Тёмный
No video :(

ELIZA AMWAGA MACHOZI | NIMEKAA SANA HAPA | SIPATI MPENZI | HUYU SIMTAKI | HELLO MR RIGHT 

ST BONGO TV
Подписаться 167 тыс.
Просмотров 86 тыс.
50% 1

►Instagram / stbongotv
►TikTok / stbongotv.tz
►Facebook / stbongotv
►Twitter / stbongotv
ST BONGO TV Channel 401 (Dish) 161 (Antena) on Startimes Decoder

Опубликовано:

 

23 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 586   
@samehewaliokukoseya2605
@samehewaliokukoseya2605 4 месяца назад
Anaye muchoka Eliza kama mimi apa like apa twende kazi
@user-wv9jm9fb8y
@user-wv9jm9fb8y 4 месяца назад
Mm apa
@RayyanRayyan-rt9cg
@RayyanRayyan-rt9cg 4 месяца назад
Uyo dada anatafuta umaharufu tu hapo
@samehewaliokukoseya2605
@samehewaliokukoseya2605 4 месяца назад
@@RayyanRayyan-rt9cg tumemuchoka kwakweli 😪
@Khadijasalumu06
@Khadijasalumu06 4 месяца назад
Simpendi
@user-rf8oq1jd6u
@user-rf8oq1jd6u 4 месяца назад
Huyu Eliza mtoeni hayuko serious anabagua sana sasa hana hisia amekuja fanya nini hapo 🤣😂🤣🤣🤣siaende ajitibu mwanzo nafatilia nkiwa Dubai
@faizhassan8423
@faizhassan8423 4 месяца назад
Eliza sio mke bora, alafu mnafiki saaaana kisha mbinafsi, huyo mwanamke ni Mtihani kwa kweli.
@NaduuAbdilah-uj5vj
@NaduuAbdilah-uj5vj 4 месяца назад
Ni mtu wa wapiii huyuu
@aminanuranassor660
@aminanuranassor660 4 месяца назад
Anajiona keki Sena kwenye maisha ACHA kujivun San utapa mume ukiwa mwenye hekim naheshim na umstarabu kuwa mpole ACHA ujuwaj Kila mwanaume anamapunguf yake chamuhimu kubalian na namapungufu yake utadumu kwenye. Ndoa kuwa mvumilivu.hakuna mwanadamu anaye kosa mapungufu kwenye hii Dunia My daer usisahau ku Muoomb Mungu kwayote Kila jambo Lina mwisho wake 😢😢 like you Elizabeth ❤
@ZitoJose-cl3pt
@ZitoJose-cl3pt 4 месяца назад
Wewe mimi niko moçambique huku naona huna akili wewe ebu tujuane zaidi
@kitemerosanga109
@kitemerosanga109 4 месяца назад
Yani Eliza atasugua sana hapo kwa tabia tabia zake hakuna mwanaume atakae mchukua Mimi mwenyewe natamani atoke hapo
@gilibertmligo9175
@gilibertmligo9175 4 месяца назад
Umejua kabisa.
@habi78121
@habi78121 4 месяца назад
😂
@abiaslimadyanse1842
@abiaslimadyanse1842 4 месяца назад
We Dada Akili sana I salute you 🫡
@jacobmelody
@jacobmelody 4 месяца назад
Eliza she's so Dramatic 🫴🏾😐
@SalmaKenyatta
@SalmaKenyatta 4 месяца назад
Diva umependeza dada hlo Vazi usiliache inshaallah mungu akupe subira hyoyo
@popoyo2474
@popoyo2474 4 месяца назад
It’s Aaliyah’s facial expressions after Eliza started crying💔😂
@jovinathasavoie8018
@jovinathasavoie8018 4 месяца назад
This Aliza my God,all day wahaya hachana na sisi kaa.Jealousy ya maisha,wahaya for life we do better .watching from 🇺🇸
@dianerditto
@dianerditto 4 месяца назад
😂😂😂kwani usingetuambia from us ungechubuka we muhaya
@jovinathasavoie8018
@jovinathasavoie8018 4 месяца назад
@@dianerditto ,Ndo zakwetu wahaya ndo maana Eliza anatumind,but who cares.
@bossykalewa
@bossykalewa 4 месяца назад
Huyo eliza kwan hawez toka hapooo wakuuu...
@fatmahaji7661
@fatmahaji7661 4 месяца назад
Eliza muongooo kajiwashia taa tu😂😂😂😂...huyu kaka c vitu vyake😅
@RobertChacha-hb9re
@RobertChacha-hb9re 4 месяца назад
Idis like eliza unakera kwa kweli kuna wanaume nje ya mr right show waache wenye nia wakae hapo wewe toka
@onesmotendega5304
@onesmotendega5304 4 месяца назад
Yaani mavazi yenu kipindi hichi mmependeza saana..mngekuwaga mnavaa hivi cku zote wapendwa wng❤❤❤❤❤.
@gamaybady919
@gamaybady919 4 месяца назад
Kwakweli eliza anaboa anaaribu vipindi na kuhusu tatizo lake alishawishi jamani eliza muongooooooooo tena sana
@LeonardGeorge-jj4bu
@LeonardGeorge-jj4bu 4 месяца назад
Namba za Mr right platform plz naja kumchukua Eliza
@bcbestcartoon576
@bcbestcartoon576 4 месяца назад
may God bless her anaonkana hayuko sawa sema nkama alitaka kua open kuna vtu vna mtatza ila nkama wote washmktaa, somtines wanawke nkama watoto wakipata mambo yakuwaumza sana wankua watu kma eliza huyu dada anaitaji ushauri sana
@nasfaiyogo3228
@nasfaiyogo3228 4 месяца назад
Umewaza kama mm😢 pengine anahitaji kusikillizwa Zaid jaman
@MwaniPh
@MwaniPh 4 месяца назад
Sahh kabsa
@upendoeliya9329
@upendoeliya9329 4 месяца назад
Eliza alimkataa yule kaka wa Matrekta mwenye hela na umri zaidi yake. Sasa asiwachanganye hapo😂😂😂 maana tunamwona anavyowakandia wanaume wengi wanaokuja hapo stageni. Ikiwezekana mtoeni akatafute mtaani
@happymrema7487
@happymrema7487 4 месяца назад
Kwa huo mdom utampat nan
@JaysonHango
@JaysonHango 14 дней назад
Huna hisia we ni kuku aah kumbe kuku nao Wana hisia sasa au bhasi huyu sister hajawahi kumiliki akili asee😂😂
@Reemysidimaojo
@Reemysidimaojo 29 дней назад
Eliz kwa n 😅😅😅😅 hki pole sna eliz bt amakwli mpnz hya yatatua eliz never give up pls
@AymanNajim-tg4ql
@AymanNajim-tg4ql 4 месяца назад
Ilo li Eliza mlifukuze hapo linaleta utani sana😂
@Rogathe-Rogathe
@Rogathe-Rogathe 4 месяца назад
Kbs analeta utani mnoo
@neemaneychricious6493
@neemaneychricious6493 4 месяца назад
Hahahaha anaigiza movie
@AntonyMM-tx3yj
@AntonyMM-tx3yj 4 месяца назад
Eliza kwa kweli ni shangazi naombeni gara B mumuombe stuka aje kumbeba huu sijui bb aijui shangazi # aliyah good amenichoka pia
@SharonVenisi
@SharonVenisi 4 месяца назад
Huyu dada mpuuzi kweli yani 😂😂😂
@GREATESTHITSREPLAY
@GREATESTHITSREPLAY 4 месяца назад
😂😂😂😂😂 ila Eliza bhana sa mbona anatuchekesha... HANA HISIA ....!!!!! Dahh Pole Eliza wangu I mean Eliza wetu maana tupo pamoja Hadi mwisho wa sizoni
@user-fr1ck1ii7p
@user-fr1ck1ii7p 4 месяца назад
Eriza afukuzwe stage
@nzeyimanaabdallah131
@nzeyimanaabdallah131 4 месяца назад
Naam 😂
@user-bx6rf6nv4x
@user-bx6rf6nv4x 4 месяца назад
Wallah anachosha
@felionderi
@felionderi 4 месяца назад
Has kenyan we cry inside not outside I mean heart
@NuruNgole
@NuruNgole 4 месяца назад
😂😂❤❤ huna hisia kwanini utafute ila Eliza hatariiiii
@user-pf3zc6kv5q
@user-pf3zc6kv5q 4 месяца назад
Eliza atoke tumemchoka eti aunt 😂😂😂😂
@AHLSUNNA-yw8gg
@AHLSUNNA-yw8gg Месяц назад
8:14 😂😂😂 Mimi sina hisia 😢 ila natamani kupendwa 😅😂😂 Jemani nisaidieni nipate uyu mshangazi😂❤😂
@esternashon4706
@esternashon4706 4 месяца назад
Ila jamn eliza ana vituko😂😂😂😂
@JescaMeleji
@JescaMeleji 4 месяца назад
😂😂😂😂Ila Eliza jmn we nenda tuu kalime kàroti
@Pretty.s.m.k
@Pretty.s.m.k 4 месяца назад
Sasa aunt na shangazi ina tofauti gani 😂😂😂jamani ama kuelewa lugha ndio matatizo😅
@ElizabethPeter-si9rs
@ElizabethPeter-si9rs 3 месяца назад
Ni mtu mmoja
@okechukwuchukwuma8074
@okechukwuchukwuma8074 4 месяца назад
I'm watching from Nigeria
@upendoeliya9329
@upendoeliya9329 4 месяца назад
So wha?😊
@subrynerysegerow1323
@subrynerysegerow1323 4 месяца назад
​@@upendoeliya9329muache mgeni bwana kaa😂
@barakathuva13
@barakathuva13 4 месяца назад
For real reason zake hazimaki sense.....she doesn't know what she wants.... damnit......am watching from Qatar 😢
@jissantz
@jissantz 4 месяца назад
MSHANGAZI HUYO ELIZA YAN HATOBOI
@user-bj6bs9do2f
@user-bj6bs9do2f 4 месяца назад
Eriza Cyo Mwanamke Bora halafu Piah Anaonekana Pia hanamazalahu Sana hata Kwa Mwanaume hatakaye Mpk🤣🤣🤣
@preceenosent6324
@preceenosent6324 4 месяца назад
Mhaya mpumbavu Eliza grab mtoe bhana mbinafisi Sana 😂😂
@ChausikuIddy
@ChausikuIddy 2 месяца назад
Jamani Eliza pole kuwa na moyo wa subira Allah atakujalia mume mwema.
@williammutabazi8971
@williammutabazi8971 4 месяца назад
😂😂😂😂huyu dada Eliza duh….anatamani kupendwa na hana hisia… apambane na roboti basi love is a two way road… she needs therapy before getting in a relationship with anyone.
@Mellissabahati137
@Mellissabahati137 4 месяца назад
Eliza😂😂 acha maigizo bwana nenda basi kwa lamata anaitaji comedian wakike wewe unaweza😂😂
@Preciousamaya
@Preciousamaya 4 месяца назад
Ni comedian yupo kitimtim
@cynthiachesang6972
@cynthiachesang6972 4 месяца назад
Sijawahi comment like hata mm Leo Eliza amechokesha
@neemam5042
@neemam5042 4 месяца назад
Naona Eliza special group ya counseling
@pridencians1227
@pridencians1227 4 месяца назад
😂😂😂😂😂Eliza wangu jamani
@mkalimala3564
@mkalimala3564 4 месяца назад
Eliza ana kipaji cha uigizaji kikubwa sana,,,,apewe nafasi mtaniamini.
@halidhemed7524
@halidhemed7524 3 месяца назад
😮😂
@candiesalm8995
@candiesalm8995 4 месяца назад
Huy eliza ndy cindy beib wa tanzania😂😂😂
@Rosependo3304
@Rosependo3304 4 месяца назад
😂😂😂Kabisa
@lasudnuru4982
@lasudnuru4982 4 месяца назад
Jamn mbona mnavekaga short clips? Tunaomba wekeni full, kuna tunaofuatilia marudio tuko nje ya nchi 😢
@willelia2554
@willelia2554 4 месяца назад
😢inaonekana Eliza anadharau kweli na sijui nani atamkubali kwa muonekano tu ukimiangalia
@ashahassan7414
@ashahassan7414 4 месяца назад
Huyu Eliza atoke tu hapo tumemchoka kiukweli 😅
@nzeyimanaabdallah131
@nzeyimanaabdallah131 4 месяца назад
Tuko full😂😂😂😂
@danielnkholoma3416
@danielnkholoma3416 4 месяца назад
Kabisa
@RandB_Channel
@RandB_Channel 4 месяца назад
🤣🤣🤣 haki Eliza anaitaji kaselingi anamatatizo uyo kabisa
@AhmadAhmad-vb2tz
@AhmadAhmad-vb2tz 4 месяца назад
Diva hawajui watoto wasiku hizi wahovyo sana 😊
@diva_20162
@diva_20162 4 месяца назад
Eliza soda zinamchanganya ndio maan 😂😂😂
@nuruabraham3769
@nuruabraham3769 4 месяца назад
huna hisia umefata nini Mr Right 😏
@salomemanfred1809
@salomemanfred1809 4 месяца назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Eliza Simuelew JmN...njo nikupe izo isia😂😂😂💔
@isaacjosephjoseph2733
@isaacjosephjoseph2733 4 месяца назад
Eliza mimi nampenda mno, shida anachachamba mno ma Mr. Right jamani au nije nikuchukue mamaa❤❤
@MusondoliRobert-ve4wz
@MusondoliRobert-ve4wz 4 месяца назад
Eliza ana mambo
@bennylove6021
@bennylove6021 4 месяца назад
Uyo dada anahitaji msaikolojia kwanza kabla ya kusimama hapo mbele!
@user-lk7fk5gd4n
@user-lk7fk5gd4n 3 месяца назад
😂😂 eliza enda upumzike uje next yr ukatafute hisia vizuri hko toka hapa😂😂😂
@user-by6bg2fq6b
@user-by6bg2fq6b 4 месяца назад
Umezid mashauziiii
@CindyKatila-fc5zw
@CindyKatila-fc5zw 4 месяца назад
Mw3nyew alianza madharau😂😂😂😂😂
@martha5208
@martha5208 4 месяца назад
Alliya nampenda ,anakosoa vizuri❤
@user-uy5py6lk5f
@user-uy5py6lk5f 4 месяца назад
Unajeuri sanaaaa unamdomo sanaaa hata ukipata huwezi kukaaa ww ni jeuriiiiii😂😂
@RehemaNyongole
@RehemaNyongole 4 месяца назад
Eliza rudi nyuma jitafakari..kama ni kweli unahitaji mume..hapo sio sehemu sahihi kwa sasa..maana tabia ulizozionesha zimekwishakuharibia sana..na hata mwanaume akisema amekuchagua mi nahisi atakua anakutania tu...ushauri wangu ebu tulia pata ushauri wa kisaikolojia lkn kubwa zaidi wanawake tabia, wanawake kauli, wanawake utii hakuna mwanamke anapenda mwanamke anadharau wa kushindana..so badili hivyo vitu utapata mwenza wako..lkn pia mshirikishe Mungu kama kweli unataka mwenza wa kweli
@nurusadick9430
@nurusadick9430 4 месяца назад
😂😂😂😂 huyo. Eliza anashida
@shaibuomary8809
@shaibuomary8809 4 месяца назад
Eliza ana tatizo la kisaikolojia, atafutiwe mtaalamu kumuondosha stress
@user-uv4ov7sb4z
@user-uv4ov7sb4z 4 месяца назад
Huyu Eliza ni mtoto wa mwenye kipindi au mbona mna mlea sana ,hata kama mmemuweka kwaajili ya kuchangamsha hii cinema but hawezi tafuteni mtu mwingine anaboa sana kwa age yake anajiabisha tu 😅😅😅😅😅
@MaryamSuleiman-xs5ph
@MaryamSuleiman-xs5ph 4 месяца назад
Makubwa hayaa😂😂😂
@PaulinaSemindu-ob3de
@PaulinaSemindu-ob3de 4 месяца назад
Kujidhalilisha tu had kujiliza hapo aibu naona mm" kwan wanaume hawaonekan huku mtaani
@alecheconradninje6183
@alecheconradninje6183 4 месяца назад
Msaidieni kwenda kwa Nabii mkuu au yule aliepigiwa na mama kizimkazi akapewe hisia za kiroho 😂😂
@EliyaKalimanjira
@EliyaKalimanjira 4 месяца назад
Yes
@queensalema5262
@queensalema5262 4 месяца назад
Eliza n mchangamsha group bwana mwachen😂
@rechalmshana1293
@rechalmshana1293 4 месяца назад
Umeona eeh😂😂😂😂
@PrincessHellen-pg1oy
@PrincessHellen-pg1oy 4 месяца назад
😢 Eliza mmm hatari ila mimi ananichefua San mbona kama anaigiz
@j...876
@j...876 4 месяца назад
Isiya is typing......
@AbdulAmour-fv5eb
@AbdulAmour-fv5eb 4 месяца назад
Asalam alaikum kikubwa mm nasema Eliza atakupata tabu sn akipata mwanaume sababu anachaguwa mwanaume mwenye pesa nyingi wakati yeye hana pesa ata elfu kumi 10 hana
@jimmykiwale3026
@jimmykiwale3026 4 месяца назад
😂😂😂sina hisia
@saidylabarani8140
@saidylabarani8140 4 месяца назад
Huyo Malaya tu, hamna mke hapo .. hajui anatafuta nini😅😂
@salhaayub1338
@salhaayub1338 3 месяца назад
Mimi ningekuwa mr right nawambiwa zile ghorofa za k koo ni zangu za urithi namiliki gari 2 halafu kwa mwezi naingiza milion 10 kazi kwao watawasha taa wote hao pumbavu😂😂😂😂😂 halafu ukimchukua unampeleka home anakuta geto ya room moja kodi elf 25 kwa mwezi kazi gereji😂😂😂
@afro_abbuh9147
@afro_abbuh9147 4 месяца назад
Alia nimekwelea zaidi unavyo ongea vyote vina point 👌👌👌
@user-lt7kc3bd9c
@user-lt7kc3bd9c 4 месяца назад
Kaka mm nawakubali sana apo, ila kuna mtu nimemuelewa namuitaji kama ata nilizia ila mm siko tz kwa sasa.
@brisillarutaigwa5022
@brisillarutaigwa5022 4 месяца назад
Njoo tuchukuane uku achana na hao
@joycehaule9717
@joycehaule9717 4 месяца назад
Yan nimecheka uwiiiiiiiii yn mkimtoa Eliza siangalii Mr right hahahaha
@jeniphajohn2921
@jeniphajohn2921 4 месяца назад
Huyo Eliza aondoke hapo anawazalilisha vijana wawatu
@raulentlishoni898
@raulentlishoni898 4 месяца назад
Sasha alie mzalisha yupo wapi.amleemtoto wake iliaweze kumweshimu asisumbue watu
@annamutarodwa669
@annamutarodwa669 4 месяца назад
Kama kaja kuonyesha mavazi
@DoreeniFlaye-jp4ki
@DoreeniFlaye-jp4ki 4 месяца назад
yani sijuw nimuombe mume wangu amuowe Eliza afu anaachija wiki 😂😂😂
@user-be9zz3yg1f
@user-be9zz3yg1f 4 месяца назад
Eliz anatuchosha mashauz meng sana alaf mnafki sana
@ParsiokoLemalon
@ParsiokoLemalon 4 месяца назад
Polly Sanam idea Lisa
@TrinaRoman345
@TrinaRoman345 4 месяца назад
Eliza gume gume huyo atakuja mjaruo ampe hisia 😏
@EvanaFelix-cr3hj
@EvanaFelix-cr3hj 4 месяца назад
Mi muelewa jaman 😢 mi mwenywe nipo na hyo hali yan kuna mda kila mwanaume nkimuona nahis hasir tu
@SwahiliAmbasador954
@SwahiliAmbasador954 4 месяца назад
Njoo kwangu uone kama utapata hasira tena ❤️❤️
@EvanaFelix-cr3hj
@EvanaFelix-cr3hj 4 месяца назад
😂😂😂😂 uwiiiii nshapata hasira tena 😂
@ingabireshakira9631
@ingabireshakira9631 4 месяца назад
@@EvanaFelix-cr3hj hahahaha😅😅😅
@user-fo8yc8xo8s
@user-fo8yc8xo8s 4 месяца назад
Unajua huyu Eliza anawaiga wale warembo wa kenya juz Kuna mdada alilia pale kwenye Mr Right wa kenya akisema mbona hapat mchumba hawalet type yake Tena anaitwa benta Sasa Hilo lieliza linaiga hapo
@RahyanaGenard
@RahyanaGenard 4 месяца назад
🤣🤣🤣🤣🤣
@joyce55727
@joyce55727 4 месяца назад
😁😁
@lindatumaininandrie8846
@lindatumaininandrie8846 4 месяца назад
She is so dramatic😂😂
@marthesifa-5803
@marthesifa-5803 4 месяца назад
Eliza jamani 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@user-gb3sf9fy2u
@user-gb3sf9fy2u 4 месяца назад
Kila siku mngekuwa mnavaa ivo yan mnapendeza sana
@swalharajab8365
@swalharajab8365 4 месяца назад
😂😂sas kama huna hisia umefwata nin hapo eliza umenyodoa saan wanaume wa wenyewe tulia dawa ukuingie😂😂
@henrychitepeterichard
@henrychitepeterichard 4 месяца назад
Eti Eliza hana hisia 😂😂😂
@user-dz2xr9bc6g
@user-dz2xr9bc6g 4 месяца назад
Eliza mtoen t jamn sio kwa ubaya lakn mtoen t maana anakera tu
@SurprisedBirdBath-qh2nn
@SurprisedBirdBath-qh2nn 3 месяца назад
Enyewe amake sense hapo anaringa na sura 2
@lindatumaininandrie8846
@lindatumaininandrie8846 4 месяца назад
Anataka therapist wala sio mpenz, anachoshaa hapo
@salomemanfred1809
@salomemanfred1809 4 месяца назад
Hana Hisia 😂😂😂😂😂😂 kaja kutafta kiki Au😂💔💔
@niyonzimaraissa9497
@niyonzimaraissa9497 4 месяца назад
Jamani nasubiri kwa hamu
@user-sh2uq1sh4y
@user-sh2uq1sh4y 4 месяца назад
Huy eliza atoke hapo
@rasependopendo8096
@rasependopendo8096 4 месяца назад
Poleeeeee
@gloryellys1666
@gloryellys1666 4 месяца назад
atoke tu hapo kwanza kunamda anadharau sana kuna mda atumuelewi yani tumemchoka 😏
@tumainimano9953
@tumainimano9953 4 месяца назад
Mbwa kabisa huyu mnafki Sana
Далее
would you eat this? #shorts
00:35
Просмотров 819 тыс.
BABA YANGU KIPOFU Full episode /30/ #love
37:10
Просмотров 163 тыс.