Тёмный

#EXCLUSIVE 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 37 тыс.
50% 1

Развлечения

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 114   
@esterkileo3486
@esterkileo3486 4 года назад
Duuuh nimeumia sana kumuona mzee anaumwa pole sana baba mwenyezi Mungu atakuponya na mungu mpe mama nguvu ya kuhudumia na kaka Dami pia ubarikiwe sana.
@auntdorah9141
@auntdorah9141 4 года назад
Uzima wa mwenzio ni zaidi kubwa sana.. Nimeipenda sana hii!! Mungu azidi kuwatunza wapendwa..mama una hekima sana.
@bashauladevotha
@bashauladevotha 4 года назад
Hongera sana Mama kwa kumuongoza Mzee kwa Mungu, kuitumikia Dunia imetosha sasa amrejee Muumba wake katika Roho na Kweli.
@bahatisunga1642
@bahatisunga1642 4 года назад
Aminaa
@alhadjijumaa648
@alhadjijumaa648 4 года назад
Mwenyeenzi Mungu ampe nafuu amuondolee maradhi yanayomsibu, apate nafuu na kisha apone kabisa. Mungu muweza wa kila kitu, InshaaA'aalah atamponya. Nimemfahamu kwa karibu Mzee Kikii mwaka 1979. Kidume, mzee Sugu ameshikwa kweli kweli, pole sana sana.
@sheysarahnjeno9326
@sheysarahnjeno9326 4 года назад
Hongera Mama kwa Upendo wako....Uloonyesha Mdumu kweny Ndoa.Mungu amponye
@mossyally3352
@mossyally3352 4 года назад
Hongera sana mama Kikii. Pole kwa kuuguza unaongea kwa busara sana. Mungu azidi kuwapa subra wauguzaji
@rithakuyala9951
@rithakuyala9951 4 года назад
Kwa uluma ya Mungu akamponye mzee wetu king kiki , Poleni familia kwa kuhuguza Mungu awatie nguvu mzidi kushirikiana ktk kumuhuguza mzee wetu nawafunika kwa damu ya YESU ya thamani🙏🙏🙏🙏
@winnermariah
@winnermariah 4 года назад
Yaani Katika Haya Maisha Ya Dunia...Omba Sana MUNGU akupe MKE/MME anaemjua MUNGU,, Mwenye Hofu ya MUNGU
@ashorass4431
@ashorass4431 4 года назад
Saanaa yaani
@zonko0488
@zonko0488 4 года назад
Pole sana Mzee Kiki....Mungu akusaidie urudi katika hali ya kawaida!!!
@happynesskampando9425
@happynesskampando9425 4 года назад
Pole Baba King Kiki (mzee wa kitambaa cheupe) Mungu akupe afueni.
@DudddyWhyCant
@DudddyWhyCant Месяц назад
Mimi ni mshabiki sana wa mziki wa dansi, pole sana mungu akupe afya njema ulejee hali yako ya kawaida.
@annajohn175
@annajohn175 4 года назад
MUNGU akutie nguvu mama na MUNGU akuponye Kiki....pole sanasana
@alfredchidamisolo.
@alfredchidamisolo. 3 года назад
Siku yajua haya. Pole sana Mama. Mimi nishabik mkubwa wa mzee Kikii. Mimi ni mKenya, kutoka Mkoa wa Nyanza hapo kitambo, leo ni county ya Siaya, mojawapo ya county mengine. Mungu ampe kheri mzee, apate afueni.
@shonviabdallah5392
@shonviabdallah5392 4 года назад
Mungu ambariki sana mzee wetu
@angelkariko7706
@angelkariko7706 4 года назад
Pole sana baba mzee King kiki , Bwana atakuponya
@lightwilliam4443
@lightwilliam4443 4 года назад
Ooh pole sana babu King kiki! Nakupenda sana.siku nimekuona break point umetoka lunch nilifurahi sana.Nawewe pia ukafurahi kama vile unatujua.Mungu akufanyie wepesi upone haraka.Nakupenda sana babu❤
@happymsaki1720
@happymsaki1720 4 года назад
Wewe ni zaidi ya mwanamke hongra sana mom kwa uvumilivu najua nykti zenu kwa kweli walikuwa ni VIPENGELE
@hedayaabeid3196
@hedayaabeid3196 4 года назад
Mungu atamponya Inshaallah, tu namuombea kwa mungu amtilie wepes katika maradhi. 🙏🙏🤲🤲🤲
@hedayaabeid3196
@hedayaabeid3196 4 года назад
POLE baba yangu get well soon, King kikiiiii
@edinahmaganga2722
@edinahmaganga2722 4 года назад
Pole Sana Baba yangu king kiki Mzee wa kitambaa cheupe Mungu akuponye mzee Wangu pia Dada nimekupenda Sana unahekima na busara Mungu akutie nguvu Mzee atapona kwa jina la Yesu Kristo tunamuombea
@edwardmakonge3371
@edwardmakonge3371 4 года назад
Pole mzee king kiki.mama pole na kuuguza.
@gordiansoko9113
@gordiansoko9113 4 года назад
Mungu mwema atamponya mama hongera kwa moyo wa upendo endelea kumuuguza mzee wetu king Kiki.
@charleslukwalo1165
@charleslukwalo1165 4 года назад
Pole Sana mzee king kikii. Mwenyezi Mungu akuponye haraka.
@levinabyamungu8453
@levinabyamungu8453 4 года назад
Pole Sana baba yetu tunakuombea upone kwa haraka na uendelee na kazi .
@beatricetenywa4367
@beatricetenywa4367 4 года назад
Nimependa hekima za huyu mama jaman nkiwa mkubwa Nataka kuwa kama wewe,Mungu ninmwema atamponya kupitia imani yako unafuraha sana barikiwe na Mungu akutie nguvu🙏
@anodearsulusi7536
@anodearsulusi7536 4 года назад
Hakika Mungu atupe hekima
@happysanga6595
@happysanga6595 3 года назад
Mungu ni mwema atamuinua baba yetu Amina
@christopherjohn7950
@christopherjohn7950 3 года назад
Pole sana mzee Kikii, Mungu akuponye urudi katika Afya yako.
@mariambilonkwa5183
@mariambilonkwa5183 4 года назад
Tubakuombea Mzee wetu mungu akupe Afya njema
@elizabethnkonyoka5472
@elizabethnkonyoka5472 4 года назад
Hongera sana mama kwa upendo.MUNGU atamsaidia baba atapona.
@jasminiddy8734
@jasminiddy8734 4 года назад
Mwenyezi mungu akuponye pole sana king kiki
@bonabonala5559
@bonabonala5559 Год назад
mzee wangu kumbe wajina duu mungu amponye
@beatricetenywa4367
@beatricetenywa4367 4 года назад
Hakika mzee atasimama tena Mungu yupo.
@mariamfritsi4943
@mariamfritsi4943 4 года назад
Mungu atamgusa mzee.
@happykajeli5453
@happykajeli5453 4 года назад
Bwana yesu ukamfunike kwa damu yake takatifu apate uponyaji mzee wetu king Kiki
@abasmwika3432
@abasmwika3432 4 года назад
Mzee anaumwa aisee Mungu amsimamie
@husseinshabani9522
@husseinshabani9522 4 года назад
Pole Mzee Wangu..Mungu Akusimamie pole sana.
@zaharasayyid5724
@zaharasayyid5724 4 года назад
Pole sana mzee wetu, mungu yu hai ipo cku utacmama tena nakutuburudisha .
@hedayaabeid3196
@hedayaabeid3196 4 года назад
Mungu akutie nguvu mama yangu
@stevenmkuwa9995
@stevenmkuwa9995 4 года назад
Pole sana mzee wangu ukipona uje kwetu Namsinde momba mungu atakuponya
@stevelawrence1944
@stevelawrence1944 4 года назад
Polee sana MAMA Yangu kwa kuuguza
@zuwenaalamini4158
@zuwenaalamini4158 4 года назад
Huyu mama anaonekana alikuwa mrembo sanaaa.polen Sana mungu atamponesha
@levinakabadi3061
@levinakabadi3061 4 года назад
Umemuona na wewe....alikuwa mzuri
@zuwenaalamini4158
@zuwenaalamini4158 4 года назад
@@levinakabadi3061 ndio unajua Tena wasanii
@geraldlyimo2859
@geraldlyimo2859 4 года назад
Mama weka namba wtz wakusaidia ktk njia moja au nyingine mzee aweze kupata nafuu ktk matibabu, pole sana mama
@edmundnkarangu134
@edmundnkarangu134 Год назад
Mungu amsaidie apone😭🙏🙏🙏
@amourmtungo623
@amourmtungo623 4 года назад
Poleni ndio mitihani ya maisha. Tunampenda King Kiki na muziki wake na sauti yake ilikuwa ya kipekee
@tanzaniaoman6423
@tanzaniaoman6423 4 года назад
MwenyenziMungu atakufanyia wepesi
@raphaelsamwel2640
@raphaelsamwel2640 4 года назад
Tukiwaambia watu utawala wa mikoa unatugawa zaidi majimbo yanatuweka pamoja! Mijitu haielewi!! Inajua itapoteza nafasi zao za madaraka!! Poleni wanafamila!! Mungu atawasaidieni!!
@julianajacksoni4275
@julianajacksoni4275 4 года назад
Mungu akusaidie Mzee utapona..
@veronicaruben6081
@veronicaruben6081 4 года назад
mungu amponye
@nkombakababa5959
@nkombakababa5959 4 года назад
Pole sana
@salmaluhombero8466
@salmaluhombero8466 4 года назад
mahari inabidi atoe baba yangu kha what a love story jamani asanteni kwa kushare I wish ningekuwa mke mwema mwenye uvumilivu na upendo wa dhati awwwww mke mwema anatoka kwa Mungu
@jonathanfrancis2385
@jonathanfrancis2385 4 года назад
Pole Baba Tunakuombea kipenzi chetu Mungu aguse kila matibabu yanayo kuja juu yako,na kurudisha ile AFYA inayotufanya sisi sote tutabasamu kwa kuja kusikia tena sauti yako bila mikwaruzo .Ameen (Amina)
@saumuhassan6365
@saumuhassan6365 4 года назад
Pole sana Babu kiking
@ufundi_tz
@ufundi_tz Год назад
Mungu ajarie ponyo inshaAllah
@bonabonala42
@bonabonala42 4 года назад
Papaa Boniface Kiki nzambe. azapee. Batelaayee. Kikumbi
@paulndimanya6912
@paulndimanya6912 4 года назад
Mungu akutie nguvu baba unyanyuke uwe mzima nakupenda paul milanga
@daudmaswaga6146
@daudmaswaga6146 4 года назад
Pole kiki mungu akusaidie
@pleonardkashatila4555
@pleonardkashatila4555 4 года назад
Ugua pole king kikii
@edithmakwakwa9489
@edithmakwakwa9489 4 года назад
Get well soon Tx
@meshackmahona5630
@meshackmahona5630 4 года назад
Pole mzee wetu MUNGU atakuponya
@dontown4707
@dontown4707 4 года назад
pole sana king
@milkajm4762
@milkajm4762 4 года назад
Mungu mponye baba yetu. Mrudishie afya yake
@hashimmwamba441
@hashimmwamba441 4 года назад
Pole sana mzee wa massantula
@sheysarahnjeno9326
@sheysarahnjeno9326 4 года назад
Mungu Amponye Na Maradhi
@hellenalex9541
@hellenalex9541 4 года назад
Ugua pole mzee king kiki
@moshimtakaela6403
@moshimtakaela6403 4 года назад
Pole sn mzee was kitambaa cheupe
@sheysarahnjeno9326
@sheysarahnjeno9326 4 года назад
Mungu Amponye,,,
@dianashaban7358
@dianashaban7358 4 года назад
Pole sn mungu amponye
@dianarajab2387
@dianarajab2387 4 года назад
Mungu akuponye King Kikiii
@marthadachi6731
@marthadachi6731 4 года назад
Mama hunger sana MUNGU akupe nguvu kipindi hichi kigomu
@zaharakilemile5152
@zaharakilemile5152 4 года назад
Pole sana king kiki mungu atakupa wepes
@florameza9529
@florameza9529 4 года назад
Mama unaongea vzr na unampenda Mungu safi sana
@jescarwegoshola7231
@jescarwegoshola7231 4 года назад
Get well soon 🙏
@dn.n4983
@dn.n4983 4 года назад
Pole mzee wetu
@roselambert6700
@roselambert6700 4 года назад
Mungu akupe uponyaji
@furahinimtunguja2668
@furahinimtunguja2668 4 года назад
Pole sana Babu utapona
@zuwenakazoka55
@zuwenakazoka55 4 года назад
Pole sana mzee king kiki
@edsongamuga7375
@edsongamuga7375 4 года назад
Pole Sana baba
@aminanamoyo83
@aminanamoyo83 4 года назад
Pole
@gojvon116
@gojvon116 3 года назад
mzee kwa kweli bora urudi wa mola wako wa haki na dini ya haki kuliko kubakia huko uliko ili Mungu akusamehe na uingie peponi kwani dini ya kisiilamu ndio dini pekeye itakayoweza kukuokowa na moto na adhabu ya akhera kwani hata yeso nae vile vile alikuwa na dini hiyo hiyo ya kiislam na wewe kama unashaka angalia ndani ya bible utaona ingawaje hao wachungani hawakuelezi ukweli
@kelvinmushubiro8187
@kelvinmushubiro8187 4 года назад
Tunakuombea mungu atakuponya
@outisblack8568
@outisblack8568 4 года назад
pole sana mzee
@teacherchundu4062
@teacherchundu4062 4 года назад
Ufipa oyeeee najivunia kuwa mfipa.
@luindamchwakanigee4811
@luindamchwakanigee4811 4 года назад
Pole mzee
@Frankgamanuel
@Frankgamanuel 4 года назад
Mungu afanye wepesi
@katarinawilliam9960
@katarinawilliam9960 4 года назад
Hii tabia ya kuchangia watu waliokula ujana wao kama hakuna kesho inaudhi sana.Hivi kwamfano baada ya miaka 15 ijayo.Nasib Abdul aje na kikapu cha michango tumchangie,wakati mida hii anaspend zaidi ya mamilioni.Namkumbuka King Kiki alikuwa anapiga kumbi za starehe kama kunduchi n.k...Hakukumbuka kuweka AKIBA?...AU kuinvest???
@anodearsulusi7536
@anodearsulusi7536 4 года назад
Ukafikilia akiweka akiba kwa ogonjwa alionao haziishi?
@robertflorian9462
@robertflorian9462 4 года назад
hata ukiweka akiba uzee utafika na maradhi ya uzeen hayakwepeki...
@salmaalimusa547
@salmaalimusa547 4 года назад
@@robertflorian9462 haswaa
@silasyadam8943
@silasyadam8943 4 года назад
Akiba kwa Mtanzania ni uwekezaji kwenye Elimu ya watoto km alifanikiwa kusomesha watoto wake aliwekeza,hawa wanamuziki wa zamani hasa wa bendi walikuwa hawana utajiri wowote sana sana umaarufu tu
@tumainirichard6298
@tumainirichard6298 4 года назад
MUNGU akutunze mama, hakika unahekima na unanena maneno yenye kutia nguvu. MUNGU amponye baba.
@estherjoseph229
@estherjoseph229 4 года назад
Mungu yu pamoja nawe mzee wetu
@hopejohn6334
@hopejohn6334 4 года назад
Mama unabusara xna yaan wa mama wa zaman ndomana walidum kwnye ndoa yaan alivo na busara kama mama angu
@happymsaki1720
@happymsaki1720 4 года назад
Naukumbka,huo wimbo jamani mom kumbe na wewe una sauti nzr hvyooo
@fedahmwakalobo4628
@fedahmwakalobo4628 4 года назад
Asante mama wewe mwanamke wa mfano
@dn.n4983
@dn.n4983 4 года назад
Tutamuombea mungu hampe uponyaji harska mapema
@reginamanyangu6682
@reginamanyangu6682 4 года назад
Mama bora
@maryjulius7014
@maryjulius7014 4 года назад
Mgu mponye king Kiki mzeewetu utapona
@teacherchundu4062
@teacherchundu4062 4 года назад
Posumaa mama shupavu wa kifipa.
@beautyibrahim8428
@beautyibrahim8428 4 года назад
Leo ndio umnifumbua apo kwenye mbeya na sumbawanga
@joasombeni7504
@joasombeni7504 4 года назад
Global TV media jaribu kuangalia watu wa kuwapa kazi ...Huyu mtangazaj ndo maswali gan anauliza ya kijinga jinga ?
@silasyadam8943
@silasyadam8943 4 года назад
Mtangazaji hajaandaa maswali yaani anauliza km anafanya maongezi na familia yake huyu ni mtu maarufu lzm mjiandae kwenye interview zenu.
@harunakayega5531
@harunakayega5531 4 года назад
Yani watangazaji haswa wa bongo mna maswali ya kijinga mrudi shule na muangalie wenzenu wanavyofanya interview hakika mnavurunda sana
@silasyadam8943
@silasyadam8943 4 года назад
Nashukuru kwa kuliona hilo hakuna maandalizi ya interview, maswali km unaongea na familia yake nyumbani.
@charlesedward2657
@charlesedward2657 4 года назад
I bonimwiteqe
@nipolive..2745
@nipolive..2745 4 года назад
Ivi mnajua cement imepanda bei mwandishi
@asiamhaville3628
@asiamhaville3628 4 года назад
Hongera sana mama endelelea kumuuguza mumeo mungu atakusimamia ...kwa kizazi cha sasa angeshakimbiwa .hongera ..mimi naitwa Simon shemeji yake marehem somboko
@sophiekanyengele3241
@sophiekanyengele3241 4 года назад
Hawa watangazaji wetu bwana hovyo kabisaa ba maswali yao mahali kabila sio maswali ya msingi
@maglethndonde2642
@maglethndonde2642 4 года назад
Pole sana mzee king kiki,Mungu akuponye,
@kipigapasilisungu2581
@kipigapasilisungu2581 4 года назад
.
Далее
Tazama The mboni show  interview na  Mzee  King Kikii
17:09
МЭЙБИ БЭЙБИ - Hit Em Up (DISS)
02:48
Просмотров 301 тыс.
VITIMBI -BIASHARA YA NG'AMBO PART ONE
29:57
Просмотров 290 тыс.
MAESTRO KING KIKI | KITAMBAA CHEUPE
7:09
Просмотров 62 тыс.