Тёмный

Highlights | Tanzania vs Malawi (2-0) | Mechi ya Kirafiki 13/06/2021 

Azam TV
Подписаться 2,7 млн
Просмотров 375 тыс.
50% 1

TANZANIA vs MALAWI: Timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imepata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Malawi ‘The Flames’ katika mchezo wa kirafiki uliochezwa leo kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.
Magoli yote yamepatikana kipindi cha pili kupitia kwa John Bocco na Israe Patrick Mwenda huku Kibu Denis akihusika kwenye magoli yote mawili.
#TaifaStars #TheFlames
Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:-
►INSTAGRAM: / azamtvtz
►INSTAGRAM: / azamsports2
►TWITTER: / azamtvtz
►FACEBOOK: / azamtvtz
►WEBSITE: www.azamtv.co.tz

Спорт

Опубликовано:

 

12 июн 2021

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 121   
@benjaminenyasanga2195
@benjaminenyasanga2195 2 года назад
Wanangu tulio kuja kumcheki peter banda tujuane 🙌🙌🙌
@emmanuelmasse6219
@emmanuelmasse6219 3 года назад
Kazi nzuri Dickinson job endelea kujituma huenda ukaja kuwa moja ya mabeki Bora hapo mbeleni
@mwajumaomarykanikimwajuma2588
@mwajumaomarykanikimwajuma2588 3 года назад
Asante was chezaji kwa kutupa rahaa watanzania hapana chezea tz
@brianmichael9499
@brianmichael9499 3 года назад
Simba mnamuona kibu denissssss msaada Amina boco umri so rafiki atatufaaa sanaa
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 3 года назад
brian Michael hapana kwa kweli, akazisaidie tm zingine labd hat mm simshauri aende simba
@josechomachoma7493
@josechomachoma7493 3 года назад
Nice kibu
@emmanuelmasse6219
@emmanuelmasse6219 3 года назад
Pongezi kwa kocha kwa kuanza kuwa na Imani na vijana
@amiltonmichael5377
@amiltonmichael5377 3 года назад
Peter banda!! Yuko vzur sana
@yunusimchala9306
@yunusimchala9306 3 года назад
Huyu peter banda ni mchezaji hatari SANAAAA
@miangijunior4358
@miangijunior4358 3 года назад
Oya huyu Kibu Denis mpira anaujua huyu jamaa Congrade za kwanza ziende kwake Na nyingine ziende kwa wachezaji wote
@steve_tz
@steve_tz 2 года назад
like zenu mlikuja kwaajili ya banda
@elshadaiyeremia1805
@elshadaiyeremia1805 3 года назад
Tanzania hoye
@ngundejkassim3252
@ngundejkassim3252 3 года назад
hii jezi namba 10 ya malawi hii
@cosmasparkire1837
@cosmasparkire1837 2 года назад
Namfatilia banda
@ephremmtuya3094
@ephremmtuya3094 3 года назад
huyu kijana aliyetoa assist kwa Boko amejhakikishia namba stars yeye ndiye sababu ya magoli yote mawili
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 3 года назад
kudumu kwenye kiwango sasa ndo kazi iliyobaki
@egidiusthadeo5573
@egidiusthadeo5573 3 года назад
Mmetufurahisha sana
@nuruworldinsight2957
@nuruworldinsight2957 3 года назад
Leo siongei sana, kufuatia USHINDI huu , zaidi ya kuwapongeza vijana , maana nisije KUIMALIZA maneno, wakati ndio kwaaanza mechi ya kwanza hii.
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 3 года назад
ya kwanza kwa maana gan
@alexandarluziga864
@alexandarluziga864 3 года назад
Nimemkubali sana banda
@cleofasnyoni3836
@cleofasnyoni3836 3 года назад
Sana
@cleofasnyoni3836
@cleofasnyoni3836 3 года назад
Sana
@hassanparamana2215
@hassanparamana2215 3 года назад
jamaa yupo vzr anacheza mpira wa akili sana professional player 👏
@stellahsamwel6036
@stellahsamwel6036 3 года назад
Ramadhan kayokoi namkubali kinomaa Sana uyu jamaa 💪💪💪
@rehemabakali494
@rehemabakali494 3 года назад
Hyu ramadhani alipenda hii fani tangia akiwa shule alikuwa akija na kadi zake mbili kila ijumaa
@stellahsamwel6036
@stellahsamwel6036 3 года назад
@@rehemabakali494 😂😂😂😂😂kumbe kitambo iyo Yuko vizur mim uchezeshaji wake kiujumla waga nauelewa siyo Kama Yule mwandebwa
@emmanuelmussa2643
@emmanuelmussa2643 2 года назад
Nipo kumuona Banda hapa
@benjaminenyasanga2195
@benjaminenyasanga2195 2 года назад
hahahahha. tupo wengiii
@nurdinmiraji1168
@nurdinmiraji1168 2 года назад
tukopamoj
@jonasmaganga7433
@jonasmaganga7433 2 года назад
Tuko weng
@michaelalfred58
@michaelalfred58 2 года назад
Tulio rudi hapa baada ya peter banda kusajiliwa na Simba tujuane,,,,,ila ni fundi dogoo
@riziksaid3966
@riziksaid3966 2 года назад
Kweli
@hanschuma7734
@hanschuma7734 2 года назад
Mm nashangaapa...ila aliesababisha magoliyote hayo yapatikane nu mmoja tu apo ila watuwachache tu ndio wanae mpongeza salut Dennis
@Blessing-vp2yk
@Blessing-vp2yk Месяц назад
Frames
@abdulmwangu1298
@abdulmwangu1298 2 года назад
Hiv Baraka mpenja unakunywaga nn kwanza kibu Denis anaitwa je? Na shemej
@laurentilaurentikasianolau2082
@laurentilaurentikasianolau2082 2 года назад
Simba qeens
@maigathomas2353
@maigathomas2353 2 года назад
D
@laurentilaurentikasianolau2082
@laurentilaurentikasianolau2082 2 года назад
Simba queens Jana
@shamsisaid6111
@shamsisaid6111 2 года назад
Timu Banda oyee
@djrichsingelifreva8245
@djrichsingelifreva8245 2 года назад
Bandaa
@jogwinolugome9657
@jogwinolugome9657 2 года назад
🤟✌️✌️ bandaa
@stellamwasenga6205
@stellamwasenga6205 3 года назад
Ahaaa
@gangmore9091
@gangmore9091 3 года назад
Team ya taifa la tanganyika hongereni
@derickluhaga738
@derickluhaga738 3 года назад
Viva Taifa Stars
@fabianndimanya2055
@fabianndimanya2055 3 года назад
Pale kibonde anapomkamata kibonde mwenzie🤣🤣🤣🤣🤣
@laurentilaurentikasianolau2082
@laurentilaurentikasianolau2082 2 года назад
Simba qeens
@kacherosimba5762
@kacherosimba5762 3 года назад
Siku mbuki mala ya mwisho tz kushinda😂😂😂🤣🤣🤣🤣anae kumbuka anikumbushe
@habibamwanamsangu7343
@habibamwanamsangu7343 3 года назад
Chan
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 3 года назад
drc congo walifungwa hapo 2-0, samta na kichuya nafkr, cape verde pia 2-0, samata na msuva
@abassmwakifwamba9001
@abassmwakifwamba9001 2 года назад
nimekuja kumuangalia peter banda
@fanikiojacob7730
@fanikiojacob7730 3 года назад
Tanzania tuongeze bidii bado cjaona
@kassimngulangwa7270
@kassimngulangwa7270 3 года назад
By
@ambakisyemwanjemba5787
@ambakisyemwanjemba5787 3 года назад
Kibu Denis na boco hapo mbele ni Nona Sana dogo anachukua namba ya watu hapo
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 3 года назад
kwa kikosi cha #chan uhakika, ila kwa ya mchanganyiko nao wajitafakari
@godwinwilson3837
@godwinwilson3837 3 года назад
Plus mhilu angebaki
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 3 года назад
Godwin Wilson mhilu ana uhai sana, ila mwalm alisem atataka ona wachezaji wote kama siyo wengi iwezekanavyo
@kiborimtz9981
@kiborimtz9981 3 года назад
Kibu Denis Ni kwere huyo jombaaaa
@saimonnyalandu6760
@saimonnyalandu6760 3 года назад
Vijan wamecheza vzr xan mudy kotok mnazi moshi
@paulmosi7550
@paulmosi7550 3 года назад
Oyaa ni mtu na nusu
@kamletimasudi9475
@kamletimasudi9475 3 года назад
kmlt kmlt
@khanrashidi394
@khanrashidi394 3 года назад
Uyu mtoto peter banda huyu SIMBA tunajambo naye
@benjaminenyasanga2195
@benjaminenyasanga2195 2 года назад
yametimiaaa
@jaibukarimu7269
@jaibukarimu7269 2 года назад
Bandaaaa
@abasiyassyatakiwawaigeemfa8236
@abasiyassyatakiwawaigeemfa8236 2 года назад
Tujuane tulookuja muona kijana banda
@mdungimdungikhamis7779
@mdungimdungikhamis7779 3 года назад
Yanga kachukueni mchezaji wa Malawi baada ya saido sasa nahii ishakuja mtamsajili yupi nambieni
@Mr_Ben255
@Mr_Ben255 3 года назад
T🐓💪💪💪💪
@lotiijr3300
@lotiijr3300 3 года назад
Bahat ilikuwa upande wetu ila atuna mwingi wowote tuliopiga
@michaeltozzo3027
@michaeltozzo3027 3 года назад
Kibu denis
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 2 года назад
Malawi mpira bang sana mnacheza
@yasiniselemani2412
@yasiniselemani2412 3 года назад
Unacheza na mgonjwa hiv tupo serious kwel
@alhaddadygamazy7023
@alhaddadygamazy7023 3 года назад
Yan unamwita mginjw hata link FIFA haumpati we ndo haupo sireous
@romwaldinnocent8905
@romwaldinnocent8905 3 года назад
Fala wewe Tim imefuzu Acfon hyo na kwenye FIFA wametuzid
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 3 года назад
romwald innocent watu bado wana fikra za kizamani
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 3 года назад
Alhaddady Gamazy amesahau wakt wnapanda sieh tunapiga mak taim tu
@neemaduma1971
@neemaduma1971 2 года назад
Nmeingia kumtafuta banda
@petertarimo5085
@petertarimo5085 3 года назад
Uju
@ambakisyemwanjemba5787
@ambakisyemwanjemba5787 3 года назад
Binge la strainer huyo kibu Denis
@dulabori9922
@dulabori9922 3 года назад
Bado kiwango chetu hakiridhishi
@onesmojustice2348
@onesmojustice2348 3 года назад
Vibendera wa bongo bana offsides za kipuuuzi tu
@stellahsamwel6036
@stellahsamwel6036 3 года назад
😂😂😂😂😂etti D jaman umecheza vizur 😂😂😂baraka mpenja nin lakin
@Footballtv92
@Footballtv92 3 года назад
🤣🤣D
@stellahsamwel6036
@stellahsamwel6036 3 года назад
@@Footballtv92 😂😂😂😂😂nimechekaaaa Sana ata mim ningemwambia ivyoivyo Alaaaaaa 🤣🤣
@SalmanKhan-eb7pt
@SalmanKhan-eb7pt 3 года назад
Bado sijaona....munatakiwa muongeze effort ya hali ya juu ili kuhakikisha uimara zaidi...then tutaangalia what next..
@onesmojustice2348
@onesmojustice2348 3 года назад
Kapombe anatakiwa kuwa mbunifu sio kila mpira cross
@geofreydismond1692
@geofreydismond1692 2 года назад
Wanangu wa peter banda mpooo
@mjebeletv848
@mjebeletv848 2 года назад
Dadeq
@pavlovdeking3725
@pavlovdeking3725 3 года назад
Malawi inawachezaji wazuri sana lakini sijawahi sikia hata mmoja akisajiliwa bongo, au wabongo kwenda malawi,,vipi kuna tatizo gani kwani? Au kuna mambo nyuma ya pazia???
@tracejeezy8917
@tracejeezy8917 3 года назад
Kuna wachezaji wa Bongo wanacheza malawi kama wawili hivi. Nimesahau majina yao ila ingia insta page ya @Tanzaniafootballers huwa wanapost.
@khatibuhijja459
@khatibuhijja459 3 года назад
Mbn walishawahi kusajiliw, nikukumbushe kuna jamaa alikuwa anaitwa wisdom ndhlovu, alisajiliw yanga
@robertmakomanyabushoma3024
@robertmakomanyabushoma3024 3 года назад
hatali sana taifa sitaa
@triplea3463
@triplea3463 3 года назад
Ina wachezaji wazuri ila wanakaribiana viwango na watz kwa hio hakuna haja ya kuchukua nje ya nchi wakati ndani wapo kama wao ni kama vile mozambique inapita miaka mingi sana kupata mchezaji kutoka Msumbiji kuja kwetu Miquison akimaliza mda wake hapa amini itapita mda kumpata mwingine kutoka nchini kwake ila nchi kama Zambia DRC Uganda hata kenya somehow hawakauki yaani haijawahi kupita msimu bila ya kuwa na mchezaji kutoka hizo nchi
@pavlovdeking3725
@pavlovdeking3725 3 года назад
@@tracejeezy8917 poa mkuu ngoja nifatilie 👍
@ndekejafumbuka570
@ndekejafumbuka570 2 года назад
pita Banda n'fund na kivi denc nnoma
@ndekejafumbuka570
@ndekejafumbuka570 2 года назад
muno
@ndekejafumbuka570
@ndekejafumbuka570 2 года назад
ndankan nyon
@nickmpanda8717
@nickmpanda8717 2 года назад
vcv
@ngundejkassim3252
@ngundejkassim3252 3 года назад
cjamujona idd suleyman nado
@johnsonpeter6740
@johnsonpeter6740 3 года назад
Is there
@bonifasomontoog2572
@bonifasomontoog2572 3 года назад
Nipeni historia ya huyu fundi kibu denis mbona sikuwah kumjua ? Jamaa na msuva hawana utofauti
@BigDreamsWorldwide
@BigDreamsWorldwide 3 года назад
Jana ndo nimeona kumbe Feisal kiwango bado anacho ila yanga ndo wanashindwa kumtumia
@onesmojustice2348
@onesmojustice2348 3 года назад
Labda kabadilika wiki hiyo ya mazoez ya timu ya taifa mbona yanga anapewa nafasi kubwa sema inaonekana muda mwingine anakua offplayer
@mathiasulaiti5665
@mathiasulaiti5665 3 года назад
vipi na jana tena wamekitumia kiwango hahahahah Faisal
@johnmdemu5795
@johnmdemu5795 2 года назад
Vp
@yusuphsaid3814
@yusuphsaid3814 3 года назад
Hivi ZANZIBAR siyo TANZANIA? Kwanini huwa hawaitwi wachezaji wanao shiriki ligi kuu ya ZANZIBAR. Na ukiangalia wazanzibar wana vipaji vingi kushinda bara.
@lucasmhagama8166
@lucasmhagama8166 3 года назад
Wakionesha kiwango kwa level ya juu wataitwa binafsi sijaona mchezaji ambaye anacheza ligi ya Zanzibar mwenye kiwango cha kuitwa timu ya Taifa kwa sasa but ikitokea ataitwa tu
@gracemwakikono4774
@gracemwakikono4774 3 года назад
Feisali
@gamechangeryoutubeofficial7928
@gamechangeryoutubeofficial7928 3 года назад
Faisal ni wa wapi?
@juliushilonga9378
@juliushilonga9378 3 года назад
feisal ndo mzanzibar
@danielwilliam5223
@danielwilliam5223 2 года назад
Zanzibar hakuna Mpira huko
@steve_tz
@steve_tz 2 года назад
like zenu mlikuja kwaajili ya banda
Далее
Word Ik De Volgende Keeper Van Nederland!?
11:25
Просмотров 407 тыс.
#FT :SIMBA 4-1 YANGA Magoli Yote Haya Hapa
7:11
Просмотров 5 млн
HOUSE GIRL  EP 38 || love story💞💕
21:43
Просмотров 19 тыс.
MBWADUKE: OHOOO... KI NINI TENA?
15:05
Просмотров 13 тыс.
IShowSpeed Снова Отомстил KSI😳 #shorts
0:56
Веселый мма
0:58
Просмотров 378 тыс.
Испания выиграет Евро?
1:00
Просмотров 613 тыс.
ОНА СЛОМАЛА ВОРОТА🥅😱
0:57
Просмотров 678 тыс.
Не надо толкать, надо бить🥊
0:20