Mm leo nimekuja kushare nilicho ota juu yenu wana donta na mm tukiwa mtoni ila sikuelewa ilikua ina maana ngani ,naomba tu msikie mkitilia maanani sawa pia mki kataa sawa ,mm niliota tukiwa mtoni kwetu alafu nyinyi mlikua mnashout movie badae mdada mmoja akaja na mwanae bahati mbaya akaanguka kwa maji akazama nae mwanae akawa analia hapo kando yake ila akuna aliye msaidia alikuwa tu yuwatupa mkono juu asaidiwe ila badae nikaona mmoja wenu donta tv nae ni kelvin amemchukua huyo mtoto akamrusha kwa maji juu alikua analilia mamake baadae yale maji yakainuka juu yakawa yanatukimbiza tulikua ndani tukaelekea juu ila maji yalikua nyuma kidongo tu hivi kila mtu aka frize yaaani watu wakageuka barafu na kusimama ila mm nikaskia sauti kubwa ikiniita ati nichukue mawe matatu but yalikua black na nijipake na pia nyinyi mjipake but after nimejipaka tu nyote mkakua sawa na mkaendelea kukimbia juu ya maji ,ss sikujua maana ya hiyo ndoto ni nn ndio maana nimeamua kushare na ninyi asante ,ila msisahau sauti ilitokea mbiguni subhannah allah 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢 tuzidini sana kuomba na tusiache swala dunguzanguni