(C) Unity Entertainment AY Masta's Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES: ffm.to/aymasta Written & Performed by Ay Masta Follow Ay Masta on: / aytanzania / aytanzania / aytanzania
Wakongweee nyiee ndo walimu wahuu mziki shika moo ooniii mungu awape maisha marefu na aawalinde haao Wana ookuja wafywaa tee njiiiiaaa zenu waeshimu wakubwa zaoo kama sisi tuna fyo eshimu💯❤️❤️❤️🙏🙏🙏💪💪💪
Kkiba we noma umewafungiya muaka na nhimbo ya elo na ume fungua na nhimbo ya pull up doooo ema ndo vile ulivio sema una goma 10 muaka uuuuuu zimebaki 9 king kiba uyama
Kiukweli japo kuwa mimi ni shabiki wa King kiba lakini pia mwamba wa kaskazini joh makini na mzee wa commercial Ay master nawaelewaga sana ❤️❤️❤️🎉 hiii kitu imeenda legend legend 🔥🔥🔥