Mungu apewe sifa kiukweli kwakuacha pombe maana ma stars wato munasumbuliwa sana na hilo pepo la kunywa pombe. Mungu awaguse nawengine tusikiye ushuhuda.
Zama unahoji vitu vya maana na vya kuinspire mashaAllah sio wengine kila siku sijui beyonce wa buza,gigi,na hawana projects zozote wanazoonesha....shout out to u kajala pia
Akitoka Millard kwa kuhoji vizuri upande wa wanaume nazani wakike inafata zama yannnn yupo so smart sio maneno mengi anakua direct na kitu anachouliza waooh I do love her jmnnn🥰🥰
@@kimzymamy6594 Inauma sana wallahy, amefanya kila jitihada ya kumlinda mtoto wake, ila inakaa wa moja ni wa moja tu, hata ukimpa mbili, moja bora ipotee tu #Paula
Da zamaradi mmeongea vizuri sana wewe na kajala ila swali muhimu sana hujauliza.... alivyo tolewa gerezani na WEMA SEPETU ..... tatoo yake ya wema.... yama ni matangazo tu ya byashara zake na blablablaaaa..... wengi hatuja furai kwa kweli na tujuane jamani.... but ilikua poa.....🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🇧🇪🇧🇪🇧🇪🇧🇪