Kunambi acha unoko..mtu umfukuze alafu umpangie pa kuishi kwa wivu wako kwa kumuona na mume mwengine kumbe likuw bado wamtaka ukamfukuzia nini.yani hili jikunambi series zake zote za kusinya.na umeyatimba sasa huyo ndie james.utajua hujui
Wanazingu kwenye dad wa kazi mtu yupo pembeni anamsomea script kelv Afu na nyie na izo action zenu mala nyuki anamsomea nelly script kwenye soku moja kabla ya ndoa ivi amkaguag kaz zenu kabla ya kupost
Jiraniiii...hahah jirani kunamb.. Aisee hii short film nimecheka hady raa...ila we get some leason... Then kunamb wew kunambi utakufa n wivu wa kijinga ...si unajua kuwa ex hanuniwi alafu sikuhiz mwanamke haachwi..nikupumzishana ..tuh😂