Тёмный

BABUU WA KITAA: ROMA, NIKK MBISHI, UTAFUNZA NA ULIMWENGU, YOUNG LUNYA KUSHINDWA, COUNTRY, JAYMOE 

CLOUDSMEDIA
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 6 тыс.
50% 1

BABUU WA KITAA: ROMA, NIKK MBISHI, UTAFUNZA NA ULIMWENGU, YOUNG LUNYA KUSHINDWA, COUNTRY, JAYMOE

Опубликовано:

 

15 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 18   
@barnabaschars1637
@barnabaschars1637 3 месяца назад
Watu wa hip-hop kwel unaenjoy hata ukimsikiliza akijibu maswal, Hip-hop ni Maisha
@jumapopa5395
@jumapopa5395 3 месяца назад
Punch iyo bro. Mwanamke wa mjini abaki mjini ✍️
@UniqueFurnitures33
@UniqueFurnitures33 3 месяца назад
Babuu anajielewa sana
@drisakamwakitalima1937
@drisakamwakitalima1937 3 месяца назад
Hiyo nguo mtangazaji Kuna kitu hakiko Sawa
@godcheudandy2534
@godcheudandy2534 3 месяца назад
We jamaa una maswal ya kitoto sana Yan huyo babuu anamadini sana lakini umeshindwa kuyapata
@MTOTOWAvitoto
@MTOTOWAvitoto 3 месяца назад
KAIZA SOSA,, unyama sana,, sema denzo jinsi ulovaa leo mbona sijaielewa ndo nn sasa?? hayo magoti ndo style au ni vp???
@goodlucktemu3149
@goodlucktemu3149 3 месяца назад
Mtangazaji ajatulia kama kapagawa
@gnmbi
@gnmbi 3 месяца назад
Kwenye hennessy cypher 2024 lunya kafunikwa hamna alichofanya ila sio kwa ubaya kwangu mimi Kwenye cypher aliyeuwa khaligraph Jones 2nd sarkode arafu then mbuzi
@jbsilulatv4513
@jbsilulatv4513 3 месяца назад
Atleast kajaribu lakini
@Untoldafricanstories
@Untoldafricanstories 3 месяца назад
Ameaibisha taifa aise
@azorindege2556
@azorindege2556 3 месяца назад
Huu mtazamo wako bro hatuwez kuupinga😂😂
@francisconaini1756
@francisconaini1756 3 месяца назад
Uzuri ni maoni yako, ila Jamaa kapiga fresh tu
@nakalikyumile3234
@nakalikyumile3234 3 месяца назад
Ni makosa kusema young lunya ni mwanahiphop,
@Maxpaul-oi8pw
@Maxpaul-oi8pw 3 месяца назад
Wana hip hop wenyew wanamjua
@frankchamba8894
@frankchamba8894 2 месяца назад
Toxic hakuna kitu amediss 😅😅😅 hakuna kitu
@BestLooz_Chance
@BestLooz_Chance 3 месяца назад
Kazi nzurii sanaa mwanaa
@akidamzee4236
@akidamzee4236 3 месяца назад
Wa Kitaa👊
@Askofuwamasela
@Askofuwamasela 3 месяца назад
Suruari imekudondosha mkuu 😂😂
Далее
BABA YANGU KIPOFU Full episode /49/ #love
25:53
Просмотров 10 тыс.
Serikali Kuu ya Mizuka- FLEX
6:51
Просмотров 85 тыс.