Тёмный

GARI La MANGI Lililogeuzwa Nyumba Lagombania Tuzo ARUSHA 

Global TV  Online
Подписаться 4,9 млн
Просмотров 238 тыс.
50% 1

Gari la kijana wa Kitanzania kutoa KilimanjaroKonani limekuwa kivutio katika mashindano ya kutafuta gari yenye muonekano mzuri kuliko yote yanayo fanyika jijini Arusha katika viwanja vya shekh Amri Abedi.Namnana ambavyo gari hiyo imegeuzwa na kuwa na kila kitu cha nyumba ya kawaida imekuwa ni kivutio kwa wengi wanao litazama gari hilo.YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982)
----------------------------------------------------------------------------------------------------------------
HABARI MPYA DAILY:ru-vid.com?list...
HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:ru-vid.com?list...

Опубликовано:

 

6 дек 2019

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 98   
@mokijames9958
@mokijames9958 3 года назад
Watching from Kenya,I really like this car, congratulations
@greatman296
@greatman296 4 года назад
Jamaa anatupa vitu vinavyofanywa nje mfano ujeruman afu anavyoelezea vilevile tunaitaji burudan kama izi! I like it
@pascaljoseph6480
@pascaljoseph6480 Год назад
JANETH KILUMBE, Ongera sana Kanani kwa ubunifu !
@donardpelladonardpella2501
@donardpelladonardpella2501 4 года назад
Kama umelikubali garii LA kaanani gonga like twende sawa
@washertwashertpstudiotanza4332
@washertwashertpstudiotanza4332 4 года назад
R
@omareliamin877
@omareliamin877 4 года назад
Ametisha kaanan
@happymsaki1720
@happymsaki1720 4 года назад
Umewakilisha vzr mno kanani viva moshi
@kevinblaize7361
@kevinblaize7361 4 года назад
Kwakweli gari la kanaani ni chumba kinacho tembea gonga like kama umlipenda
@micamathew6433
@micamathew6433 4 года назад
Dahhh axe nimefurahi sana, yaan gari iko mpaka na sehemu ya kupikia. Hahahahahaaaaaa huyu dingiii mkali kwelikweli.
@abrahamaniidd1283
@abrahamaniidd1283 4 года назад
Kama unaangalia gar ya kanani huku unasoma comments gonga like
@washertwashertpstudiotanza4332
@washertwashertpstudiotanza4332 4 года назад
😋 y yytty TT
@mwananziaabdaallah1474
@mwananziaabdaallah1474 4 года назад
Mpo juu Arusha
@yahayatemu1858
@yahayatemu1858 4 года назад
Kilimanjaro. Juuuuuuuuu, niitakuaa juu sijuzote,
@tudijama3710
@tudijama3710 2 года назад
Noma sana
@happymsaki1720
@happymsaki1720 4 года назад
Iko vizuri kananiii
@parokonkya9799
@parokonkya9799 4 года назад
Arusha ni noma
@tumakisamo2658
@tumakisamo2658 4 года назад
Sawa mzee baba kanan
@tobychazy1942
@tobychazy1942 4 года назад
Hela bna,
@witiiimshana2391
@witiiimshana2391 4 года назад
Hi gari naionaga sanaa
@mirandajoao1760
@mirandajoao1760 4 года назад
Witiii Mshana
@pascalpetro6623
@pascalpetro6623 4 года назад
Mubunifu sana huyu jamaa Safi sana
@jumalukana9867
@jumalukana9867 2 года назад
Nimekubali
@tudijama3710
@tudijama3710 2 года назад
Anaweza
@mansooralmahruqi885
@mansooralmahruqi885 4 года назад
Naomba namie nialikwe mwaka kesho nije na gari yangu
@johnsylvester3795
@johnsylvester3795 4 года назад
mansoor al mahruq
@presseg.6362
@presseg.6362 4 года назад
Good!!!!!
@shanelisessoa6319
@shanelisessoa6319 4 года назад
KANANI; Nimzee wa sawa nampa √100
@rehemadani3600
@rehemadani3600 4 года назад
Kanani hapo katisha
@alexnatojeshilamtummoja689
@alexnatojeshilamtummoja689 4 года назад
Jamaa naongea sana
@gracekweka6285
@gracekweka6285 4 года назад
Atareeeee sana
@kennedkaaya5998
@kennedkaaya5998 4 года назад
🙌🙌
@kagirasta1476
@kagirasta1476 2 года назад
Safi sana
@tgworldimportsexports6396
@tgworldimportsexports6396 4 года назад
Safi
@kingjafu7759
@kingjafu7759 4 года назад
Minaplan yakuanzisha kampuni ya kuuza magari vya RV Yaani magari nyumba
@cindymacho5282
@cindymacho5282 4 года назад
Namjuwa huyo mzee juzi walikuwa Hapa home wanachili na my uncle
@andreageorge1423
@andreageorge1423 4 года назад
nimegundua kunaushamba mwingi Sana kwa watu wa kilimanjaro yan ata arusha wanaita Moshi
@antoinea.katembo5326
@antoinea.katembo5326 4 года назад
Duh wana moshi bhana Kiswahili chao kama wakongo tu vile mpaka raha kwei! Mutungi iko kule chini dah!!! Moshi oyeee!
@kennedkaaya5998
@kennedkaaya5998 4 года назад
Kanani we noma
@modestmashalloh567
@modestmashalloh567 2 года назад
Home boy
@harryboy7194
@harryboy7194 4 года назад
Dah jama noma sana
@amankamnde9807
@amankamnde9807 4 года назад
Magar Kama iyo naiuza ml 25 kwa mawasiliano zaid cm 0716275187 iko dar maeneo ya bunju
@ismailmangare547
@ismailmangare547 4 года назад
Haitwi konani tunamjua kwa jina la Kanani
@jackilinenassary6501
@jackilinenassary6501 4 года назад
Atareeeee
@karimushabani5547
@karimushabani5547 4 года назад
Jamaa anaongea so pow
@amandasaloon1652
@amandasaloon1652 3 года назад
Wampe tunzo lake laushindi latangu zamani
@ismailmangare547
@ismailmangare547 4 года назад
Hii gari ya boss Kanani nikalia mabaya sijaona gari kama hii kwenye shindano hili
@mwasoprince3459
@mwasoprince3459 4 года назад
Duuuuiih
@kisimachamovemixzadjmackdj1555
@kisimachamovemixzadjmackdj1555 4 года назад
Atari
@walterkusaga2484
@walterkusaga2484 4 года назад
Wapi iyo
@mohamedirashidi2392
@mohamedirashidi2392 4 года назад
Mmm
@selemanimasatu2421
@selemanimasatu2421 4 года назад
HARAFU KESHO MUNIAMBIE KASHINDA MWINGINE NAFUTA HAYO MASHINDANO.
@yohanamollel7363
@yohanamollel7363 4 года назад
Nampata sana kanani near by KKT
@preciouspeter3445
@preciouspeter3445 4 года назад
Acha we
@hancemagembe8221
@hancemagembe8221 4 года назад
Huyu ndio kanani bwana
@johnfaulkner747
@johnfaulkner747 4 года назад
12:31 01:19 13:22
@cyprianbernard907
@cyprianbernard907 4 года назад
Kanani nampata sana msalanga near na mbwaruki
@tudijama3710
@tudijama3710 2 года назад
Kkkk
@yonandele5608
@yonandele5608 4 года назад
Choo Ndio mtiani
@sterboychawda5013
@sterboychawda5013 4 года назад
Kanini ni kwere
@ramadhanurassa2410
@ramadhanurassa2410 4 года назад
magari ya zamani ndio yanavutia hilo la mangi tupa kule
@tudijama3710
@tudijama3710 2 года назад
Kkkkk
@innocentshao8291
@innocentshao8291 4 года назад
Garivya mchaga ya moto
@valentineevarist5628
@valentineevarist5628 4 года назад
jamaa nime mkubali sana ana onekana ni mtu poa sana kuwa na urafiki naye hahaa
@emmanuelshayo8886
@emmanuelshayo8886 4 года назад
Aikatox
@saadakiyungi6437
@saadakiyungi6437 4 года назад
Noumaaa😂
@bestoiler9227
@bestoiler9227 4 года назад
Saada Kiyungi aisee chombo ya fundi hiyo
@damianjeremia3821
@damianjeremia3821 4 года назад
kanani
@winifridasylivestermachila9490
@winifridasylivestermachila9490 4 года назад
Nani kasiikia toilet paper 😅😅😅 big up kwa ubunifu mzee baba
@kingmavenga8913
@kingmavenga8913 4 года назад
jamaa anamtawala sana mtangazaji
@godyignasy3923
@godyignasy3923 4 года назад
Gar nakutana nayo Sana moshi
@thamiyuucute7098
@thamiyuucute7098 4 года назад
Duh😂😂😂😂😂choo kimo au?haaaaaaaa😃😃😃😃😃😃😃
@allykutenga2862
@allykutenga2862 4 года назад
Al marhum bi Kidude alisema shibe ikizid sana ????? haaaa Malizia hap mdau wng..
@dunduumaster4815
@dunduumaster4815 4 года назад
Ndo maana mzee Magu haleti ziara moshi anaona nyie hamna shida.
@isaacmafole2136
@isaacmafole2136 4 года назад
Shida hakuna kule
@allyissa9618
@allyissa9618 4 года назад
Hata mm huwa najiuliza mbona afanyi ziara Moshi?
@eliaichihenry9010
@eliaichihenry9010 4 года назад
Kwa kweli tunamshukuru MUNGU sana hatuna shida, tulishamtwisha B WANA YESU msalabani
@babulee8768
@babulee8768 4 года назад
Akishafanya mwanzoni mwa utawala wake
@D-Man.B-Free
@D-Man.B-Free 4 года назад
Vipi kuna restroom 🚽?(choo)????
@lastborn8954
@lastborn8954 4 года назад
Utakunya njee 🤣🤣🤣
@abdalla967
@abdalla967 4 года назад
Ninayo inverter Kama hyo alofunga huyo Jamaa ya watts 1000 mwenye kuhitaji anitafute
@adamnguvu1020
@adamnguvu1020 2 года назад
*Migration kuna haja yakumchunguza huyu mzee huwenda sio MTANZANIA rafudh yke co yakichaga kabisa*
@sundayjohn1285
@sundayjohn1285 4 года назад
Sio mangi huyo mkongo
@zuberijuma1982
@zuberijuma1982 4 года назад
Nishida
@jacobkeleman8001
@jacobkeleman8001 4 года назад
Hajakamilika bado maana sijamuona Mke wake
@mbungemhina5174
@mbungemhina5174 4 года назад
Kanani ni nomaaa sana
@wlkmwlkm3381
@wlkmwlkm3381 4 года назад
Huyu ni mjeuri 😂😂😂mwenyewe anachipikia
@bigentertainment2751
@bigentertainment2751 4 года назад
ivi huyu ndo mwenye kampun ya kanani ya maloli
@cavoo4get649
@cavoo4get649 4 года назад
Jamaa anayo malori zaidi ya 100
@MtuSafi
@MtuSafi 4 года назад
@@cavoo4get649 kumbe tajiri yupo kawaida sana aisee hongera yke
@vero57
@vero57 4 года назад
Toilet paper 🤣🤣
@elifasinimpagaritse8925
@elifasinimpagaritse8925 4 года назад
Vero ume ona toilet paper wapi
@enezermwafrica7443
@enezermwafrica7443 2 года назад
Gari la Nyumba ndio mpango mzima, asiposhinda tutajua kuna double standard imefanyika!🤷🤷
@Hotelholiday-nx7pv
@Hotelholiday-nx7pv 4 года назад
Weweeeeeeeeeeeee pamoja Sana Kanaani umetuwakilisha sanaaa pande za Moshi majengo
@jimmymberesero7350
@jimmymberesero7350 4 года назад
Jembe letu KANAN Nakuaminiaga👍
@tudijama3710
@tudijama3710 2 года назад
Kitu
Далее
BREAKING: Ruto has fired his entire cabinet
8:56
Просмотров 3,6 тыс.
小天使和小丑离家出走#short #angel #clown
00:36
American RV( Hii ni gari na ni nyumba)
11:01
Просмотров 168 тыс.
RAISI AVAMIA SABASABA WATUMBULIWA VIONGOZI
2:24
Просмотров 9 тыс.
Gari Nyumba Marekani
13:37
Просмотров 698