Тёмный

Historia ya FALLY IPUPA /Tuhuma za Kuua Wazazi wake/Mapenzi ya Jinsia moja (USHOGA) 

BONGO LEO
Подписаться 30 тыс.
Просмотров 122 тыс.
50% 1

Развлечения

Опубликовано:

 

2 ноя 2019

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 139   
@gabrielmoses6860
@gabrielmoses6860 3 года назад
Ahsante sana! Nimekupata vizuri.
@violadominick1944
@violadominick1944 3 года назад
Nampenda sn fally anajua napenda wimbo wake wa mon amour booonge la rhumba big up kwake
@chrisshamala4292
@chrisshamala4292 3 года назад
@Viola Dominick naupenda sana pia ...wimbo mtamu san
@joelmwasa770
@joelmwasa770 3 года назад
mama yake aliondoka dunia bado angali mdongo sana alikuwa bando anja anza kuimba iyo historia ni ongo mutupu
@anyosisyemwangonji4871
@anyosisyemwangonji4871 3 года назад
Aya
@mystikenergie3709
@mystikenergie3709 3 года назад
Uongo tupu, Ali Mbonda hajawai kuwa msani wa KOFFI OLOMIDE...anadanganya sana
@lulanjamd3886
@lulanjamd3886 3 года назад
@@mystikenergie3709 Wewe ndo hujui kitu
@mussamgonola3983
@mussamgonola3983 3 года назад
Da mtu bila woga anasema anampenda Sana mtu fulan kwa kuwa ni maarufu watakusaidia nn kesho yako Akhera ,,mpende mtume Muhammad SAW, Issa bin Mariam ,Mussa aleh sallaam mwisho wa siku utakuwa nao kesho Akhera ,,umarufu wa binadam unaishia dunian
@florahLomwadi
@florahLomwadi 4 месяца назад
bibilia inasema tupendan kwahiyo sio dhambi kumpend mtu
@danielbrazius3469
@danielbrazius3469 3 года назад
Asante namkubali sana
@sadasaid4408
@sadasaid4408 3 года назад
Mungu akubariki sana kwa kuwasaidia yatima mungu akupe umri
@lumierekalonji6613
@lumierekalonji6613 3 года назад
Mon Star préfère fière d'être congolais, tu fait la fierté de notre pays toujours lokolo
@ezrabaker2617
@ezrabaker2617 2 года назад
i know Im kinda randomly asking but do anybody know a good site to stream new tv shows online?
@guymonya6323
@guymonya6323 3 года назад
Les warriors, manifestez-vous !
@smithlegrande
@smithlegrande 3 года назад
El Rey Mago,Le King Fally Ipupa aigle🦅
@mussamgonola3983
@mussamgonola3983 3 года назад
Inalilillah wa inalilillah rajuuhn ni wale wale ,,Unawajua mapapa ww,, Allah atunusuru tuwe na mwisho mwema ,,tuletee historia za waja wema mbona wako wengi tu ,,wanamziki watakusaidia nn kesho Akhera ?
@petitkisinini3341
@petitkisinini3341 2 года назад
DROIT CHEMIN FALLY hakusaidiwa na Koffi na aliitunga akiwa na group yake F'Victeam na alomsaidia kufankisha ni papa TCHATCHO MBALA KASHOGY hata Tabou fatou Top modele aliwek mkono wake piya kusaidiya hii album
@josuebaremba3216
@josuebaremba3216 3 года назад
El -pub la fierté congolaise 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@sengasule9759
@sengasule9759 3 года назад
Tunakubali kabisa
@kasealutajr6492
@kasealutajr6492 3 года назад
Yaani najua sisi wacongo tuna wongo lakini watanzania mtazidi. Mutu hauna full information lakini unatunga tu
@user-pi6od6rs9v
@user-pi6od6rs9v 2 месяца назад
😂😂😂😂😂😂😂😂msamehe tu
@baloz8974
@baloz8974 Месяц назад
Kweli hawafanyi utafiti wa kitu ,watu wanatumia pesa kusafiri mpaka kijijini kutafuta historia ya mtu sio kufuata kwa watu
@StelaJohn-nj5yf
@StelaJohn-nj5yf 2 дня назад
huyu sio Mbongo sikiliza anapotamka matamshi yake!!!
@khadijakayuzi8471
@khadijakayuzi8471 3 года назад
Nimekupata vizuri mtangazaji
@BONGOLEO
@BONGOLEO 3 года назад
Tupo pamoja
@lectureafrica714
@lectureafrica714 Год назад
Fally is master
@motivational2556
@motivational2556 3 года назад
Fally ipupa is the king and they call him Michael Jackson of Africa and I hope people who listen to this never compare him with diamond,David,they call him king 👑
@patrickbob1986
@patrickbob1986 3 года назад
Kazi na Dawa
@geremiscrame2516
@geremiscrame2516 3 года назад
Acha zako wewe, Droite Chemine ilitolewa na Fally baada ya kuondoka QL. Ndio maana Koffi akatoa dis track ya Diabolos. Fanya utafiti kwanza, siku hizi kuna mtandao
@BONGOLEO
@BONGOLEO 3 года назад
Tunashkuru kwa ushauri, lakin sisi hatujatoa mtandaon ila tumeish na fally kwa miaka 7
@jeankotongolukozi315
@jeankotongolukozi315 3 года назад
Waongo sana
@BONGOLEO
@BONGOLEO 3 года назад
Sawa
@severinnkanza8392
@severinnkanza8392 3 года назад
Faustin jina la marehemu baba yake na mama yake Elizabeth naye marehemu , #Ipupa #Nsimba #Fally
@mosesnyirenda6359
@mosesnyirenda6359 3 года назад
Dola million hamsin haiwezi kuwa sawa na trillion kadhaa!! Hiyo Ni sawa billion 100+ kwa hela ya kitanzania.
@BONGOLEO
@BONGOLEO 3 года назад
Sawa nimekupata
@obertinatibamanya415
@obertinatibamanya415 3 года назад
Napenda anavyokata uno
@fareastmovement9604
@fareastmovement9604 3 года назад
dzevopresheee
@priscajustine2183
@priscajustine2183 3 года назад
Huyu kaka namupenda ningemupa buree
@baloz8974
@baloz8974 Месяц назад
Alooo sema kweli
@azizayassin3623
@azizayassin3623 3 года назад
Mtangazaji wewe mwehu sana mama yke alikufa akiwa bado ajanza kuimba
@adolphmwangoje2887
@adolphmwangoje2887 3 года назад
😂😂😂 ktisha jmaaa anaimba Sana
@laurentjozee8777
@laurentjozee8777 3 года назад
Hapo kwenye dola milion 50 kuwa tililion hapana ni bilion Kama 💯 hivi
@expert5898
@expert5898 3 года назад
Upo smart kijana
@deliahipupa7111
@deliahipupa7111 3 года назад
NSIMBA! Nsimbu aza nani?
@uzuriwabure6204
@uzuriwabure6204 3 года назад
Binaadam nishida kwakweli kwa kukuza mambo
@MabrukiNgereza-gj7mz
@MabrukiNgereza-gj7mz 23 дня назад
Bonjour 👋. Donner des sacrifices humaines pour devenir célèbre, c’est triste
@DaisyKiprop25
@DaisyKiprop25 3 года назад
His name is Fally N'simba Ipupa
@selfmanagementtv5138
@selfmanagementtv5138 3 года назад
Ushamba tu naomba wa kongo wote na nynyi ambao mna uzunika ebu tuishitaki chanel iyi kutangaza uongo ili iondolewe kabisa
@josuebaremba3216
@josuebaremba3216 3 года назад
Fally Ipupa N'simba njo jina ile na wazazi wake walishaka kufa wote
@BONGOLEO
@BONGOLEO 3 года назад
Thanx
@mgawesaid5137
@mgawesaid5137 3 года назад
Suzuki hajawai kuwa Q academia,waliokuwa kule mi kina modogo
@mdathirukajumulo9181
@mdathirukajumulo9181 4 года назад
Story nzuri
@saidimbaira3740
@saidimbaira3740 4 года назад
mwenyezimungu amemtunuku zaid
@jeremiahmsemwa8323
@jeremiahmsemwa8323 3 года назад
Tilioni na bilioni ni tatizo, fanya tena calculation
@mwanahawabakari718
@mwanahawabakari718 2 года назад
Labda ndio mashart ya fremasons.nilazima ue shoga
@francinaeofficial4370
@francinaeofficial4370 3 года назад
Yani ww Kaka nani kakudanganya na iyo historia ya uongo😂😂😂😂 wazazi wake wote wamshaga fariki zamani sana .
@BONGOLEO
@BONGOLEO 3 года назад
Ndivyo nlivyokuwa najua toka mwanzo kumbe nlikuwa naelewa tofaut
@mcsailas8328
@mcsailas8328 3 года назад
🇳🇬🇳🇬🇳🇬
@fisjaykitamuliko1183
@fisjaykitamuliko1183 3 года назад
Jama muongo unadanganya wa tz hufahamu atachochote kuhusu ipupa
@adijaadija9923
@adijaadija9923 3 года назад
Nimtihani
@jermanminsori663
@jermanminsori663 5 месяцев назад
kwani shoga hazai?
@jeremiahmasunzu3437
@jeremiahmasunzu3437 3 года назад
N' Simba sio N'simbu
@guelordmuyenga8365
@guelordmuyenga8365 3 года назад
Rekebesha kuandika kwako kama aujui stori ya ukweli wacha kudanganya watu stupid
@BONGOLEO
@BONGOLEO 3 года назад
Sawa tumekuelewa
@mumberebinstone3601
@mumberebinstone3601 3 года назад
Ninge penda ni mukosoe commenter mwenzangu hapa jini hilo nikosa kabisa ,ikipenda kumukosowa mutangazaji tumia busara nahekima kwani huu nimtandao bwana tfl rekebisha asante sana
@BONGOLEO
@BONGOLEO 3 года назад
Uko sahihi kaka lakin ni vizuru kuwapa watu nafasi waweze kusema kile wanachojisikia
@joelmwasa770
@joelmwasa770 3 года назад
mubere mama yake alifariki bado angali mdongo sana alikuwa anja imba watu wana pendanga kusema tu
@mcsailas8328
@mcsailas8328 3 года назад
Duuu
@dinocastico8495
@dinocastico8495 3 года назад
Umehadithia vyema.. lakin album ya droit chemen hakupewa pesa na koffi aitowe . Na ikumbukwe tu ni album ambayo koffi ilimuuma saana .
@BONGOLEO
@BONGOLEO 3 года назад
Nashkuru kwa kuniongezea hlo
@mjm135
@mjm135 3 года назад
"attentat" yamaanisha "attack" si "jaribio" tafadhali
@Allan_O._Muthiga
@Allan_O._Muthiga 3 года назад
Completely misleading headline. I should report it.
@thetriplesofbethlehem6095
@thetriplesofbethlehem6095 3 года назад
Fally Ipupa wamezaliwa watoto 14 kwenye familia yao mzee kwani research zenu mnazitowawapi?
@255kwetu8
@255kwetu8 3 года назад
Wekeni na picha mapimbi nyinyi
@BONGOLEO
@BONGOLEO 3 года назад
Sawa
@tresorviwe5655
@tresorviwe5655 3 года назад
la fierté congolais
@ndevundavo7798
@ndevundavo7798 3 года назад
Stop ndombolo don't let Rwanda take Congo because u guys are stupidddd
@abufauzan9417
@abufauzan9417 3 года назад
@@ndevundavo7798 wote baadhi yamaelezo wamepatia nabaadhi yamaelezo wamekosea nimiaka 25 nikiwanao mtaa mmoja witwao monflorie(monflori) Kinshasa ndipo anapoishi koffi na ndipo alipokuwa akiishi Fally kipindi akiwa ktk kundi lakoffi litwalo quartier latin (kartie laten)
@benjoe3868
@benjoe3868 3 года назад
Eti nimeskia olivia alikua bibi ya nani?
@BONGOLEO
@BONGOLEO 3 года назад
50 cent
@Lanihsarumu
@Lanihsarumu День назад
Uongo mbiguni mtakusikia wivu tu
@guelordmuyenga8365
@guelordmuyenga8365 3 года назад
Kkkkkk wadanya watu ivio sipoa
@azizawadh5973
@azizawadh5973 3 года назад
Hujaitwa humu
@mkosolamasterjr230
@mkosolamasterjr230 3 года назад
Namkubali sana huyu jamaa hasa ngoma zake za bakandnja na original ,ila tatizo letu wabongo ni mtu akiwa na mafanikio hawachelewi kusema ni Freemason tuache unafiki.
@magisterialdj7551
@magisterialdj7551 3 года назад
Danganya wasiojuwa STORY ya fally ipupa, Akuna ulichosema cha KWELI hapo
@rumibarton2359
@rumibarton2359 3 года назад
Story yenyewe ipoje ?
@hadijashabani890
@hadijashabani890 3 года назад
Mkipewa nyie hizi kazi mnaweza kufanya naon mnamkosowa mtangazaji muwache aeleze anachokijuwa
@BONGOLEO
@BONGOLEO 3 года назад
Nimekuelewa sana hadija
@kaisarimbisso7579
@kaisarimbisso7579 3 года назад
Hawezi kuachwa kupotosha umma. Kweli journalism ni profession inayochezewa kabisa
@freddiemwanyika3804
@freddiemwanyika3804 3 года назад
kama muongo aachwe?
@freddiemwanyika3804
@freddiemwanyika3804 3 года назад
hizi kazi wawaachie wenyew nafikiri basata isimamie hili na kuwapitisha kwa vigezo maalum.
@freddiemwanyika3804
@freddiemwanyika3804 3 года назад
hizi kazi wawaachie wenyew nafikiri basata isimamie hili na kuwapitisha kwa vigezo maalum.
@christianmwashala276
@christianmwashala276 3 года назад
Yaaaaaaan watanzania ujuaji bhana ndo tumezid, w mtu unakosoa tu Tena kwa maneno mabaya duh, msiwavunje mioyo watu wanao jua vitu na kuona nivizur washeee nasis ambao atujui, sas nyie mwenzenu katoa nyie mnatoa povu sa mlitaka akae nayo Kama nyie, Kwa taarifa yenu mim kanisimlia nimesikiliza na nimemuelewa ko nyie Kama mnayenu mtakoma, brooo tuandalie na nyingine tena
@BONGOLEO
@BONGOLEO 3 года назад
Nashkuru sana🙏🙏
@glorymushi3954
@glorymushi3954 3 года назад
Acheni kuelezea uongo Fally anajitahidi sana
@williammbasila2573
@williammbasila2573 3 года назад
Wala si story nzuri, au tuseme story nzuri ila haina mghani yaani msimuliaji.Kwani story huanza na kuzaliwa lini wapi wazazi ni wa kinanani baadaye mengine yanaendelea.
@BONGOLEO
@BONGOLEO 3 года назад
Sawa tunashkuru kwa ushaur tutajirekebisha
@emanuelndembeka6959
@emanuelndembeka6959 3 года назад
Muongo wewe,Suzuki hakuwahi kuwa Quartin Latin Academia
@mjm135
@mjm135 3 года назад
wajielewa kweli wewe? Suzuki Luzubu alikuwepo ndo waanzilishi wa Quartier Latin! hujuwi historia ya mziki wa Rhumba
@ihanomadili
@ihanomadili 3 года назад
Alikuwepo
@gegemocke8213
@gegemocke8213 3 года назад
nyinyi wote amu fahamu hakika habari za huyu mwana muziki!!!! Baba na mama yake Fally wame kufa katika sacrifice ya ki Free Macon!!
@officialmariecongo8026
@officialmariecongo8026 3 года назад
Munahongelea wenzenu nayenu inawazidi anamke nawatoto 6 nawewe nishoga mbona hujihanike kuma wewe
@BONGOLEO
@BONGOLEO 3 года назад
Asante
@lulurubby2235
@lulurubby2235 3 года назад
Mapenzi ya jinsia moja ni uchawi kikongo huwa ni kama kafara yao
@hadija846
@hadija846 3 года назад
kumbe🙏🏼
@baloz8974
@baloz8974 Месяц назад
Kwa hiyo wanafirana huko congo?
@seifmohamedseif9467
@seifmohamedseif9467 3 года назад
Ana miliki watoto ? Mjifunze hii kazi jinsi ya kuongea
@BONGOLEO
@BONGOLEO 3 года назад
Sawa mkuu tutajirekebisha
@ismailkatala4792
@ismailkatala4792 3 года назад
Duh! Mbona mnakosoa Sana kwa vitu ambavyo hata haviathiri substance ya story, hebu tujikite kwenye mambo ya muhimu
@ezapesambili2130
@ezapesambili2130 3 года назад
Hivi vitu vinawatu wake rudii shule naona bado mchanga hufai kusikilizwa
@dannyelias382
@dannyelias382 3 года назад
Ukikosea ni rahisi kujifunza kuliko kuacha kabisa so nakushauri MPE ushauri ili azidi kufanya vizur
@abdallahmwinyi2106
@abdallahmwinyi2106 3 года назад
@@dannyelias382 kumshambulia sio sawa Jambo jema ni kusahihisha na kuongeza taarifa. Nakuunga mkono kiongozi
@steveohito3950
@steveohito3950 3 года назад
There is no need of seeking reviews by spreading lies. Haitakusaidia mwanangu. Cheap journalism is for idiots. So wacha Fally atuimbie. Kama hauridhishwi na maisha yake enda ukamwambie pekee yako.
@juliusjaliwa9887
@juliusjaliwa9887 3 года назад
Wewe bwege kabisa unaongea upuhuzi, stop nonsense nani alikwambia Faly alitowa album yake yakwanza akiwa bado yuko QL? Hata kufanya utafiti unashindwa, danganya wajinga wenzako. Wasani gani: Koffi, Werrason, JB, Act.... kwa mziki wa congo alie kubali Artist wake atowe Album wakati bado yupo under management yako? Unajuwa kilicho tokea wakina: Feregola, Bil cliton, and Mlopwe. Kwa Werrason? Wewe bwege tuu unaongea vitu huyui and una post in social media, rubbish tumia akili achakutumia makamasi our generation uwezi leta upuhuzi kama huu
@BONGOLEO
@BONGOLEO 3 года назад
Asante
@ruthugerard7679
@ruthugerard7679 3 года назад
😂😂😂 kaka sikwa povu hilo
@juliusjaliwa9887
@juliusjaliwa9887 3 года назад
@@ruthugerard7679 🤣🤣🤣 Kaka kunawatu wanashobokea social media hawajui zumun au maana ya media, ila mtu akishiba ugali dagaa basi hata kufikiria au kufanya utafiti wajambo mtu anapost na kuzungumuza ujinga tuu
@christianmwashala276
@christianmwashala276 3 года назад
Ningependa naww utuandalie stor hi af uirushe tupime wap ni wap
@christianmwashala276
@christianmwashala276 3 года назад
Ungerusha nawww yako tu ingependez Zaid, ila hi nimeielewa kasimlia vizr
@kaisarimbisso7579
@kaisarimbisso7579 3 года назад
We jamaa muongo sana. Olivia mke wa 50¢? $50mil ni trillions za kitanzania? Droit chemin imetoka 2006? Fally's networth ni $50mil? Wazazi wake wako hai na wanaishi Kinshasa? Charles ni mojawapo ya majina ya Koffi Olomide? Na mengine mengi umedanganya. Aisee, unapoteza credibility kabisa
@BONGOLEO
@BONGOLEO 3 года назад
🙏
@justinebitariho1129
@justinebitariho1129 3 года назад
FAKE STORY 😡
@shukridjibril6848
@shukridjibril6848 3 года назад
Duh toka weeee. It's not true. U don't fkn know anything about this guy. Stop roho mbaya wewe.
@Jesus_is_KING563
@Jesus_is_KING563 Год назад
Wewe umbwa kabisa ,shoga ni wewe,tafuta pesa acha wivu,I love rhumba for free,Frontline ikiwa na Fally na Ferre ,the list is endless,have respect for people you don't know,stupid!
@petitkisinini3341
@petitkisinini3341 2 года назад
DROIT CHEMIN FALLY hakusaidiwa na Koffi na aliitunga akiwa na group yake F'Victeam na alomsaidia kufankisha ni papa TCHATCHO MBALA KASHOGY hata Tabou fatou Top modele aliwek mkono wake piya kusaidiya hii album
Далее
Fally Ipupa
8:10
Просмотров 406 тыс.
Parents' Breakfast Rescue Mission for Laptops
00:28
CHURCHILL SHOW S1E2 2024
22:20
Просмотров 193 тыс.
BABA WA TAIFA ALIILILIA TANZANIA KABLA YAKUKATA ROHO.
21:57
Каха бизнес-класс
0:48
Просмотров 1,6 млн