Тёмный

HICHI NDICHO USICHOKIFAHAMU KUHUSU ZIWA VICTORIA. 

Star TV Habari
Подписаться 158 тыс.
Просмотров 303 тыс.
50% 1

Karibu utazame chaneli yako pendwa ya Star TV Africa.
Jiunge nasi kupata habari za kitaifa na kimataifa, makala, burudani na habari za michezo katika nyanja zote!
Kutoka Ilemela - Mwanza, Tanzania mpaka ulipo, TUNAKUFIKIA!
Star TV Brightens Your Day !

Опубликовано:

 

13 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 80   
@judithogaya9730
@judithogaya9730 2 месяца назад
Poleni walio,famiwa jamani hiii ziwa Victoria alafu,watu wasiweze kujenga Karibu na fukwe
@IddiSelemani-j9l
@IddiSelemani-j9l 13 дней назад
Pole sana naomba mungu awanusulu
@BonnyMwajombe-iu7hb
@BonnyMwajombe-iu7hb 4 месяца назад
Mwandishi uko very nice
@khamisabdulla9517
@khamisabdulla9517 3 месяца назад
Taarifa haijagusa angle nyingi imekuja na athari tuu which is very bad😢
@allyalfred8183
@allyalfred8183 Год назад
Kwangu Mimi mshikaji kajitaidi kufanya kituiki sio waandishi was matukio ya ngono tu
@alisaid9024
@alisaid9024 Год назад
Watu wanakosa maji ya kunywa na matumizi muhimu hata kumwagilia mashamba na huku ziwa Nyanza limejaa maji mpaka yanaingia kwa watu na kuleta madhara ,,hii ndio akili ya mwaafrika ,,,anakufa na njaa huku ana chakula nyumbani ....lini tutaamka? ndio maana wengine wanatutukana kua hatuna akili na kutudharau ,,,labda wapo sahih
@nantaembanusurupia5674
@nantaembanusurupia5674 3 месяца назад
Nilichogundua kwenye maoni ya watu hapo juu, Waalimu wa Kiswahili bado wana kazi kubwa ya kufundisha hii lugha!
@donaldfrancissassa8360
@donaldfrancissassa8360 3 месяца назад
Mtangazaji wewe ni msomi mjinga umeanza vizuri kuwa Tanganyika lilijulikana ziwa NYANZA , Uganda liliitwa NARUBALE , Kenya liliitwa NAMLOWE. Sasa unapataje ujasiri wa kuwatukuza wageni ati waligundua ? Waafrika tubadilike hasa ninyi wasomi ndiyo mnapotosha jamii.
@nellychamba1507
@nellychamba1507 3 месяца назад
Ndio, alianza vizuri na nilimsikia vyema, inasadikika kuwa ziwa victory ni Mali ya huyo malkia Elizabeth, swali , Elizabeth na hao waliokuja kutafiti kabla ya Elizabeth je walikuja na ili ziwa au walilikuta na watu wakiishi? Waliishi waganda, waliishi wakened na watanzania kutoka na jogorafia ya mazingira yao, ziwa hili ni Mali yetu sio Mali ya Elizabeth na ahue hivo
@Paschalmachang
@Paschalmachang 3 месяца назад
hinayo nikuchanganikiwa kabisa kwamba mgenikutokawingelez ndioajeagunduwe ziwakutoka africa kwanikipindianakuja hakukutawenyeji hayomaeneo😂😂
@kitovasaidi6753
@kitovasaidi6753 3 месяца назад
Nilivyomuelewa Mimi kugundua chanzo Cha mto Nile sasa jiulize kwa Nini jina lilibadilishwa?
@magneticofficialtz
@magneticofficialtz Месяц назад
Tengua kauli,cyo "mtangazaji msomi mjinga" wewe ndio umemuelewa vibaya,amedokezea kidogo historia ya kuitwa ziwa victoria na cyo kuwa yeye ndio kalipatia jina kuitwa "victoria" shida ipo kwa mababu zetu kipindi hicho kuruhusu jina hilo likubalike 😂😂😂😂😂
@felistermatindi9134
@felistermatindi9134 2 года назад
The pride of lake zone regions❤️❤️
@zephrinekanga4554
@zephrinekanga4554 4 месяца назад
Simulizi ni nzuri nakubali lakini Title yako imepunguza sana heshima ya chombo hiki. Neno HICHI umelitoa wapi wewe??? Usipambe maneno sababu yanakosa maana. Mie ningekuwa kiongozi wako ningekurudisha shule.
@stephenndagalla8183
@stephenndagalla8183 3 месяца назад
Yaelekea taarifa hii SIO ya karibuni, ni ya mwaka 2022, (Msemaji wa Mamlaka ya bonde la ziwa Viktoria anasema "ripoti ya May 21"), Hivyo mtoa makala atafute ripoti ya athari za mvua za mwaka 2024. Aidha, hiyo picha aliyotumia inapotosha maelezo yake. Mtazamaji asiyefahamu kisiwa cha Ukerewe kilivyo, anaweza kudhani kuwa picha hiyo ndiyo taswira ya kisiwa cha Ukerewe!!
@FaustinaBoniface
@FaustinaBoniface 3 месяца назад
Na mto Mara je? Lakini pia watu wsijenge karibu sana na ziwa, wajifunze
@FilbertRobert
@FilbertRobert 2 месяца назад
Duuuh! Hatari sana 😮
@faustinethobias6778
@faustinethobias6778 Год назад
Jamani poleni sana
@robertgabriel3061
@robertgabriel3061 Год назад
Serekari ya Tanzania waache mambo Yao wawezaje kuwamisha wamasai ngorongoro kupisha wanyama lakini wasione watanzania wanao hangamia kwajanga lamaji wanadhamini wanyama wangorongoro kuliko watu wa ukerewe wameshindwa kazi wanabaki na tozo na mambo meingine yasio na maana
@SaidyAllyAbdallah
@SaidyAllyAbdallah 4 месяца назад
We una laumu serikali walitumwa wajenge karibu na maji ndo wahame sasa wakisubiri serikali wata subili sana
@speciozakaloli
@speciozakaloli 6 месяцев назад
Ondokeni ndugu zangu poleni sana
@yasalaam590
@yasalaam590 Год назад
Ahsante sana ndugu
@muttabahenobi0809
@muttabahenobi0809 Год назад
Magharibi ya ziwa jina la ziwa sio nyanza bali ni Lweru. Kuwa makini Nyanza maana yake ni 'ziwa'
@HAKHISALUMU
@HAKHISALUMU 4 месяца назад
Na hayo majina alitoa malkia. Watu wahame wamefuata ziwa. Lilipungua maji na sasa yamerudi na wakileta ubishi watazama
@kalamuyangu1
@kalamuyangu1 2 года назад
Historia zinaandikwa. 🤝
@barakacelestine5957
@barakacelestine5957 Год назад
Mmmh! Hii story kweli sikuwa naifahamu
@speciozakaloli
@speciozakaloli 6 месяцев назад
Kimbieni na maisha yenu
@jitaboyfrommaratanzania6678
Levo mwamba
@felistermatindi9134
@felistermatindi9134 2 года назад
Ukerewe my land ❤️❤️❤️🙏
@valenakomba4453
@valenakomba4453 3 года назад
Waliligundua vipi na we umesema tayari Lilishapewa majina na wa Africa wenyenyewe wanao lizunguka ziwa Hilo. Huo ni uwongo tu wa wazungu ndo maana wakadirisha jina ili ionekane kama kweli waneligundua, Waliligundua wapi?. Waseme wao huyo Victoria na wenzake ndo ilikuwa mara ya kwanza kuliona lakini siyo kuligundua.
@vickydan2869
@vickydan2869 2 года назад
Bora hata umesema
@chonghoswe6255
@chonghoswe6255 Год назад
Ah hz stor nyengne z kuwatukuza wazungu t
@catherinenicander7468
@catherinenicander7468 Год назад
Wazungu walitafuta mbinu za Africa kuwaona wao ndio wenye akili,kumbe wanajidanganya mbona walitutesa lakini mwisho wakarudi kwao bila kueuka nyuma
@mbalamwezikulobamalemo1141
@mbalamwezikulobamalemo1141 Год назад
Kwelikijana shida kubwa sisi wa Africa hatu wezi fanya utafiti kama wazungu wao wakifanya tuna wachukia wana aribu pesa zao kuja africa au kutembea maeneo mbalimbali duniani lakini sisi hatuwezi !
@mwanaidisimoni79
@mwanaidisimoni79 5 месяцев назад
Wamefanya ugunduzi walikuwa wanaishi sokwe au?
@speciozakaloli
@speciozakaloli 6 месяцев назад
Tokeni huko jamani
@user-li2cy1st6o
@user-li2cy1st6o 3 месяца назад
Mtu kwao
@DenisMarahu-hc9uh
@DenisMarahu-hc9uh Год назад
Ama kwel
@operabetaoperabeta8813
@operabetaoperabeta8813 4 месяца назад
Lake NYANZA, AU NYANCHA
@Mpakauseme
@Mpakauseme Год назад
Upumbavu mtupu utagundua vipi ziwa na wazi linaoneka, na hao watajengaje majumba kalibu zaidi na ziwa
@drmakanika8551
@drmakanika8551 2 месяца назад
Nadhani hebu tuseme ziwa hili lilikuwepo hapa lilipo Afrika halikuwa limefichwa na kugunduliwa na wageni ama wataalamu toka ng'ambo ama kwingineko hivyo tusema hivi ziwa hili lilipewa jina la malkia huyo Victoria kwa ajili ya kumuenzi na kutunza historia ya ujio wake katika Nchi yetu na sio kwa ajili ya kufanya ugunduzi wa ziwa Nyanza kwa wakati ule .Makubi
@bahatiiddibahatiiddi-be5nj
@bahatiiddibahatiiddi-be5nj 3 месяца назад
Wao ndio wamevamia mpaka wa ziwa hata hivyo hapo bado
@hassancharo1496
@hassancharo1496 Год назад
Kwann HAYA maji pelekwi sehemu nyingine ya Kenya na WATU wana tabika
@RashidSaid-cw9rl
@RashidSaid-cw9rl 3 месяца назад
17:55
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 3 месяца назад
Hakuna aliyeligundua.lilikuwepo siku Zote
@SaidyAllyAbdallah
@SaidyAllyAbdallah 4 месяца назад
Hameni sasa au ndo muna subili serikali
@josephat66
@josephat66 4 месяца назад
Maana ugundunzi kuita ziwa imaana hapo pengine hakulijua km ziwa
@alexmwizarubi6655
@alexmwizarubi6655 Год назад
Nenda had kule selema ujionee jins ambavyo nyumba zilijaa maji
@omarothman6608
@omarothman6608 Год назад
Kwanza naiyomba serikali uwahamishe waahanga kabla hatujapoteza nguvukazi yataifa pili nawaomba viongozi wetu wa Africa mashariki wabadilishe jinalaziwa hao wazungu niwashenzi tuu Victoria ninani wakati ziwa wamelikuta
@anessabinery5654
@anessabinery5654 Год назад
Nyooooomnyfuuuuu
@freemasonictanzania7406
@freemasonictanzania7406 Год назад
Unzachikiongea ni cha kweli kijana ukisoma history unakutana nayo hii
@malakigerald8586
@malakigerald8586 Год назад
Nam Lolwe na sio Namlolwe.....
@kambamazig02024
@kambamazig02024 Год назад
Inakuwaje unasema malkia wa Uingereza alifanikisha harakati za ugunduzi wa hilo ziwa wakati tayari umesema kumekuwa na wakazi wa kenya, uganda na Tanganyika wakiliita hilo ziwa kwa majina mbali mbali! Bado una historia ya ukoloni mambo leo.
@josephat66
@josephat66 4 месяца назад
Kwa sasa lina jina moja kwa nchi zote 3 ila mwanzo kila nchi ililitambua kwa moja moja.. Ndio maana ya kufanikisha upatikaji wa utambulisho wa jina moja
@MtagendaCasmir
@MtagendaCasmir 4 месяца назад
Tuache kuendelea kuamini uongo kuwa ukweli eti wazungu ndo waliogundua ziwa Victoria Je,Ziwa NYANZA liligunduliwa na nan?
@roselymo4774
@roselymo4774 Год назад
muwe mnasema tarehe na mwaka msiongee tuu
@FredMramba-hx3gl
@FredMramba-hx3gl 3 месяца назад
Wakati huo kunawatu wananunua robot
@mustaphawelder7022
@mustaphawelder7022 Год назад
mmmmmmh mwaka gani huo, Kama sio kutupiga hapo
@mkasysaidswalleh9222
@mkasysaidswalleh9222 Год назад
🤣🤣🤣
@patricianickson8755
@patricianickson8755 2 года назад
Rami😆😆😆😆
@damasmwakyambiki2009
@damasmwakyambiki2009 Год назад
Wewe raisi samia uwenauruma wangarie wario asrika naziwa vikitoria uwenauruma kama mangufuri
@mohamedfataha9038
@mohamedfataha9038 Год назад
Sasa ndugu mwana habari vp hao wahasirika serikari yetu ya tz wamewapa msaada gani ao wahanga wa hapo ktka kisiwa cha ukelewe
@miltonjohn9779
@miltonjohn9779 Год назад
Nam.....maana yake ni ziwa Kwa kijaluo Lolwe ni kisiwa kilichopo huko ujaluoni ndani ya ziwa. Kwa hiyo ukisema... Nam lolwe maana yake ni ziwa lolwe.
@fredymsigwa9314
@fredymsigwa9314 2 года назад
Hawa ni bweha2
@malakigerald8586
@malakigerald8586 Год назад
ZIngali na sio ziangali ***
@malakigerald8586
@malakigerald8586 Год назад
Mto Mara je? Mito mikubwa miwili inayoingiza maji ziwa Victoria ni mto Mara na mto Ķagera. Pia ninatatizwa na huu ugunduzi!!?
@ayeshahussein2886
@ayeshahussein2886 Год назад
Mpuuzi mtoa habari bado anaogepea watu ...ziwa lilikuwepo kabla ya huyo malikia wake
@pascalkidiku5898
@pascalkidiku5898 Год назад
Ndo nashangaa yaani wazawa wasigundue mgeni ndo aje agundue,.
@shaurimtanda8285
@shaurimtanda8285 3 месяца назад
Siyo KOSA lake hiyo ipo kwenye somo la history
@elishasolomon9742
@elishasolomon9742 2 года назад
Bhukerebhe awo
@gracejulius3966
@gracejulius3966 Год назад
Walamula chikaka
@elibethdadu2458
@elibethdadu2458 Год назад
Hao ni wapuuzi Sana kwani hawakujuwa Kuna ziwa msafa kwa Nani selikali Haina msaada kwa watu wajinga Kama hao
@hamisndusu3625
@hamisndusu3625 3 месяца назад
Bora wewe mwandishi umejitahid si wale wanahoji kina asiley
@samwelsengati1369
@samwelsengati1369 3 года назад
Wapuuzi tu hawa
@josephjulio6112
@josephjulio6112 Год назад
Mpumbavu kabisa ati aligundua ziwa lilikuepo acha kuwalisha watu ujinga
@RashidSaid-cw9rl
@RashidSaid-cw9rl 3 месяца назад
Tusiwe wajinga hasa viongozi naomba mfute neno waligundua wazungu na neno ziwa lifutwe watanganyika wabuni jina lao
@kadrimwingamno258
@kadrimwingamno258 Год назад
Limezinduliwa vipi na Queen Victoria? Wakati ziwa lilikuwepo tangia dunia ilipo umbwa na Allah. Nafikiri niwakati muafaka iliziwa kwa Upande wetu tuliite Lake Samia. Shughuri imekwisha.
@marryngaa3195
@marryngaa3195 Год назад
Samia hio kwio
Далее
Historia ya kisiwa cha Ukerewe.
25:28
Просмотров 2,9 тыс.