Тёмный

DADA wa RICHARD wa BIG BROTHER ASIMULIA HATARI ya KUUAWA KWA RISASI MDOGO WAKE ALIPOTANGAZWA MSHINDI 

Global TV  Online
Подписаться 4,9 млн
Просмотров 79 тыс.
50% 1

DADA wa RICHARD wa BIG BROTHER ASIMULIA HATARI ya KUUAWA KWA RISASI MDOGO WAKE ALIPOTANGAZWA MSHINDI
CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani BUKU unajichotea mapene kibao au kupata nafasi ya kujishindia ZAWADI MBALIMBALI KILA SIKU, KILA WIKI kupitia Global TV, Global Radio na mitandao ya kijamii!
========================
Ingia kwenye simu yako📲, sehemu ya kufanyia malipo, andika namba ya kampuni 553111, kumbukumbu namba 255 au andika neno GLOBAL. Weka kiasi cha shilingi 1,000, weka namba yako ya siri, thibitisha na tuma.👍 PEASA UTATUMIWA MOJA KWA MOJA KWENYE SIMU YAKO!🤝👍💰
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Опубликовано:

 

2 сен 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 84   
@olivernyange2349
@olivernyange2349 10 месяцев назад
Dada l salute you this is really Love God will reward you
@nigananurunjema
@nigananurunjema 10 месяцев назад
Linda you are fighter. Always akitokea M-Tanzania anafanya vizuri katika tasnia yoyote ile iwe mashindano, au ana present in international level hutokea waharibifu na kuspoil ule umaarufu. Ila Mungu ni muweza Richard alipata mtetezi na kimeeleweka. Nakumbuka kuna mwaka Miss Tanzania alipresent project ya wamasai akaharibiwa na miss wa nchi ya jirani kuwa wamasai wako Kenya siyo Tanzania na hao watu wanaoandaa international peagant wakamsikiliza nadhani angetokea mtu kama Linda akawaambia kuhusu hilo angefika mbali.
@gudimbwana8088
@gudimbwana8088 10 месяцев назад
So interesting hadi inasisimua upendo hauna Kikomo wala kipimo
@bethmahela2182
@bethmahela2182 10 месяцев назад
Kiukweli richard alifanya vizuri sana big brother afrika
@stephanonyembedodo758
@stephanonyembedodo758 10 месяцев назад
❤❤❤nilimpenda sana richi Sana enzi izo bg brother
@mgayan1222
@mgayan1222 10 месяцев назад
Big up Dada Linda❤ Mungu 🙏 Amrehemu Baba yetu.
@user-vv1te9fu8q
@user-vv1te9fu8q 10 месяцев назад
Daah kuna madada wana upendo jamani lkn kafanya jambo la mana mwanamme ni kama rafiki leo uko nae kesho haupo nae lkn angalia ndugu mpk dunia itakwisha atabaki kuwa ndugu tu hongera sana dadie rich kwa upendo wako wa hali ya juu kwa nduguyo
@lovsply
@lovsply 10 месяцев назад
Huyo husband ni mpuuzi…. If he left for that reason he never loved you in the first place… you’re a good woman
@Kabi_47
@Kabi_47 10 месяцев назад
Oyaaaaa dunia ya kwanza hakunaga sababu nzito au nyepesii huku mkigombana ikatokea hata kusukumana tuuu ndoa itavunjwa na mmoja anaweza sekwa rumande😀😀😀
@Mzayanine
@Mzayanine 10 месяцев назад
Ume comment upuuzi sana
@naimarishedy1523
@naimarishedy1523 10 месяцев назад
Pole sana dada yangu. Naona alikuwa na wivu sana kutojifikiria
@sayimadaha4988
@sayimadaha4988 10 месяцев назад
Punguza ujuaji
@vincej9275
@vincej9275 10 месяцев назад
Interview nzuri lakini nusu nusu. We need the last part.
@hidayashabani5897
@hidayashabani5897 10 месяцев назад
interview nzr sana
@davinaheven4794
@davinaheven4794 10 месяцев назад
Linda your so amazing
@Maymuna-wc8lz
@Maymuna-wc8lz 10 месяцев назад
Richard ni hyo aliye mwanaume unae muona mwenye rasta
@jameschipande1090
@jameschipande1090 10 месяцев назад
Yaani watu siyo wazuri hata mimi nimesingiziwa sana kuhusu uraia
@nahimanamayassa8305
@nahimanamayassa8305 10 месяцев назад
Wanawake wa ulaya wengi wetu hatunaga unyenyekevu kwa waume zetu,mtu kma hakutaki asinge kulipia nauli nakuja kukufata airport,mume pale alitaka abembelezwe tu na angekaa sawa!
@Zaynab-ny6gr
@Zaynab-ny6gr 10 месяцев назад
Kweli hapa mbinu zilifeli za kike kwa dada but hongera kupigania mdogo wako
@rerisamba
@rerisamba 10 месяцев назад
Alikua bado kijana sahixi miaka imeenda anatamani angefanya hivyo
@PaulLameck-pl1cz
@PaulLameck-pl1cz 10 месяцев назад
Kwahiyo nyie mlitaka amuache mdogo wake afe dam nzito
@AlhajiIssa-jb9hr
@AlhajiIssa-jb9hr 10 месяцев назад
@@PaulLameck-pl1cz Uwelewa ni tatizo kwako.
@eddyrich.3312
@eddyrich.3312 10 месяцев назад
​@@PaulLameck-pl1cz Nadhani hauko kwenye ndoa.
@marthagabriel3417
@marthagabriel3417 10 месяцев назад
Pole dear wanaume wanawivu sana
@perfectpixelsstudio3603
@perfectpixelsstudio3603 10 месяцев назад
Kwa uzoefu wangu huyu dada atakua mwalimu 😂😂
@CHARLESBUNELA
@CHARLESBUNELA 10 месяцев назад
Upendo wa dada
@allysaidlyambange4500
@allysaidlyambange4500 10 месяцев назад
..... Ispokuwa kwa uasherati By jesus
@rukiauwonde7062
@rukiauwonde7062 10 месяцев назад
Sema stor inarudia
@bienvenukichambaomar5067
@bienvenukichambaomar5067 10 месяцев назад
This guy alishaka kufaaa, i Saw him kwenye film ya kanumba
@ranayuhase1405
@ranayuhase1405 10 месяцев назад
No yako pls dada
@munaahmed8499
@munaahmed8499 10 месяцев назад
Dada inauma mno mm ninategeza passport yng lkn wamenigomea wananiambia mm ni Msimali naumia hadi leo na passport sijapata mpk now
@cosmasmakoa3117
@cosmasmakoa3117 10 месяцев назад
Wakishua 😂😂😂 haooo
@paskaziasholla7471
@paskaziasholla7471 10 месяцев назад
Mhm anaonge jamani utasema anaishi kijiwe nongwa 🤣🤣🤣
@warakawayohana2896
@warakawayohana2896 10 месяцев назад
Anakipaji cha kusimulia huyo
@timothypengejoshua8692
@timothypengejoshua8692 10 месяцев назад
Kiukweli dada hata wewe kuvaa kwako kusuka kwako kujipodoa kwako kila kitu Yaani Muli banayuganda mubutufu oli munayuganda komawo waka
@zahararamadhanisalmu395
@zahararamadhanisalmu395 10 месяцев назад
Kwann uyo kaka aliendaga wapi
@yunyun799
@yunyun799 10 месяцев назад
Kumbe huyu kaka ali kufa😳😳😳
@tunajaribu
@tunajaribu 10 месяцев назад
Linda alikuwa anashinda mitandaoni akitukanana na Mange
@fettyrashid9042
@fettyrashid9042 10 месяцев назад
Samahani wenzangu humu, kwani huyo Richard yupo wapi ?
@HusnahMaulid-wi8dl
@HusnahMaulid-wi8dl 10 месяцев назад
Kafa
@naseebjoseph5330
@naseebjoseph5330 10 месяцев назад
​@@HusnahMaulid-wi8dlwewe acha uongo .. Mbona yupo anaishi shanty town Moshi
@mamadida6100
@mamadida6100 10 месяцев назад
​@@HusnahMaulid-wi8dlyupo bhana nilikutananae canada
@mamadida6100
@mamadida6100 10 месяцев назад
​@@HusnahMaulid-wi8dlyupo bhana nilikutananae canada
@joycemageta4876
@joycemageta4876 10 месяцев назад
Mwenye rasta
@hadijasalim7769
@hadijasalim7769 10 месяцев назад
Basi nuongo iyo sauza nisehemu yamashatani wote duniani ndohuko sauza
@shaymaamlanza3949
@shaymaamlanza3949 10 месяцев назад
Richard ameuwawa tatizo nin
@upendotarimo2965
@upendotarimo2965 10 месяцев назад
Hajauwawa bhana yupo hai nilimuonaga Mosh, ckiliza vizuri hii ni ya kipind kilee alivyoshinda Big Brother
@sultansallah8772
@sultansallah8772 10 месяцев назад
Baba alikua mjinga lkin ishu it likua simple tu ni yy angeongea na mume
@joshuachimwejo5892
@joshuachimwejo5892 10 месяцев назад
Sure!
@expert5898
@expert5898 10 месяцев назад
Huyo dada alitakiwa aanze kuomba msamaha yaishe... coz alijua kabisa jamaa hayuko sawa coz of what
@MedsonMoshi-we2nc
@MedsonMoshi-we2nc 10 месяцев назад
Mshahara wa dhambi ni mauti
@zuhuramwamba
@zuhuramwamba 10 месяцев назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kukaa kubishana na watu wa comment hadi talaka inakukuta uko online unabishana weeeeeeee nimekuelewa
@nahimanamayassa8305
@nahimanamayassa8305 10 месяцев назад
Hahaha
@perfectpixelsstudio3603
@perfectpixelsstudio3603 10 месяцев назад
Dada anamdomo sana huyu 😅😅😅😅
@nahimanamayassa8305
@nahimanamayassa8305 10 месяцев назад
Hahaha
@shyfettymtunda4619
@shyfettymtunda4619 10 месяцев назад
Hayo maneno gani mmeyabinya hatujayasikia jamani,eti????😠😠😠
@zuleyvendor6577
@zuleyvendor6577 10 месяцев назад
😂😂😂😂😂
@ernestjohnbosco2053
@ernestjohnbosco2053 10 месяцев назад
😮
@amosihokororo9702
@amosihokororo9702 10 месяцев назад
Njoo nikuoe
@trecygohy7847
@trecygohy7847 10 месяцев назад
Anaolewa na mwanaume mwenye akili timamu ambaye anajielewa na sio wewe. Siku akikuona atakuita kaka na sio MUME wake. Kuwa na heshima
@godfreychaba9673
@godfreychaba9673 10 месяцев назад
😂😂😂
@samahamed2418
@samahamed2418 10 месяцев назад
Kabadilika huyu demu si ndo huyu anaishi USA huyu ni mwanamitindo au ?
@salmahalfani6307
@salmahalfani6307 10 месяцев назад
Ndie huyo.
@josephinemsekwa4609
@josephinemsekwa4609 10 месяцев назад
Umri umeshaenda
@rashdiyange7758
@rashdiyange7758 10 месяцев назад
Richard kauwawa
@mwana4599
@mwana4599 10 месяцев назад
What?
@nahimanamayassa8305
@nahimanamayassa8305 10 месяцев назад
Hahaha nami ndo nilijua ivo😅
@farijalanyoni5685
@farijalanyoni5685 10 месяцев назад
Hamskilizi nyie
@DoreenMwakibinga
@DoreenMwakibinga 10 месяцев назад
😅😅😅😅😅😅😅😅 watz tunamasikio mazito
@gracendaki4515
@gracendaki4515 10 месяцев назад
​@@DoreenMwakibinga😂😂😂😂😂😂
@sayimadaha4988
@sayimadaha4988 10 месяцев назад
Ww nimjuaji siungemuomba mme wako amfate au babaako angemfata nyie niwanawake mnaotaman kuolewa lakini hamuwez kuolewa
@nahimanamayassa8305
@nahimanamayassa8305 10 месяцев назад
Naam,angemuomba mume vizur kiunyenyekevu angeelewa,unashindwa kumpigia mumeo magoti akusameh unaenda kumpigia goti mwanamke mwenza Ili amsamehe kka ako,akili matope😏
@salmaprecious5774
@salmaprecious5774 10 месяцев назад
Kwani richadi alishafariki au
@FatumaIssa-kw3vv
@FatumaIssa-kw3vv 10 месяцев назад
Subhana'Allah huyu mkaka amefariki?
@user-oy9wr2zc6x
@user-oy9wr2zc6x 10 месяцев назад
Yupo hajafa bado
@user-bg9cr4pn2p
@user-bg9cr4pn2p 10 месяцев назад
Nahuyuniyule aliact namarehemu kanumba?
@amiriramadhan7753
@amiriramadhan7753 10 месяцев назад
​@@user-bg9cr4pn2pyeah ni yeye kaka
@rukiakhassim9594
@rukiakhassim9594 10 месяцев назад
Yupo hajafariki
Далее
SNAKE BOY | ep 28 | SEASON TWO
40:50
Просмотров 411 тыс.