleman1649 Год назад
nahiyo postmontam polisi wasihusike sababu wanaonekana wanajua
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 Год назад
Inalillahi wainailahi rajuun. Duu mtihani Allah atujaaliemwishomwema
@angelsylvester4795
@angelsylvester4795 Год назад
Duh inauma sana jamani huyo binti na familia yake ndio watuhumiwa wa kwanza police mtende haki sio kupotosha ukweli
@salamanauthar5261
@salamanauthar5261 Год назад
Jamani jamani jamani' Binadamu tumegeuka Wanyama yarabbi
@AyubuFumbuka
@AyubuFumbuka Год назад
Kweli kabisa binadamu saivi Kama wanyama huwezi kuiba mtoto wa kike unaenda kumtumia wakati hujajua uchungu wa mtoto
@salamanauthar5261
@salamanauthar5261 Год назад
@@AyubuFumbuka dooh!!!!!
@stellamsokwa6785
@stellamsokwa6785 Год назад
Kwani kamuiba au walikubaliana? Binti kama binti kwanini awe mwepesi kukubali kukalishwa geto kipindi chote bila kushtuka kuwa nyumbani watamfauta??? Haya ni mapenzi ya watu wawili hawakutakiwa kumuua huyu kijana damu itawalilia sana....
@salamanauthar5261
@salamanauthar5261 Год назад
@@stellamsokwa6785 umesema kweli my
@Kidotii
@Kidotii 4 месяца назад
Hili ni somo acheni kuchezea watoto wa watu! Familia nyingine sio nzuri!
@binthkhamis8042
@binthkhamis8042 Год назад
Tanzanian bhnaa 😢😢 mbona yemezidi hvyo
@sianagodson3690
@sianagodson3690 Год назад
Pole sn Baba yng ,Mungu akuteteee ,akupe faraja,kila aliyelitenda hili Mungu wa mbinguni akujibu,na walione kwa macho
@evasambila8529
@evasambila8529 11 месяцев назад
Poleni xana wanafamilia, mwenyezi Mungu awape faraja katika kipindi hiki kigumu Cha kuondokewa na mpendwa wetu, mwenyezi Mungu akaonyeshe njia pasipo na njia.Mungu simama na Baba wa marehemu.,,,,,😭😭😭
@denisipaulo7785
@denisipaulo7785 Год назад
Mungu yupo Damu ya mtu aipotei pole sana wazazi
@user-eb3sr5wi5v
@user-eb3sr5wi5v Год назад
Inauma jaman kijana mdogo
@africandarling6925
@africandarling6925 Год назад
Mmhhh AISSEH poleni wafiwa jamani roho Inauma mtoto mdogo kumtoa uhai Hivi kweli daaaaa😢😢😢😢
@subirachristopher1984
@subirachristopher1984 Год назад
Pole sana, Ila haki ya dami ya mtu Haiwezi kupotea. Mungu wa mbinguni Awalipie kisasi kabisa, ikiwa ni kweli kijana kadhulumiwa uhai. Haki ichipue kabisa Kwa Jina La YESU
@user-gi7lq5en8l
@user-gi7lq5en8l 5 месяцев назад
Justice for jovin 😢😢😢😢😢huyo Dada na familia zikamatwe police tendeni haki achen ubabaifu
@mariasafari1004
@mariasafari1004 Год назад
Binti afungwe jela kbs au awataje watuhumiwa anawajua kbs .
@justinendizeye714
@justinendizeye714 Год назад
Dah poleni sana mama familiya jovin
@listerlujiso6009
@listerlujiso6009 Год назад
Pole baba Mungu asimamie Hilo
@happynessagustino9371
@happynessagustino9371 Год назад
Hizo roho mbaya azitatusaidia wala kutufikisha popote jamani tubadilike ndugu wa binti watambue kuwa maumivu waliyosababisha kwa familia ya huyo kijana Mungu atawalipa kwa kikombe hicho hicho.
@magrethmollel1078
@magrethmollel1078 Год назад
Mimi sishangai hao wameru wana roho mbaya sana
@jamilahsakina1561
@jamilahsakina1561 Год назад
Mambo mazito aya 😢😢😢😢😢😢😢 ukweli binti anatakiwa hawe ndani kabisa police jamani tendeni haki jamani sasa hawa walikuwa wawili vip mmemuachia Msichana wakati yeye ndo agewaeleza kilichotokea ni nini mh nigekuwa mimi kweli nisigezika mpk kieleweke yani pagechagamka tu 😢😢😢😢😢 😢😢😢😢
@johnmeshack4431
@johnmeshack4431 Год назад
Wa dudu wamekuwa viube vibaya sana ila police walikosea kumuachilia uyo mwana dada yeye ndyo atatoa ushaidi 😢😢😢😢
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 Год назад
polen sana Allah awafanyie wepes🤗🤗😭😭💔
@dj_sila_tz
@dj_sila_tz Год назад
R.I.P dogo langu,, serikal na polisi ninyi ni wazembe pia ni wavivu, upelelez wa dkk chache mda fanya mlolongo uwe mrefu
@gladistaemanueliy6336
@gladistaemanueliy6336 Год назад
Baba pole, huyo Binti amehusika kabisa uwekewe chini ya ulinzi
@nicebatare2737
@nicebatare2737 Год назад
Pole 😢
@paskaziasholla7471
@paskaziasholla7471 Год назад
Acheni haki itendeke msije kuleta visasi nyie polis huyu baba anaongea kwa uchungu
@noelbryson7840
@noelbryson7840 Год назад
KAMATA WAZAZI WA BINTI FINYA KORODANI MPAKA ZIRUSHE MAJI WATATAJA MUUAJI MMOJA BAADA YA MWINGINE…HUYO MTOTO WENU WA KIKE ALISHAANZA KUJUA WANAUME NA ALIMPATA MWENZAKE.. NYIE NDUGU WA BINTI HAMTAKWEPA HII KESI …
@oliverjimmy3224
@oliverjimmy3224 Год назад
Ujui kitu nyamaza tuu usimuhukumu mtu
@noelbryson7840
@noelbryson7840 Год назад
@@oliverjimmy3224 Korodani ikiminywa sawasawa hao wazazi wa binti watafunguka tu… Au na wewe kuna kitu unajua nini?
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 Год назад
Mtihani mkubwa huo😮 mungu atunusuru na mtihani huo munamuwa mtu ni ushenzi hii😢
@oliviaseth4652
@oliviaseth4652 Год назад
Mapenzi ya watu kila mtu kapitia, kwanini mme muuwa huyo kijana? Mme mkatili bure kijana wa watu jamani woi
@angelaminde1247
@angelaminde1247 Год назад
Pole sana baba na mama. 😢😢
@user-sp1fu8hk6e
@user-sp1fu8hk6e 4 месяца назад
Jamani ARusha inatutixha Askar wa Aruxha embu kueni makini mbona mnatutisha kueni makini mbona tunaona mnazunguka
@Emiliana97
@Emiliana97 Год назад
May justice prevail
@jboy100k
@jboy100k Год назад
Hatari basa 😢
@ndolepeter2770
@ndolepeter2770 3 месяца назад
mabinti zetu jaman mh mnawasababishia shida sana wavurana hembu kuen nahofu ya Mungu
@mbwilojenipha8741
@mbwilojenipha8741 Год назад
Dah poleni
@florakitio646
@florakitio646 Год назад
Haki itendeke
@jamilajamila4572
@jamilajamila4572 Год назад
Pole sana kiukweli inauma
@fidesbernard4835
@fidesbernard4835 Год назад
Poleni sana wazazi wa kijana!!
@judithmwambe4767
@judithmwambe4767 Год назад
Hao sio wa kuwachekea ndiyo wamemwaga ugali na nyinyi bwageni mboga, na wao kifo kinawahusu wapumbavu wakubwa hao fyuuuuuu
@neemasamson314
@neemasamson314 Год назад
Kabisa yaani na wao waonje uchungu
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 Год назад
Huyo walikuwa wamuozeshe achukuwe moja kwa moja kulikoni kumuwa siyo mtoto huyo kutaka mwaname anaweza hizo kazi ladhima akimbiye kwao anapenda bwana huyo binti 😅😮😮😢😮 18:20
@stanleymhozi7590
@stanleymhozi7590 Год назад
Hatari sana
@sabihahamadi2287
@sabihahamadi2287 Год назад
Mtihani mbona duniya inaenda kasi haya poleni wafiwa mungu awatiye nguvu
@angonzamujunangoma8775
@angonzamujunangoma8775 4 месяца назад
Pole sana baba,damu ya mtu haipotei bure
@maulidalasir2624
@maulidalasir2624 Год назад
Haya ndo madhara kuwapangia watoto wetu wanaume wa kukaanao au kuolewa wangewaacha tu waanze maisha
@mwanahamisndarai1613
@mwanahamisndarai1613 Год назад
Sio kupangiwa shida Binti ni mwanafunzi
@JoyceMkeka
@JoyceMkeka 4 месяца назад
Rakinj na mabinti wetu wanatakiwa wajue wajibu wao kwanini alikubali kutoloka na mwanaume wakati anajujia nimwanafunzi? Nao wanatakiwa wachukuliwe hatua ili wajifunze kujielewa kwani mbona sisi tulisoma tukamali wanaume awakuwepo? Nao mabinti zetu aikuizi wanapenda Sana ngono bwana kwanini asikatae pale ilitakiwa wazazi washikiane tu Mana wote niwatoto
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 6 месяцев назад
Hii kesi simple tuu kamat binti na wazazi wake funga ndani wawo ndio wahusika
@hawahawa8441
@hawahawa8441 Год назад
Uyo wamenyonga awo wapumbavu mbaka ukatoe uwahi wa mtu na wakati binti yenu pia amewashwa ajalazimishwa wachukuliwe atua awo wauwaji
@marrypius576
@marrypius576 Год назад
Vunjen chungu yan kila aliyehusika na yeye afeeeeeeeeeeeeeeeee😅😅😅😅😅
@mosesmajogoro863
@mosesmajogoro863 Год назад
Poleni sana
@user-db1en6ob8b
@user-db1en6ob8b 4 месяца назад
Huyo kijana kifo chake kimefanjwa na vijana waliomfuata kwa vitisho nyumbani kwa wazazi wake polisi na kigugumizi
@ekimnkande2873
@ekimnkande2873 Год назад
Inasikitisha sana
@pioustrevol3468
@pioustrevol3468 Год назад
Duuuh Pole Sana Mzazi Binti wakumshikulia Sana Utaratbu Gan Wa kuhojiana Njee Ya Kituo Af familia Inatakaje make kabla Ya Dr Kutoa majibu Akiiih Police Tusingeenda Hospital Tusingeenda Haki Tungeitafta Wenyewe
@abdulsalaamkahttan1037
@abdulsalaamkahttan1037 Год назад
Nendeni sehela mtapata haki ya mtoto kuliko kunyamaza naiwe fundisho poleni sana.
@edithamushi2373
@edithamushi2373 Год назад
Duh inauma sana jamani mbona tunachinjana kama kuku Mungu wa mbunguni ingilia kati.
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 Год назад
Uhakika wa nini kilimsibu huyo kijana ni maiti kufanyiwa postmortem, hakuna sababu ya pande mbili kukutanishwa kabla ya uchunguzi wa kitaalamu kufanyika. Wala hakuna short cut! Hii ya kusema damu ya ndugu yao haitapotea bure eti watatumia njia ya imani, naona ni kupotea njia. Achana na Dua za kuku fuateni njia za kisheria na ukweli utabainika, serikali haijalala!
@likimaro6
@likimaro6 Год назад
Umesikiliza story na kuelewa mazingira yanayopelekea aseme hivyo au unajiandikia tu?
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 Год назад
@@likimaro6 Story ipi sijaisoma nikaamua kujiandikia?
@aishaalbalushaishabalush8291
wamrudishe sabaya hizi laana za mauwaji zitapita laana hiyo yakuongoza mwanamke na kuwadhulumu baadh ya viongoz waliofanya kazi kwa wered hadi ccm ikaheshimika sabaya alifanya kazi sana arusha laana haitoisha hadi sabaya alipwe haq yake yakumsingizia na kumueka ndani miaka 2
@robbyman6213
@robbyman6213 Год назад
Rip
@AyubuFumbuka
@AyubuFumbuka Год назад
Pole Sana baba wa mtoto wa kike pole Sana kwa galama ulizotumia kumtafuta binti yako hakika wewe Ni baba mwema. Kama hayajakukuta ya kutoloshewa na mwanao au mkeo. Vijana wa saivi wapumbavu utatoloshaje mtoto wa watu
@kianda973
@kianda973 Год назад
Kwhy ni sahihi alivyopoteza uhai eh!
@masturasudi7394
@masturasudi7394 Год назад
Wewe nimpumbavu
@AyubuFumbuka
@AyubuFumbuka Год назад
@@kianda973 nisahihi maana inauma mno usiombe yakukute vijana wa saivi wapumbavu utatoloshaje mtoto wa watu
@AyubuFumbuka
@AyubuFumbuka Год назад
@@masturasudi7394 Mimi siyo mpumbavu Ila yakikukua utaomba poa kutoloshewa Ni Jambo baya mno
@glorylema1927
@glorylema1927 Год назад
Rip Jovin
@praisesteven7774
@praisesteven7774 5 месяцев назад
mim ningekua uyo mzee nafanya juu chin mpaka na mim nimtundike mtto wao ndio kila mtu awe na uchungu yaan hyo promise
@charlesmollel6514
@charlesmollel6514 Год назад
Baba pole Sanaa usikubali kuzika mpaka upate majibu sahii,huyo bint ashikiliwe na police haki hitendeke,babaa usikubali kabisa kupokea mwili kilaisi.
@pendomarco8928
@pendomarco8928 Год назад
Tusali sana
@JoyceMkeka
@JoyceMkeka 4 месяца назад
Wakati bint kafugwa na mdomo ulikuwa auwezi kupiga kelele? Ili watu waje wamuokoe kijana uyu
@victoravelin575
@victoravelin575 Год назад
❤❤❤❤❤❤❤
@TitoNgomuo
@TitoNgomuo 3 месяца назад
R p c,,jastin masejo angalia vijana wako
@sianagodson3690
@sianagodson3690 Год назад
Huyu dada asiachiwe awe mtu wa Kwanza kutoa ushahidi.anawajua waliofanya
@MwanaidiRulimbiye-uf1mr
@MwanaidiRulimbiye-uf1mr Год назад
Upande w mwanamke wanajua kinachoendelea
@aminaamina9568
@aminaamina9568 Год назад
Wanaanzaje kumuacha aende nyumbani na tukio kubwa kama ilo
Далее
Камень, ножницы, нейронка
00:33
Просмотров 655 тыс.
CHURCHILL SHOW S1E2 2024
22:20
Просмотров 329 тыс.