Natamani kuhuta wanaume wote ma mbwa lakini nashindwa sasa baba yang ni mwanaume tena nikikumbuka nina watoto wakiume na shindwa 😢😢tu ila kunambi umeniumiza sana kwa kweli 😢
Wewe haujui sinema ni kama hadithi? Katika hadithi mtoto huwa anazaliwa na kwa hizo hizo dakika anakomaa na anakufa. Ungeta, wewe binafsi, wapeleke mda gani ili dawa zifanye kazi?