Mimi nasema kuwa doctor sule ni katika waganga wanao tumia majini na nikatika waganga wa kishirikina hatumzingatii kama ni shekh wala mwalimu katika kufundisha dini watu watahadhari na huyu jamaa nawala watu wasiyanasibishe mambo yake na dini yetu kwakua dini yetu ipo mbali na mambo yake hayo ya kishirikina atakae enda kwa doctor sule basi atambue hatokubaliwa swala zake siku 40 tahadharini na huyo jamaa
Uyu bado ana tetea mapete na majini ana endelea kutoa hoja za kujitetea tetea ,alafu saizi aonekani kama shekh kimwonekano saivi ana kuwa kama wachungaji .
Hawezi kufaulu hoja zake dhaifu cause mtume Muhammad SW aliishi katika nyumba yake miezi mitatu bila ya kufuka Moshi Yani hawapiki kwa maisha yalivyokua magumu kwa nini mtume Muhammad SW hakutumia majini kutafutia fedha? Ina shaitwana lakum aduwun fatakhidhuhu aduwa . Jini huwezi kujua huyu ni mbaya au mwema aweza kwenda kwake akajifanya ni mwema ila kwa vituko vyao ipo siku atamuingiza Jahanam
Katika visa vya manabii tunaona Mara ngapi iblisi alijifanya ni sheikh? Je watu walimtambua kua yeye ni ibilisi? Si mpaka pale mitume wanapopewa ilham na kuwaombia watu kua yeye ni Ibilisi. Mara ngapi ibilisi alimtoa kipofu kwenye shimo analoingia wakati wa kwenda kuswali asubuhi kipofu alishukuru Mara zote na kumuona ibilisi kua ni mzuri lkn alipopewa Siri ya kua kwa nini Ibilisi anafanya hivyo alishangaa
Tukubali kua Qur'an inasema wao wanatuona lakini sisi hatuwaoni, hivyo hatuwezi kumjua yupi ni mwema na yupi ni mbaya na shetani ni maadui zetu tutafute pesa kwa jasho letu kheri kufa masikini kuliko kutegemea majini mwisho wa siku wakudhuru wewe ma familia yako mtu anashtukiwa unafilisika ghafla
@@اللهأكبر-ذ7ث3س uyu bwana biashara kaweka mbele kwaiyo ana tafuta pesa kwa njia yeyote tu ili mradi ingie kwenye ili jambo mm sijasoma soma elimu ya dini lakini najua alifai, mara ata ngaze wana wake wana mtaka yani aeleweki siku izi sule tulikuwa tunajivunia lkn ana anza kupotea ,sasa ivi makafiri wana anza kutu shambulia tena kuwa waisilamu tuna fuga majini na tuna ushirikiano nao .
@@SalumuMandemla yeah wakiristo watazidi kuona uislam ni dini ya kutumia majini na mapete Dr Sule alikua anyamaze tu sheikh gani Yuko pamoja na yeye Dr Sule basi aombe iopete imshinde ... katika محاظر maa lkaafirin min Kenya
Duh , Mimi binafsi ndugu yangu tulimsahau nje ya nyumba yetu wakati wa usiku , basi alikuja kuamshwa na mtu aliye fanana na mimi , na wakati alipofika ndani alinikuta mimi nimelala fofofo.
Yule mfanya biashara aliye kuwa akisafirisha mizigo yake akakutana na yule jangili akamionyesha njiya kisha akampora mizigo yake ana akataka kumuuwa mbona kisa kisimuliwa kama alishuka malaika akaja kumuuwa yule jangili
Malaikaa anawezaa kujaa kwa umbile la binadamu au haiwezekani hivyoo ilaa sele nilikuwaa namuelewaa sana ilaa kwasasahivi nimemtokaa kabisaa katikaa mashekh wangu
Yesu katajwa wapi kwenye koran yenu,mnajaribu Kuwaingiza wakristo kwenye upumbavu wenu.Waislam mlio wengi mnashindwa kuacha uislam wenu kwasababu ya mapokeo tu lakini hata ninyi wenyewe mna mashaka makubwa juu ya mtume wenu ndiyo maana waislam wengi wa mashariki ya kati wanauacha uislam kwa kasi baada ya kugundua Muhammad alikuwa tapeli kwa mafundisho yake ya uongo
Hivi visa vyenu vya majini tunaomba msitafute vichaka kama ujaelewa Kisa hicho cha shekh Walid nenda kasikilize tena kwa shekhe hakusema kuwa yule bwana alikuwa ni Malaika kwenye kisa yy alikuwa anazungumzia mawalii wa mwenyezi Mungu ndipo akafika kwenye hiko kisa kilichomtokea.
Kipo kisa Cha swahaba mmoja mkubwa baada ya kufa kwa MTU Mohamed, huyo swahaba aliwai kuandika barua mtoo, yaani kulikuwa na mtoo ambao ulikauka mai huyo swahaba aliandika barua kuuwamrisha mtoo utoe maji safi Kisha barua hiyo ikatupwa kwenye mtoo baada ya siku chache mtoo ulitoa maji safi na watu wataendelea kuutumia.
Usimwingize Sheikh letu katika Ushirikina wako. Malaika wapo usitake kusema ni majini hayo. Hata kama ni majini kwani Alhabib Walid aliwatafuta tena hao majini na kuwatumia kumletea tena pesa? Yeye ametokewa kupendwa, kuna majini wanakuja hata kwenye darasa ya Walid kusikiliza mawaidha. Wacha kuwakanganya watu wasio na Imani.
@@hakambashe8421 hicho kisa nilikisikia kwa shekh abalqasim TV alikuwa anatowa mawaidha kuhusu majini katika akakisimulia hicho kisa, na swahaba mwenyewe kama sijakosea kama si abuubakar basi Omar kwasababu kati ya hao ndio walishikilia uwongozi baada ya mtu Mohamed kufariki. Andika RU-vid channel abalqasim TV ukajifunze mengi
Tumcheni allah Twamuomna allah atuepushe na maradhi lakini Dr ukipatatwa na mitihani utaridi kwenye njia sahihi utamkumbuka allah utawasahau majini sasahivi wewe tumia neema za Allah upendavyo faidika na nyota zako lakini masiku yanabadilika
Mnamtukana shehe wenu kwasababu elimu ni ndogo lakini vitabu vyenu vinasema mwanamke wa kiislamu akiwa kwenye swala hatakiwi kuvaa chupi kwasababu kuna majini wanajua kumuingilia na yeye hujisikia raha sana
Mtume anafundisha yy pekee ndie jini/sheitan hawezi kujimithilisha na mtume saw kwa hiyo ukimuota mtume saw ndotoni ni kweli umemuona mtume saw kupitia ndoto
acheni ushamba b usheikh ni elimu na si muonekano kwan wangap wanavaa kanzu na wana kula nguruwe na wapo wanaovaa kofia na wanakunywa pombe na kushinda baa acheni kuongea maneno mabaya kwa sheikh sule mnamkosea sana na kumkosea allah pia!!
Yaani Sule anasema kweli hata kama baadhi ya Waislamu mnampinga!! Uislamu na majini Damdam Walisilimu wakawa Waislamu Surat Jinn 72: 1-15 kwa hiyo hao ni ndugu zenu katika imani hivyo kwani kuna kosa kumtumia ndugu yako kukuletea manufaa kama anavyosema Sule?😊
Hiyo sura umeweka aya ila bila kusoma bila akili. Kwenye sura jini inaeleza wapo waislamu na wengine makafiri ambao wameacha haki. Mlivyokuwa mazezeta nyie majini mnadai walikuwa malaika.
Huyu ni mshirikina huwezi mwanadamu ukashilikiana na wale viumbe kama hujawa mchawi lazima wanafuata viumbe waovu wenzao wanadamu, majini wema wanaishi kivyao hawana time ya kuingia kwa mtu lakini huyu anatetea ugali wake
😂😂😂yani huyu jamaa anavyocctiza kuhusu majini yani mpk anakataa Mungu hawez kutuma malaika ila anawatuma majini aisee Mungu muongoze vzr mmja wako huyu