MA SHA ALLAH SHEIKH (DR)SULE MAY ALLAH AZZA WAJJAL PROTECT YOU AND YOUR TEAM ON THE DA’AWAH WORK YOU ARE DOING. MAY ALLAH AZZA WAJJAL REWARD YOU AND YOUR TEAM ABUNDANTLY ALLAHUMMA AMEEN.
Nakukubali uelewa wako dr.bali la kuongezea ni kuwa mto Nile huanzia mto Kagera ambao ukiwa kwenye mashua mto huonekana wazi maji take kutiririka bila kuchanganyikana na maji mengine ya ziwa.nahisi maji hayo yamto hukutana na shimo linaloibukia Jinja nakufanya Kama chemichemi uliyosema.fuatilia ukweli huu sheh
@@fatmaabdallah7709 MUNGU WETU ANAZAA KWA NENO LAKE NYIE MUNGU WENU AZAHI NDO MAANA ANASEMA HANA MTOTO MUNGU WETU YUKO NA MAJINA 23 NYIE MUNGU WENU YUKO NA MAJINA 99 ALLAH NI BABA ???
maana kuna blue nile na white nilee na white nile baadhi ya chanzo chake ni burundi ila sio mto wote na pale ni asilimia chachee sana na asilimia kibwa ni ziwa victoria
Voisa classic elewa Kaka huku soma hata CRE shuleni kapata kuelewa, mwalimu kasimulia vizuri uzao wa nabi musa ulivio kua zama hizo kulikua na changamoto nyingi sana kutokana na utawala wa pheraoni. bada ya tarifa kufikia pharao kutoka kwa watalam wa kienyeji kua kuna mtoto wa kiume ata zaliwa na ataupindua ufalume wa pheraoni ndipo amuri ikatoka katika taifa la misiri kwa jumula kua watoto kuanzia miaka mitatu kurudi chini wakiume wote wauawe na wakuzaliwa vile vile
Huyu. Sule hajui lolote kuhusu ukristo ila anajifanya anajua nikushauri kitu wewe sule shika imani yako acha kupotosha wato haujui chochote hata ukiishoma bibilia haujui unachokisoma unaongea ujinga tu wewe soma quran tu