Тёмный

Historia Ya Sallam : "Shule Sijawahi Kupenda, Ada Kulikuwa Hamna" | SALAMA NA SALLAM PART 1 

YahStoneTown
Подписаться 397 тыс.
Просмотров 132 тыс.
50% 1

#SalamaNa #SendTip Through MPESA #5578460
Sallam Sharaff ni lejendari, na hilo liko wazi kwa anayetaka na asiyetaka, kwa umuhimu wake kwenye maisha ya msanii nambari moja kwa sasa ni kama nywele, usipomkuta kichwani basi hata kwapani hatokosekana. Na kwa utashi wangu nadhani kama wana Bongo Flava au wasanii ambao ‘wako tayari kuwekeza’ basi wangemkimbilia kwa kasi ya 4G ilimradi wapate mawazo tu ya jinsi gani wanaweza kufanya ‘meli’ yao ifike na pale panapotokea mrama wajue wimbi gani la kuliepuka na wimbi gani ndo walipandie kwa juu.
Sallam si muongo na hili ninalijua kwasababu ni rafiki yangu, atakavyokuambia ndivyo lilivyo, Sallam anapenda pesa na hilo liko wazi na wala hajifichi nalo ila kubwa zaidi Sallam anapenda MAENDELEO. Ukitaka msielewane naye milele na milele basi onyesha nia au muonyeshe moja kwa moja kama unataka ’kumharibia’ mkate wake. Hakika hatokuacha salama. Atahakikisha unaenda na maji kwasababu mkate wake ndo maisha yake. Tofauti yake na wengi wetu ni kwamba wengi wetu tukijua mtu anataka kukuharibia basi na wewe utajificha au utamuepuka au utamchukia tu, Sallam yeye atakuonyesha waziwazi kama HAKUPENDI.
Muziki anaufahamu vizuri tu na mengine anayang’amua as we go kama binadamu wa kawaida, mapenzi yake kwa mziki huu na kwa kupenda anachokifanya ndo kunamfanya awe THE BEST MANAGER. Maisha na mipango na maendeleo ya msanii nambari moja kwa sasa yalianza kubadilika sana mara baada ya Sallam kuingia kazini, na ilibidi aanze kama International Manager maana kwa upande wa ndani tayari Babu Tale na Said Fella walikua washapatawala. Haikua kesi kwake, ambacho alikifanya ni kuhakikisha Diamond anapata collabo na show nyingi za nje ambazo yeye alikua anaenda naye. Wakati akiwa wanapokua alitumia nafasi hiyo kutengeneza network nyengine. Mipango yake na uwajibikaji na jinsi vitu vilivyokua vinasogea vilimfanya Platnumz ampende zaidi, amshirikishe kwenye mambo mengi zaidi ambayo matunda na malipo yake ndo haya ambayo wanakula leo na kesho na keshokutwa ilhali mimi na wewe tunashuhudia historia inavyozidi kuandikwa.
Kwa Said Fella kupata udiwani nako pia kulimfanya Sallam apate majukumu zaidi ya hata ya ndani sasa maana kipindi kile cha Hayati JPM kazi ilikua inabidi ifanyike na Sheikh Said alipigiwa kura na watu, so mara nyingi ilikua inabidi afanye kazi za kutumikia wananchi wake, na huku nyuma Sallam akawa anaezeka banda lake la kuishi kwenye ufalme wa Diamond Platnumz.
Nakumbuka mwaka 2018, London Town, Diamond alimaliza show zake na Sallam akabaki nyuma, kilichowapeleka kule ilikua ni show ambayo yeye Sallam, my cousin Dulla Meru na moja ya mapromota hodari kutoka Nigeria ambaye anaishi London Ndugu Smed waliiandaa, ilienda poa na naamini ile ilifungua milango mingi sana. Alibaki nyuma kuhakikisha mambi yote yanakwisha freshi na pia kutengeneza network nyengine kwa matumizi ya baadae. Alibaki nyuma na mimi. Tuli enjoy, tuli jifunza na pia yeye aliweza kuweka MIZIZI yake vizuri ili mbuyu huu tunao uona leo usimame.
Mawe mengi mno kapigwa. Maneno mengi sana yamesemwa juu yake, kama binadamu hawezi kuwa amekamilika au kamaliza, ila jitihada zake na kazi ambayo anaifanya inabaki inamzungumza kwa niaba yake. Kama ambavyo yeye anasema, kwanza yeye ni MFANYA BIASHARA, mengine yanakuja baada ya hapo. Diamond anamlipa Sallam kwa asilimia kila mara anapoleta BIASHARA kwenye MEZA YAKE. Faida ni ya WOTE. Sio mmoja ananenepa na mwengine anakonda kama ilivyo kwenye mahusiano mengi ya biashara hapa nyumbani na pengine Afrika na duniani kwa ujumla.
Ukiniuliza mimi nitakuambia, hapa kuna mengi ya kujifunza.
Tafadhali enjoy.
Love,
Salama.
Support us through anchor.fm/yahs...
SUBSRIBE TO OUR CHANNEL bit.ly/YahSton...
Listen our Podcast on
Spotify Link spoti.fi/2Uxr6Cm‬
‪ApplePodcast Link apple.co/2Ou1bru‬
GooglePodcast Link bit.ly/GoogleP...
Audiomack Link bit.ly/YahSton...
‪RU-vid Link bit.ly/RU-vidS...
Soundtrack Yeah by @MarcoChali • Marco Chali Feat One T...
Follow:
Twitter: / yahstonetown
Instagram: / yahstonetown
Facebook: / yahstonetown
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: slidedigitaltz

Опубликовано:

 

5 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 163   
@blandinamyinga9489
@blandinamyinga9489 2 года назад
when y see successful people just respect them cause they come from far
@CoachHafidh
@CoachHafidh 2 года назад
Kama una hamu na kuskia zaidi kuhusu management ya huyu jamaa jipongeze. Likes zangu leo wa kwanza...,😂😂
@michaelkipara8205
@michaelkipara8205 2 года назад
nice interview,tunahitaji pia interview yako na zuchu,we love zuchu so muuuuuch
@kelvinstuckx5015
@kelvinstuckx5015 2 года назад
Kwelii zuchuu interview
@fababindawood8363
@fababindawood8363 2 года назад
Jombaaaa linajuwa kuongea hilii sijuwi ndo anaemfundisha kuongea Diamond da! Hatar
@dullahbatuf9223
@dullahbatuf9223 2 года назад
Mtu mmoja ambae namkubali sana tanzania ni salam sk yuko realy sana
@davidjosephat7511
@davidjosephat7511 2 года назад
SJ naomba umcheki this man from Kenya ABDUL MUTAL tukipata interview naye itakuwa bomba sana.
@antonywanjiru4971
@antonywanjiru4971 2 года назад
🇰🇪 Salama unapendeza nanipenda sana show zako.
@ignosanderson4618
@ignosanderson4618 2 года назад
Nimejifunza vitu vingi sana kwako Sallam SK
@johel882
@johel882 2 года назад
ngoja nirolll kitu changu mie nicheki interview..i😂🔥
@jadohb5383
@jadohb5383 2 года назад
Salama My favorite wow I like her a lot
@arichelinares2225
@arichelinares2225 2 года назад
We've been waiting n waiting salama na ZUCHU
@lareineminah1353
@lareineminah1353 2 года назад
Yeah sijuw ili ishiya wapi
@brianmaalim6155
@brianmaalim6155 2 года назад
Nafwatilia sana salama na..... my humble request try have some Kenyans in the show. Thanks
@lilianenzomukunda8880
@lilianenzomukunda8880 2 года назад
1
@siliviasimon7970
@siliviasimon7970 2 года назад
Salama na Diamond platinum please
@erza6832
@erza6832 2 года назад
Much love from Burundi 🇧🇮
@dalalizanzibar9583
@dalalizanzibar9583 2 года назад
Nipo kwa mwalimu wangu wa biashara hapa Mr Sallam
@lugyplan3771
@lugyplan3771 2 года назад
Kamati ya roho mbaya 🤣
@spaceonedigital254
@spaceonedigital254 2 года назад
pole kwa kupoteza wazazi Sallam🙏
@ombeniruvubika5392
@ombeniruvubika5392 2 года назад
Watching from South Africa 🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦
@brownd8656
@brownd8656 2 года назад
Love from mozambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿 salama na salaam
@barakaambross2146
@barakaambross2146 2 года назад
Salama na diamond...Lin...??
@mathermichael7602
@mathermichael7602 2 года назад
Sauti kama diamond kabisaaàa
@babalaujamaa7131
@babalaujamaa7131 2 года назад
Mwambaaaaa huyu hapaaaa ✌️✌️✌️✌️🦁🤙
@oxtinho159
@oxtinho159 2 года назад
Wa Kwanza
@kiatu
@kiatu 2 года назад
Maswali mazuri sana, ni mafupi kuliko majibu.
@twayzo12
@twayzo12 2 года назад
Umeitunza Sanaa hii sallama
@muzafarsharif9465
@muzafarsharif9465 2 года назад
salama umri bye bye ,,, nakupenda b kizee nakupenda kikongwe🤣🤣🤣😍
@patrickmsuguri
@patrickmsuguri 2 года назад
First time nilijua Sallam ni mtu wa mbele kumbe ni mTz.... 😎👍
@zuweinaalhabsya8773
@zuweinaalhabsya8773 2 года назад
Ila ni mwarabu
@achynyawale397
@achynyawale397 2 года назад
Mluguru bhn
@kiatu
@kiatu 2 года назад
@@zuweinaalhabsya8773 Ila?
@frolenciasururu8064
@frolenciasururu8064 2 года назад
Nakupend sallam😍
@Adeen.1
@Adeen.1 2 года назад
SALAMA NA SALLAM 🐐
@ucjvvjcjjvih9934
@ucjvvjcjjvih9934 2 года назад
Am TZ 🇹🇿💋❤LOVE ALWAYS SALAMA AND MENDES 🤛🥰🤩💯MTAJUA HAMJUI LIKE ZAO
@rayanndizeyes3161
@rayanndizeyes3161 2 года назад
Anazarahu sana utawa atazikwa na pesa izo hana kubukubu zuri.eti anafanya kazi zake kaulishafu .utajizika ,na uliumwa utakiunguza
@fatimawazeer701
@fatimawazeer701 2 года назад
Umesemaje wewe?? 👈💁‍♀️
@subirajohn728
@subirajohn728 2 года назад
Acha ujinga wewe tafuta pesa hata mbwa anazikwa!
@UlimeA
@UlimeA 2 года назад
Pesa Pesa Pesa tutafute
@subirajohn728
@subirajohn728 2 года назад
@@UlimeA Kabisa!
@shabanihamisi115
@shabanihamisi115 2 года назад
Ni Salama na Salaam!!
@blandinamyinga9489
@blandinamyinga9489 2 года назад
how does that make you feel *GOod aah🤣 that's Mendez#DONsallam
@michaeljeremiah5364
@michaeljeremiah5364 2 года назад
One dey nataka kuwa kama uyu mwamba...aiseee
@selemansalum9982
@selemansalum9982 2 года назад
Mletee Sheikh Othaman Maalim Vijana tutajifunzaa kupitiaa yeye
@sisopotashiumz2026
@sisopotashiumz2026 2 года назад
Show IPO very smart..
@murschasser5503
@murschasser5503 2 года назад
Salama the best 🔥
@annamsuya8735
@annamsuya8735 2 года назад
Kweli ukifanya ukarimu sana mwisho wanakuzoea namazoeya yakizidi inakuwa zarau
@zainabumangala1381
@zainabumangala1381 2 года назад
salama na zuchu mbona haipo RU-vid
@msafirikilongo7429
@msafirikilongo7429 2 года назад
Salama unaweza sana kuhoji kwanza una furaha na tabasam zuri✌️
@fakiimohamed6163
@fakiimohamed6163 2 года назад
mlete P funk please
@thuwebaomar9381
@thuwebaomar9381 2 года назад
Ahsante Salama🤸🤸🤸
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 2 года назад
Kaka na dada😎
@_pamuku13
@_pamuku13 2 года назад
Salama na DIAMOND PLATINUMZ
@oyay2821
@oyay2821 2 года назад
Sauti iko chini Sana
@taarifahabari4856
@taarifahabari4856 2 года назад
Hii interview kubwa sana
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 2 года назад
DON MENDEZ🔥🔥🔥
@rodrickmataba8999
@rodrickmataba8999 2 года назад
Huyo jamaa aturudishie the JOINT... ana unyama mwingi
@ommymsomi4362
@ommymsomi4362 2 года назад
Sallama na SallaM
@kingmartinezy13
@kingmartinezy13 2 года назад
Safi sana kumbe huyu jamaaa secure sana
@samgaya
@samgaya 2 года назад
Don mendezi 🔥
@johanakunambi6975
@johanakunambi6975 2 года назад
Nice
@pascalcostantine4478
@pascalcostantine4478 2 года назад
Namsubiir Best rapper Stamina hapo, Salama Fanya Yako basi
@yasmarjan
@yasmarjan 2 года назад
Mm pia nlikuwa nakujudge vibaya Don bt nmeekuelea kabisa
@jeremiahcharles6027
@jeremiahcharles6027 2 года назад
Double SALA💞💞
@montanaprime
@montanaprime 2 года назад
Interview Hasheem Thabeet next season.
@edenilyimoedenilyimo2589
@edenilyimoedenilyimo2589 2 года назад
Naomba umwita chid benzi
@G.r.e.a.t.I.Q
@G.r.e.a.t.I.Q 2 года назад
Salam.. Mzee wa rohom-bi," a.k.a. Rohomfu!"
@thehappinnessgiver
@thehappinnessgiver 2 года назад
Diamond platnumz
@Iamcameronboyce
@Iamcameronboyce 2 года назад
Salama always wears BLACK. #shelooksgood
@mwambakizota2874
@mwambakizota2874 2 года назад
She😂😂😂
@Iamcameronboyce
@Iamcameronboyce 2 года назад
@@mwambakizota2874 uhh! Yeah she looks good in black.
@mumaheza151
@mumaheza151 2 года назад
Salam sk.
@ramayonline2281
@ramayonline2281 2 года назад
Salama na Diamond Platnumz next session please
@kwizeraimani6057
@kwizeraimani6057 2 года назад
Yes
@nero7941
@nero7941 2 года назад
Katika ma presenter wenye HQ kubwa ni salama anauliza maswali yamaana sana
@eltonchalamila602
@eltonchalamila602 2 года назад
IQ not HQ
@haithamsleimanissa1452
@haithamsleimanissa1452 2 года назад
Apo twenty twelve ss!😄😄
@SLTN4503
@SLTN4503 2 года назад
yupo sahihi ni 2012, yani ni kama unaweza kusema twenty twenty
@hitmanhunter9557
@hitmanhunter9557 2 года назад
Mleteni Nikki Mbishii
@mosesmahinya9654
@mosesmahinya9654 2 года назад
That how he was......that ....that ninyingi mendez
@godfreymwandoje1702
@godfreymwandoje1702 2 года назад
Don Mendez as you bro
@minaahatnas884
@minaahatnas884 2 года назад
Tuwekee salama na zuchu
@neemapancras5611
@neemapancras5611 2 года назад
Richard hananja mlete kwa show tafazali
@Stavanger-cr3ee
@Stavanger-cr3ee 2 года назад
Neema ...... Siku hiyo Mic zote hapo studio ZITACHEKA
@finnex_tz
@finnex_tz 2 года назад
Mafanikio yana ving
@murschasser5503
@murschasser5503 2 года назад
Forest Alumnu mwenzangu 😁
@yusrasalmin9563
@yusrasalmin9563 2 года назад
Hvi mbona ya zuchu hukuweka youtube?
@twayzo12
@twayzo12 2 года назад
Sallama na sallam
@christinamwaluswa54
@christinamwaluswa54 2 года назад
NC salama kutuekea m2 waukae p1 sn
@ziyandamhlana8776
@ziyandamhlana8776 2 года назад
Watuuu dunia hiyiii nihatali chid Benz EMAX anafanya mambo yake munajuwa ila hamusemi nyie wote hapo munajuwaa
@jumastamu4408
@jumastamu4408 2 года назад
Sku 1 tuletee sir nature
@nassoursalum7982
@nassoursalum7982 2 года назад
Menenmet diamond platnumz
@taarifahabari4856
@taarifahabari4856 2 года назад
👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿
@mwanaishachiku1954
@mwanaishachiku1954 2 года назад
Mlete Carry Mastory
@bujashidaniel5537
@bujashidaniel5537 2 года назад
Technically,,,salam huyo
@cecilianyalusi9597
@cecilianyalusi9597 2 года назад
Boss kasema Mimi nani nipinge
@motivateU849
@motivateU849 2 года назад
Mendez kama mendez
@visualservices8897
@visualservices8897 2 года назад
Next time camera man avae headphones ili kudikiliza noise kama izo za salam sk anavyopiga meza
@pastorteddywaziri5754
@pastorteddywaziri5754 2 года назад
Haki nimecheka kwamba mtu mkarimu ambaye Salam sk ktk maisha yake alishawahi kukutana naye ni Ay eti anamfananisha AY na kama Yesu haki nimecheka🤣🤣🤣🙌
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 2 года назад
So so so so so so so?? ¿Why so So
@archbordygodfrey2614
@archbordygodfrey2614 2 года назад
Social media
@emariusrush3285
@emariusrush3285 2 года назад
it's some swaggs, American swagg,
@davidmbwilo4954
@davidmbwilo4954 2 года назад
Salama tunaomba utuletee Niki mbishi
@Mamyalley6666
@Mamyalley6666 2 года назад
Mendez 🙌🙌🙌
@davidndalawa709
@davidndalawa709 2 года назад
Salaama na kipanya itapendeza
@sarahshaban7592
@sarahshaban7592 2 года назад
Tayari
@Chamageu
@Chamageu 2 года назад
🇹🇿
@babjchumila3811
@babjchumila3811 2 года назад
Uongo mwingi sana kwa huyu Mtu
@rohityalsina1840
@rohityalsina1840 2 года назад
Yuko really hanaga fake but tu ni muongo wa story
@musamwani4558
@musamwani4558 2 года назад
Mwite Mwamposa watu wengi sana tutaisikiliza hiyo shoo🤔
@wajawazitotv7632
@wajawazitotv7632 2 года назад
Kwani Salam ni Mwarabu?
@MILIKI_MBONDE_TV
@MILIKI_MBONDE_TV 2 года назад
nakubal
@allansadik3703
@allansadik3703 2 года назад
Cjui kwann cmpendi huyu sk Mtu hamko nae sasa kwann unamuongelea kila cku?
@immah_deo19
@immah_deo19 2 года назад
We Unaweza Hata Ukawa Unakaa Sana Na Dada Zako Sasa Humpendi Mtu Ambaye Hakuingizii Wala Kukupunguzia Kitu ? Unaakili Kweli?
@adamnasibu5931
@adamnasibu5931 2 года назад
Kamuongelea nani hapo Kaa kimya mvuta bangi hawezi muongelea maana Hana jipya
@romakoko2292
@romakoko2292 2 года назад
El jefe Mendez
@ashuraissa7160
@ashuraissa7160 2 года назад
Where is part 2please?
@gabylove4602
@gabylove4602 2 года назад
Ipo itafute
@rayanndizeyes3161
@rayanndizeyes3161 2 года назад
Ico kibaba sikipendi kweli igel8kuwa mimi nilikiuba zamani kukitowa duniani.kinaroho baya
@vanemmy6043
@vanemmy6043 2 года назад
Acha urofa wewe
@jaymandy8136
@jaymandy8136 2 года назад
Unaakili ya kipumbavu kweli, unatamani afe kwani alishawahi kukukosea nini??
@fatimawazeer701
@fatimawazeer701 2 года назад
Zidisha hivi💊💊💊🍹utangulie wewe kwanza UPO???
@kulthumbashiru864
@kulthumbashiru864 2 года назад
Wee utakua mchawi
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 2 года назад
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌✌
@yahayamaulana1561
@yahayamaulana1561 2 года назад
Tom boy salama
@salmashahbal2424
@salmashahbal2424 2 года назад
Salama na dudu baya naitamani
@sambayo2440
@sambayo2440 2 года назад
Itanoga sana
@mumaheza151
@mumaheza151 2 года назад
Sala MBILI
Далее
ЛЮБИТЕ ШКОЛУ?😁​⁠​⁠@osssadchiy
00:20
Women’s Celebrations + Men’s 😮‍💨
00:20
USIYOYAJUA KUHUSU KARIAKOO || KARIAKOO HISTORY!!
33:03
Mkasi - SO5E03 With P Funk
29:34
Просмотров 151 тыс.