Тёмный

DR.SULLE ALIVYO KATA CAKE PAMOJA NA MKE WAKE WA KENYA 

ISLAAH ISLAMIC  TV
Подписаться 48 тыс.
Просмотров 10 тыс.
50% 1

#drsulle #tanzania #islaamic #health #trending
Zoezi ilo la kukata Cake ni mala baada ya kufikisha followers 100k katika mtandao wa TikTok hivyo Al-Hajj-Dr.Sulle aliamu kufanya hafra fupi ya kuwapongeza wafuasi wa mtadao huo tajwa tafadhali kama bado hujatembelea page zetu za TikTok,Instagram na Facebook tutembelee sasa asante.

Опубликовано:

 

3 ноя 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 130   
@nakundwamkubwe7823
@nakundwamkubwe7823 8 месяцев назад
Allah naomba utupe mwisho mwema utupe upofu na uziwi ktk mambo ya Kidunia. Utupe macho ya kuona na masikio ya kusikia na mapenzi ya kuipenda akhera na kutoiga mambo yasio faa ya Kidunia. Waongoze Mashekhe wetu wote na sisi maamuma wote ktk njia sahihi ya Dini yetu ya uislam. Tuongoze Yarabi tusije kupotea dk za mwisho. Amiin Rabbil Alaamin.
@AyshaHamis-qw3gi
@AyshaHamis-qw3gi 8 месяцев назад
Ameen thumma ameen
@twalibfaqih9385
@twalibfaqih9385 6 дней назад
Innaa lillah wainna ilayhi raajiun Allah akuongoze ustadh kumbuka Allah amekujaalia umaarufu Sasa utumie vizuri katika yale yanayojuzu kisheria
@abdullahiiddi4109
@abdullahiiddi4109 8 месяцев назад
Assalam alaikum. Hapo Kwa Keki jamani Tusiwaige makufar hii ni Mila Yao Sisi waisilamu tunana kiigizo kutoka kwa Mtume wetu Muhammad s.a.w. Hii ndio Mila yetu. Tuweni kinyume na makufar ndio mafundisho ya Mtume wetu Muhammad s.a.w. Allah atuezeshe kutenda Mema na atujaalie katika Mukimu Swala tuipate Pepo Kama alivyo Tuwahidi katika Ndimi Za Mitume. Amin Amin
@zenaahmedi8857
@zenaahmedi8857 8 месяцев назад
Kumbe kukat keki kam hvyo zambi
@josephwilliam5813
@josephwilliam5813 8 месяцев назад
Mtume wako alitumia SIMU? Alitumia RU-vid? VITU unavyotumia vingi ni vya wasio waislam HATA Muhammad akutumia
@miishhassn
@miishhassn 8 месяцев назад
Kam kwel wew unamfuata mtume toa umeme tv sim kila kitu cha kizaz kipya alaf ish kam alivyoish mtume na utoke mjin usijue kbs kinachoendelea dunia mpk utumiwe barua😂😂hata ufanyaj kwa zama hizi ni ngum san kukaa kam mtume😂
@furahafurahisha2804
@furahafurahisha2804 8 месяцев назад
​@@miishhassnnashukuru sana kwa kukfundisha huyo.ndio maana tunashindwa kupiga hatua kwasababu ya umasikini wafikra
@bobramaso825
@bobramaso825 8 месяцев назад
2:120 - Mayahudi hawawi radhi nawe, wala Wakristo, mpaka ufuate mila yao. Sema: Hakika uwongofu wa Mwenyezi Mungu ndio uwongofu. Na kama ukifuata matamanio yao baada ya ujuzi ulio kwisha kujia, hutapata mlinzi wala msaidizi kwa Mwenyezi Mungu.
@mamafaiza1720
@mamafaiza1720 8 месяцев назад
Mashaallah shekh wang doctor sulle mungu akubarik
@RamadanPaul
@RamadanPaul 8 месяцев назад
Dr sulle anawake wazur... mashaallah
@Samsungjprime-ww9ve
@Samsungjprime-ww9ve 8 месяцев назад
Mashaallah shukran sheikhe wetu Dr sule nakupenda sana kwa ajili ya Allah
@khaliluissa7413
@khaliluissa7413 8 месяцев назад
Mmmmh allah akuongoze ewe mpotevu na uache mila za ujahili
@user-dj1os5ib8x
@user-dj1os5ib8x 8 месяцев назад
Jamani leteni ambulance mumpeleke Sule hospital akapimwe akili
@yunusramadhan2546
@yunusramadhan2546 7 месяцев назад
Subhaallah huu nimtihani kweli kweli
@RamadanPaul
@RamadanPaul 8 месяцев назад
Sulle ni legend of the earth
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 8 месяцев назад
Dini haiko hivi mambo ya manaswara ndio mnatuletea muogopeni Allah hii sio sawa mtiani tumuombe Allah mwisho mwema
@jumaabubakar3704
@jumaabubakar3704 8 месяцев назад
Weye nani kakwaambia kukata keki ni dhambi .🤔
@jumakhamis226
@jumakhamis226 8 месяцев назад
Kasome dini vizur
@josephwilliam5813
@josephwilliam5813 8 месяцев назад
Hata simu unayotumia internet na RU-vid ZOTE ni za kichina na KIKRISTO MTUME wako HAKUACHA SIMU
@lokole22tv
@lokole22tv 8 месяцев назад
Je angeangusha pilau nayo nayo vibaya ?
@mohdkhatib223
@mohdkhatib223 8 месяцев назад
​@@jumaabubakar3704na wewe ni nani alikwambia Uislam unaruhusu mambo hayo ya kukata keki mambo ya kinaswara? Mtume saw amtutaka waislamu tusiwaige manaswara na mayahud
@sierabravo848
@sierabravo848 7 месяцев назад
Subhanallah shekh wetu tunakutarajia na kukufuata kwa mawaidha na elimu yako lkn kwa hili umepotea shekh wetu.kua na wanawake ambao c mahrim yako tena kuwalisha keki subhana llah. Allah atuongoze na atusameh
@yusufuheri6524
@yusufuheri6524 8 месяцев назад
Mashaalah
@hassanomary9825
@hassanomary9825 8 месяцев назад
Duh hongera Sule una mke mzuri,la keki umelitoa wapi
@TahilaRamadhan-hz3pd
@TahilaRamadhan-hz3pd 7 месяцев назад
MaashaaAllah ,kweli leo nimeonaa vidole vyakee vizurii sana .Dr hongeraa😂😂
@ahmadSeif860
@ahmadSeif860 8 месяцев назад
Hongera Sheikh mauzo
@aminabdalla7824
@aminabdalla7824 8 месяцев назад
Sule ata ww ndugu yangu subhana Allah 😢😢😢....wakata keki ..... Allah atupe mwisho mwema
@Athumani-iv7pw
@Athumani-iv7pw 8 месяцев назад
Shekhe allah akupeumri wenyemanufaa tuzidikufaidika nimependasanashekhe
@user-xy2pd3st6x
@user-xy2pd3st6x 8 месяцев назад
Allah akuongoze unaelekea kwenye ukafiri
@maryamtanzania9743
@maryamtanzania9743 8 месяцев назад
Nimeishiwa nguvu kuona shekhe akikataa keki jamani mimi sisogei mbele hata kidogo
@user-lg6zr8ps6y
@user-lg6zr8ps6y 8 месяцев назад
subhanallah 😢
@aishahazary4097
@aishahazary4097 8 месяцев назад
Hivi isingetosha kuomba duwaa tu mpaka keki na mishumaa.Na mke wazi wazi huku anatafunatafuna bigjii bila hata aibu.Dayuuth.Laahaula walaquwata illa billah.Nakupenda ni mchambuzi mzuri wa historia lakini kwa hili hapana kwakweli..ALLAH akuongoze pamoja na sisi.
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express 8 месяцев назад
Nimefurahi kuona comment ya mwanamke mwenye akili timamu. Maa shaa Allah, Allah akuhidadhi
@rukiachamani1101
@rukiachamani1101 8 месяцев назад
Subhanallah
@hassanomary9825
@hassanomary9825 8 месяцев назад
Mama Latifa anajielewa ka Asia mke wa fulani.............enz za nabii Mussa
@JumaAbdallah-ml5bg
@JumaAbdallah-ml5bg 7 месяцев назад
Manene ya allah yamejitosheleza ila ulimi wa wwe haupo sawa upo kimaslahi zaidi ya utu umeyapatia maisha kupitia maneno kabla watu hawajajanjaruka
@shyfettymtunda4619
@shyfettymtunda4619 7 месяцев назад
Mmmh!!!
@saidseif1860
@saidseif1860 8 месяцев назад
Duh😢
@Mariam99-ld4gw
@Mariam99-ld4gw 8 месяцев назад
Makubwa 😮😮
@sharfumbarouk6168
@sharfumbarouk6168 8 месяцев назад
Usijiite shekhe baki tu na mambo yako ya uwe mtu tu wa kawaida ili upate fursa kujifananisha na makafiri vizuri Mganga ww taleli mkubwa muogope Allah ni mkali wa kuadhibu, maisha haya ni ya mpito
@aishahazary4097
@aishahazary4097 8 месяцев назад
Bora mama Latifa hujajitokeza kulakula keki yao.Acha mumeo awalishe wafanyakazi wake wa kike.Ikimpendeza aongeze jiko la 3.
@rqiyaabdallah840
@rqiyaabdallah840 7 месяцев назад
Hh joko la 3 nawakati uyo Alio KAta Nae Cake ni mkewakw wa 4
@SalmaMsikiti-lu5eb
@SalmaMsikiti-lu5eb 8 месяцев назад
Dokta sulle niwewe kweli ama macho yangu
@taturamadhan5940
@taturamadhan5940 7 месяцев назад
Nilikuwa na muamini lakini naona kuna walakin inshaallah allah sote atuongoe sote si kwa kupagawa huko
@user-lp6kl6sg3q
@user-lp6kl6sg3q 8 месяцев назад
Hli sioo sawaa kabisa na mke wa sheee kumuona kuona sura kwemakamera
@hassanomary9825
@hassanomary9825 8 месяцев назад
100 K ,unajua maana ya K
@hadharaally6523
@hadharaally6523 7 месяцев назад
Innalillahi wa innailah rajiuun shehe unafika mbali moto wa mafanikio ? Allah atuongoze kwenye njia ya hakki
@rayaali7551
@rayaali7551 7 месяцев назад
Daaah subhanna allaah. Yaani wewe USTAATH mzima. Kiyoo cha jamii wa Waislaam. NINI UNAFANYA. ?????? Ama kweliiiii ukichezea saaana na mbwaa mwisho utaingia nae msikitini daah🙆🏻‍♀️🙆🏻‍♀️🙆🏻‍♀️🙆🏻‍♀️🙆🏻‍♀️
@kanobayirelambert8400
@kanobayirelambert8400 8 месяцев назад
Shekh dishi linaaza kuyumba,tunko elekea siko
@miishhassn
@miishhassn 8 месяцев назад
😂😂😂
@iddkaoneka7485
@iddkaoneka7485 8 месяцев назад
Mkeo aache chewing gum mbele za watu.
@saidgumbo2529
@saidgumbo2529 8 месяцев назад
Dr sule mambo gani Tena hayo
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express 8 месяцев назад
😂😂😂😂 NGOJA NICHEKE TU maana
@mbagaherbal4796
@mbagaherbal4796 8 месяцев назад
Leo kioo cha jamii ya waislam ndo kinatufanyia mambo haya?? Duuh kweli hujafa hujaumbika.
@josephwilliam5813
@josephwilliam5813 8 месяцев назад
Ametenda KOSA KWA dalili hipi?
@mbagaherbal4796
@mbagaherbal4796 8 месяцев назад
Kwani Doctor Sulle keki ndo kaijua mwaka huu?? Ndo ujue sasa huko ni kugafilika na Dunia. (Hiyo ndo dalili ya kwamba hicho kitendo sio katika Mila ya Kiislam.)
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express 8 месяцев назад
​@@josephwilliam5813sasa wewe Jose siukacomment kwa maaskofu!. Haya ya waisilamu waachie wenyewe
@sophiahalfani1870
@sophiahalfani1870 8 месяцев назад
Dhuuuuu hapana
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 8 месяцев назад
Sheikh mzima unamtangaza mkeo na lipstick/makeup huku akijichekesha chekesha na kukata keki na mishumaa??? Naona zimefika zile zama ambazo za kuongozwa na wanafik. Hayo mambo wafanye watu wasionaelimu na nyie muwe wakatazaji. Leo mnafanya nyie na wengine si watafuta???
@user-gr7ox5zi8s
@user-gr7ox5zi8s 8 месяцев назад
We ni mshamba
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 8 месяцев назад
@@user-gr7ox5zi8s. Namigomba ya kichwani natembea nayo. Lkn siezi kuiga miła za kikafiri kwa kuiga wazungu nikaangamiza nafs yangu na za wanaonifata.
@nakundwamkubwe7823
@nakundwamkubwe7823 8 месяцев назад
​@@user-gr7ox5zi8swewe ndio mjinga plus mpumbavu. Kasome Dini ili utoke ktk ujinga na ushamba.
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express 8 месяцев назад
​@@user-gr7ox5zi8swewe mjanja inatosha kuwa mjanja mwenyewe acha tuendelee kuwa washamba...
@user-iw5hu3mc7l
@user-iw5hu3mc7l 8 месяцев назад
Ahhahahahahahah nacheka kweli
@user-lp6kl6sg3q
@user-lp6kl6sg3q 8 месяцев назад
Huuyuu ndoo sheee wa kwanza kukataa keki mbona kama mmelaniwa hivi
@miishhassn
@miishhassn 8 месяцев назад
Sikuiz sio takbir tena ni makof😂😂😂allah atuongoze sote😂
@hassanbakari4525
@hassanbakari4525 8 месяцев назад
SULE ANATAKA KUIPELEKA DINI INTANESHNO LEVO..
@yusufuheri6524
@yusufuheri6524 8 месяцев назад
Yahni
@josephwilliam5813
@josephwilliam5813 8 месяцев назад
DINI haimkatazi MTU kufurahia jambo kama YEYE aliweka malengo kufikisha wafuasi 100k kwanini asifurahie?
@sharfumbarouk6168
@sharfumbarouk6168 8 месяцев назад
​@@josephwilliam5813ww usiisemee dini ambayo huna elimu nayo, ktk uislamu analofanya Ni kosa
@user-lg6zr8ps6y
@user-lg6zr8ps6y 8 месяцев назад
mkeo Una muanika mtandaoni kweli 😮
@firdaus7428
@firdaus7428 8 месяцев назад
Musiwe wepesi wa ku judge sio tabia njema…read more…..
@user-lp6kl6sg3q
@user-lp6kl6sg3q 8 месяцев назад
Apadini akuna tena niduniatuu kwa nn jaman dk mbona kiwongo chairman chako kimeshuka sanaaa
@faridahalwaily85
@faridahalwaily85 8 месяцев назад
Si birthdays haraaaaaa Mmmmmmmm Uuuuh
@aediayumgo8546
@aediayumgo8546 8 месяцев назад
Shekh Nini Tena keki mishumaa Du😮😮😮
@RamadanPaul
@RamadanPaul 8 месяцев назад
Kek lazma iwe na mishumaa ndo inoge
@aediayumgo8546
@aediayumgo8546 8 месяцев назад
@@RamadanPaul siyo type yake hayo Dini take haifanani Na hayo
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express 8 месяцев назад
​@@RamadanPaulsasa wewe kristo haya utayaingilia vipi...😂 kacommebt kwa wachungaji haya waachie wenyewe
@RamadanPaul
@RamadanPaul 8 месяцев назад
@@DonMooSTUDIO_Express ، haijalishi bwana, ila keki hyo ndo raha yake
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express 8 месяцев назад
@@RamadanPaul ndiomaana nakwambia jambo lisilokuhusu achana nalo. Kila dini inamafundisho yake. Kwama dini yako inasema keki weka na mishumaa ndio raha yake wenzako mambo hayo hakuna
@adamaliali2206
@adamaliali2206 8 месяцев назад
Waislamu mukae mbali na watu Kama hao
@alimatambwe3402
@alimatambwe3402 8 месяцев назад
Why?kwani dhambi kulishana keki?dah acheni kuifanya dini kuwa ngumu hivyo .
@hamishatibu699
@hamishatibu699 8 месяцев назад
Uyu si ndio yule anaetufundisha tusifuaate mila za Mayahudi na Manaswala? Leo anakata cake ya nini hii sunna gani hii
@rahmaabdalla7643
@rahmaabdalla7643 7 месяцев назад
Mtihani mkubwa 😂😂😂
@munamuna4621
@munamuna4621 7 месяцев назад
Sule anakoelekea siyo ukiwa ndo walimu tunaowategemea..kweli pata pesa tujue tabia yako
@musakulapha9882
@musakulapha9882 8 месяцев назад
Uisilam wa Wikipedia.....tusomeni
@AkitakaHuwa
@AkitakaHuwa 7 месяцев назад
Yaani waisilam hata dini yetu hatuijui eti mtu anahoji kukatwa keki jamani kwani kukata keki ni haramu? Eti kwa sababu wanafanya hivi wasiokuwa waislamu jamani tusomeni tuhache maneno yasiyo na mashiko
@Athumani-iv7pw
@Athumani-iv7pw 8 месяцев назад
Shekh naombauniombeeduanioemkewapili
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 8 месяцев назад
Nioe mieeee🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️😂😂😂😂😂
@Awatee
@Awatee 8 месяцев назад
​@@Catherine-mh8sw😂😂😂😂
@aishahazary4097
@aishahazary4097 8 месяцев назад
​@@Catherine-mh8sw Jiombee mwenyewe huenda duwa yako ikawa makbur kabisa.Kuliko kumuamini mtu usiejua moyo wake.
@mohdkhatib223
@mohdkhatib223 8 месяцев назад
Halafu eti ndio wanaitwa wahadhiri wa Dini ya kiislamu? Au ndio usufi unawafanya wawe wapumbavu kiasi hiko?
@othmanndayishimiye5573
@othmanndayishimiye5573 8 месяцев назад
Upuuzi gani huyu
@SelemanMakau
@SelemanMakau 8 месяцев назад
Kwani sule niwewe yulleyule? Au neema za Allah alizokupa zimekulevya? Unanikatisha tamaa Sana jiangalie unautofauti mkubwa Sana,toka nimebadilika kea krp zako,mpaka Sasa sikuelewi kabisa shekhe wangu kwani yule sule was zmani Yuko wapi?
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 8 месяцев назад
Ana majingambo sana
@mbagaherbal4796
@mbagaherbal4796 8 месяцев назад
Hawa hawakusoma dini Kwa ajili ya ALLAH bali walikua na mipango Yao , na sasaivi inaanza kuonekana. Tunamchekaga Mzee Yusuf na Manara kumbe hata huyu sulle duuh, ndo maana watu wanakimbilia Kwenye Usalafy wanaona Masheikh wa maulidi, wasanii Sana kama hivi. ALLAH awape Subrah Masheikh wakubwa kama Hawa ndo wanakua mbele Tena kuufezeesha Uislamu. Na utafezeeka mwenyewe Wewe Sulle hii dini uliikuta na utaiacha.
@sharfumbarouk6168
@sharfumbarouk6168 8 месяцев назад
​@@mbagaherbal4796yaani Ni mashekhe wasio na Imani kweli na hakika na ndio maana anapigia uchapuo maulidi KUMBE NA yeye Ni mfanyaji mkubwa wa barthday HADHARANI kila mtu Ana muona anvyo dhalilika huu Ni mwisho mbaya kabisa
@alhabib9874
@alhabib9874 8 месяцев назад
kusoma quran hujui eti wasaa qursiyyu niwasiya qursiyyu
@mohamedhozi8110
@mohamedhozi8110 8 месяцев назад
Mashekh tunabebwa na matamanio ya wake zetu..ili tuwafuraishe lakn ni kinyume na imani zetu bado tujue tunawaiga wamagharibi tukubali tukatae mana hatukosi hoja lakn kwa hili mmh bado
@user-iw5hu3mc7l
@user-iw5hu3mc7l 8 месяцев назад
Shekh mzima unafanya mambo ya kishenzi kukata Keki manake nini kwa muislam?nawambiaga Sule muhuni tu mpigaji mjini tu mjini dada hapo huna mume majanga tu,
@Mumewangu
@Mumewangu 8 месяцев назад
Sio makosa ndugu uislam haukatazi kukata keki na mke wako. Acha wivi ndugu. Sio dhambi
@ramlaleila374
@ramlaleila374 8 месяцев назад
Ushekhe wa siku hizi ni wa biashara kutafuta viewers
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 8 месяцев назад
​@@ramlaleila374pia ana majingambo.
@mbagaherbal4796
@mbagaherbal4796 8 месяцев назад
Sio mpuuzi tuu, huyu ni Taapeli wa dini ya ALLAH, Anamuhadaa Mpaka ALLAH kisa yaani, weweee
@mbagaherbal4796
@mbagaherbal4796 8 месяцев назад
Wewe unaenda kuangukia pua, ngoma ikivuma Sana hupasukaaa.
@MuniraShughuli-kc7vj
@MuniraShughuli-kc7vj 8 месяцев назад
Ni Haramu Dr Sule mambo ya manswara hayo 🤔Mbona hivi bana na dini mwaijua ma sheikh wetu
@josephwilliam5813
@josephwilliam5813 8 месяцев назад
HATA simu na MAGARI unayotumia ni either china,Japan, marekani ujerumani na UINGEREZA MTUME HAKUACHA gari wala SIMU wala RU-vid ni za haohao WAKRISTO
@shuwehaharuna6309
@shuwehaharuna6309 8 месяцев назад
Viongozi wa dini wasipolikemea hili huyu kufar kaja kuharibu dini
@sharfumbarouk6168
@sharfumbarouk6168 8 месяцев назад
Ni hakika mashekhe wenngine wakemee HADHARANI Jambo hili baya
@kanobayirelambert8400
@kanobayirelambert8400 8 месяцев назад
Shekh dishi linaaza kuyumba,tunko elekea siko
@saidasaleh6451
@saidasaleh6451 8 месяцев назад
Kweli kabisa hapo pa keki sikupapenda sio mila YeTU jamani
@maase2023
@maase2023 8 месяцев назад
Huju mjamaa sulle mbn mswahili sana lkn? Hatuhitaji kuona wake zake huyu vp
Далее
Top U.S. & World Headlines - July 2, 2024
9:11
Просмотров 153 тыс.
Лайфхак с колой не рабочий
00:16
Просмотров 363 тыс.
MKE BORA | SHEIKH OTHMAN MAALIM
1:28
Просмотров 8 тыс.
Mambo ma 8 muhimu maishani
27:47
Просмотров 41 тыс.