Jamani mumezid izo musitumie kaz ya watu km fursa ya kupat kitu kwako hem wasifuni waigizaji nyie like like t adi mnabowa Iz like mnashiba au MN heeee nmewachok
Jaman kwan huyo zuu atapatikana lini pia ushauri wangu, naombeni mtupe muda wa kupost yaani kama ni saa 4 kamili basi kila siku 4 inakuwa tayar ishachoka jmn tunaisubiri sana.🎉🎉🎉 ila busati maua yenu sania loooh😮😮😮
Jamani mm siombi like mm naomba muje muniungishe biashara yangu nauza Qasil powder inasaidia kutoa chunusi na makovu sugu n.k anae hitaji aniambie nimtumie namba ya biashara