Very nice nandi.umetisha Sana.Mungu awaongoze na awapiganie awatetee katika ndoa yenu.mtangurize Mungu kea Kira jambo.mungu ndo kira kitu bira yeye sisi atuwezi.mtangurize Mungu katka ndoa yako.bawaombea muishi kwa amani sku zote.
Waoooo congratulations amazing nimewafurahia sana mnastahili asante kwa kumchagua na kumwona bora kuliko wote Mungu azidi kuwatunza na kuwabariki siri ni maombi Dua yawe in silaha kwenu stay in blessing always
Hakika ndoa nijambo kubwa na laheshima ,hii ni moja ya sheria kubwa hata vitabu vyakidini jambohili linasistizwa Sana, sisi ambao bado hatujatimiza hili tumuombe mungu atujaarie🙏🙏 tufanyehivyo
Hiki ndo kipande Walikataa kisipositiwe kwenye hii ndoa ni mambo ya aibu emu angalia mwenyewe afu unipe majibu ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-5Vw_KjSoGeI.html