Тёмный

EXCLUSIVE: HISTORIA ya CDF MABEYO {KOMANDO} HATARI ALIYEACHA UPADRI na KUWA MKUU wa MAJESHI {JWTZ} 

SAN TZ MEDIA
Подписаться 36 тыс.
Просмотров 175 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 90   
@lemikidola
@lemikidola 6 месяцев назад
Nakukubali nakuombea Mungu akuongoze uishi maisha marefu kamanda
@michaelgilbert1531
@michaelgilbert1531 3 месяца назад
We appreciate cdf mabeyo kwa kazi nzuri na moyo WA unyenyekevu WWE ni mfano wa kuigwa
@paulvimbamvula9508
@paulvimbamvula9508 18 дней назад
Mungu akulinde Mabeyo
@umrathhassani
@umrathhassani 4 месяца назад
Mashaallah allah akulipe umeli2mikia taifa kweli
@MarwaNyataigo
@MarwaNyataigo 5 месяцев назад
Mungu ukupe maisha marefi
@Santzmedia
@Santzmedia 5 месяцев назад
Nawe pia🫡
@petercostakisoka
@petercostakisoka 6 месяцев назад
Daah mtoto mmoja tu jeneral alikuwa nae
@Santzmedia
@Santzmedia 6 месяцев назад
Kazi ya mungu huwaga haina makosa
@robertjerald317
@robertjerald317 6 месяцев назад
Nani kakwambia alikuwa ana mtoto mmoja ??
@anodearsulusi7536
@anodearsulusi7536 5 месяцев назад
Mwongo sio mtoto mtoto mmoja
@KidomelaEdward
@KidomelaEdward 5 месяцев назад
Miaka mingi kwako ngosha wa nshimba❤❤
@ellynzinya6338
@ellynzinya6338 Месяц назад
Hua kuna watu wanakera ,unapotaka kutoa habari kuhusu mtu muhimu kwa Taifa na Africa kwa ujumla hakikisha una data za maana,za kutosha na za ukweli na sio kubumba bumba tu ,mwacheni Af mabeyo ni mtu mkubwa sana mwenye heshima zote , MUNGU ampe maisha marefu yenye amani tele mwamba wa Africa
@hassanmfaume4522
@hassanmfaume4522 6 месяцев назад
Huyu Mabeyo kwangu ataendelea kuwa mzalendo halisi kutokea usukumani.!
@Santzmedia
@Santzmedia 6 месяцев назад
🫡🫡🫡
@TumainiHassan-bd2wj
@TumainiHassan-bd2wj 3 месяца назад
❤ Amen 🙏
@bboyamos
@bboyamos 6 месяцев назад
I WISH TO BE A SOLDIER I AM COMING FROM TANZANIA DARESALAAM
@Santzmedia
@Santzmedia 6 месяцев назад
😂👊
@mosesjohnswilla9926
@mosesjohnswilla9926 5 месяцев назад
Tuna Maombi tu nafasi zimetoka
@bboyamos
@bboyamos 4 месяца назад
Sawa mkuu​@@mosesjohnswilla9926
@FranciscoKatakwa
@FranciscoKatakwa 5 месяцев назад
Bunda Hakuna Makao Makuu ya Serengeti
@Shebbylaizer
@Shebbylaizer 6 месяцев назад
Good
@Santzmedia
@Santzmedia 6 месяцев назад
🫡🫡🫡🫡
@Princewaweru
@Princewaweru 6 месяцев назад
Baba yangu ndo shujaa kwasabab ya uwepo wang
@Allyhujjat
@Allyhujjat 6 месяцев назад
Dah mtoto mmoja amemkuza mpka amekuwa rubani kisha mungu amemchukuwa kweli kifo iki jamani kah
@Santzmedia
@Santzmedia 6 месяцев назад
🫡🫡
@godlovemwakalinga
@godlovemwakalinga 6 месяцев назад
Jwtz Toka lini ikawa jeshi la kujenga taifa acheni kukukurupuka kwenye kuapdates story Ili kupata views bhana pitieni kazi kabla yakupost msitupotoshe wengine tunajitambua.
@mropetv7034
@mropetv7034 6 месяцев назад
Daa mwamba muongo
@hassan-sarumbo
@hassan-sarumbo 6 месяцев назад
me nimemuelew walikua kambin jkt vita viliv tokea wakachukuliw huko huko baada ya vita ndo akaingizw jwtz moja kwa moja
@elicknyega7317
@elicknyega7317 5 месяцев назад
​@@hassan-sarumboSafi umeelewa
@hassan-sarumbo
@hassan-sarumbo 5 месяцев назад
@@mropetv7034 yupo sqhih ichi kitu alish ongeaga mbn yeye kam yey
@savinitumbena9308
@savinitumbena9308 Месяц назад
Mabeyo hajawahi kuwa komando.Angekuwa na seagull wings (bawa)
@tumsifujoachim5877
@tumsifujoachim5877 5 месяцев назад
Imagine cdf mstaafu ni kijana ukilinganisha hayati cdf wa kenya aliyetangulia mbele za haki
@innocentlusajo9303
@innocentlusajo9303 5 месяцев назад
CDF hakufeli kua padre Wala hakushindwa kwenda chuo
@mussaharun7257
@mussaharun7257 3 месяца назад
Alivusha taifa salama
@josephMagonya
@josephMagonya 6 месяцев назад
Banda iko mkoa wa mara siyo MWANZA
@Santzmedia
@Santzmedia 6 месяцев назад
Umeiskiliza Vizuri lkn.....!!???
@FabianPiusMghanga
@FabianPiusMghanga 6 месяцев назад
Mbona amesema vizuri tu mkoani Mara?
@lameckmtoni9749
@lameckmtoni9749 6 месяцев назад
Sio Banda ni Bunda 😅
@goromamussatvonline
@goromamussatvonline 2 месяца назад
mkikamatwa mnaanza kusema serikali mbaya
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 6 месяцев назад
Sf Sana cdf msitaafu
@Santzmedia
@Santzmedia 6 месяцев назад
Venance mabeyo
@carlosleonard6050
@carlosleonard6050 5 месяцев назад
Are you sure ni commando?
@deusmbuge5740
@deusmbuge5740 5 месяцев назад
Anamtoto Mwingine ni mjeshi
@MohammedMaulidHaji
@MohammedMaulidHaji 5 месяцев назад
JWTZ nan mwengin alieskia maan yke jmaa katupakia ap😂😂😂😂😂😂
@salumumawaya
@salumumawaya 5 месяцев назад
mkuu wa jeshi la kujenga taifa (jwtz) 😂 huyu jamaa anatulelea mapuuza wazi
@Santzmedia
@Santzmedia 5 месяцев назад
Umeandika nini Kwani mbona hauelewiki mkuu?
@nakalikyumile3234
@nakalikyumile3234 6 месяцев назад
Hatari gani na nyie,hatari kulinda watawala wasio ongoza nchi kwa haki?
@mlokaferdinand
@mlokaferdinand 6 месяцев назад
Na hiyo ndo hatari Zaid...kimlinda mtu asiyependwa
@christianchando7041
@christianchando7041 2 месяца назад
Kama humpendi ww unadhani Tanzania nzima hawampendi???​@@mlokaferdinand
@christianchando7041
@christianchando7041 2 месяца назад
What means of kuongoza kwa haki? Kusikiliza ujinga wa wanasiasa ndo kuongoza kwa haki???
@perfectpixelsstudio3603
@perfectpixelsstudio3603 6 месяцев назад
Mbona sijaona kua (komando) hapo ??
@Santzmedia
@Santzmedia 6 месяцев назад
Unaitaji kuwa komando mkuu 😂🤓
@RiderKiloleli
@RiderKiloleli 3 месяца назад
Padili ten
@djfaraji
@djfaraji 5 месяцев назад
Muongo sana umepata wapi izo stori mbona ujataja alipitia ngelengele 92 komando.uyo ni mtu mzito na muimu kwenye nchi hii
@Santzmedia
@Santzmedia 5 месяцев назад
Data mala nyingine huwa zinapotea ama kusahaulika so kwetu Tunahesabu kama "kosa " Hivyo kama haujaskia hicho kikosi Basi Ujue hajapitia ama kimesahaulika
@josephmihayo6236
@josephmihayo6236 6 месяцев назад
Poor narrative, msimuliaji ana pwaya sana. Story IPO vagalant!
@StephanoKamunya
@StephanoKamunya Месяц назад
Mbona minasifiya vtu ambavyo avipo
@lawskuli9876
@lawskuli9876 6 месяцев назад
Waasi wa Kiislamu ndio nini wewe wacha upumbavu. Hao ni waasi tu
@Santzmedia
@Santzmedia 6 месяцев назад
Waasi wa dini yenye itikadi Kali mkuu , Kwa macho hivyo tulivyotamka ni sahihi Ila kama unazungumzia Imani kila mmoja ana uelewa wake mkuu
@hassanshemndoa5062
@hassanshemndoa5062 3 месяца назад
Komando kivipi yani
@rahelmsuya7271
@rahelmsuya7271 5 месяцев назад
Eti alifeli.. uongo mtupu
@abdallahcooper3111
@abdallahcooper3111 5 месяцев назад
Kwani ni lazima kila Mtu awe Mtangazaji? Acheni kuharibu fani za watu! Lafudhi mbaya na hujui chochote, kwa kifupi unaropoka tu.
@Santzmedia
@Santzmedia 5 месяцев назад
Kwani kunaulazima wa wewe Ku comment hapa unaonekana chizi kumfuatillia mropokaji @abdallahcooper3111
@TPW_FLUXY
@TPW_FLUXY 6 месяцев назад
Huyu mabeyo hafai ni mnafiki msimpe sifahizo muasi huyo
@SeniorLeewis
@SeniorLeewis 6 месяцев назад
🤔🤔🤔🤔
@AlexMwapule
@AlexMwapule 4 месяца назад
ACHa wivu
@bakarithegeoinformatician7406
@bakarithegeoinformatician7406 6 месяцев назад
Acheni ufala nyinyi, makundi ya kigaidi ya kundi la kiislam ni yapi? Nyie mbwa achani mambo yenu
@FridayMwassa
@FridayMwassa 6 месяцев назад
Kwaani uongo,magaidi yote ni maislam
@bakarithegeoinformatician7406
@bakarithegeoinformatician7406 6 месяцев назад
@@FridayMwassa Waislam ndio walio fanya ukoloni(colonialism), Waislam ndio waliowaletea UKIMWI(AIDS Violence), waislam ndio waliowaletea ushoga(ni moja ya njia za mpango wa uzani walizowaletea wazungu), waislam ndio waliofanya biashara ya utumwa(The triangle trade/African slave trade). Waislam ndio waliouwa watu Afrika kusini? Shida yenu mkisikia waarabu tu mnakimbilia waislam! Dini za KALE kabla ya uislam pale arabuni; za Kisemiti, Ukristo, Uyahudi, Mandaeism, na Zoroastrianism. Ukristo uliongzeka hapo baada ya kuanzishwa na wazungu na baada ya kukinzana na ile Mila aliyoachiwa Nabii Abraham, ndipo mkaletewa chuma kuwakumbusha kuwa hizo mlizonazo sio njia sahihi! Sema wazungu wamekuwa na vita za kiuchumi toka enzi, leo Israel anafanya ugaidi lakini bado mnasema taifa teule! Kuna taifa teule linaruhusiwa kuuwa?
@yusufmohamed8874
@yusufmohamed8874 6 месяцев назад
Hakuna waasi wa ki Islamu wewe Fala
@Santzmedia
@Santzmedia 6 месяцев назад
😂😂😂Sawa
@RwekazaBatamuzi
@RwekazaBatamuzi 6 месяцев назад
Wilaya ya Bunda iko Mkoa wa Mwanza, siyo Mkoa wa Mara.
@Santzmedia
@Santzmedia 6 месяцев назад
Uko sahihi !?
@WAKATV-hh6hv
@WAKATV-hh6hv 6 месяцев назад
Bunda iko Mwanza!!!!! tangu lini aisee???
@abdulshaban5428
@abdulshaban5428 6 месяцев назад
Bunda iko Mara ndugu
@josephfelicianlugakingira832
@josephfelicianlugakingira832 6 месяцев назад
Bunda Ipo Mkoa Wa MARA mkuu Sio Mwanza
@DamasKatunzi
@DamasKatunzi 6 месяцев назад
Ni mara
@RithaMahindo
@RithaMahindo 3 месяца назад
😂😂
@RithaMahindo
@RithaMahindo 3 месяца назад
😂
Далее
DUNIA (Ep 12)
22:49
Просмотров 105 тыс.
BABA WA TAIFA ALIILILIA TANZANIA KABLA YAKUKATA ROHO.
21:57
PLAN B _ Episode 22
1:02:01
Просмотров 99 тыс.