Тёмный

HALI YA MAUAJI MISITU YA CONGO/INATISHA / M23 KAGAME ATOA USHAHIDI SAMIA, KIKWETE WATAJWA JWTZ 

Dar24 Media
Подписаться 725 тыс.
Просмотров 24 тыс.
50% 1

--
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
⚫️ Website: www.dar24.com
⚫️ Instagram: @Dar24news
⚫️ Facebook: @dar24
⚫️ Twitter: @Dar24News
#Congo #war #m23

Опубликовано:

 

16 фев 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 53   
@saidindizeye2206
@saidindizeye2206 5 месяцев назад
Dah! Uongo mtupu , rudi kasome vizuri historia, ati m23 lilikua kundi la uasi kule Rwanda , labda ungelisema kundi la FDLR ndilo lililofanya mauaji ya kimbari kule Rwanda ndipo likakimbilia congo baada ya kushindwa vita ila M23 ni wanainchi wa congo ni vile tu hawakubaliki kuwa ni wa congo kwa sababu tu wanaongea lugha inayofanana asili 95% na kinyarwanda na vile tu ni wa tutsi kwa mfano kama vile inchi yako ya Tanzania ikatae watu wa kigoma kuwa si watanzania kwa sababu wanaongea lugha inayo taka kufanana na lugha ya kirundi so yaani m23 ni kabila ya wanyamulenge wanao baguliwa na ndugu zao kua si wa congo ndio sababu ya vita
@emmanuelchiza7733
@emmanuelchiza7733 5 месяцев назад
M23 ni wanyaruanda wahimiaji kama wakimbizi miaka ya 1970 acha kupotosha watu kabisa
@kalokolamulumbe8445
@kalokolamulumbe8445 5 месяцев назад
Ni fact tupu,ulizoongea,propaganda zaweza aminisha watu,kwa mfano ukanda M23,ni wakongo lkn vile vile mgogoro wa konggo ni mpana mno hatuwezi umaliza kwa story story tuu,mi natafakar nmezaliwa nmekuta migogoro Kongo hata kabla ya kagame hajaingia madarakani,lkn pili hata kama kagame anausika ni 0.001.mchawai yupo sehemu anawachora
@happynesbaemuhappynes8813
@happynesbaemuhappynes8813 4 месяца назад
Uko sahihi kabisa
@charlesolomi9514
@charlesolomi9514 5 месяцев назад
Intro Kali 🔥🔥🔥
@Nundu2000
@Nundu2000 5 месяцев назад
Red Tabara siyo Tambara
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw 5 месяцев назад
Mpo Sawa kabisa hapo ndio mthihani WA Congo nchi ni kubwa mnoo na makovu ya ukoloni Belgium ina maslahi makubwa pale madini yote wanaiba pale ndio wanapopata faida kubwa kuendeshea viwanda vyao ndege usiku na mchana.
@mohameda.i.baranyikwa6551
@mohameda.i.baranyikwa6551 4 месяца назад
kweli kbsa
@NdayishimiyePhilippe-tp3or
@NdayishimiyePhilippe-tp3or 4 месяца назад
Unayo ongeya huyafahamu wew siyo muchambuzi
@user-wj1kz4yv3i
@user-wj1kz4yv3i 5 месяцев назад
Vipi we mbona unachambuwa mambo usiyo yafahamu hâta?
@uwamureragloria3337
@uwamureragloria3337 4 месяца назад
Hapo umetuacha mlango wazi banyamurenge sio wanyarwanda ni wakongomani
@oliviermususa106
@oliviermususa106 5 месяцев назад
Kweli ume thoboa ngomba ya Siri ya wajambazi
@CedricNKUNDABAGENZI-gc8yt
@CedricNKUNDABAGENZI-gc8yt 5 месяцев назад
Uyo jama anaongea tu.ata hajawahi vuka tanzania
@eriksindakira879
@eriksindakira879 4 месяца назад
Kasome tena storia 😢😊
@alineyaya9786
@alineyaya9786 5 месяцев назад
Mbona Kundi la Maji maji auja liweka na kundi la Wazalendo
@casimirbabutetungoy8650
@casimirbabutetungoy8650 5 месяцев назад
Ndugu wapenzi jambo. Mimi ni mkongomani wa hapa jiji la Lubumbashi. Nimefurahishwa sana na mazungumzo yenu kwani ni ya kweli. Hizo sehemu ine za mzozo wa Congo pamoja n'a makundi 120 ni kweli. Ila lawama kuhusu Tshisekedi kukataa Rwanda katika makundi ya kutafuta Amani ya Congo siyo Sawa. Huweze kumuweka adui anaekupiga vita kuwa rafiki wa kukulinda. Pia kitu ninajuwa ni kwamba hakuna mu kongomani yeyote anayechukia hao ndugu zetu watutsi waliojipatia kwa ujanja jina la Banyamulenge. Kinacho endelea n'a ambacho ninajuwa kama chanjo la matatizio kwa hawa jamaa ni kwamba hawataki kukata kitovu chao n'a Rwanda. Hawaweze kujiita wakongomani tena Wanyarwanda. Hamna!.Tena ni watu wanapenda sana kutawala hata kufikia kiwango cha kutaka kutawala wenyeji wa inchi ijapokuwa ni wakimbizi. Huko Rwanda walipokelewa n'a Bahutu n'a Batwa lakini wakawageukia hadi kufukuzwa. Kwa hiyo ni watu wasiopenda usalama bali wanapenda kumwanga damu isio na hatia yoyote. Na mwisho wanapenda kutumiwa kama vibaraka wa Mabeberu wazungu kwa kupora mali ya inchi iliowapokea. Ndugu ninakuhakikishia kwamba hao watu watakataliwa katika Afrika nzima n'a hapo ndipo wataelewa ubaya wao kwani ni ukoo wa Kaini. Hata kwenye Tanzania mutawakataa sababu ya matendo yao maovu. Tusubiri tu!.
@deoarakaza5801
@deoarakaza5801 5 месяцев назад
Wewe muongo sana
@user-wj1kz4yv3i
@user-wj1kz4yv3i 5 месяцев назад
Una kutokufahamu(uginga) kwenye historia ya makundi, uko unapotelea kwenye historia, na sababu ya kupigana kwa makundi.
@ingodwetrust.239
@ingodwetrust.239 5 месяцев назад
Wacheni uongo jikite kwa nyingine kazi
@ignasnyembo1256
@ignasnyembo1256 5 месяцев назад
Watamkumbuka Maréchal, Roi du Zaïre, Roi léopard, Papa Maréchal mobutu seseseko
@ambakisyemwanjemba5787
@ambakisyemwanjemba5787 4 месяца назад
uongo uliokithiri mnaongopea umma hadharani ,eti wanajeshi 6 waende kuchukua rada ya nchi ya burundi wao ni nani?
@jkifutu7936
@jkifutu7936 5 месяцев назад
Nawakubali sana wadogo zangu
@vyamunguabdulkarim4313
@vyamunguabdulkarim4313 5 месяцев назад
Huyu jamaa nimuongo kupundukia
@n.rforleayle6999
@n.rforleayle6999 5 месяцев назад
Kuhusu hao makomando sita Unaongea ujinga we boya
@mohameda.i.baranyikwa6551
@mohameda.i.baranyikwa6551 5 месяцев назад
Nikurekebishe ndungu, M23 Sio wanyarwanda na wala sio waasi kutoka Rwanda bali ni waasi wacongomani wanao pigania kutambulika kama wacongomani wengine. Wanaongea kinyarwanda sababu wakoloni (BELGIUM) walichukuwa sehemu ambayo ilikuwa ufalme wa Rwanda wakaitia upande wa Congo; hivyo babu za hawa M23 walijikuta wakiitwa wacongomani. Bahati mbaya hakuna utawala wa congo ulowahi kuwakubali kama wacongomani.
@BenardZephaniah
@BenardZephaniah 5 месяцев назад
Acha propaganda m23 ni wanyarwanda istoshe wanaopigana sasa ni rdf msifikiri watu ni wajinga kiasi hicho tulieni JWTZ iwape darasa ndio muite maji maaaaa😮😮😮😮😮
@mohameda.i.baranyikwa6551
@mohameda.i.baranyikwa6551 5 месяцев назад
@@BenardZephaniah Ndugu Benard tatizo lako wewe ni miongoni mwa watanzania wasiopenda kusoma historia ya dunia. Mimi ni Mtanzania kwa baba na mama japo sikuzaliwa Tanzania. Nilisoma historia ya Tanganyika ambapo badhi ya makabila ya mpakani na Rwanda, Burundi, na CONGO hubaguliwa huku wakiitwa wageni. Mfano waha, wahangaza, wasubi, wamanyema na wabembe hunasibishwa na Warundi, wanyarwanda au waCongomani. lakini sijawahi kusikia makabila ya mpakani na Kenya, Uganda, Msumbiji, Malawi na Zambia wakinasibishwa na nchi hizo.
@BenardZephaniah
@BenardZephaniah 4 месяца назад
Huyu unaezungumza nae nimekaa zaidi ya miezi sita Kigali,chibironko na sehemu nyingi tofauti,Goma, Kampala,Fortpotle, Jinja, Burundi karibia provinces zoote,Bukavu,Lubumbashi,Kitwe lusaka, Kenya nusu ya kaunti zoote napafahamu ninachokiongea nakifahamu kuliko unavyofikiri, si kila m-TANZANIA ni mjinga, hadi JWTZ wanaenda kuisaidia Congo wamefanya analysis ya kutosha usipotoshe watu asee!
@mohameda.i.baranyikwa6551
@mohameda.i.baranyikwa6551 4 месяца назад
Wewe umeishi hapo unapopataja miezi sita halafu ukafudhu kunako historia ya maziwa maku? hivi wewe wamshinda historia Mwalimu Nyerere alie taja kama watu hawa sio wanyanrwanda? Mimi ni Journalist ambae amefuatilia historia na vita zote za Congo, Rwanda Burundi tangu 1990. Tanzania kutuma Jeshi la kusimamia amani sio tija lakini wasivunje haki za binadamu( hawezi kufaulu yeyote anae ua sehemu ya raia wa nchi fulani) Nimekuuliza kuhusu ubaguzi Tanzania hukujibu maana ulikubali. Ukitaka ushahidi nenda bungeni ukaulize ni wabunge wangapi walio wahi kuitwa wageni kwa sababu tu ya muonekano na maumbile yao.@Zephaniah
@BenardZephaniah
@BenardZephaniah 4 месяца назад
​@@mohameda.i.baranyikwa6551my friend, sijakujibu kwa habari ya ubaguzi sababu sioni mashiko ya hoja yako, nchi haina ubaguzi ila mtu mmoja mmoja anaweza kuwa hivyo ila itikadi ya nchi ni HEKIMA,UMOJA NA AMANI chama tawala pia itikadi yake moja wapo ni Binadamu woote ni sawa, ukiona wanakufuatilia kuna ukweli wewe binafsi umeuficha, ukitaka ukweli, kaulize wazee wa Kibembe,Kifulelo na Kihema n.k watakuambia au kwa kuwa wewe ni mwandishi mahili kaonane na mwenzako Bw, Muyaya msemaji wa Rais Tsisekedi au waziri wa ulinzi wa Congo watakupa ukweli, usiegemee upande wenu tu ,kubalini ukweli ndio itakuwa chanzo cha amani huko kwenu,ahsante kwa hoja zisizo na ukakasi
@mwangimuhammad-sx9hb
@mwangimuhammad-sx9hb 5 месяцев назад
Mchechemuzi
@NkunzimanaKevin-ck7lv
@NkunzimanaKevin-ck7lv 4 месяца назад
Kila mtu ako free kuongea ujinga😂😂😂. Mtanzanian wa 1 ku list ya wajinga.
@byamungujeanvie9514
@byamungujeanvie9514 5 месяцев назад
Wewe hulinganishwa nakibuyu ? Pia chipofu
@Nundu2000
@Nundu2000 5 месяцев назад
Yaani wewe ndo hujui kabisa. Mambo mengi huyajui..... Wasiliana na wachambuzi wa siasa za ukanda huu wakusaidie
@user-bf4xh9kc3n
@user-bf4xh9kc3n 5 месяцев назад
Ww unajua mno kuna wajinga wachache hawana taarifa sahihi ebu wasome kitabu cha ujasusi wa kidola na kiuchumi wafunguke mawazo
@MrntakaBenjamin
@MrntakaBenjamin 4 месяца назад
Habari za huko kwetu katika inchi yetu jirani, Nina washukuru sana
@user-qf9xy6if7w
@user-qf9xy6if7w 5 месяцев назад
Ridiculous
@AnnoyedBreakfast-zn2bo
@AnnoyedBreakfast-zn2bo 5 месяцев назад
Uongo😂😂😂
@timothyndiwa2651
@timothyndiwa2651 4 месяца назад
Muongo 😂
@deoarakaza5801
@deoarakaza5801 5 месяцев назад
Wewe hujuwe M23 ni wa Congo man warikbia Rwanda ni FDL wariyo fanya mawuwaji 1994
@user-ht4yh3bz8r
@user-ht4yh3bz8r 5 месяцев назад
Kuma la mamako toka lini mkomani akimbiliye Rwanda
@shemajeandamascene3195
@shemajeandamascene3195 4 месяца назад
wewe ni civilian kabsa radar inaniweka nijiulize kama unaifahamu radar
@Stayawayfromislam2
@Stayawayfromislam2 5 месяцев назад
Dah kuna story za wongo sana 😂
@ingodwetrust.239
@ingodwetrust.239 5 месяцев назад
My goodness brother let me tell you BANYAMULENGE are not people who left RWANDA 1994 BANYAMULENGE ARE CONGOLESE who has been in congo before colonial border myself iam MUNYAMULENGE don't give people false information which you don't know please if you wanna give history to people go back learn the history. But this one is full of wrong information.
@user-zn9ig8bq2y
@user-zn9ig8bq2y 5 месяцев назад
Monsieur tu as menti
@azizihfarijala5307
@azizihfarijala5307 5 месяцев назад
Huyu amesahau Banyamulenge ndiyo waliomsaidia kagame kuingia madarakani kwa ahadi kuwa nae angewasaidia kukamata madaraka kongo lakini haikuwezekana wakakimbilia porini kabisa wakaanzisha m 23 na wanafadhiliwa na kagame huyu anasema kagame aliwapiga muongo kumbuka kagame alomweza kuwa huwawezi hao m 23 na walipopigwa makamanda wake wengi walikombilia Rwanda
@henryking6070
@henryking6070 5 месяцев назад
Wanyamulenge na wanyarwanda kuna utofauti gani?
@Nundu2000
@Nundu2000 5 месяцев назад
Kuna some errors hapo. Tutafute habari kabisa
@Nundu2000
@Nundu2000 5 месяцев назад
Wanatofauti kubwa. Wengine ni wanyarwanda wengine ni WA Congo
@moseskulola6913
@moseskulola6913 5 месяцев назад
Wewe muhogo sana .unausisha udini wapi muhogo wewe ..kwanini uzugumuzie inchi isiyakuwa yako utilize sisi mwenyewe wanaishi ..hakuna hata kudi hata monja wewe isipokuwa m23 wewe
@nizarmomo4293
@nizarmomo4293 5 месяцев назад
Wewe ni mjinga ivi unaijua history ya Burundi ao unajifurahisha tu bwege wewe
@AstalikoMulishi-gu3sp
@AstalikoMulishi-gu3sp 5 месяцев назад
nyie waongo sana mnongea upuuzi tu hamna lolote
Далее
Qalpoq - Kichkina tabib (hajviy ko'rsatuv)
30:41
Просмотров 285 тыс.
Qalpoq - Kichkina tabib (hajviy ko'rsatuv)
30:41
Просмотров 285 тыс.