Тёмный

HALI YA MPAKANI TANZANIA na ZAMBIA BADO TETE,Serikali ya Tanzania yatafuta ufumbuzi 

MbeyaYetuOnlineTV
Подписаться 233 тыс.
Просмотров 51 тыс.
50% 1

#MbeyayetuTv #Tunduma

Опубликовано:

 

11 май 2020

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 30   
@browrinah9357
@browrinah9357 4 года назад
Mungu tu atuepushe na hili janga la Corona ✌️✌️✌️
@ferouzmasoud4741
@ferouzmasoud4741 4 года назад
Daaah 🙄 hatari Sanaa Mw/MUNGU 🙏 🙏 tunaomba utuepushie na janga hili la Corona
@katibatanzania3089
@katibatanzania3089 4 года назад
Poleni sana kaka zangu kwa mitiyani inayo mikota
@jujuwaida5443
@jujuwaida5443 4 года назад
Dah Mungu tusaidie
@dioshirima1130
@dioshirima1130 4 года назад
Jaman muwahurumie madereva wanateseka sana
@michaelsamson9663
@michaelsamson9663 4 года назад
Waendele kujifungia tusiwape chochote nasisi tufunge wasije kwetu kama awatakufa njaa
@jamessiame4174
@jamessiame4174 4 года назад
Muongo
@jamessiame4174
@jamessiame4174 4 года назад
Koma
@francomwalutende7864
@francomwalutende7864 4 года назад
Zambia hawali chakula toka Tanzania zaidi ya mitumba japo mafuta yote wanategemea toka bandari ya Dar. Tukifunga ss itakula kwetu kwani ni kodi
@Ba63828
@Ba63828 4 года назад
NDO KUONYESHA SERIOUSNESS HUKO. HAO MADEREVA WALIKUA WANAONGEA NA UPANDE GANI WA MPAKA? MH. RC KWA HILI UPO KIDIPLOMASIA VZURI SANA lkn MH. RC HAKUNA HAJA KUPIMA WATU WAKO JAPO MPAKANI?
@rassimbaengswahili6191
@rassimbaengswahili6191 4 года назад
Yaani simwelewi huyu RC anachoongea!
@dirstevennzitodirstevennzi845
@dirstevennzitodirstevennzi845 4 года назад
Mnataka mwambiwe siku ya kufunguliwa mpaka toeni takwimu mtu mzima unaelewa wamemanisha nini maana maamuzi ya kuto tangaza wagonjwa Tanzania mmewapa hofu mzambia awezi kukuonyeshea kua hakutaki ila vitendo mnatuasili na wengne sasa bora idadi muendelee kutaja alafu msiweke lockdown
@vailethmwakajinga1558
@vailethmwakajinga1558 4 года назад
Poleni madeleva
@yusuphyusuph4542
@yusuphyusuph4542 4 года назад
Daah ihari tet san Daah
@sasha-ri7tf
@sasha-ri7tf 4 года назад
Kuweni wa kweli wa takwim za vifo pamoja na walioasirika ili tutowe wasiwasi na nyinyi. Sio watu wanakufa na mnawazika usiku bila ya kutoa takwim, sisi majirani wenu tuwaruhusu muingiye nchini kwetu kirahisi tu mje kutuletea magonjwa na kutuambukiza. haiwezekani.
@hamzalyawa7981
@hamzalyawa7981 4 года назад
Acha upumbavu na wewe kwan we si wa huku huku fala wee
@salimzaidi9203
@salimzaidi9203 4 года назад
Wanazikwa usiku unawazika wewe acha ufala wewe takwimu wewe zinakuhusu nin kama siyo wahuku TANZANIA tulia tuache
@benjaminmwaria457
@benjaminmwaria457 4 года назад
Mnaenda wapi? Baki nyumbani. Wanajilinda na korona.
@verdianabanabi5943
@verdianabanabi5943 4 года назад
Rudishia magari nyumbuni watu wanaogopa corona
@katibatanzania3089
@katibatanzania3089 4 года назад
Aowatu wa zambiya na wao wamekuwa kama wakenya mijitu kama iyo kwa nn ss wa tnzna tunawakaribisha kwenye nchi yetu
@katibatanzania3089
@katibatanzania3089 4 года назад
Mmmm vibentede vya njiyani watakufa njaa mana na nyny kaka zetu wamaroli mnakuwa wasaliti sana na familiya zenu ss safari hii watakoma ao vibentede
@prexynaliaka
@prexynaliaka 4 года назад
Coz yuo Tanzanian you are not serious with corona.every body will Not axapt you
@doricatrazias3036
@doricatrazias3036 4 года назад
Maisha ya kufunga mpaka co mazuri kwanza yanaleta njaa sana yan kwa kuwa ni mizigo waachie tu ili watulinde wanchi
@egnokinunda4539
@egnokinunda4539 4 года назад
Sawa mkuu tumekusoma
@muhammadkifakara2573
@muhammadkifakara2573 4 года назад
Wewe na Kabudi nani tumsikilize ?
@nicksonjohnson6760
@nicksonjohnson6760 4 года назад
Kabudi nashindwaga kunielewa kabisa .. mkuu wa mkoa yupo Endo la tukio kabudi yy dodoma anatuambia macho na makaratasi na porojokubwa ... Duuuh
@mazuk693
@mazuk693 4 года назад
Gurudum la uchumi linapanda mlima kitonga
@mwanasaidi5629
@mwanasaidi5629 4 года назад
Ahutomuelewa sababu wewe nimbumbu
@mashakambugi6730
@mashakambugi6730 4 года назад
Wanapeleka magari ya nini
Далее
What Killed Mercy Mawia , The husband explaining
10:59
Просмотров 1,3 тыс.
Mkasi - S02E03 with Steven Kanumba
26:51
Просмотров 1,3 млн