Asante kwa kuiona. Mungu akubariki Thanks for agreement to upload this interview. @SimuliziNaSauti 탄자니아 최고의 채널과의 인터뷰 큰 영광이었습니다! 가족들과 친구들의 간절한 요청으로 ㅎㅎ 한글 자막도 추가해 보았어요.. 헥헥 #mahojiano #mkorea #ushindi
Nakupenda sana Ushindi😍wew ni mstaarabu sana na pia ni mpole watanzania baadhi wanaandika maswali ambayo ayakupendezi ila bado unajibu kwa busara ya hali ya juu.... nakupenda sanaa😘❣️🤗
Nakuelewa vizuri. Lakini kwa sisi inasikia kama.. Nikikuita “Eti mghana!” Utaniambia kama mimi si mghana lakini mtanzania. hivi sindiyo? Kwa sababu nchi ni tofauti kbisa ☺️
@@user-zt1iw4bf7l ndio kabisa ushindi ila kidogo kidogo tutaweza kuwajua wachina ni wepi na wa corea ni wepi usjali. Ila karibu zanzibar ushindi unajua kama nitafrahi kama utafiika zanzibar kuna vitu vingi vya kuvutia na vya kihistoria hata kiswahili kimezaliwa zanzibar karibu sana