Mzee kamwe 100% umenifurahisha, siku moja nilikwambia usipanic mwanao Yanga wewe Simba tutembee na hiyo, utani tu Wala siyo hakuheshimu. Mwanao anakupenda sana na anajivunia sana wewe! Na wewe ujivunie mwanao anafanya vizuri. Big up Mzee Kamwe.
MZEE KAMWE KALIBU KWA WANANCHI UWE MJANJA...UJUE KAMA SIMBA WANGEKUWA WAJANJA MGETAMBUA KWAMBA MO TRY AGAIN NA MZEE MANGUNGU WAO LAO MOJA...NA HAO WAZEE KAWAWEKA MO MWENYEWE...HATA HUYO MZEE MANGUNGU SIO ETI ANAGOMA KUJIUDHULU HAPANA HUYO MO HATAKI
Huyo alli kamwe mwenyewe ni simba tangu anapata akili. Kwanza ilikuwa kabla ya kuajiriwa yanga angetangazaga kuwa haishabikii tena simba. NB: ushabiki ni upendo wa nafsi daima haufi