Naitwa, Yohana Mweta, Mimi ni mwalimu wa Chemistry four years work experience. Elimu yangu ni diploma, naweza kupata scholarship ya kusoma marekani, nataka kusoma cause ya IT
Habari. Nimesoma certificate ya Information Technology, nahitaji kusoma Diploma ya Information Technology. Naomba msaada wako. Niwe na Documents gani? Ada bei rahisi ni kiasi gani? Hostel za bei rahisi sana ni bei gani?
Naitwa Yohana Mweta, Mimi ni mwalimu wa somo la chemistry. Nina work experience ya almost your years. Elimu yangu ni diploma, je nina qualify kusoma marekani? Nataka kusoma maswala ya information technology
Hello kaka ebm, lottery Bado na sitakoma nimecheza mara mbili sijafa ikiwa ila sitakata Tamara najua wakati wa mungu haujafika khs vyuo tulishaongea but Nina , swali, vyuo vinaombwa kuanzia mwezi Gani na mwaka wa masomo unaanza mwezi Gani?na kwa kipindi Gani nasubiria selection,,?
Tatizo bwana EBM hujibu jumbe ilo ni tatizo kubwa kuna wengine tupo serious na pesa tayar zipo mfukoni ila experience na Visa process ndio tatizo maelezo bila msaada wa vitendo ni bure
Ukitaka ufanikishe Uwe unamtumia email mida ya Asubuhi kuanzia saa 12 East African Time Mimi amenijibu email zangu Zote Tangu nianz kumtumia ten Kwa wakati