Тёмный
No video :(

MJADALA MZITO USALAMA WA MPINA BAADA YA KUFICHUA UFISADI MKUBWA SAKATA LA SUKARI TANZANIA 

Chanzo Tv Online
Подписаться 18 тыс.
Просмотров 21 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 60   
@user-ru4wm6bn7y
@user-ru4wm6bn7y 2 месяца назад
Mungu kwa neema yake akulinde.Amina.
@floramsacky3929
@floramsacky3929 Месяц назад
Magufuli watu wake wakina makonda, mpina n.k ni wamepikwa haswa Asante magu kwa kutuachia watu wa kutupazia sauti MUNGU awalinde na kuwatunza
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 2 месяца назад
Mmejipanga saana, hongereni, Muumini wenu atukane , akashifu, atoe shutuma za Uongo, lakini bado atatetewa tu , Hongereni saaana mko vizuri
@bcozhenry2698
@bcozhenry2698 2 месяца назад
Unadhani akili za kujua hili unazo?
@user-mm6sm9rt9x
@user-mm6sm9rt9x 2 месяца назад
Huyu Mpina Anapaswa kuungwa mkono na watanzania wote. Lakini watanzania tusipoamka na kupinga mafisadi kama hawa ambao mpina amewafichua. Basi nchi yetu itazidi kuwa masikini kupindukia.
@AizackKalenge-ro5rc
@AizackKalenge-ro5rc 2 месяца назад
Kama tunaipenda nchi yetu,Tupige ufisadi na wizi wa pesa za umma
@ezekieljacob5795
@ezekieljacob5795 2 месяца назад
Siyo rahisi kutoka kwenye usingizi tulionao la sivyo tuwapate vitukuu wa mganga wa Nyerere watuelezee kile kifimbo cha Nyerere alichokuwa anatembea nacho, kinasemekana kuwa na nguvu za ajabu...na kifimbo hicho kilitumika kutupu..... hadi leo
@user-ze6lx9ng6s
@user-ze6lx9ng6s 2 месяца назад
Mbunge Mpina ndiyo mtetezi wa wananchi wa taifa hili,
@user-nh7ie5kz7l
@user-nh7ie5kz7l 2 месяца назад
Mungu akutunze
@ambitiousholyspirit395
@ambitiousholyspirit395 2 месяца назад
Mpina ni Mbunge wa Taifa! Mungu akulinde.
@FredymaswiMwita-oj6gv
@FredymaswiMwita-oj6gv 2 месяца назад
mpina big love to you our really mp,,,,work hard for our citizens
@user-my7fj6wn7y
@user-my7fj6wn7y 2 месяца назад
Mungu awtangulie
@user-sw7tf1ob1b
@user-sw7tf1ob1b 2 месяца назад
Mpina kamungu siyo mtoto kufa Kwa mkilisto ni sawa na hama duniani kwenda mbinguni usiogope wezi wazima Hana nguvu jitowe ccm uwa ukweli hawataki watu wa kweli wanataka wapiga makofi usikubali
@user-us4tk2tk3c
@user-us4tk2tk3c 2 месяца назад
Ni kama ninyi mnavyotaka mijitu miongo, mipotoshaji na miwakala ya ushoga na makuwadi wa mabeberu.
@MohamedBlanker-jw9qy
@MohamedBlanker-jw9qy 2 месяца назад
Magufuli ndio mwamba achana nae rip magu
@healingsschool4630
@healingsschool4630 2 месяца назад
Hata kama mpina umesema kweli subiri utaratibu ukamulike. No a single tree can make a forest. Hao masikini unaotetea watakutosa, hawana maana kama hutumii utaratibu na sheria , si unakumbuka akina mrema alivyokua anabebwa, desi walipokusanyika nk. Mnyonge hana kinyongo mpina, mnyonge akipewa pesa anakutosa mheshimiwa mpina
@evelynmwaimu-vd9jo
@evelynmwaimu-vd9jo 2 месяца назад
Aaa si kweli
@user-jj7qv7kh2s
@user-jj7qv7kh2s 2 месяца назад
wewe hovyo kabisa huna maana kibaraka wewe.
@user-ry4kx9hg7o
@user-ry4kx9hg7o 2 месяца назад
Mpina mungu akulinde.
@desiderihugo5704
@desiderihugo5704 2 месяца назад
Aiseee hali ni ngumu sana . Pesa nyingi sana znapigwa nchi hii ndiyo maana tunazidi kuteseka . Mungu wa mbinguni tukuinulia macho tunaomba usikilize kilio chetu . Wewe Mungu uonae yanayo yanayofanyika gizani tunaomba ubatilishe mipango yote ya hawa maibilisi .
@user-mm6sm9rt9x
@user-mm6sm9rt9x 2 месяца назад
Ni mtanzania tu ambaye hafikri vizuri ndo atamchagua ila Mimi siwezi hata kidogo
@Worldunite
@Worldunite 2 месяца назад
Nani?
@ezekieljacob5795
@ezekieljacob5795 2 месяца назад
Achana naye wagonga meza wengi tu
@abdallahkihanza482
@abdallahkihanza482 2 месяца назад
Chamsingi ni katiba mpya tu, ndio sululisho, bila hivo wananchi tutaendelea kunyanyaswa na wenyewe mamlaka
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 2 месяца назад
Kuna nani hataki ridhiki mantashalla hao Chadema watazichukua tu
@samwelshepa8443
@samwelshepa8443 2 месяца назад
Watanzania wanahitaji kumtetea. Maana wengi hawana uthubutu wakuweka wazi madudu yanayoendelea maana kiukweli ye yote anayethubutu hupotezwa ama kupata kama yanayoyompata Mpina.
@abeidsanga7361
@abeidsanga7361 2 месяца назад
Tuta tembea na mpina
@davidmeyasa8232
@davidmeyasa8232 2 месяца назад
Ina maana ninyi ndo mna akili kuliko watu wengine mtajua hamjui
@georgempogomi7329
@georgempogomi7329 2 месяца назад
Ufisadi ni dini kuu ya CCM na Bunge la Tulia Mpina hana hiyo dini ni Bora awaachie dini Yao na tuwaondoe kabisa
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 2 месяца назад
Mungu ibariki Tanzania
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 2 месяца назад
Mpina haba kosa lolote ilq Viongozi wa Ccm hawataki kukosolewa hatufuati katiba inavyosemq ya Ccm Kiongozi qsiyekubali kukosolewa hastahili kuwa kiongozi soma katiba humo Bungeni unafiki umetawala sanaaaa wabunge ndiyo ni wengi sanaaaa wamuache Mpina na bado kila kitu kitakuwa hadharani
@RoseKimishabhalemi-oz9bn
@RoseKimishabhalemi-oz9bn 2 месяца назад
Sisi wanawake hajatua ndoo kichwani hatumtaki
@adenmwakalobo760
@adenmwakalobo760 2 месяца назад
Hii ndiyo njia nzuri inayoshinikiza uwajibikaji serikalini. Madhali aliyoyaibua ni ya kweli, ni vizuri ameyaleta kwa wananchi ili waujue ufisadi uliomo serikalini! Isingelikuwa sahihi kwake kumsubiri spika auambie umma kwa vile inajulikana spika hatafanya hivyo, yupo pale kuilinda serikali hata ikifanya maovu! Na ushahidi wa hilo upo bayana!! Kumtaraji spika aliyewekwa na executive (ikulu) kusimama kidete na kuuambia umma wa waTZ ukweli ni kupoteza wakati kwa vile yeye anawajali waliompa u spika!
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 2 месяца назад
Sasa Mpina anahusika na nini hapo kwenye huo mtandao
@josephmakutano7067
@josephmakutano7067 2 месяца назад
Watz tuondokane naushenzi tuchukuwe hatua tumuondowemwizi mkuu wanchihii hatakama watahonga mahelamengi lakini tusimame imara nchihii Inaenda kienyeji kienyeji
@user-sl1ko9me7u
@user-sl1ko9me7u 2 месяца назад
HUYU SPIKA WA BUNGE ANATUMIKA KUFICHA RUSHWA NA UFISADI KWENYE BIASHARA YA SUKARI KWA KUMFUNGA MDOGO MH. MPINA....WATANZANIA SIO WAJINGA.
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 2 месяца назад
Muacheni Mpina Ccm mnamshtumu kwa kosa gani kusema ukweli
@user-tq4go3sn5b
@user-tq4go3sn5b 2 месяца назад
Mungu akubariki mkuu
@widimaelimushi
@widimaelimushi 2 месяца назад
Asante mpina, japo wajinga wengi hawaelewi mungu akubariki Sana wengine,hawajui Uma, hawajuii hanga chama,hawajui,serikali,wafundishe
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 2 месяца назад
Kwa huduma hospitalini hamna kitu kabisa mahospitali mengi ya Serikali hovyo kabisa
@lameckbalekere1962
@lameckbalekere1962 2 месяца назад
Hawa uwaziri anatakiwa kupelekwa kwa mwendo wangili kama huu wa Mpina
@MusaOgwoko
@MusaOgwoko 2 месяца назад
Tz tumehamka sana umasikini. Toza hatari
@davidmeyasa8232
@davidmeyasa8232 2 месяца назад
Kwani ninyi amtaki awe raisi
@bakarimmbaga2344
@bakarimmbaga2344 2 месяца назад
Mhe: Mpina mimi nimetokea kuwa shabiki wako pale ulipojitokeza kuchukuwa nafasi tuliyoikosa kutoka kwa wabunge wa upinzani, ila naanza kuwa na mashaka juu ya msemo niliokuwa nausikia ukisemwa "SIASA NI MCHEZO MCHAFU" Nisiwe mnafiki nahisi ni mpango mahususi wa chama chako!?? Ila kama ni msimamo wako nakushauri utoke huko uungane na wenye hoja hizo..!
@rehemamejja8342
@rehemamejja8342 2 месяца назад
Mpe mpina wizaraaa...mbona anatufaaa
@user-hu3bz3lv7s
@user-hu3bz3lv7s 2 месяца назад
Tozo ni kuwakamua wananchi ni ufisadi tu
@desiderihugo5704
@desiderihugo5704 2 месяца назад
Basi uchaguzi usifanyike .
@FosterBwalya-rh9lh
@FosterBwalya-rh9lh 2 месяца назад
Pema sijapo pema ukipema SI pema Tena
@nsiamasawe4578
@nsiamasawe4578 2 месяца назад
Mpina wewe ni mzalendo
@rasnchimbi
@rasnchimbi 2 месяца назад
👇🏿 #katibampyanisasa #TUSIKUBALIKUSHIRIKICHAGUZIBILAKATIBAMPYA !Hiyo ni kushiriki Dhambi(kujikabidhi kwa shetani) !✍🏿
@dhamirshariff9415
@dhamirshariff9415 2 месяца назад
watanzania ufahamu wetu wengi ni mdogo sana Mpina alikuwa na hoja ila alitakiwa awasilishe kwa taratibu zilizo wekwa hata kama una hoja fata taratibu tusiwe wajinga
@clarencehilary5588
@clarencehilary5588 2 месяца назад
Pumbavu mkubwa wewe msenge mkubwa
@adenmwakalobo760
@adenmwakalobo760 2 месяца назад
Pale ambapo ni dhahir taratibu zimewekwa kimizengwe ili kuficha maovu ya serikali, ni bora kutozifuata taratibu za namna hiyo! Nahisi wewe usiyeng'amua hadi sasa kwamba hakuwezi kutokea uwajibikaji TZ kwa kufuata TARATIBU zilizopo, basi wewe ndiye mjinga na unatuchelewesha! Bila kuziruka taratibu hizi zilizojaa kulindana, huwezi kubadili chochote popote!
@allymusira2153
@allymusira2153 2 месяца назад
Bashe kaeleza vizuri sana kuhusu sukari
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 2 месяца назад
Kwanza bunge lenyewe ni haramu uwepo wake umetokana na kuvuruga uchaguzi 2020 kinyume cha katiba.je wale wale wabunge 19 wa chadema uwepo wao umefuata sheria?spika hovyo sana.
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 2 месяца назад
​@@allymusira2153labda kaeleza vizuri kwako ww chawa wake
@user-tq4go3sn5b
@user-tq4go3sn5b 2 месяца назад
Mbowe kibaraka tu
Далее
Паук
01:01
Просмотров 2,8 млн
Wafanyabiasha Kariakoo wagoma kwa kufunga maduka
3:59