Тёмный

FAMILIA YAGOMA KUZIKA MWILI WA MAREHEMU, WADAI POLISI KUHUSIKA, RPC ANENA " MWILI UNACHUNGUZWA" 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 36 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

8 янв 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 139   
@yusufm1
@yusufm1 6 месяцев назад
Polisi mjichunguze haiwezekani kila siku ninyi ndio mnageuka first suspect na lawama zote kwenu. Raia watakuja kuchoka na kuja kuwafanyieni kitu mkastaajabu.. kimya kingi kina mshindo
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 6 месяцев назад
Sio kuchoka tulishachoka ni uoga wa raiya
@user-qi6wy6kl4g
@user-qi6wy6kl4g 6 месяцев назад
Na wasimchukue kweli hao polisi wakamzike wenyew hiyo dam itawasumbua kila aliehusika na kizazi chake😢😢😢
@user-rc1dp6ux3k
@user-rc1dp6ux3k 6 месяцев назад
Mapolisi wa serikali ya ccm wauaji wakubwa polisi ya Tanzania ni ya kufumua kabisa
@yonasimion3130
@yonasimion3130 6 месяцев назад
Hamza hakuwa mjinga kuwabutua risasi Hadi kumuua, wanachosha.
@user-uc8ei8kn3l
@user-uc8ei8kn3l 6 месяцев назад
Tena wanachosha sana bado police wa singida dawa yenu inachemka
@lizybabymgaywa8035
@lizybabymgaywa8035 6 месяцев назад
Yaani inauma sana, Mwenyezi Mungu tunaomba msaada wako baba.
@user-qi6wy6kl4g
@user-qi6wy6kl4g 6 месяцев назад
Hivi hawa watu tukiamua tufunge na kusali wiki tu kwenye hii nchi hawa wanaojionà wataishi duniani milele wanadhani watapita ata wiki hawa kweli,??????😢😢😢😢😢
@dstaroficial
@dstaroficial 6 месяцев назад
Uoga uo
@yaizfamily6615
@yaizfamily6615 6 месяцев назад
Hawa polisi hawawezi hata siku moja kuacha ujinga huu, serikali pia inahusika sana ktk haya mauaji ya raia, hili limekua ni tatizo kubwa sana ktk hii nchi. Askari wamepewa nguvu kubwa sana na pia hawaogopi kwakua hakuna hatua zozote zinazochukuliwa. Ilikua inahitajika serikali kutoa adhabu ya kifo kwa askari yoyote atakayehusika na mauaji ya raia ya namna hii. Hata mhalifu ana haki zake, wewe umeshamtuhumu na umeshamtia hatiani na umeshamuu hapo hapo hii ndio nini sasa?
@cosmaslunyembeleka251
@cosmaslunyembeleka251 6 месяцев назад
Mimi nilisharahani hata ndugu yangu hairuhusiwi kuwa polis mpaka nitakapokuwa sipo duniani. Yani ii kazi uwa Niya rahana.
@SalamaAkilimali-ly3bu
@SalamaAkilimali-ly3bu 6 месяцев назад
Sio wote jamani kuna polisi ambao hawakustahili kuwa polisi wastaarabu hawana kelele na mtu polisi wengi wenyematukio mabaya ni wale waliotokea kwenye familia masikini ndio malimbukeni wa Maisha na sifa Tele wanaoma ndio wamefika wanaibeba dunia na ukichungza majina siyo Yao hawajasoma vyeti vya majirani zao wameingia navyo chuo mbwa HAO wangesoma wasingefanya huo ujinga kituo kizima shida hapo masikini hao
@mugishamajeba9628
@mugishamajeba9628 6 месяцев назад
😥😥😭😭😭😢😢😥dah ira nyinyi polisi jameni kuweni nauruma nawatu kunamaisha baada yakazi mbona kira siku munatuachia wajane jameni acheni kukatisha uai watu jameni maripo niapa apa tuniani
@elikanasamwel
@elikanasamwel 6 месяцев назад
wamejichukulia sheria mkononi,je angekuwa raia?
@tuliamaganza
@tuliamaganza 6 месяцев назад
mahakama tu ndio ndio inatoa hukumu na kutafsiri sheria ata kama mtuhumia alikua kaua nyie polisi hamna haki ya kutafsiri sheri kitendo cha kumpiga mtuhumiwa adi kupoteza maisha icho ni kinyume cha sheria na mnapaswa kuwajibika hao ni wananchi maskini sana na hawana tofauti na nyie.
@georgekimasaofficial1629
@georgekimasaofficial1629 6 месяцев назад
Kwa hiyo sheria inaruhusu police kuua bila mtuhumiwa kupelekwa mahakamani duh inchi hii.
@subiraibrahim8100
@subiraibrahim8100 6 месяцев назад
Hiyo ndo serikali yetu na hao ndo askari wanaolinda raia na Mali zake hao walihusika Mungu atawajibia
@blandinamwarabu5025
@blandinamwarabu5025 6 месяцев назад
Sasa hata kama Askari wamemuua lakini naye aliua mbona hilo ndgu hamliongelei
@dstaroficial
@dstaroficial 6 месяцев назад
Jaman hawa askar mpaka lini?
@mrishojumbe4572
@mrishojumbe4572 6 месяцев назад
Kama huonevu huu haujakukuta uwezi kuamini
@AminaLibisa
@AminaLibisa 6 месяцев назад
Innalilah wainnalilah laijiun subhanna Allah 😭😭😭
@philipojoseph4192
@philipojoseph4192 6 месяцев назад
Poleni sana jamani mapolisi hawa waonevy sana
@user-ky3hc1jn3e
@user-ky3hc1jn3e 6 месяцев назад
Polisi waache kuuwa watu hovyo,tutawachoka siku siyo nyingi
@emmanuelmlowe-ew7gx
@emmanuelmlowe-ew7gx 6 месяцев назад
Wauaji nao lazima wauliwe tu Masanja alikuwa binadam pia
@blandinamwarabu5025
@blandinamwarabu5025 6 месяцев назад
Mbona na yeye kaua sasa uchungu uko kwa yeye je aliyeuawa
@emmanuelmlowe-ew7gx
@emmanuelmlowe-ew7gx 6 месяцев назад
@@blandinamwarabu5025 alie uawa labda hakuwa mtu.hata wasipo zika anazikwa tu. Wanalilia liuaji, hawana aibu
@mbjunior166
@mbjunior166 6 месяцев назад
Polisi wakasome upya wajue mtuhumiwa na muhalifu!
@user-by2fr9lm6x
@user-by2fr9lm6x 6 месяцев назад
Police wa nchii hii wengi ni makaburu watesaji na wauaji
@hamidabarraball3162
@hamidabarraball3162 6 месяцев назад
Si watamsingizia ni mhaini au panya road 😮
@user-yk3sj2ei6y
@user-yk3sj2ei6y 6 месяцев назад
Poleni sana fsmilia😢😢😢😢😢😢😢
@jessymabula8867
@jessymabula8867 6 месяцев назад
Ni pigo hatuwezi kusahau😢😢😢
@salumungassa9217
@salumungassa9217 6 месяцев назад
Awa mbwa xiwapend kinoma Yani natamaniaga ata cjui wafe2 ote
@jessymabula8867
@jessymabula8867 6 месяцев назад
Eee Mungu😭😭😭😭😭😭
@onesmomwakasege5215
@onesmomwakasege5215 6 месяцев назад
Vijana wanapunguzwa sana yani kila kona ni vilio tu huo siyo huungwana jukumu la polis ni kukamata mtuhumiwa na na kuiachia mahakama ishugulike nae tukienda kwa mwenendo huu mtawamaliza vijana
@user-we2zc8sp7r
@user-we2zc8sp7r 6 месяцев назад
Alikamatwa sawa na kwann mmemuua na nyie Sheria ifate mkondo nyie maasikali Kaz zenu hazifai kubambikizia watu kesi rais wetu tusaidie kwa hili
@user-uu7mg3ff8l
@user-uu7mg3ff8l 6 месяцев назад
ao polic dawa yao unawasomea yasin na kufunga cku 7 majibu yatapatikanika tu. ndio maana HAMZA aliamua kuwapora bunduki kisha kuwafyatulia ao polic
@HassanLimbwenda
@HassanLimbwenda 6 месяцев назад
Polisi wa tanzania wengi ni washenzi sana kuliko majambazi wanaganya mauaji ukatili alafu ngao yao ni serikali
@stellamiyombe6117
@stellamiyombe6117 6 месяцев назад
Sasa nawewe umeenda kwenye siasa ebu ongea point mambo yama ccm namachadema hapa hatuyataki
@agnesjohn9382
@agnesjohn9382 6 месяцев назад
Hapo ndg zangu zikeni tu nakumwachia Mungu polisi hamtawaweza cheki wanavyosema alikuwa muuaji kuna cha kuweza hapo
@neemajames7814
@neemajames7814 6 месяцев назад
Kwan limbu alivyokamatwa alikuwa na siraha? Hata kama ni muuaji walishindwa kumfikisha mahakamani Ili Sheria ichukue mkondo? Amka kifikra wewe siyo mtoto
@agnesjohn9382
@agnesjohn9382 6 месяцев назад
@@neemajames7814 ndugu yangu hakuna haki hapa chini ya jua tena kwa maaskari mwenye kukutendea haki ni Mungu tu yaani hawa maaskari wanadhurumu sana nafsi za watu bila sababu za msingi na wakiona maji yamefika shingoni unabambikwa ujambazi na upanya rodi kuna chakujitetea hapo ndugu
@agnesjohn9382
@agnesjohn9382 6 месяцев назад
@@JosephBalebanga wewe nipe yako nikutafute
@agnesjohn9382
@agnesjohn9382 6 месяцев назад
@@JosephBalebanga kwa hiyo ya kwangu ndio unataka ionekane
@agnesjohn9382
@agnesjohn9382 6 месяцев назад
@@JosephBalebanga umenitumia wapi
@BenjaminMalando
@BenjaminMalando 6 месяцев назад
Dawa ni moja kwa hawa askari wakiingia maeneo usiku nikumalizana nao kenge hawa.
@omarymbaraj8072
@omarymbaraj8072 6 месяцев назад
Sita mruhusu mwanangu awe Askari wa Aina yoyote wallah 😢
@user-sz1tt8oy2l
@user-sz1tt8oy2l 6 месяцев назад
Tatizo sisi ni waoga
@walinaziontime7300
@walinaziontime7300 6 месяцев назад
Mtuhumiwa aliua na Askali nae meua mtuhumiwa Sasa hapo akamatwe Nani......? Mliosoma QB naomba mnisaidie jibuuu
@ndiditheodore8272
@ndiditheodore8272 3 месяца назад
Hii ndiyo serikali mnayoichagua yaani ya ccm, hata manaibu waziri, wakuu wa wilaya, wakuu mkoa, huwaweka raia vizuizini, kuwatisha, kudhulumu nk. Lkn serikali iko kimyaaaa. RC Chala aliwatukana wazee wa dar na kuwatisha nini kilifanyika, kimyaaaa! OK
@user-di9tm7el2r
@user-di9tm7el2r 6 месяцев назад
Dawa yake ni kuua tu kila askari kuwavamia usiku nyumbani kwao piiiga wote nyumba mzima ua maisha mengine yaendelee mtaa kwa mtaa
@ulicydickson6816
@ulicydickson6816 6 месяцев назад
Mbona kila siku ni matukio ya police tu kuuwa watu,viongozi wako wapi walisemee hili au nao wanahusika?
@user-kx5dt5ih2i
@user-kx5dt5ih2i 6 месяцев назад
Kwa nini wasikamatwe hao asikari ipo siku wananchi tutachoka,tutamkumbuka sana magufuli ujinga huu ulikoman
@user-on9nd1th5q
@user-on9nd1th5q 5 месяцев назад
Daah polen sanaa familia
@MACHOYATAI-jk6fu
@MACHOYATAI-jk6fu 6 месяцев назад
Polisi ni waonevu sana
@VailettyShigerla-fw2sg
@VailettyShigerla-fw2sg 6 месяцев назад
Poleni sana
@pesangwasalim5258
@pesangwasalim5258 6 месяцев назад
Hv wangekua ndugu yao wangekubali apigwe hadi afe kisha waseme hawajui sababu ya kifo chake??
@user-rk8ei3gx9e
@user-rk8ei3gx9e 6 месяцев назад
ndugu zangu cha msingingi umalizane mtaani sio polici😊
@onesmomwakasege5215
@onesmomwakasege5215 6 месяцев назад
Huu ujasili wa kufanya mambo kinyume nasheria iliyotungwa mtaacha lini mana mpaka rais huwa anawasisitiza msimamie haki za wananchi but mnafanya mnachojiskia nyinyi Sasa kwanamna hii me naona nivema jwtz wasimamie majukumu Kama hayo kuliko kuwa na jeshi linaloshindwa kusimamia majukumu yake ipasavyo
@kakawataifa6752
@kakawataifa6752 6 месяцев назад
Tatizo ni kwamba Askari akiua anapandishwa cheo hili
@user-ew8nh3vi7h
@user-ew8nh3vi7h 6 месяцев назад
Kama alikua hana tatizo bc hatua za kisheria zichukuliwe kiukwel ina uma sana ikiwezekana wafungwe kabisa
@daslamonline4665
@daslamonline4665 6 месяцев назад
Kubaini chanzo na kipigo kimeanzia nyumbani kwake 😂
@user-gn8ls8ji5x
@user-gn8ls8ji5x 6 месяцев назад
Mimi binafsi yangu askari washamzulumu waowana letewa wahy wauthibitisho
@user-yk3sj2ei6y
@user-yk3sj2ei6y 6 месяцев назад
Serika tafadhali lioneni hili kwa macho matau
@kassimothman666
@kassimothman666 6 месяцев назад
Tuhuma za mauwaji , mtuhumiwa anauwawa , waliouwa nao wanachukuliwa hatua gn? Nawasusia
@abdull_hafidh
@abdull_hafidh 6 месяцев назад
Waajiriwa wengi wa jeshi la police ni mindless Rushwa imekua kipeo mbele chao
@Views-mf8ir
@Views-mf8ir 6 месяцев назад
Mimi nawaambiaga kila siku watoto wangu, wasijaribu kabisa kujiingiza kwenye hii kazi ya Polisi . Polisi ya sasa imegeuka genge la makachinja ..!!
@user-gn8ls8ji5x
@user-gn8ls8ji5x 6 месяцев назад
Askari waongo tena wanapenda kutesa watu
@user-we2zc8sp7r
@user-we2zc8sp7r 6 месяцев назад
Yaaan mkuu wa wilaya anasema nendeni mkaelewane badala kuwachukulia hatua ovyo kabisa
@VioletNamz-tq4tg
@VioletNamz-tq4tg 6 месяцев назад
Jamani police,mbona sheria ipo kwa jili yawakosaji, nyinyi mnapata wapi kibali chakufa hivo.poleni Sana ndugu Jana na marafiki,inauma Sana.
@wilfredlukowo9476
@wilfredlukowo9476 6 месяцев назад
Huyo sio wa kwanza polisi wasio kuwa waaminifu wanafanya sana ila hakuna anae jua.
@denismisango6166
@denismisango6166 6 месяцев назад
Li serikali libovu na mambo yake ni mabovu kwani kwa Magufuli haya mliyaona ? Polis walishika adabu sababu mkuu wa nchi alikuwa makini sasa hivyo kabisa
@mbjunior166
@mbjunior166 6 месяцев назад
Ndio ktk utawala pekee maiti zilikua zinaokotwa kwenye fukwe za bahari dar es salaam kama samaki🤔 Ulijua bado mtoto kipindi kile au!? Hakuna mtu anafurahia uhuni huu wa polisi wetu lakini usitukane serikali nzima kwa chuki zako binafsi.
@SikujuaMdede-us4qw
@SikujuaMdede-us4qw 6 месяцев назад
tunaonewa sana
@nicholauskilosa5336
@nicholauskilosa5336 6 месяцев назад
Hivi polisi mamlaka yakuua watuhumiwa wameyatoa wapi?
@imeldasamwel539
@imeldasamwel539 6 месяцев назад
Ila mama unayaona haya saidia wananch wanateseka na watu wanaomilik siraha za nch
@elikanasamwel
@elikanasamwel 6 месяцев назад
Ingelikuwa nchi zingine mawe yangetembea kama njugu lakini nchini kwetu tuendeleeni kuienzi amani hiyo ndio tunu
@user-dh4bp2vs4t
@user-dh4bp2vs4t 6 месяцев назад
Tz ishakua kam Vietnam
@melanialeonard4031
@melanialeonard4031 6 месяцев назад
Tunien tu busara hii nchi yetu haina haki kabisa
@user-cq9gf3vz5p
@user-cq9gf3vz5p 6 месяцев назад
Polisiwenginehawajui anachokifanya
@imeldasamwel539
@imeldasamwel539 6 месяцев назад
Vifo vikigeukia kwenu msishangae raia mnafkir nyie ni miti au magogo ote tuna damu haya tumieni hzo sale za nch kwa kuuuwa haya vita mnaitafta wenyewe haya ngoja tuone
@davidpeter8099
@davidpeter8099 6 месяцев назад
Hapa utasikia alikuwa jambazi siku hizi ni bora ukutane na jambazi au kibaka ujue moja kulikoni ukutane na police mwenye uaji ndani yake
@fatimajuma3330
@fatimajuma3330 6 месяцев назад
Hamkisaji lakujitetea nyie pols swapendi
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 6 месяцев назад
Yaan hii nchi ya CCM haki hamn kabisa ila ipo siku yawo Nass tutachok. Hapo tumieni tuu busara mpumzishe mwili
@amenaameeena3317
@amenaameeena3317 6 месяцев назад
Kwaiyo siku hizi waharifu awapeleke jera polisi munawauwa je kama yy akufanya Ayo mauaji alisingiziwa nanyie amjachunguza munamuua mtuhumiwa sasa Aki Iko wapi Tz kuna siku itageuka Burundi na Rwanda watu watachoka kuonewa
@mariamohamed6654
@mariamohamed6654 6 месяцев назад
Duuuh😢
@user-vc1vf4uz4r
@user-vc1vf4uz4r 6 месяцев назад
😢😢😢😢
@nzenzulejoseph22
@nzenzulejoseph22 6 месяцев назад
Jamani kikubwa Asikari wawe makini Kama mtuhumiwa Hana siraha ya kujihami haina haja kumuuwa Wala kumzuru maana mkimtia mbaloni ushahidi na upelelezi kwa kumhoji mtabaini ukweli wake kumbukeni na mjuwe kuwa nanyi hamtaishi milele mtakufa
@getrudalufega9770
@getrudalufega9770 6 месяцев назад
Hawahawa police wanaoishi na watu au
@user-gn8ls8ji5x
@user-gn8ls8ji5x 6 месяцев назад
Muaji anauliwa mbele ya kitendo
@sebastianthadeus5270
@sebastianthadeus5270 6 месяцев назад
Chanzo Gani na nyinyi mmemuua ??
@happyfaniabenedictor69
@happyfaniabenedictor69 6 месяцев назад
Polisi waliwai kumunyonga mjomba wangu halafu wakasem kajinyonga nawachukia sana,
@elbaricktv1632
@elbaricktv1632 6 месяцев назад
Police wa Tanzania ndo wamekua wenyewe ndo majaji na wenyewe ndo mahakama na kutoa hukumu sijui mahakama zinafanya kaz gani kwa sasa mana polis wakikamata mwizi ni wanahukum wenyewe wanaua😢 hii ndo Tanzania ya sasa
@aishahazary4097
@aishahazary4097 6 месяцев назад
Yaan wangepatikana wananchi pendwa kama kina Hamza.Naamin tungemalizana nao kabisa hawa waovu.Kama utakufa ukiwa unatetea chako hata MUNGU anakuwa radhi nawe.
@lilianpuka218
@lilianpuka218 6 месяцев назад
😭😭😭😭😭🕯️🕯️
@user-gn8ls8ji5x
@user-gn8ls8ji5x 6 месяцев назад
Wakulipeni fidia msikibali
@deogratiusdeo6954
@deogratiusdeo6954 6 месяцев назад
Police ni matatizo mimi paka sasa ni kilema wa sikio na hao asikali niliwapeleka kwa mkuu wa wilaya mpaka takukuru ila wao kama viongozi wanalindani halafu selikali itambie wizi mkubwa na majambazi wanatokea vituo vya police yani mi nafikili hii inche mngekabizi jeshi la wanainchi jw hawa polisi waludi kuwa raia tu maana ni wezi na ni majambazi wakuu
@JosephKulwa-rc7en
@JosephKulwa-rc7en 6 месяцев назад
Sikuhizi maasikari hawafati Sheria wapotu kuazibu watu kikubwa tutafteni dawa maana ukisema ushitakiane nao unapoteza mdatu kikubwa dawa waliishiriki kumpiga nao wamfuate hata Kama alikua na makosa Sheria s ipo asa mnamuua atatumikiaje azabu yake
@ahmadSeif860
@ahmadSeif860 6 месяцев назад
Hii nchi haina viongozi, wapumbavu tu
@oscarkasalile3966
@oscarkasalile3966 6 месяцев назад
Polisi msipobadilika mkaendelea kuwatesa wananchi bila sababu ipo siku mtakuja sababuaha vita kubwa kati ya polisi na raia, wito wangu au ushauri wangu watendeeni wananchi matendo mazuri wananchi kama nanyi mnavyotendewa wema kwenye kulipwa mshahara, Tambueni mshahara mnaolipwa ni jasho la watanzania
@Surebet705
@Surebet705 6 месяцев назад
Hivi hawa polisi ndo wanavyofundishwa wafanye hivyo kwa raia? Kama sivyo mkuu wa wilaya husika anafanya nini? Mkuu wa kituo anafanya nini? Wote wanaangalia wanaona sawa tuu raia akinyanyaswa.
@user-sr6tr7ko7w
@user-sr6tr7ko7w 6 месяцев назад
Halafu raia wakivamia kituo cha police wanaambiwa wamejichukulia hatua, police wa nchi hii ni wa hivyo Sana.
@engineerismael2186
@engineerismael2186 6 месяцев назад
Polen san family
@oscarcharles9624
@oscarcharles9624 6 месяцев назад
nyie polis ni wapumbavu sana nchi si yenu mnachuua Sheria mkononi mnamuua mtu Kwa kumpiga?
@user-qz2cs5wm5u
@user-qz2cs5wm5u 6 месяцев назад
Ili jeshi letu lapolisi inatakiwa lifanyiwe malekebisho lamekua kama jeshi la makabulu wakati soteniwatanzania ninimaana yakudai uhulu maana atamkolini ajafanya Mambo kama ayo
@ndogoroedson199
@ndogoroedson199 6 месяцев назад
Mnachunguza nn wakati polisi wamempiga? Kwan Kama aliua halafu akatoroka adhabu yake ni polisi kumpiga mpaka kumuua? Hapo mhalifu ni Nan? Polisi wakamatwe wafunguliwe mashitaka ya mauaji kwa sababu Hakuna uthibitisho wa mahakama uliosema Limbu aliua acheni kukwepesha ukweli kwa kusingizia vipimo wakati wauaji wanajulikana
@chalokalunde9429
@chalokalunde9429 6 месяцев назад
Usiue usije ukauwawa.
@user-gn8ls8ji5x
@user-gn8ls8ji5x 6 месяцев назад
Nahawa police ndonanini kilaaiku waotu
@piusmpambalyoto8167
@piusmpambalyoto8167 6 месяцев назад
Police wetu wanastress sana, sababu kubwa ni majukumu mengi na mishahara midogo.
@user-rk8ei3gx9e
@user-rk8ei3gx9e 6 месяцев назад
kwani nyie niwauwaji kwan
@HijaSaid-xd7fg
@HijaSaid-xd7fg 6 месяцев назад
Siniwanachama wenzenu mmeanza kueelewa kuwa sio ndugu zenu
@azzaalhabsi1505
@azzaalhabsi1505 6 месяцев назад
Sasa we swebe mkuu wa police ndio tuseme kama mtuhumiwa ameuwa na nyie police ndio mjichukulie sheria mikononi mumuuwe kijana wa watu wenda alikuwa hana hatia.sasa mahakama zipo kwa ajili gani?basi fungeni mahakama zote nyie police muwe mnahukumu.mmekuwa kama wanyama kazi zenu sasa nikuuwa raia hovyo.nchi hii imekuwa haina haki.
@josegambi7149
@josegambi7149 6 месяцев назад
Kwahiyo kama aliua ndo police mnaruhusiwa kuua? Ninyi police ndo mahakama? Mnaruhusiwa kumpiga mtuhumiwa? Sheria za kwetu hazina nguvu kabisa.
@patsonanyitike9584
@patsonanyitike9584 6 месяцев назад
Polis Tanzania hatuna watoke tupate wengine
@mrishojumbe4572
@mrishojumbe4572 6 месяцев назад
Hakuna malefu yasiyo na ncha
@gilberttarimo4177
@gilberttarimo4177 6 месяцев назад
Kwann mumuue?
Далее
Разбудили Любимой Песней 😂
00:14
Qalpoq - Kichkina tabib (hajviy ko'rsatuv)
30:41
Просмотров 297 тыс.
The Iran-Iraq War, Mapped
21:02
Просмотров 2 млн
Complexidade Humana
2:54:18
Просмотров 456
Разбудили Любимой Песней 😂
00:14