Тёмный
No video :(

Huyu ndiye Mansa Musa, Mfalme wa Mali anayetajwa kuwa mtu Tajiri kuwahi kutokea duniani 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 22 тыс.
50% 1

Mfahamu Mansa Musa wa Himaya ya Mali ambaye utajiri wake unatajwa kuwa mkubwa kuwahi kutokea duniani

Опубликовано:

 

26 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 48   
@OMANOman-qc1lm
@OMANOman-qc1lm 2 года назад
kila mmoja kazi yake kusapoti mziki mungu alisema mziki haram sababu Yake mziki unakufanya ukufuru na kufanya nasa za dunia ila watu ndo wanafanya kua dunia kupotesha watu jamani dunia mapito wanao kufa awarud tusali na kumuomba allah yakufata na kuiga mashetani tuayaache🙏🙏🙏🙏
@husseinhamis1428
@husseinhamis1428 2 года назад
❤️
@hopechidera
@hopechidera 2 года назад
Nonsense😏
@NR-ll4sr
@NR-ll4sr 2 года назад
Kuna watu wanafanya maasi na wala hawapendi music
@mycleteffe9785
@mycleteffe9785 2 года назад
Yaani kaka nikikusikiliza saut yako nahisi namsikiliza millard ayo....mnafanana sana sauti sanaa...big up
@messaabbas739
@messaabbas739 2 года назад
Simulizi nzur mnoo,, thanks SNS ❣️❣️❣️❣️
@shabiruponera4323
@shabiruponera4323 2 года назад
Wakumsujudia mungu tu na sio mtu
@muwezahasani4017
@muwezahasani4017 2 года назад
The heroes mansa musaa
@blessingbagio4857
@blessingbagio4857 2 года назад
Umenirudisha form3 west African history. 🙏🙏🙏Shout out to my history teacher Mr kanyike all the way from Kampala Ug❤️
@sidrasidra8616
@sidrasidra8616 2 года назад
Sikutamani umalize kuhadisia 👊 uko vizuri 👌
@Brunotarimo10
@Brunotarimo10 2 месяца назад
Simulizi nsuri sana nilipitwa na hii makala . Kutoka Eastleigh nairobi
@kaayakitomary1233
@kaayakitomary1233 Год назад
Ndio kaka tupeni istoria kama hiz za kiafrica wazungu wanatupotosha sana sana
@abuusaalimalmasasiyyu9421
@abuusaalimalmasasiyyu9421 4 месяца назад
Wallah am proud being muslim and most of muslim leaders in the world are good and honesty caring people’s rights this is truth
@geoufo2858
@geoufo2858 2 года назад
Wazungu wanatuzarau Africa ila Hadi Sasa awanatajiri wanamna hii
@KIMSwahili
@KIMSwahili Год назад
Mashallah Allah atuongoze tuwe waislam wa kweli
@salimhamad3878
@salimhamad3878 Год назад
Hii ni katika historia nzuri kuweza kuiskia kutoka sns
@999lifetime
@999lifetime 2 года назад
kwa ujumla ujaweza kueleza tajiri wa africa alikuwa nani ,naomba eleza historia hii vizur .
@owenmutale8686
@owenmutale8686 2 года назад
Tuelezee wewe unaejua
@herbertygeofrey2724
@herbertygeofrey2724 2 года назад
Brother rudi shule bado muda unao kasome upate hilimu kidogo
@OMANOman-qc1lm
@OMANOman-qc1lm 2 года назад
ndo watu wajue kua dini nimoja duniani ya kislam ukitaka kua ukweli kua dini ya kislam ndo dini kweli soma kuruani imendwika nini naukijua kuruani kweli unasoma sura kama unaumwa unapona yani kila sura Katika kuruani inamaana yake ndo maana unaskia walie mkufuru mungu siku ya kiama watapata athabu yake mungu alisema akuna mwanamke kuva nguo za nusu utupu au kuonyesha maumbo Yao na ikikaribia kiama wanawake wengine watakua awana aibu kutongoza wanaume kuva nusu utupu kuzini sana watoto wa haram watakua wengi watu watakufuru sana mnyazi mungu namengi yatakua alio sema allah sema binadam wengi tunapotoshwa na maisha ya nchi zingine na kuinga ujinga wa nchi zingine kufata mkubo wa shetani guys someni kuruani mjue dini ipi ya kweli duniani mapito kuna kesho tutasema nini kwa mungu huo mwoto milele kabrini athabu😭😭😭😭
@omaryntagala3740
@omaryntagala3740 2 года назад
👏👏👏👏👏👏👏👏
@hopechidera
@hopechidera 2 года назад
Stupidity😏
@frankmsigwa153
@frankmsigwa153 Год назад
Wanaojua kweli wengi wanatenda dhambi ila wasiojua kweli wanahofu ya dhambi ?? Je hii imekaaje
@emmanuelkamoli8215
@emmanuelkamoli8215 2 месяца назад
Unamtazamo finyu sana Christin unaiweka wapi hujitabui unazungumza kwa mahaba au kwa facts ww ni Mungu hadi kuzungmza Kislam ni dining namba moja. KURUANI IMEADIKWA NA MUHOMENDI BIBLIA IMEANDIKWA NA MITUME WA MUNGU MWENYEWE SASA UNAPQTA WAPI MANENO MAMBOVU KAMA HAYO
@begamnafaj8743
@begamnafaj8743 Год назад
Dah! Itabaki historia Kwa Mali mana sasa in nchi iliyojaa umasikini na njaa
@josephk90
@josephk90 2 года назад
Dah! Kwa ujinga wangu mimi nlifikiri Mansa Mussa ni mtuma salamu wa redioni miaka ya nyuma kumbe ilikuwa a.k.a😄
@ziyandamhlana8776
@ziyandamhlana8776 2 года назад
Dunia mali ninchii masikini sana dhahabuu alituwa wapiii
@IJUE_BIBLIA
@IJUE_BIBLIA 2 года назад
Barter trade...
@omaryhajji1393
@omaryhajji1393 2 года назад
Brother nakuappreciate jinsi unavyoelezea
@emmanuelpeter4822
@emmanuelpeter4822 2 года назад
Mansa Mussa👑🔥🔥
@abuusaalimalmasasiyyu9421
@abuusaalimalmasasiyyu9421 4 месяца назад
Watawala wakislaam wajifunze kwa hii historia mzur
@abuusaalimalmasasiyyu9421
@abuusaalimalmasasiyyu9421 4 месяца назад
Koz mostly of them wajiona wanyonge wakiutekeleza na kuufanyia kaz uislaam wao umagharib umewajaa mpk mtu anadharau din ake mambo hayako hivo Allah atakufanyia wepes kweny utawala wako na kuwapa aman watu wako ukimridhisha Allah na watu watakua na ihmani na wew
@eugenejr.8844
@eugenejr.8844 2 года назад
Fredrick Bundala 👂 now SNS since RFA
@shanmlawa
@shanmlawa Год назад
Kwel zamani hijah ilikua ngum MTU anenda hijjah miaka miwil
@MCWABIKE
@MCWABIKE Год назад
Mansa musa angekuwa hayi paka sasa ngekuwa na miaka 743 duuuu 😅😅😅😅
@zclassicfashionz1573
@zclassicfashionz1573 2 года назад
Balaa sana
@constanciomarcos5484
@constanciomarcos5484 2 года назад
mapokezi ya harmonize kigoma
@adamnasibu5931
@adamnasibu5931 2 года назад
Sema mapokezi ya mziki mnene show ya Bure kigoma
@onlinetelevisionofficialtz4600
@onlinetelevisionofficialtz4600 2 года назад
N kitu cha pekee unachonivutia sky
@ziyandamhlana8776
@ziyandamhlana8776 2 года назад
Sundi is big man
@adamnasibu5931
@adamnasibu5931 2 года назад
The memory
@sidrasidra8616
@sidrasidra8616 2 года назад
😳🙄Sundiyata🙈
@pimwen2369
@pimwen2369 2 года назад
🔥🔥
@mkaapwekekariakoo6417
@mkaapwekekariakoo6417 Год назад
🙏🙏
@isharanakihinga4910
@isharanakihinga4910 2 года назад
💯💥🔥🔥🔥🔥
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 2 года назад
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌✌️
@fa-gx5yt
@fa-gx5yt 2 года назад
MALI empire ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-8YzBJt_03ps.html ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-ZHOBGu4YhD4.html
@JMcnTv-iw1rq
@JMcnTv-iw1rq 2 года назад
🙏
Далее
Avaz Oxun - 10 yillik yubiley konsert dasturi 2023
2:52:33
Only I get to bully my sister 😤
00:27
Просмотров 21 млн