Тёмный

FRANSISCO NGUEMA: Rais Mvuta BANGI Aliyeua Nusu Ya Raia / Alinyongwa Pia 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 801 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

29 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 451   
@johnirungu9955
@johnirungu9955 5 лет назад
Uko juu tu sana babake endelea vivyo hivyo
@abelmokaya8699
@abelmokaya8699 4 года назад
I really like how you present the stories...I have literally spent the entire day listening to your items All the best and kudos Dennis & Ananias
@lyricnash1390
@lyricnash1390 3 года назад
I dont mean to be so off topic but does any of you know a tool to get back into an instagram account?? I stupidly lost my login password. I would appreciate any assistance you can give me!
@davidmusyimi2994
@davidmusyimi2994 5 лет назад
I love it, you are outstanding... Napenda hicho Swahili.
@bahatiswago1027
@bahatiswago1027 5 лет назад
Kaka mshukuru mungu kakupa kipaji cha pekee aisee unajua ndugu
@sospeterlenjole872
@sospeterlenjole872 5 лет назад
Bro uko vizuri sana napenda nikusikilieze kilawakati.
@kinglance6365
@kinglance6365 5 лет назад
Kaka unajua Sana una kipaji Sana una sauti Sana unampangilio mzuri unajua kuhadithia all the best bro
@piusnkwale
@piusnkwale 5 лет назад
Jamaa uko vizuri sana kwenye simulizi
@paulmssoma5340
@paulmssoma5340 5 лет назад
Excellent broo unatisha yani kwa mafundisho na kuburudisha hasa misemo na methali zako ktk story
@fredrickluizcr7358
@fredrickluizcr7358 9 месяцев назад
I do listen to your stories and the way u bring them on table❤
@captainmalogo2530
@captainmalogo2530 5 лет назад
Kwenye maisha yangu nafarijkaga sana nikiambiwa ubarikiwe kuliko MTU kunipa pesa au kitu chochote cha thaman hivyo MBALIKIWE WOTE MNAO ANDAAA KIPIND HIKI thanks much
@bildadooko6594
@bildadooko6594 4 года назад
napenda sana
@selemanisimbi5621
@selemanisimbi5621 3 года назад
Wiz
@kibetjoram
@kibetjoram 4 года назад
love your documentaries
@gibonssamsonkabigili7633
@gibonssamsonkabigili7633 5 лет назад
Unasimulia vizuri kweli nimependa sana hongera kaka history
@emmanuelkiserere3523
@emmanuelkiserere3523 4 года назад
Daaah umetisha Edgar simuliz nzuri hongera kwa muandaaji
@bimaisarankamia4153
@bimaisarankamia4153 4 года назад
Mashaaall.mungu akusimamie katika kazi yako napenda stori zako.
@AlinanusweKasyele
@AlinanusweKasyele 5 лет назад
You have a very convincing voice, your punch is superb! keep it up
@eddympagike5839
@eddympagike5839 5 лет назад
Unafanya kazi vizur na unaonekana unasoma Sana unatupatia faida yako yashule Ongela tunajulishana tusivovijua asant asant endelea kusanya vingi tujifunze
@evansmadanji7561
@evansmadanji7561 5 лет назад
Asante kaka ukona ufasaha....naombi historia ya muammar Gaddafi, Mugabe, Moi,konte kamara wa guinea Bissau,,,,, pamoja na yaya jameh wa gambia tafadhali
@divrasonrafael5552
@divrasonrafael5552 4 года назад
Big up 4 giving us history n God bless you
@geresonochieng7098
@geresonochieng7098 5 лет назад
Asante kwa junielewesha kutoka 001
@cathyjamesobasanjocathy90
@cathyjamesobasanjocathy90 5 лет назад
Nawakubali sana Global Tv haswa kwa habari zenu hizi za historia za Marais mbali mbali.......nashangaa wapumbavu kadhaa wanaomuita Rais wetu Dictecta hivi wanajua madictecta kweli.....asa hawa wakina Nguema na wengine kama kina Mobutu hawa ndio walikuwa madictecta Konkiii.....like kama umenielewa
@Jayjaywaziri
@Jayjaywaziri 5 лет назад
From Kenya i love how your explain,
@mwailimasson1885
@mwailimasson1885 5 лет назад
Much respect
@rukinanizz2011
@rukinanizz2011 5 лет назад
Hizi videos zako zingekuwa zinaonyeshwa mashulen hata moja kila wiki. Mwenye akili ya kufkilia ndiye atakaye faham umuhmu wa simulzi zako. Ahsante sana kaka
@asajilejohnmwakapinga1065
@asajilejohnmwakapinga1065 5 лет назад
Ni noma
@tamaraeliz7114
@tamaraeliz7114 5 лет назад
Kweli kabisa
@castrogumbizi1609
@castrogumbizi1609 4 года назад
Ni kweli kabisa
@livinusbazira7370
@livinusbazira7370 4 года назад
Kwel aisee
@alphocinyohana1999
@alphocinyohana1999 4 года назад
Daaaah!! nikisikiliza simulizi hizi huwa najihis uzito kwel
@ceowamairura7507
@ceowamairura7507 5 лет назад
the love of history made easy i love your work bro
@maggiesamanda879
@maggiesamanda879 5 лет назад
all this history nilisoma nikiwa shuleni but u are the best teacher now naelewa Kila kitu
@nzisakasau8234
@nzisakasau8234 5 лет назад
video zako nzuri sana zinaelimisha sana kazi nzuri
@bensonthobias8401
@bensonthobias8401 5 лет назад
Umetisha
@mohamedikibasa418
@mohamedikibasa418 5 лет назад
nakuelewa kaka. u atamgaza vizuri. kaombe kazi DW au BBC. utapita tu tena bila interview. ukipeleka tu kazi zako zinapita.
@lesiroyo7564
@lesiroyo7564 4 года назад
Very informative and interesting narator
@felixjeremy
@felixjeremy 5 лет назад
Just love the information wealth on this RU-vid channel. Endelea kaka
@darviswantana7669
@darviswantana7669 5 лет назад
Navutiwa sana na usimuliajii wakoo...!! Mr ananiasi edger
@philonchimbi07
@philonchimbi07 5 лет назад
Bravo! Tunajifunza mengi makala zako nazipenda sana
@renatusmillambo2014
@renatusmillambo2014 5 лет назад
DENNIS nakuelewa.... Ninaexperience ya history kubwa sana... Lakini nimeshindwa kukutoa kasoro.. Hukosei.. Upo vizuri sana.. Big up!!
@mpagazedenis8395
@mpagazedenis8395 5 лет назад
We ni mbobezi sana mkuu
@renatusmillambo2014
@renatusmillambo2014 5 лет назад
@@mpagazedenis8395 siku zote wanaojua huwa hawakubali... Lakini wanachokifanya ni baaab kubwa...
@hadijahalifa5418
@hadijahalifa5418 5 лет назад
Wow! thanks! you're good!dah!huku tz tunge sijui! it's just too much!
@mbarakasaidy4885
@mbarakasaidy4885 4 года назад
Nasoma coment huku nakusikiliza mtu m-baya
@shijajr9156
@shijajr9156 4 года назад
Simuriz ziko vizur m ningekuwa nasoma mwarim
@abelbenedicto5392
@abelbenedicto5392 5 лет назад
Uko vzr Broo Haya mafundisho yangefundishwa kwa wanasiasa hasa vijana kujifunza Uongozi mzuri na mbaya
@renatusmisigaro6332
@renatusmisigaro6332 5 лет назад
Uko vizuri sana pot! Simuliz zako zinatipa elimu kubwa na yakutosha!!
@edsonjeremia9713
@edsonjeremia9713 5 лет назад
Uko vizur bro
@mamijones8519
@mamijones8519 5 лет назад
Bro uko juu tu sana kwa kutangaza sauti yako iko sawa sana
@bobwanjane
@bobwanjane 5 лет назад
Kazi safi twafuata hapa Kenya
@nginapatitabeatrice3960
@nginapatitabeatrice3960 3 года назад
Very interesting story.
@allymwihuva7473
@allymwihuva7473 5 лет назад
Ahsante kaka kwa simulizi hizi,
@stanlaurent5121
@stanlaurent5121 3 года назад
Duh! Ni hatari
@johngambos
@johngambos 5 лет назад
Asante sana
@lowkey_toppa6628
@lowkey_toppa6628 3 года назад
Asanti.lwa kazi hiyo nzuri
@gabrielomondi4630
@gabrielomondi4630 5 лет назад
history is beautiful
@sylvesternzowa8458
@sylvesternzowa8458 5 лет назад
Tisha sana kiongoz.
@joshuajoseph3618
@joshuajoseph3618 5 лет назад
aisee broo respect kwako baba kama sauti dingii umejaliwa
@hemediissa9458
@hemediissa9458 5 лет назад
nimezipenda sana hizi historia
@francismr920
@francismr920 5 лет назад
Bro upo vizury xan endelea na kazi hiyo hiyo
@ethirompaul1503
@ethirompaul1503 5 лет назад
Da! Bro upo good xn ,,,,,I like your voice xo much
@barakadavidhaule3611
@barakadavidhaule3611 5 лет назад
Bro umetisha sana
@bakariluhala7332
@bakariluhala7332 5 лет назад
Napenda sana kazi yako
@marcelmlacha8596
@marcelmlacha8596 5 лет назад
Documentary za Global safi sana.
@Masta_jay007
@Masta_jay007 5 лет назад
nazipenda sana kazizako bro pia hata sauti zako
@Jo-kx8le
@Jo-kx8le 5 лет назад
I just love U
@goo6341
@goo6341 4 года назад
Safi sana Kaka Edgar!!!
@muddabdallah4236
@muddabdallah4236 5 лет назад
nakukubali sana
@muhamadali4517
@muhamadali4517 3 года назад
Safi sana
@jamesmayunga5802
@jamesmayunga5802 5 лет назад
wew jamaaa wew noma sana
@abdulazizsharif2984
@abdulazizsharif2984 5 лет назад
Big up sana bro sauti ya perfect kwa kazi yako
@mbarakamdoe128
@mbarakamdoe128 4 года назад
Da kweli anaejua anajua bro uko vizuri
@kibasaomary5574
@kibasaomary5574 5 лет назад
Bro naomba mtuandalie Historia ya Hugo Chavez,upo vizuri sana kaka
@siliakilojasi4188
@siliakilojasi4188 3 года назад
Nakubari.ediga
@danielmkama24
@danielmkama24 5 лет назад
Bro msimuliaji uko vzr aisee!! Global hawajakosea
@hadija846
@hadija846 4 года назад
Huyu mtangazaji nimempenda saaaana kanifurahisha mpaka siku imekuwa mzuri zaidi hasa hapo kwenye mrio wa gari Haahaaaahaaaaa😘😍👍💞
@hassanovajunior6972
@hassanovajunior6972 5 лет назад
Kaka asee hongera sana upo vizuri sana
@selemaniomari4674
@selemaniomari4674 4 года назад
Hongera kaka kwa kaz yako
@elisanteshibanda7920
@elisanteshibanda7920 5 лет назад
Uko vizuri kaka yaani hata mtu haoni kama muda unakwenda
@badmanno.1650
@badmanno.1650 5 лет назад
Kuna watu wameletwa duniani kutesa wenzao..hii familia ya nguema ni moja wapo..
@remedymoody
@remedymoody 5 лет назад
Safi saana👍
@mkenyamzalendo4130
@mkenyamzalendo4130 5 лет назад
Wow kaka unahitaji kunifunza kiswahili Kenya tumechafua lugha yetu ya Afrika
@danielshakany3677
@danielshakany3677 5 лет назад
nice kaka
@goodluckymartin334
@goodluckymartin334 5 лет назад
Napendaaaaa niwaasikilizeeeeeeeeeee cnaaaa aseehhhhh
@athumanomary1438
@athumanomary1438 5 лет назад
Ewe mwenyez MUNGU tunazidi kukuomba enderea kuwaongoza vyema viyongozi wetu wote ewe mwenyez MUNGU mkuu
@bonifacemwangi2599
@bonifacemwangi2599 5 лет назад
You never disappoint...watching from kenya
@saidiyahayasaidiyahaya7798
@saidiyahayasaidiyahaya7798 3 года назад
Upo vzr kk
@mohammedrajabu7449
@mohammedrajabu7449 4 года назад
Good story
@crispinpayovela7903
@crispinpayovela7903 5 лет назад
safi sana unajua kutangaza
@saidshaban5752
@saidshaban5752 4 года назад
Upo vizur Sana broooo
@geraldsanzala8119
@geraldsanzala8119 5 лет назад
Umetafsiri vizuri bange inavyofanya kazi kutokana na aina ya MTU... Ukiwa na roho chafu ukala dawa unakuwa roho mbaya Mara mbili na ukiwa MTU swafi ndo utatoa hata ulichobaki nacho
@mimahally1388
@mimahally1388 3 года назад
Kwel kbsa
@muhinasundi1206
@muhinasundi1206 5 лет назад
Thanks bro!
@ndikumanajuma3665
@ndikumanajuma3665 5 лет назад
Uko vizuri bro
@gordonodhiambo1128
@gordonodhiambo1128 3 года назад
Following..
@abuusufian6506
@abuusufian6506 5 лет назад
Duuuuuhhh hatari sanaa this is Africa bana
@lightofshadow395
@lightofshadow395 5 лет назад
Big up Denis. You know how to tell story. And you are so funny too 😂 😂😂
@abinarisy1080
@abinarisy1080 5 лет назад
Pamoja sana
@nicolausngoliga3154
@nicolausngoliga3154 5 лет назад
ukopoa Sanaa kaka hongeraa
@estheronyoro1452
@estheronyoro1452 5 лет назад
Napenda story zako
@jacobjacob648
@jacobjacob648 5 лет назад
Asante kwa kutujuza mengi kaka
@josej9888
@josej9888 5 лет назад
Anania Edger ahsante sana.
@yhasintakalenyula970
@yhasintakalenyula970 5 лет назад
Inavutia unavyosoma...Hongera aisee
@abudunn7329
@abudunn7329 5 лет назад
Nice work brother 👊
@zenamilanzi1471
@zenamilanzi1471 5 лет назад
Yani wewe mtangazi unifurasha nakuombea mwenyezi mungu akupe maisha malefu uwatangazie vizazi vijavyo
@BarnababoyBarnababoy
@BarnababoyBarnababoy 5 лет назад
Naelewa vipindi vyako broo uko very sana
@reginambawi7103
@reginambawi7103 5 лет назад
kijana uko vizuri kwa kuzungumza big up
@matthewjohn5108
@matthewjohn5108 5 лет назад
Story nzuri.
@shabalanxy4189
@shabalanxy4189 3 года назад
uko vizur mzee
@reaganpatrick3323
@reaganpatrick3323 5 лет назад
Bro story zako zinapendesa saana
@Daffarz
@Daffarz 5 лет назад
We jamaa kazi unaijua kabisa. big up Ananias na Denis. Africa wengi hawaijui, endeleeni kutuelimisha ndugu!
@bonephasbenjamin4848
@bonephasbenjamin4848 5 лет назад
Da napenda saana history
@kalalamathias8113
@kalalamathias8113 5 лет назад
Hongera
@nyakinyaki1702
@nyakinyaki1702 5 лет назад
Aisee kamanda uko vizur zaid ya sana tena unatisha balaaa!! yap hizi ndizo mambo, hata ukiwasha MB hautajutia
@sifajacob8048
@sifajacob8048 5 лет назад
Your so good in this job bro
Далее
BOKASSA: Rais Mjinga Na Kituko Cha Karne Ya 20
18:32
Просмотров 620 тыс.
СОБАКА И ТРИ ТАБАЛАПКИ😱#shorts
00:24
General Election 2024: What's in store for education?
1:00:06
BABA WA TAIFA ALIILILIA TANZANIA KABLA YAKUKATA ROHO.
21:57