Comment kama hizi wanasoma wale ambao hawajawah kufanya dhambi na tayari wako zao mbinguni..Nyie wengine tusubir kuungua TU mi team diamond akichomwa mi nikaachwa mungu atakua hajanitendea haki😂😂😂😂😂
I pray that Diamond does not frustrate this beautiful and so to earth girl. Wish she had chosen differently because Simba ni simba tuu...if you know you know
Nilichogundua zuchu kamuwini Nasibu kisaikolojia,zuchu anajua kabisa diamond anapenda mapenzi ya uswazi,alafu ameridhia Nasibu apige shoo na madem wengine lkn kajiweka namba one namba zinazofuatia
Diamond kadanganya sana eti hajalala na mwanamke yeyote asipo kuwa zuchu hiyo ni uongo sana jamani Simba amewalamba sana lakini big up for him mi ni shabiki wake sana
Jamani muogopeni mungu jama maisha ya kupita hebu badilikeni basi kama maovu basi mmefanya vya kutosha yaani mpaka sasa hamjachoka na ndio kwanza mnasifiana maovu kweli? Allah anawaona na anawapa muda wa kutubia lakini bado hamtaki
Kisa wewe unapitia mateso ya dunia usidhani watu wote wanapitia hayo, kisa wewe unaishi ulimwengu wa giza sio wote, kisa wewe unaimani zako za kishirikina haimanishi na wenzio wanaimani hizo... ! Tafuta ukweli , na ishi...hakuna anaejua wapi tumetoka na wapi tunaenda..kujiona unajua wapi tunaenda ni dalili ya pure Ignorance!
@@kgbagent9321 mjinga wewe subiri utaona kama ujui unakotoka na unakoenda subiri mpaka gari ukija ndio utatambua mpuuzi wewe wewe watu wanaaribu jamii alafu unaona kwamba kama sie ndio tunamakosa?
@@AnthonySindabaha-de3xb unakumbushwa af unajikuta mfalme wa uchambuzi. Punguza mihemko dogo. Nikwel tunapenda miziki na wasanii wetu lakin inapotokea mmoja wetu katukumbusha inatakiwa tumshukuru nasiyo kumtolea maneno machafu
Sasa ninyi wanawake ktk maisha ulishakwisha pita yamepita unasifia ulichonacho sasa na ndivyo ilivyo kawaida mwanamke anatakiwa amsifie aliyenaye na mwanaume hivyohivyo