Тёмный

Askofu Mwamalanga: Genge Limuachie Rais, Lisimzonge Kabisa | Sakata la Bandari na DP World 

The Chanzo
Подписаться 81 тыс.
Просмотров 58 тыс.
50% 1

Kupitia kampeni yao ya #OkoaBandariZetu CHADEMA wakishirikiana na wanaharakati mbalimbali na viongozi wengine wa kijamii wanafanya mkutano wa hadhara katika viwanja vya Bulyaga Temeke.
Wanaharakati na CHADEMA wameendelea kusisitiza mkataba wa bandari kati ya Tanzania na Dubai hauna maslahi mapana kwa nchi. Mkutano huu wa CHADEMA unafanyika ikiwa ni wiki mbili toka CCM kuanza mikutano yao ya hadhara ya kufafanua kuhusu suala la bandari.
Endelea kufuatilia The Chanzo tupo hapa katika viwanja vya Bulyaga kurusha Live
Unaweza kutufuatilia kupitia;
TWITTER: / thechanzo
INSTAGRAM: / thechanzo
FACEBOOK: / thechanzo
TIKTOK: www.tiktok.com....
Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
The Chanzo Initiative, 2023 © All Rights Reserved.

Опубликовано:

 

20 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 239   
@godwinkadinda6837
@godwinkadinda6837 Год назад
Mungu awabariki sana Viongozi wa Chadema, Wanaharakati,Maaskofu & Wananchi waliokusanyika hapo uwanjani,pamoja tutaijenga nchi.
@mukhtaribura6159
@mukhtaribura6159 Год назад
Pongezi baba Askofu na m,mungu akubaliki
@gibsonjosephat6352
@gibsonjosephat6352 Год назад
Safi sana kiongozi wangu kwa speech nzuri ya umoja ya kuleta faraja.
@karimkassam571
@karimkassam571 Год назад
Huyu askofu bwege sasa huo mikutano wa nccr...mchochezi
@isaacmollel345
@isaacmollel345 Год назад
Askofu.tunakuomba watanzania umwambie Rais aachane nahuu Mkataba tena mwambie Awaambie.polisi.hasa kingai awache wanasiasa namawakili wetu watusemehe tusiyoyajuwa tena waambie awaambie.wasiojulikana hatukikuwasikia tena.waambi wakrsto na.waislamu.sisi.nikitukimoja tunaudamini Muungano wetu wa Tanganyika nazanzabaa Mungu akubariki na Roho mtakatifu akusaidie kusema zaidi
@KaburuKimath-eu5nf
@KaburuKimath-eu5nf Год назад
Mungu akubariki kiongoziwetu WA dini na wengine wafungue midomo Yao kuhusu hili LA bandari
@humphreymkony8915
@humphreymkony8915 Год назад
Mungu awabariki sana Viongozi wa dini mliothubutu kutetea Watanzania wanyonge.
@benjaminmwaipungu279
@benjaminmwaipungu279 Год назад
Hongera baba, wewe ndiwe Askofu wa kweli. Walio wengi ni wachumia tumbo.
@anthonykishiwa5334
@anthonykishiwa5334 Год назад
Hongera sana mtumishi wa Mungu kwa kusema ukweli serikali yetu itusikilize wananchi wake
@lionmkushi9641
@lionmkushi9641 Год назад
Safisana pazeni sauti zenu kwa watanzania Mungu ibariki tanzania mungu ibariki african
@brightergermanus2163
@brightergermanus2163 Год назад
SAAFI SANA MTUMISHI WA MUNGU ULIYEITWA NA MUNGU WA KWELI NA KUISHIKA KWELI YA MUNGU ALIYEHAI WATUMISHI WA IBILISI WOTE WAMEKAA KIMYA WANAFURAHIA KAZI YAO OVU. NASEMA WASHINDWE NA MKATABA WAO USHINDWE KWA JINA LA YESU .
@FaustineKingu-w8d
@FaustineKingu-w8d Год назад
Baba Askofu uko vizuri sana,sema tupone
@fantisonmpango9845
@fantisonmpango9845 Год назад
Ubarikiwe sanaaa
@chegebukoli1914
@chegebukoli1914 Год назад
Hakuna kutetea mkataba unaogawa kipande cha nchi yetu kwa mgeni
@saidmtenda1628
@saidmtenda1628 Год назад
Unaumia na bandari kupewa mwarabu mbona Wazungu wanamiliki rasilimali nyingi tu, makanisa mangapi yamehodhi ardhi ya Watz?
@c.l.g.mchurch6426
@c.l.g.mchurch6426 21 день назад
@@saidmtenda1628tuliza komwe uyo mwarabu ninani ndio maan ubongo umelal 😢
@hadimznz
@hadimznz Год назад
Ndugu zangu wa Arusha muishukuru royal tours, neema ya wageni mnaiona, June ......July sio mbaya, sisi wa pwani tunasubiri DP World ifungue milango ya uchumi, wale wapiga ma deal poleni sana. mama Samia funga milango, ondoa mirija, wakimaliza kesi ya DP World, tufungue kesi ya wahujumu uchumi kwa visingizio vya dini. ule mkataba usio na kikomo wa mwaka 1992 alio saini Lowassa, nao ujadiliwe mahakamani. Watanzania wataelewa tu.
@jmo2018
@jmo2018 Год назад
Mindless
@hadimznz
@hadimznz Год назад
@@jmo2018 better than dickhaed 🙂
@ngamugamahonzelosanga3316
@ngamugamahonzelosanga3316 Год назад
Mwenyezi Mungu awàsimamie viongozi wetu wa dini huo ndio utume kwa watu wa Mungu tupo nyuma yenu endeleeni kuwa imara kusimamia rasilimali za nchi yetu isitumbukie kwenye mikono ya wakoloni mamboleo wanyonyaji wakubwa
@nelsonnyamle
@nelsonnyamle Год назад
Wanatuona watanzania wajinga sana Hawa watu
@alialamoudi9729
@alialamoudi9729 Год назад
Hao watu ni matajiri duniani wanataka kufanya kazi kwa maslaha ya tanzania uzalishaji nchi yenu ni maskini tu duniani samia anaakili sana kuvuta mali kwa tanganika
@hassanmuhidin871
@hassanmuhidin871 Год назад
CCM oyeeeeee......daima mbeleeeee
@ErickJohn-c3h
@ErickJohn-c3h Год назад
Oyeeee
@adamubakari6624
@adamubakari6624 Год назад
Haiwezekani mikutano wahudhurie maaskof mashekh hawapo. Huu ni udini waziwazi
@josembeyaa9032
@josembeyaa9032 Год назад
Wacha upumbavu wewe
@sophiaommy8343
@sophiaommy8343 Год назад
Haumsikii kasema mashehe wametishiwa na wakaogopa waambiwa wavue kanzu waende Kama watazamaji
@MzambuliUtashiba
@MzambuliUtashiba Год назад
Mungu akubariki askofu
@TwahaSaidiLigoola-kr1rt
@TwahaSaidiLigoola-kr1rt Год назад
Amna akili nyote nyie maana mnatumia vibaya ukanisa wenu waislamu wanasubra sana katika hii dunia
@ErickJohn-c3h
@ErickJohn-c3h Год назад
Kaa usubiri huku usichangie kama huna hoja.
@franklutindi4167
@franklutindi4167 Год назад
Amina mtumishi
@banihashim5347
@banihashim5347 Год назад
MUNGU AMEWAFEDHEHESHA MNAPIGA HADI HALELUYA NDANI YA MKUTANO WA SIASA, DAH
@omaryramdhani9823
@omaryramdhani9823 Год назад
KONGAMANO LA MAKANISA HAO MASHEHE NI WAONGO NI MASHEHENA
@banihashim5347
@banihashim5347 Год назад
@@omaryramdhani9823 UNAJIITA OMARY NA UNATAKUTANA VIONGOZI WAKO WA DINI YA KIISLAM AMA KWELI WEWE NI JAHILI MURAKKABU
@shahakaisi1920
@shahakaisi1920 Год назад
Haya hareluya!
@ZephaniaNdaki-vq1ti
@ZephaniaNdaki-vq1ti Год назад
Serikali inapoendelea kutumia nguvu na kutojali maelezo na maoni ya watanzania wasio wana ccm, Mungu anazo njia ki-vingine kuwatetea wenye kilio cha kweli. Na CCM watashangaa kwa huo "ungangali" wao yatakapo watokea puani.
@OswardLaurent
@OswardLaurent Год назад
Viongozi wa dini simameni imara tunapita lakini watoto wetu watakuwa wageni wanani?
@imabango
@imabango Год назад
mungu akubariki sana baba.
@jacoblongo6814
@jacoblongo6814 Год назад
Pamoja bishop tanganyika yetu tunaitaka
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 Год назад
KWA HIKI TUNACHOKISHABIKIA SIKU IKIFA TANZANIA TUTABAKIA NA TANGANYIKA, HALAFU TUTAGAWANYIKA TENA KUNA WAPO WATAKAOSEMA SISI NDIO WATANGANYIKA HALISI WENYE TAGANYIKA YETU (YANI BARA) NA WENGINE WATAIBUKA NA KUDAI TANGANYIKA MWISHO MOROGORO NA PWANI YOTE SIO TANGANYIKA HUKU WAKISEMA WAO NI WAAZANIA NA NCHI YAO NI AZANIA YANI NCHI YA WATU WA PWANI (NCHI ILIYOTAWALA ZAMANI IKAHARIBIWA NA WAZUNGU WAKAUNDA TANGANYIKA, WAKIDAI AZANIA ILIKUWA NA PESA YAKE NA MJI MKUU WAKE ULIKUWA KILWA KISIWANI KABLA YA KUTEKETEZWA NA WARENO, BAADA YA HAPO YATATOKEA MAKUNDI YA HAWA WAKRISTO NA WALE WAISLAM, HAWA WA KABILA FLANI NA WALE WA KABILA JENGINE... NDIPO HAPO SASA MZIKI UTAKAPOLIA HUKU TUKICHINJANA KAMA KUKU MABOMU NA RISASI ZIKIRINDIMA TUKIJUTA NA KUIKUMBUKA HII TANZANIA YETU YA AMANI TINAYOTAKA KUIHARIBU...
@geofreychitamu366
@geofreychitamu366 Год назад
Ninawaombea kwa muumba wote watendao kwa haki walindwe na yeye.
@MzambuliUtashiba
@MzambuliUtashiba Год назад
Asante Sana mungu yu mwema
@OmbeniLuka
@OmbeniLuka Год назад
Watanganyika fungueni akili tabaka tawala hatari sana wezi wa kupindukia hawashibi hawana aibu hata tone Samia jiondoe katka hili
@christinangondi4212
@christinangondi4212 Год назад
MUNGU ndiye aliyeliitisha Kusanyiko hili
@SelemaniDowile-mk1wm
@SelemaniDowile-mk1wm Год назад
Kanisa ndio liko mbele poleni sana Kwa sabb Mwarabu ndio maaana munafanya Kila njia Mola hatosimama na nyinyi
@chungimuhidini347
@chungimuhidini347 Год назад
Usiangalie udini ndugu hii nchi yetu sote
@SelemaniDowile-mk1wm
@SelemaniDowile-mk1wm Год назад
Wachanana na udini hvi hiyo kampuni hapa Tanzania tu ndio inaanza kuwekeza ama vpi
@amanilucy
@amanilucy Год назад
Shule no muhim Sana ndio maana makanisa yalijengashule nyingi kuliko makanisa,,,ungeenda shule ungeelewa kwanin hili taifa nimaskin
@methewbuzuruga-eg8oz
@methewbuzuruga-eg8oz Год назад
Naona lile genge karibu linaumbuka Bado kidogo msicheze na mungu
@chegebukoli1914
@chegebukoli1914 Год назад
Tunaongelea bandari zote za Tanzania bara ,hatuongelei mambo ya makanisa.Mkataba gani wa kumpa mwekezaji milele?Tunawadhurumu vizazi vijavyo?
@ahmedyunus7211
@ahmedyunus7211 Год назад
Yani nguvu mnayotumia ni kubwa sana mbona hiyo nguvu haitimiki ktk mikataba ya Barik geita gold nyamongo ila tumeshawafaham lengo lenu kama kanisa na chama chenu mfereji unakatwa mbona hatusikii mkataba wa mungona mwisho lini?
@williammbuzimai5744
@williammbuzimai5744 Год назад
Tulishaga pigwa saaana na barick, Tusifanye kosa tena
@hamzamohammed8902
@hamzamohammed8902 Год назад
Kanisa limepoteza muelekeo mtachanganyikiwa sana na huyo padri silaa wenu
@AndreaNzunda-f7o
@AndreaNzunda-f7o Год назад
Huko DUBAI EXPO NDO WALIMUWEKA MAMA KWENYE BANGO KUUBWA ILI KUMULEWESHA MISIFA ILI AUZE NCHI VZR SAMIA HAJISOMI KABISA
@josephmanyambania5404
@josephmanyambania5404 Год назад
Heri kunyamaza, kulikoni kumfagilia mhalifu bila aibu kadamnazi ya watu, tena kwa MTU anayeonekana km mtumishi wa Mungu , Swala la bandari ni nyeti sana wa kuandamwa ni kiongozi aliyepanga safi ya kumsaidia kazi ya kuongoza Na kuilinda nchi.
@MaryamKudra-gf8zs
@MaryamKudra-gf8zs Год назад
Hamna lolote hakuna hoja polojo
@atugonzalugemalila5142
@atugonzalugemalila5142 Год назад
Asante umetuwakilisha bila woga
@JackM.-mh5cs
@JackM.-mh5cs Год назад
Mwambini aache wizi wa kitoto waridishe trioni hamsini walizouza!!
@mohamedmoledina6403
@mohamedmoledina6403 Год назад
Chadema rasmi chama Cha kanisa
@benson20301
@benson20301 Год назад
Utakoma wakristo cc ni wengi wewe vip ata uhuru tulileta cc nyie Cha maana nikutaka ujinga
@karimkassam571
@karimkassam571 Год назад
Mna uwingi gani nyie...wakristo mabwege tu....soma jiografia
@benson20301
@benson20301 Год назад
@@karimkassam571 geography kweli nyie akili zenu maduu washa Tanzania bara pwani tunagawana nenda kanda ya ziwa wanahesabika kigoma wew mpuzi kweli ndio maana shulen hamusomi mnakimbilia madrasa wajinga wengi ni nyie Pole hapa anabishana na mtu wa PhD stupid fools like you you have no point even to argue shameless all Muslim fools.
@paulkangajaka2486
@paulkangajaka2486 Год назад
​@@karimkassam571Ukiitwa kwenye vyombo vya haki unaweza kuthibitisha UBWEGE wa WAKRISTO?Chunga ulimi wako!Haupo madrasa huku ni mtandaoni ni dunia!!
@bahiyalumelezy3016
@bahiyalumelezy3016 Год назад
​@@benson20301🤣🤣🤣uhuru wameleta nani?🤔
@SelemaniDowile-mk1wm
@SelemaniDowile-mk1wm Год назад
Wapuuuuzi sana kumbe nyinyi
@MackDMeckD-tw3rc
@MackDMeckD-tw3rc Год назад
Watanzania wenzangu mnadanganywa swala la bandari kila mmoja anajua kinachoendelea msithani atujui mnacho kula tumekaa kimya lakini sio vizuri kabisa
@clemencemkondya8561
@clemencemkondya8561 Год назад
Wahuni watupu wote.yamekuudhiwewe Askofu.
@clemencelisonga8261
@clemencelisonga8261 Год назад
Yaani siamini kama Kuna mtu aanajiita clemence halafu Taaira kama wewe huna jipya unatutia aibu wenye majina hayo
@ernesttomas85
@ernesttomas85 Год назад
Safi
@warrenmgode1837
@warrenmgode1837 Год назад
Safi muchungaji
@malindimalindimerinyo1632
@malindimalindimerinyo1632 Год назад
Mumezungumza vizuri sana mno hamuna udini ama uchochezi ila kipofu na mlarushwa haonikwakuwa rushwa ni adui wa haki
@ladislausriwa7768
@ladislausriwa7768 Год назад
Viongozi wa dini wana platform yao ya kuzungumza na Rais. Na walishaita wawakilishi wa Serikali wakatoa ufadanuzi na bado wanaendelea kupata uhalisia upitìa wataalam wao. Tutawasikia wao na siyo huo uhuni wa kisiasa.
@StevenTambi
@StevenTambi Год назад
Hujitambuwi wewe
@abi-onlinetv4181
@abi-onlinetv4181 Год назад
Mbona Mkataba ulio ingiwa na Serikali na Kanisa kuhusu Bil 36 point kila mwaka hamuuzungumzii kama ni Mkataba mbovu. Kanisa linapewa mgao huo pekee yake na wakati Kodi ni za Watanzania wote.
@machano5690
@machano5690 Год назад
Hakika hii ni vita ya Waislamu na wakiristo, waislamu amkeni.
@omaryramdhani9823
@omaryramdhani9823 Год назад
HAWASEMI KWA KUA WANA MLO WANAUPATA
@gibsonjosephat6352
@gibsonjosephat6352 Год назад
Kama ukijua mkataba huo ni mbovu na hauna maslahi kwa nchi halafu ukakaa kimya wewe ni Mpumbavu
@benson20301
@benson20301 Год назад
Waislamu ni wajinga inchi hii
@karimkassam571
@karimkassam571 Год назад
Hawa wakristo wanawivu sana....na ndio maana yanakula nguruwe .
@urbanmission3072
@urbanmission3072 Год назад
PONGEZI KWAKO ASKOFU ,BARIKIWA SANA,HILO GENGE LIMUACHE RAIS AFANYE KAZI
@hajiali-cd6sz
@hajiali-cd6sz Год назад
Nyinyi. Makanisa munamikataba na serikal inataka ijadiliwe Tena hospital za serikal zinamikataba na makanisa ijadiliwe hii nchi sio ya makanisa
@ErickJohn-c3h
@ErickJohn-c3h Год назад
Makanisa wasomi,
@mohamedmoledina6403
@mohamedmoledina6403 Год назад
Leo mungu amewaumbua mnawakilisha maslahi ya kanisa labda mbona Sasa silaha hamtaingiza kama slaa alivyosema
@hassanmuhidin871
@hassanmuhidin871 Год назад
Upuuzi mtupu. CCM oyeeeeee
@radhiambwana3353
@radhiambwana3353 Год назад
Yakaizar mwachie kaizar yesu aliyaona haya mwanz kbs
@ramadhanmwandambotuntufye5972
Upumbavu mtupu, watu wote wa mfumo kristo ndio wanehudhuria
@banihashim5347
@banihashim5347 Год назад
MASHEE GANI HAO UNAOWAZUGUMZIA HAO?? WATAJE BASI MNAFIKI MKUBWA
@benson20301
@benson20301 Год назад
Mnafiki wewe kalisha matako wewe msenge waislamu hamna Cha maana
@hadimznz
@hadimznz Год назад
😂😂😂😂 haya, mambo Bwana, wacha tu.
@obeidchamila6392
@obeidchamila6392 Год назад
KWAN nyie biongozi wa dini Hanna nafasi ya kuonana na Raisi rasmi KUONGEA nae mpk muende kwenye majukwaa ya siasa Kama sio vurugu ?? Unatoa matusi hadharani NN busara yako iko wapi ???
@SaidMapoi
@SaidMapoi Год назад
God bles you askofu
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 Год назад
WALIINAMISHA VICHWACHINI
@williamgeorge-hd2tn
@williamgeorge-hd2tn Год назад
Ubarikiwe bishop
@mohdali2408
@mohdali2408 Год назад
Chama cha kitimoto hakifai
@StevenTambi
@StevenTambi Год назад
Chama cha wanafiki na washirikina hakina nafasi tene.
@mohamednamdimba4370
@mohamednamdimba4370 Год назад
Mama piga kazi walete dp na wengine walete achana hao wapinga kila kitu mbona kwe ye royo tua hawakusema au kwa saba ya ilikuwa kwao harafu unaitu ishia .isuli selekaki kwali ni sawa hiyo
@HudhaifaDjuma
@HudhaifaDjuma Год назад
Tambueni watanzania,ktk bandari kulikuwa na fungu la fedha likiingia ktk kanisa,na kanisa linafungu ktk nchi hii,sasa wanajua sasa hivi fungu limekatika ndo maana wanapiga kelele maaskofu na kuwatafuta wanasheria,na ndo maana hawaogopi kwasababu wanajua nyuma yao kuna kanisa linawaangalia
@godfreymwamaso2424
@godfreymwamaso2424 Год назад
Acha uongo kama huna data usiandike kitu hiyo ni dhana
@benson20301
@benson20301 Год назад
Wasenge wenye akili za madrasas hamjitabui kweli tumesoma kasome madrasas wew
@shilindebusolwa8887
@shilindebusolwa8887 Год назад
"Hata hueleweki,,,,Kuwa na watu wenye mawazo ya aina Yako ni hasara kubwa kwa taifa''
@ErickJohn-c3h
@ErickJohn-c3h Год назад
Muongo mkubwa Mali za taasisi zote za dini hupitishwa bandarini bureee! Kama huna hoja fyata shanxi! Hakuna anayepinga uwekezaji ila masharti ya mkataba
@HudhaifaDjuma
@HudhaifaDjuma Год назад
Sisi ndiyo watu wa hizo kamati unazozisema ndo maana nimeyasema hayo
@mubarakchishako500
@mubarakchishako500 Год назад
jamaa wameumbuka watu hamna
@makobamasawemangu4122
@makobamasawemangu4122 Год назад
Hao ni mkojo wako
@karimkassam571
@karimkassam571 Год назад
Mbona hayo majamaa NI mabwege tu ninachosikitika wanawahusisha viongozi wa dini wanadhani ndio salama yao
@bahiyalumelezy3016
@bahiyalumelezy3016 Год назад
Anachoongea anakijuwa mwenyewe mpk watu wanajiondokea hawamuelewi
@TheresiaMao-h9j
@TheresiaMao-h9j Год назад
Baba Askofu sema yote, msema kweli ni Mpenzi wa Mungu.
@salehkhamis-ob8ln
@salehkhamis-ob8ln Год назад
Ma askofu wana hofu wanaona hawatoweza kupitisha mambo maovu bandarini na wanataka kukwepa kodi wamezoeya kupitisha mambo yao kinyemela
@OmariShaweji-v9y
@OmariShaweji-v9y Год назад
WEWE NI ASKOFU WA MCHONGO.CHADEMA NI CHAMA CHA DINI YA KIKRISTO,KIPO CHINI YA KANISA
@TheresiaMao-h9j
@TheresiaMao-h9j Год назад
Tunawashukuru kwani tulikuwa hatuna uelewa leo nimepata somo.
@ShabaniHusseni-m8l
@ShabaniHusseni-m8l Год назад
Huyu mama hafai Tena kuwa raid maaana anaongea hili anageuka tena
@fredrickakyoo
@fredrickakyoo Год назад
Tanzania hatuna Rais.
@gabrielmoses6860
@gabrielmoses6860 Год назад
Samia ni nani?
@karimkassam571
@karimkassam571 Год назад
Mabwege...bado hawajui rais NI nani
@kwisa4899
@kwisa4899 Год назад
​@@gabrielmoses6860msimamizi wa mirathi
@hadimznz
@hadimznz Год назад
​@@gabrielmoses6860Amir jeshi Mkuu wa Tanzania tena ni mwanamke, akisema ulale mchana utalala.😂😂😂
@thelivingwordchannel9027
@thelivingwordchannel9027 Год назад
Nawapa hongera viongozi wa dini mliohudhuria
@OmariShaweji-v9y
@OmariShaweji-v9y Год назад
CHADEMA NI CHAMA CHA KIKATORIKI TANZANIA.
@user-gr9wc7bc2m
@user-gr9wc7bc2m Год назад
Tumewashitukia
@saidmtenda1628
@saidmtenda1628 Год назад
Nyie wakristo mnadhani wamisionari ndo waliwapeni mmiliki Tanzania.
@ErickJohn-c3h
@ErickJohn-c3h Год назад
Acha udini fanya hoja ya bandari
@fidelludemwa7223
@fidelludemwa7223 Год назад
Mwambie na lisu apunguze Mzee
@johnmahu5060
@johnmahu5060 Год назад
Asnt yesu tumejua ukweli utuweke huru huu upumbavu uwatoke haw viongozi wetu ndo mana wanaogombea ccm wengi ni wezi kwn wanafuata mfumo unaowalinda
@mussakiyondomagoga5051
@mussakiyondomagoga5051 Год назад
Nyiee mnagombaniaa akiyeenu mkataba wabandalii mnachomekeaaa mkataulee
@kawiche4911
@kawiche4911 Год назад
Haleluyah Haleluyah Ee mola mwingi wa rehema Uwe pamoja nasi Tutasimama kutetea Taifa letu. Haki zetu tutazilinda sisi wenyewe Tanzania itajengwa na sisi wenye Ee mwenyezi Mungu sikia.kilio cha watu wako. KOMBOA TAIFA HILI KWENYE MIKONO YA MAFISADI. AMENI
@deodatusmwaipopo3961
@deodatusmwaipopo3961 Год назад
Asante mungu kwa zawad ya viongozi wetu wadini kwani niwewe uliwaita wakutmikie ktk roho nakweli
@alialamoudi9729
@alialamoudi9729 Год назад
Dini ni uslamu tu NA mtume wa mwisho ni mohamed NA dini kwa mungu ni moja tu
@faustinombilinyi9809
@faustinombilinyi9809 Год назад
ROSTAM NDO KIONGOZI WA GENGE HILI KIKWETE NAE NDO VIONGOZI WA HILI LKN WATANZANIA WANALIFAHAMU HILO TAYARIII
@fidelludemwa7223
@fidelludemwa7223 Год назад
Huyu mchungaji kakodiwa nacha Dedema mjinga tu
@catherineHenryMalila
@catherineHenryMalila Год назад
HII NGUVU MNAYO TUMIA KUZUNGUMZA..MGETUMIA KUPINGA UKATILI KWA WANAWAKE NA WATOTO.. .PIA KUPINGA USHOGA NA USAGAJI
@ForcusRutaba-uw5xu
@ForcusRutaba-uw5xu Год назад
Hili ndo linasababisha yote kutokea! Yote ni madhara kwa Taifa letu!
@ChristopherManase-y4e
@ChristopherManase-y4e Год назад
Maa askofu mbona mlisema mnachombo chenu cha kusemea yani saut ya umoja yani cptc lakini sasa kila askofu anasemalake jukwni je ukweli upo hapo
@Emmanuellobelo
@Emmanuellobelo Год назад
CCM ishajaa waizi tu,ndio maana baada ya Magufuli tu kufariki Genge lote la wezi limerudi
@brunolwambano6752
@brunolwambano6752 Год назад
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@MkindiRama-lp6hy
@MkindiRama-lp6hy Год назад
Haaaaha wizi wenu umejulikana hakuna kupitisha makontena burebure dp njoo hata kesho
@vladiminlenin8883
@vladiminlenin8883 Год назад
Tuepukane na ukolon jaman
@fidelludemwa7223
@fidelludemwa7223 Год назад
Mbona lisu katukana humusemi
@nathanmmasi3890
@nathanmmasi3890 Год назад
Safi sana askofu mungu akubarki tena akulinde
@valerianakilumile8517
@valerianakilumile8517 Год назад
Samia sasa tunamfahamu tabia yake ni mwongo amewadanganya hata watumishi kuhusu mishahara eti mambo ni moto fire kumbe hamna kitu na vitu vimepanda bei uwii
@hamisilutungu7293
@hamisilutungu7293 Год назад
Makanisa mna shida gani jamani...
@aishakaumbya4082
@aishakaumbya4082 Год назад
Embu fafanua mkuu
@gtgmediaproduction764
@gtgmediaproduction764 Год назад
Kwani naninyi misikiti mna shida gani
@godfreymwamaso2424
@godfreymwamaso2424 Год назад
Misikiti ina shida gani siyo kila mwaraabu ni mwislam hilo mtambue
@williammbuzimai5744
@williammbuzimai5744 Год назад
Kwa sababu misikiti inasapoti isichokijua
@Emmanuellobelo
@Emmanuellobelo Год назад
Nchi imeshapotea jamni vyama pinzani viingie tu madarakani CCM nchi imewashinda ,kila anaekwenda CCM ni kwa ajili ya kujitafutia pesa ndio maana wanalazimisha kila jambo kwa nguvu
@adamubakari6624
@adamubakari6624 Год назад
Udini nihao maaskofu nachadema yao
@kawiche4911
@kawiche4911 Год назад
MADA ILIYOKO MEZANI NI MKATABA ACHA UDINI UNAKIMBILIA KWENYE UDINI MAANA HUNA HOJA FACT
@kawiche4911
@kawiche4911 Год назад
Tatizo ni inferiority ndio maana unakimbilia kuingiza udini . Mkataba wa bandari ndio hoja
@chegebukoli1914
@chegebukoli1914 Год назад
Kama kuwa kiongozi kukopa tu hela ili kuendesha nchi kuna mtu atashindwa kuongoza nchi
@Emmanuellobelo
@Emmanuellobelo Год назад
CCM hawawezi kuachia ngazi maana wako pale kwa ajili ya kula pesa na sio uzalendo wala kuwatumikia wananchi
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Год назад
Kumekucha futeni tu huo mkataba viongozi mbalawa mama mmerikoroga jamani sasa tutafanyaje kazi
@NellyMadeni-yv6fd
@NellyMadeni-yv6fd Год назад
Mbona mna zunguka zunguka tu, fanyeni maamuzi magumu ya kiume. Tumalize mchezo
@chriskudilla5355
@chriskudilla5355 Год назад
Wa kwanza ni mpina si mbowe
@benson20301
@benson20301 Год назад
Muongo ww wa kwanza ni mbowe how stupidity ar u
@Kakamkubwa3564
@Kakamkubwa3564 Год назад
Dah Huyu ndie Askofu sasa
@benson20301
@benson20301 Год назад
Askofu wa maana sana kama hioni
@karimkassam571
@karimkassam571 Год назад
Askofu bwege
@mohammedal7864
@mohammedal7864 Год назад
Waislam tumeamka sio wale walioburuzwa na huko nyuma saivi pigeni kelele tu mbwa nyie
@christophermhagama-s1g
@christophermhagama-s1g Год назад
😢
@Emmanuellobelo
@Emmanuellobelo Год назад
Hahahahahaha feki proffessors wa CCM
Далее
Mbowe Asisitiza Umoja wa Kitaifa Sakata la Bandari
34:41
LIFEHACK😳 Rate our backpacks 1-10 😜🔥🎒
00:13
JE NI HAKI KUBEMBELEZA KUPATA KATIBA MPYA?
22:35
Просмотров 23 тыс.