Тёмный

CHINO ATOA YA MOYONI UGOMVI WAKE NA MARIOO, NILISHUSHWA MPAKA KWENYE SHOW / SITAKI TENA KUMUONGELEA 

EastAfricaTV
Подписаться 1,1 млн
Просмотров 17 тыс.
50% 1

Karibu kujiunga na group letu la What's app kwa Habari, Matukio, Burudani
BONYEZA LINK 👉👉 chat.whatsapp.com/DfwqANhvBcB...
Subscribe hapa : bit.ly/2UBtyaG
Tufuate Kwenye Twitter : bit.ly/2UFkrWH
Like Ukurasa wetu wa Facebook : bit.ly/2XbYro5

Развлечения

Опубликовано:

 

6 фев 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 40   
@kelvinimunishi3334
@kelvinimunishi3334 5 месяцев назад
Marioo ana roho mbaya mwanetu chino lazima afike mbali🔥🔥
@RobertsonNandime-eo9fp
@RobertsonNandime-eo9fp 5 месяцев назад
Yani chino umenigusa sana moyoni wew uko Sawa yani Mungu akubaliki tu
@Lilmag19
@Lilmag19 5 месяцев назад
Why marioo ana ugomvi na watu wengi hamuoni kama anashida inabidi aitwe na yeye kwenye interview aulizwe vizuri
@mdachiog5211
@mdachiog5211 5 месяцев назад
Mario mjanja akizingua anajikausha aonekane mnyonge😂
@flavourboyke
@flavourboyke 5 месяцев назад
Shida ni kajala na mwanae katimba huko,, kilichotokea konde geng 😂😂😂
@AyubuHamisi-kq6gd
@AyubuHamisi-kq6gd 5 месяцев назад
Kwel kabsa mara mbosso wamengombana nae
@dunkchainz7237
@dunkchainz7237 5 месяцев назад
Marioo ni mti wenye matunda
@HosseaMkwandah-no5ld
@HosseaMkwandah-no5ld 5 месяцев назад
Marii anaonekan miyeyush mbosso yeye Abigael yeye na chinn Kidd saiz
@aminmohammed4249
@aminmohammed4249 5 месяцев назад
Umesahau kuna jamaa anaitwa mapanch bnb…alikua na beef nae pia
@Florisvevotz
@Florisvevotz Месяц назад
Chino wanama❤❤❤❤
@justinyohana5074
@justinyohana5074 5 месяцев назад
Were house nilikuwpo chinno yuko sawa kwenye hili
@Boaz22
@Boaz22 5 месяцев назад
Marioo anashida 1. Alikataa hakutaka ku sainiwa wasafi wakati ni kweli. 2.Alimsema vibaya rayvanny baada yakuingia kwenye mahusiano na paula. 3.Alimsaliti Abigail chams kwa kuchukua ngoma alomshirikisha na kuifanya na Alikiba. 4. Kugombana na chino sasa hivi.. Lazma ujiulize, marioo anadharau na ana shida yule.🙌
@user-vz4xj2ci2w
@user-vz4xj2ci2w 5 месяцев назад
sasa tatizo ni nini
@callicevallice7383
@callicevallice7383 5 месяцев назад
Aligombana na Mbosso pia
@Nguvumoja255
@Nguvumoja255 5 месяцев назад
daaah
@rumem6665
@rumem6665 5 месяцев назад
Chino 🎉
@criminalminds7723
@criminalminds7723 5 месяцев назад
Marioo kaanza mapenzi mazito Sana na Paula 😂😂😂watakosana wote tu
@vansmaterial5742
@vansmaterial5742 5 месяцев назад
java ndomgomba nishi mimi ndoninacho kiona
@user-uh6og9fj7b
@user-uh6og9fj7b 5 месяцев назад
Jaiva sinichi eti Anasema Anabusala oya mariio mapenzi Au nn😢
@georgesteven5185
@georgesteven5185 5 месяцев назад
Huyu jamaa anajielewa sanaaa
@EddykingJuma
@EddykingJuma 23 дня назад
Oya tarehe kumi za mwez wagap unajua richi we nimwamba unajua kazi ako unaita wanetu tunaskia maovi yawo
@moodykassim4029
@moodykassim4029 5 месяцев назад
Hapo mchawi producer Habba hamjajua tu
@wemaadam
@wemaadam 5 месяцев назад
Ata hamo aliaza kama huyu dogo wacha tule mtoli nyama tutakuta chini😂
@neemapraigory8832
@neemapraigory8832 5 месяцев назад
Chino nijeuri sana kwani huoni hadi mtandaoni naona hamo anakutumia sana wewe hunaakili lukamba ananyamaza wewe nidemu mbona uliona uzungumzia sana
@JohnMars-dt5my
@JohnMars-dt5my 5 месяцев назад
We wa kike Nini mwanangu unakaaje na kitu moyoni
@user-hm3qm2nf1v
@user-hm3qm2nf1v 5 месяцев назад
Tumeshamsikia na tushajua tatizo km marioo ni mkosa imeshatosha kumuongelea mwenziwe km yeye hana makosa vile
@jonathankazaking2033
@jonathankazaking2033 5 месяцев назад
Harmo kaingiaje kwenye ugomvi wao😮 utanichefuwa ujuwe😅
@georgesteven5185
@georgesteven5185 5 месяцев назад
Hili nalo limetokea wapi sijui
@hassanmkumbo5157
@hassanmkumbo5157 5 месяцев назад
Jaivah anataka abaki mwenyewe 😂😂
@Official_bizedd
@Official_bizedd 5 месяцев назад
huyo jaiva anawachonganisha
@PhilipoMabula-ky9vs
@PhilipoMabula-ky9vs 5 месяцев назад
Anazngua marioo watu hawaishigi ivo
@adolphmwangoje2887
@adolphmwangoje2887 5 месяцев назад
😂😂😂😂😂 MARIOO MARIOO mwacheni apumzike bna
@user-hm3qm2nf1v
@user-hm3qm2nf1v 5 месяцев назад
Yaani kama viĺe kauwa mtu kaandamwa kila studio ni yeye
@alawisaid280
@alawisaid280 5 месяцев назад
marioo awe makini sana anagombana na watu bila sababu za msingi
@EddykingJuma
@EddykingJuma 23 дня назад
Kabra yakujibu skiliza kwanza
@JohnMars-dt5my
@JohnMars-dt5my 5 месяцев назад
Marioo anajiona ashafika
@eastzoo_89
@eastzoo_89 5 месяцев назад
sema marioo na jaivah ni masnitch
@user-hi8ug8wr4c
@user-hi8ug8wr4c 5 месяцев назад
mario miyeyusho
@mobizzyclassic
@mobizzyclassic 5 месяцев назад
🥸😎😎
@amirkilingo
@amirkilingo 5 месяцев назад
I beleave marioo Hana baya 1000%😂😂
Далее