Sheikh kishki unanifanya nibugujike na machozi sheikh narejea Tena na Tena masheikh wote wangekuwa kama wewe nchi yetu ingekuwa na nuru kubwa sana sheikh hongera sana Allah akulipe pepo iwe makaazi yako siku ya kiama sheikh nakupenda sana❤❤❤❤❤
Mashallah mashallah Mashallah Mashallah Mashallah Mashallah Mashallah Mashallah Mashallah Mashallah Mashallah Mashallah Wazaz tunamchango mkubwa kwa watoto wetu mtoto umleavyo ndivyo akuwavo😢Mashallah Abdulrahman Allah azidi kukuongoza Mwanang Akuhifadhi na kila shar yaarab Na wazaz wako Allah awabarik🤲🤲🤲😭Kwajuhud wanazozifanya leo utaona Mtoto mdogo Anarikodiwa anafuatiza Nyimbo Innalillah wainnailaih rajiun na ukicomment Jaman jaman mtoto munampoteza utatukanwa Alhamdulillah yarab atuongoze waja wake Shukran sheikh kishk Jazakallah kher😭😭😭😭🤲🤲🤲🤲🤲
Sheikh insha Allah nikirudi kutoka gulf nitakualika kwetu kenya, na insha Allah nikkah yangu ni wewe utanifunganisha kwa uwezo wa Allah ❤ Nakupenda kwa ajili ya Allah 🥰
MashaAllah Mwenyeez Mungu akupe umri mrefu shekh Kishk upendo wako nauna watoto wengi na watu mbalimbali wanatamani kuonana na wewe hata kama utachelewa lazima uonane nao Mwenyeez Mungu akubari sana
Hongera sanaaaa shekh kishki allah akuhifadhi kwajuhudi zako unajitahidi saaana kupambaniya dini ya allah nimefray sana nimetokwa na macozi yafuraha kabisa
Mashaa الله , yani angekuwa mtt wangu ningempa kishki kwa moyo wote kwa kujua yuko mikono salama na yenye faida duniani na akhera, yani hiyo ni chansi, plz wazazi msipoteze hii nafasi.
Mashaallah mashallah wallah nimefurahisana tena sana kwakweli unamoyo waukarimu hatamm binafs kunakipindi nilitamani nikutafte nikukabidhi mtoto wangu ajekusomea kwako wallah nilitamani sana ila nikavunjika moyo nikaona itakua vigumu mana sikua nakazi alaf mwanangu alikua nahiyomyaka pia mitano bas nikasema sitaweza garama zakumleta tanzania nakumhudumia kimadhrasa iliniuma pekeangu ndani yanafsi yangu had mwisho nikasema huenda allah hajapanga iwehivyo kipindihicho nilimuona yulemtoto wamiaka9 aliekua amehifadhi Quran alafu alikua yuwaishi nabibiyake kamavile mwanangu anavyoishi nabibiyake ak nlitaman ajeakae huko had afikie umri wakuoa ndoarudi nyumbani lkn sikufanikiwa ila alhamdulillah namshukuru mungu nimtoto ambae yuwashika sana masomo yapandezote mbili na pia nimkarimu hajashika mambo yakidunia alhamdulillah namshukuru allah kwahilo
Alhamdulillaah Alhamdulillaah Allaah Azidii kukupa imani na kuiitikiyaa muitikooo in sha Allaah Allaah Akuhefadhi nakukuzidishiyaaa elimuuh ya kuwanufaishaaa waislamuh woteee…❤nifurahaaa kwa kulaaa aliekuonaaa Allaah Akupe umriey mwemaa na kukuhefadhi na kukuepusha na mahasidi n na maovu ya duniyaaa yarrrraaaab
Maashaallah, Allah akulipe kila khery sheikh wetu umetuonyesha moja ktk vitu vikubwa ktk dini nayo in Tabia njema Kwa kuweza kutekeleza ahadi Yako ,uunga udugu , kuonyesha huruma na kuimarisha mapenzi kwa kutoa zawadi Kila jambo linamazingatia maashaallah,Allah aitakase nafsi ubaki kufanya kwaajili ya kutafuta radhi za Allah
Mashallah sheikh wangu nakupenda kwa ajili ya Allah hata mimi niliwahi kupata mwaliko wako na ulitupokea vizuri sana ofisini kwako Allah azidi kukuhifadhi sheikh wetu unajitoa sana ktk dini.
Mwenyezi Mungu Akulipe mema zaidi sheikh wangu. Barak’Allah feek wa JAZAAK’Allah Khair Hongera kwa mama Abdul, Masha Allah. Mwenyezi Mungu Akuzidishiye Ucamungu mama♥️
Mashaallah shekh kishki allah azidi kukunawirisha kila uamkapo na akulinde na hasadi za walimwengu allah akujaalie uwe ni miongon mwa watu wa peponi amiiiiiin nakupenda kwaajili ya allah na mtume Muhammad s.a.w ❤❤❤❤
Mashawaa sheikh kishiki aki Allah akulipe hapa duani na akhera nakupenda kwaajili ya Allah aki sheikh kishiki haubagui mdogo Wala mkubwa mm naomba Dua tu kwako sheikh kishiki Niko saudia
Pamoja na yote sheikh mtoto kakuomba ndani ya moyo wake vitu vinne ila la qur-an na dini kwa ujumla tunakuomba sie msimamie vyema twatamani awe mrithi wako ni historia kubwa utaendelea kuiweka kwako na mtoto atakuwa na historia tusoweza kuisahau
Masha Allah!! Kishki online mnanifanya nizidi kuwaoenda. Yaani kadri nnavyo endelea kumuona nasikia Raha. Uki sikia mawaidha Yake uta ona Km ni mtu fulani hivi wa Hali ya juu. Kumbe yuko simpo Tena mcheshi Masha Allah. Hadi nazidi kumpenda kwaajili ya Allah.
Mashallah sheikh kishk mawaidha Yako yanapendeza na ndo mana watoto wadogo wanakupenda Mwenyezi Mungu akuajalie maisha marefu na mwisho mwema Amin pia mm nko mbali Kwa sababu ya kazi ila naaishi Kenya ningependa xana pia mm mwanangu nikuletee Tanzania Kwa madrasa Yako aifadhi Quran inshallah Kwa uwezo wa Allah akipenda ameen
Nilichojifunza hapo kutoka kwa sheikh Abdul kwa sheikh Kishk ni kwamba huyu Abdul ana mapenzi ya dhati kabisa kwako she kishki, Hivyo sheikh unajukumu kubwa sana la kutimiza lengo lake ambalo ninaamini Allah s.w anamalengo yake
Kwanza nasema alhamdulilahi shekh nurdin kishik alhah akujaliye kila lakher mimi napatikana mazambique kila nikiangalia TV natamani nikupe mkono wangu alhah akupe kher nhingi sana
Tunakupenda sana,,shekh wetu kishik kwaa kaz nzuri unayoifanya ,, Allah akulpe,,,piaa allah siku ya kufaa aje kukuandalia pepoo la juu zaidi nzuri,kuliko pepoo zote,,nakuelewa vzr snaaa snaa snaa
Shekhe inshaalah mwanangu mwakani anamaliza shule form four km unaweza five na six naweza kumleta hapo ili apate elimu ya dini nimependa Hy mtoto ulivyo mkarimu mie single mother wanangu baba alifariki lkn alhamdulillah najituma
Mashallah sheikh kishk allah akupe maisha marefu uendelee kutupa dawa kwakwel huwa nakuwa na moyo mwepec nikifungua tyu channel yako unanipa mafunzi na kunikumbusha njia njema❤
Mashaa ALLAH niliiona video ya abdul akikualika alikua na furaha isio kifani,hatimae umetimiza mwito Mashaa ALLAH,ALLAH akuifadhi sheikh kishki uzidi kutupatia dahawa
Mashaallah sheikh wetu uko na roho nzur san allah akuzidishie Umr mrefu na mwisho mwema tunakupenda kwa ajili ya allah unafanya kazi nzur sana ni masheikha wachache san wanasikia wito wa watu kwa ajili ya allah ila wewe ni moja wapo ya masheikha watu wazur ❤❤❤