Тёмный
No video :(

EX NI KEKI SIO ANDAZI | NIMEMSAMEHE KWANZA KAVAA NGUO YANGU | NARUDIANA NAE 

ST BONGO TV
Подписаться 167 тыс.
Просмотров 234 тыс.
50% 1

►Instagram / stbongotv
►TikTok / stbongotv.tz
►Facebook / stbongotv
►Twitter / stbongotv
ST BONGO TV Channel 401 (Dish) 161 (Antena) on Startimes Decoder

Опубликовано:

 

23 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 184   
@godfreyzenda9027
@godfreyzenda9027 4 месяца назад
Hii story ni tamu nmerudia mara nne kuitazama🎉❤ Mungu alinde mahusiano yenu. Nawatakia bahati nzuri ya kuingia kwenye Ndoa....
@faizaahamd2052
@faizaahamd2052 7 месяцев назад
Anita uko vizur. Mungu akubariki. Mkafunge ndoa sasa
@FrankManko
@FrankManko 7 месяцев назад
siku zote love haidanganyi no matter what mwanamke ametumika kiasi gani na mabahalia lakini bado guy anashow love kwa kumpa kumbatio unajua kunawakati tunapaswa kuwaruhusu tunao wapenda na wao wakatuona bush royal waende wakakutane na za uso kutoka kwa mabahalia ndo wajifunze thamani ya utu na upendo
@roseafrael75
@roseafrael75 7 месяцев назад
Hii ya Tom na Anita nimeipenda 😊😊😊😊🎉🎉🎉🎉
@Joharibashir.193
@Joharibashir.193 7 месяцев назад
Aya mapenzi nyie 😂...nataka mmoja kama kaka Thomas aIseee haiwezekani Anitha kujutia Thomas anakitu atafika mbali😅
@godfreyzenda9027
@godfreyzenda9027 4 месяца назад
True
@eugenememba3549
@eugenememba3549 6 месяцев назад
Nimeipenda hii for real, from Kenya 🇰🇪
@yusufdebwoy8695
@yusufdebwoy8695 7 месяцев назад
Ata mm Leo nipeni izo likes nijue maana yake maana nmekua wakwanza
@fredrickkaweu
@fredrickkaweu 3 месяца назад
Umepata mauwa Yako ndugu
@honorascusmatembe2987
@honorascusmatembe2987 7 месяцев назад
Anitha sijui mahali umetokea but Kama kweli unataka mchumba hata ulivyo vaa unamanisha kweli unataka mchumba
@RandB_Channel
@RandB_Channel 7 месяцев назад
Unajuwa kujitambu mmaisha nikitu kizuri sana . Umefanya vizuri Anita
@user-zb2mj5nd5g
@user-zb2mj5nd5g 7 месяцев назад
no body is perfect tunaishi nakujifunza pia congurations to you Anitha baada yagundua kwamba mwanzo ulikua unajidanganya mungu yupo nawe kakurejesha kwenye penzi halisi
@MnyandwaMapeyo
@MnyandwaMapeyo 3 месяца назад
..mmh jamani nataka nijue kua mr right wakitoka hapo wanaenda kupima ukimwi or
@KiongoziMwandamizi
@KiongoziMwandamizi 7 месяцев назад
Anita anajitambua, na mkweli,bongo huwezi kuta msichana mkweli eti kachezewa atajifanya hajawahi liwa😏. Infact nimependa hio reunion yao👏👏👏
@samuelshanto9582
@samuelshanto9582 7 месяцев назад
Kama nitabahatika kupata contact ya hao watu basi nina gift yao
@user-ly2mj6od3v
@user-ly2mj6od3v 7 месяцев назад
Uyu Zarish namuona kama muhuni sana ,,ila anisamehe hajatulia ,haonekani kama ni wife matiliooo😅 anapenda kujichetua ,hana pwentii,hana aibuu mnisamehe huo ndo ukweli
@katolekiki368
@katolekiki368 7 месяцев назад
Ata kaa Sana tu apo maneno mengi na asha tumika Sana
@katolekiki368
@katolekiki368 7 месяцев назад
Ata kaa Sana tu apo maneno mengi na asha tumika Sana
@jamesmwita2995
@jamesmwita2995 6 месяцев назад
Umewaza kama mimi ninavomuona ila tumtunzie heshima yake
@user-nc1mw8uz7x
@user-nc1mw8uz7x 7 месяцев назад
Me napenda show Iko vizuri sana
@itNeza
@itNeza 7 месяцев назад
Anitha mwenyewe Bonge la Pisi. ❤🌹
@godfreyzenda9027
@godfreyzenda9027 4 месяца назад
True
@user-ij6eo6pq6z
@user-ij6eo6pq6z 7 месяцев назад
Hata mm nimekupenda umevaa vzr anitha nguo za heshimà
@BennyMusic-fn9qz
@BennyMusic-fn9qz 4 месяца назад
Mungu baba wabariki bhana mfunge ndo Salam mpate nawatoto wazuri
@user-nv8cz8eq2x
@user-nv8cz8eq2x 7 месяцев назад
Heeeeee uyu mkaka jamani namjua tulipanga kwao😂😂
@user-rj4cd7oc4x
@user-rj4cd7oc4x 7 месяцев назад
Mm nimezaa nae😂😂😂
@timothmwakakusyu4563
@timothmwakakusyu4563 6 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂😂😂​@@user-rj4cd7oc4x
@shukurusaria8527
@shukurusaria8527 4 месяца назад
😂😂😂😂😂😂😂😂​@@user-rj4cd7oc4x
@EeeeEeee-gr1fd
@EeeeEeee-gr1fd 3 месяца назад
😂😂😂​@@user-rj4cd7oc4x
@mosesmaina1587
@mosesmaina1587 6 месяцев назад
Tz Mr Right All the way
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 7 месяцев назад
MADAM ANITA LANGUVU LINAONEKANA ZURI TAMU ❤❤😂😂
@deogratiusyudatadei5658
@deogratiusyudatadei5658 7 месяцев назад
😂😂😂
@floraflora5964
@floraflora5964 7 месяцев назад
Wahaya atunaga shoo mbaya ❤❤
@jostamzxkaole3113
@jostamzxkaole3113 7 месяцев назад
😛😛
@user-xg2ld2qr7y
@user-xg2ld2qr7y 7 месяцев назад
Wooow impressive,nice one
@ZulfaBakary
@ZulfaBakary 7 месяцев назад
Nimeipenda
@fredrickkaweu
@fredrickkaweu 3 месяца назад
Anita mtunze sana umeshajuwa sasa Pls thamini ulichokuwa Nacho hata kama nikidogo Mungu akujaliyeni mufijembali Na heshima ndiyo mafanikiyo Yenu usinzarau mdogo Kisa ww umemzudi umri Nishaeleweka nawapenda Wote🎉
@Felister330
@Felister330 7 месяцев назад
Strong love and true
@collinsbella8360
@collinsbella8360 7 месяцев назад
Gara B kasonya kwa huo unafki wa Zalish 😂😂😂😂😂
@user-ch2it3qt5z
@user-ch2it3qt5z 7 месяцев назад
Kwhyo😂 hapa mlikuja ili kupatanishwa et hhaha au mmeambizana mje mtuzilishie kuwa mlikuwa loved😂😂😂
@henricknazarius9180
@henricknazarius9180 3 месяца назад
Wana wake bana waongo waongo sana
@sharifu-story4644
@sharifu-story4644 4 месяца назад
Hii Kali sana nimekubali
@AdelinaBruno-mz2rx
@AdelinaBruno-mz2rx 7 месяцев назад
Anithaits so.beutuful ...couoke.nzuri.hiyl like
@Juniorbaraka21
@Juniorbaraka21 7 месяцев назад
Yani nimeipenda sana
@user-sn6dc9gh8k
@user-sn6dc9gh8k 7 месяцев назад
Hii ndo luludiva na nandy wameimba mguu wa mtaalamu kuachika kirahis no😂😂😂❤❤❤🎉🎉
@vailethjackson7834
@vailethjackson7834 7 месяцев назад
🤣🤣🤣
@SerenakaremboDzombo
@SerenakaremboDzombo 7 месяцев назад
Love is beautiful ❤❤
@kissboyclaassic2379
@kissboyclaassic2379 7 месяцев назад
Yaani nimeipenda na nusuuu😅🎉🎉🎉🎉❤❤❤
@samychance
@samychance 5 месяцев назад
😂😂😂😂 Gara B I like the way you sonya😂😂
@Baba-JJ
@Baba-JJ 7 месяцев назад
Ila vijana wa siku hizi kwa kupenda mtelezo hamjambo. Yaani hata mwenza wa maisha yako kumpata mpaka msaidiwe? Ina maana kwenye pitapita zenu huwa hamkutani nao? Hivi kumsimamisha mtu na kumweleza unavyojisikia na kumshawishi, mnaona tabu sana? Hivi mtu wa kukutana naye hapo kwa lisaa unawezaje kujua kama atakufaa maishani mwako? Au ndio staili mpya ya kudanga?
@timothmwakakusyu4563
@timothmwakakusyu4563 6 месяцев назад
Ni mtindo wa kubeti unijujuta umepata mtu sahihi
@hassanhancha1413
@hassanhancha1413 7 месяцев назад
Backsound ni kubwa mpunguze inaleta karaha
@shangwerobert5639
@shangwerobert5639 7 месяцев назад
Background music ni kubwa sana
@user-gs5cc2hv7y
@user-gs5cc2hv7y 7 месяцев назад
Je Thomas angependa mtu mwingine ingekuaje
@gastondofra9151
@gastondofra9151 7 месяцев назад
Mwanaume atabaki kuwa mwanaume maana Anita alitaka kujipandisha lakini alikuja kujua kumbe nivizuri kutii ni bora kuliko zabihu.
@cosmasthomas9164
@cosmasthomas9164 7 месяцев назад
Aya aya dear ex eehhhh🤣🤣😂😂🙈🙈🙈
@bagengift3488
@bagengift3488 6 месяцев назад
Kwangu mimi Thomas ni kijana mpuuzi toka mwaka uanze😅😅
@johvinndessa9793
@johvinndessa9793 6 месяцев назад
Mshenzi sana uyu Tomm
@mwakwelisaid3152
@mwakwelisaid3152 5 месяцев назад
Safi nice couple forever
@jamesmwita2995
@jamesmwita2995 6 месяцев назад
Kiukweli nimependa hii stori 🎉❤
@user-ix5uo6ks7j
@user-ix5uo6ks7j 4 месяца назад
This good back to Ex
@user-qv8qo3ff3q
@user-qv8qo3ff3q 3 месяца назад
Waomba like acheni mambo ya kisenge mnakera sana
@MoscahLineTv
@MoscahLineTv 6 месяцев назад
Sadfa ilioje❤❤... Penzi la kuenziwa.. heko!!
@MwanangeniAyubu-nn1hw
@MwanangeniAyubu-nn1hw 6 месяцев назад
HII imeenda ❤wagombanao.......😂
@user-bj6bs9do2f
@user-bj6bs9do2f 6 месяцев назад
Yani kuskia Jamaa Hana Duka Sifa Zamapenzi Ndio Zinaanza duh🤣🤣🤣
@N254NK
@N254NK 3 месяца назад
The backround music is a little irritating they could show without it
@enockmathew5568
@enockmathew5568 7 месяцев назад
Khaa faudhia mtoto wa viwege 😂😂 huna x
@ShehaYahya-fm3hx
@ShehaYahya-fm3hx 5 месяцев назад
Kwakweli mwanamke nimzuri kanimaliza mm ❤
@janetmwangombe6267
@janetmwangombe6267 7 месяцев назад
Hana ex ana wayi😂😂😂
@zarnacysaidy8381
@zarnacysaidy8381 7 месяцев назад
True love 😘😘
@David-if6nk
@David-if6nk 4 месяца назад
Hahahaa huyo dada kwamba hana X kwa maana kwamba hajawahi kutombwa
@jackdizle7468
@jackdizle7468 7 месяцев назад
Hadi raha jamani
@CROWNMEDIAKE
@CROWNMEDIAKE 7 месяцев назад
Hadi rahaa jamani❤❤❤
@user-il8wx3eq8i
@user-il8wx3eq8i 3 месяца назад
Zarishi anamaono kweri yani
@dannyshilla7350
@dannyshilla7350 7 месяцев назад
Afu mbona hawa wamenitoa chozi kwa mbali hisia kali sana
@jescarobertkiswaga1580
@jescarobertkiswaga1580 2 месяца назад
Very fastastic
@Adeen.1
@Adeen.1 6 месяцев назад
Ko mnamaanisha ma x hawatabiliki kupasha polo muda wowote...😂😂😂
@annahilonga3550
@annahilonga3550 3 месяца назад
Nimependa jamani❤❤❤
@robinson01tz0
@robinson01tz0 3 месяца назад
She jamani jah bless
@beatricetuyisenge6819
@beatricetuyisenge6819 6 месяцев назад
Anitha renew again with Thomas, Love Is Good ❤❤
@revokatuskabaka2992
@revokatuskabaka2992 4 месяца назад
Na wengne wananyege zao apo bc ndo shida tupu yan😅😅😅😅 kila mtu analeta upwiru😅😅😅
@katolekiki368
@katolekiki368 7 месяцев назад
Iki kidada kita kaa Sana tu apo kina maneno mengi na zarau za ufala eti sina ex tena kina onekana Kisha tumika Sana
@ellymwampashe8927
@ellymwampashe8927 7 месяцев назад
Wooowwww i love this🎉🎉🎉
@NaahZephania
@NaahZephania 4 месяца назад
Dadaa umeniliza jamn😢Mungu awe nany jmn uwii
@user-tc1cd9ds4z
@user-tc1cd9ds4z 4 месяца назад
Yaan APA naona kama maigizo Tu hakuna ukwel wowote sasa apo uyo Jamaa aljuaje kama atamkuta Anita hapo 😂😂ili amludie na je kama Anita asngekuwepo angemchagua nan au asnge mchagua mtu yoyote😂 😂
@user-ch2it3qt5z
@user-ch2it3qt5z 7 месяцев назад
😂mm nlicho gundua ili upendwe chap uwe sharobolo tu alafu uwe muongo muongo😂😂
@aminaabdalla-uo9zq
@aminaabdalla-uo9zq 5 месяцев назад
Hhhh
@projuzamlowe2950
@projuzamlowe2950 4 месяца назад
We jamaa noma mekupendaa
@Mery-st4nu
@Mery-st4nu 7 месяцев назад
Mc garab jaman neema yuko wapi❤
@rodgersmwagu239
@rodgersmwagu239 7 месяцев назад
Hii imeendaa
@veronicamwafulilwa2689
@veronicamwafulilwa2689 7 месяцев назад
Ni maamuzi pia kwa mwanamke kuwa single siyo shida broo huo no mtazamo wako
@alexmusambya5612
@alexmusambya5612 3 месяца назад
Ni hatari sana kumrudiya mke aliye kusaliti before kwani usaliti yapılı itakuwa kubwa zaidi kuliko iyo yakwanza Eti alichezewa aka tupwa then ume murudi? Mke kakuzidi myaka miwili huyo nikama mamayako bro hawezi aka kueshimu ama hawezi aka kusikiya ama hawezi aka kutii Choices have Consequences
@Eddy_0002
@Eddy_0002 6 месяцев назад
Best couple 💑
@carolbenny3302
@carolbenny3302 7 месяцев назад
Hapo ndo ujidanganye we Anitha ex atakuja😂😂😂😂
@user-jz2su4co4d
@user-jz2su4co4d 7 месяцев назад
Shetani ana nguvu wadada tujitambue mnauzwa bila kujua
@meshacknyandongo577
@meshacknyandongo577 4 месяца назад
Wanaume tunazidi kujishushia heshima yani mtu amekukosea akaondoka ameamua kukurudia tena wewe ndie upige magoti vijana wa hovyo kabisa
@mkambaselemani-ej7np
@mkambaselemani-ej7np 7 месяцев назад
Naonakama hawajielewi Hawa wadada nahao wanaowatangaza maana m,ume akae miezi 9 anaumwa au?acheni ujinga
@Fx_expertmoneymaker001
@Fx_expertmoneymaker001 7 месяцев назад
Saiv pepsi wana sponsor 🎉
@cimpayeriziki6680
@cimpayeriziki6680 6 месяцев назад
Naliia sanaaa
@bushbabytz
@bushbabytz 3 месяца назад
hata mimi nikikutana na pisi yangu ya zamani Suzan Cassian nitarudiana nae tu ...
@chulelubella2819
@chulelubella2819 7 месяцев назад
Kipindi Cha hovyo kabisa na wadada wanaoenda hapo hawajitambui
@user-zb2mj5nd5g
@user-zb2mj5nd5g 7 месяцев назад
sielewi kabisa mantiki yahiki kipindi naona kama wanahamasisha ngono vile
@theresareed8537
@theresareed8537 7 месяцев назад
No Mimi Michael kutoka America Arizona no. ???no
@zdaima
@zdaima 7 месяцев назад
AZ sehem gani
@awadhrajabu1403
@awadhrajabu1403 7 месяцев назад
Izi Ndio Kanuni Za Ndoa Jamani Duniani Kuna Ndoa Za Mungu Na Za Shetani Ndoa Za Mungu Zimebeba Kanuni Zake Bola Ndoa Za Shetani Kokote Kambi Aziitaji Kanuni Zaidi Ya Nyegezi2
@salumsantuli1382
@salumsantuli1382 7 месяцев назад
Anitha ni aina ya mwanamke ambae mimi binafs nampenda na uwez skia ugomvi ana mapenz ya bongo movie kama ya wizi hiv lkn ndio kitu napend sana love Anitha
@magreciousthomas3527
@magreciousthomas3527 7 месяцев назад
😂😂anavodeka uyo aniths 😅
@user-ks7gg3io6d
@user-ks7gg3io6d 5 месяцев назад
Punguzen hiyo sauti ya mziki inatukera.....hatusikiii
@abimaelyabihudi5530
@abimaelyabihudi5530 7 месяцев назад
Huyo mwehuuu au kaeleewa vibaya ashazoea michezo ya wakubwa
@RachelMlunza
@RachelMlunza 24 дня назад
❤❤❤
@azizaa109
@azizaa109 7 месяцев назад
Sasa happy eshima itakuwepo
@user-fv1ig6to8p
@user-fv1ig6to8p 7 месяцев назад
Malaya tu nyie iv mtu una akili unaenda kutafuta mke hapo😢
@subrynerysegerow1323
@subrynerysegerow1323 7 месяцев назад
Gara b alivyosonya 😂😂😂😂
@khalfanimsangi2350
@khalfanimsangi2350 7 месяцев назад
Jamaa anamsimamo huyo
@SamuMushi-gk7jy
@SamuMushi-gk7jy 3 месяца назад
Yani unaongea kabisa umetombwa ukachwaa na Bado jaama anakutakaa Mimi siwez kubali Bora uniongopee ukweli wa ivyo staki😮
@Geshilali
@Geshilali 4 месяца назад
Allow
@user-re3fu6zi1l
@user-re3fu6zi1l 5 месяцев назад
Mwamba kauwaa😅
@davidoj6689
@davidoj6689 5 месяцев назад
Jamani hii imetisha nairudia mala 10 dah
@momapessa
@momapessa 7 месяцев назад
Tommy ❤❤😂😂😂
@sajjaddaffa
@sajjaddaffa 4 месяца назад
Anitha ni mwanamke sijawai ona
Далее
HUYU JAMAA MBONA MTATA SANA AISE!!
9:54
Просмотров 628 тыс.