Тёмный

ITAKULIZA: "Mwili wa Mwanangu Unaoza na Kuvunjika Vipande Vipande" MAKONDA NISAIDIE BABA,. 😔😔 

HABARIMPYA TV
Подписаться 613 тыс.
Просмотров 4 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

28 июн 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 32   
@hassanimngetege2904
@hassanimngetege2904 22 дня назад
Pole sana dada yangu Mungu amponye mjomba wetu
@gracemairusya2950
@gracemairusya2950 22 дня назад
Eee mungu msaidie huyu mtoto apone
@marychami1700
@marychami1700 22 дня назад
Pole ,mwenyezi mungu atamponya mtt wetu
@florencemeza6540
@florencemeza6540 22 дня назад
Makonda Mungu akubariki bila wewe huyu mtoto asingesaidika
@andrewasagwile7162
@andrewasagwile7162 22 дня назад
Usijari shemeji yangu MUNGU yupo mtoto atakuwa sawa kabisa😭😭😭😭😭
@ostenmwakasita6960
@ostenmwakasita6960 22 дня назад
Pole sana Mungu anyoshe mkono wake Mtoto apone na Tunashukuru Makonda kwa msaada
@user-ye3fy9kk6r
@user-ye3fy9kk6r 22 дня назад
Subhaanallah!!!...alhamdulillah!!!..mitihani ipo mingi ila mtihani wa maradhi yataka subira sana,bila kuwa karibu na mawaidha na kumpata mtu wa kukukumbusha kuwa huu ni mtihani M'mungu amekutaini wallah unaweza kufuru
@halimamasai2234
@halimamasai2234 22 дня назад
Pole sana mama mungu amjalie huyo mtoto inshaallah
@tato8979
@tato8979 22 дня назад
Nimejikuta nalia pole sana dada mungu yupo pamoja nawe 😢😢
@daudimusoma3337
@daudimusoma3337 22 дня назад
Mmetoka mbali. Hata huyo mwanaume amejitoa hasa
@estakapufi7582
@estakapufi7582 22 дня назад
Mungu yupo anaona unayo pitia na machungu anayipitia mtoto ipo siku mungu atakupa furaha, na huyo mume ulienae anakupenda kutoka moyoni na ndio maana yupo na wewe, hakuna kinachoshindikana mbele za mungu atatuma watu wake wakufukie usikie mungu atakufuta machozi😢nimelia sana maana hiko kilio chako kinatoka tumboni uchungu
@mrsferuzi7443
@mrsferuzi7443 22 дня назад
Pole mungu atamuafu inshaallah
@paulmaganga9700
@paulmaganga9700 22 дня назад
Mungu akukumbuke Makonda katika maombi yako uyaombayo Kwa Mungu wako kupitia sadaka zako hizo
@FestoMwambegele
@FestoMwambegele 22 дня назад
So painful but Mungu akusaidie shemeji yangu...Kesho nitakuwa hapo Mount Meru hospital
@salimalaquimane3077
@salimalaquimane3077 22 дня назад
Ita pendeza
@MnubiMm
@MnubiMm 22 дня назад
Safi Sana Mwambegela
@edinamadebele973
@edinamadebele973 22 дня назад
Duuu, Mungu mteee huyu mtoto
@martinabayyo9982
@martinabayyo9982 22 дня назад
Pole dada unapitia magumu Mungu amsaidie mtoto Hadi machozi yananitoka sijui kwann mtoto mdogo anapitia haya
@tato8979
@tato8979 22 дня назад
Pole sana mama mtoto atapona tu
@mrsferuzi7443
@mrsferuzi7443 22 дня назад
Makonda mwanangu mungu akuongezee ulipopungukiwa inshaallah aamini
@amina3925
@amina3925 22 дня назад
Mungu hata mtetea
@faridaamagese2234
@faridaamagese2234 22 дня назад
Pole Mungu atakusaidia
@BeniJohn-xd3cn
@BeniJohn-xd3cn 21 день назад
Ujumbe wako umefika kwa Watanzania
@martinabayyo9982
@martinabayyo9982 22 дня назад
Makonda Mungu akutangulie kwa yote unayofanya Hadi nakuonea huruma
@user-oo1vz3zi1t
@user-oo1vz3zi1t 22 дня назад
Mh jamani Duniani kunamakubwa Yaarabbi msimamie Mamahuyu Mtoto wetu apone
@happinessmwisse1152
@happinessmwisse1152 22 дня назад
Pole Sana mama
@shabannayopa5406
@shabannayopa5406 22 дня назад
Pole sana muamn Mungu atamsaidia
@MobarokIddy
@MobarokIddy 22 дня назад
Ama kwa hakika huyu dada anahuzunisha ila nakuombea kwa Allah subhana wataala makonda utalipwa na mwenyenzi mungu unayo yafanya kutugusa jamii ya watu mafukaraa ni kubwa mno mbele za mungu
@aderanderwa7623
@aderanderwa7623 22 дня назад
MUNGU awabariki sana
@RehemaMtono
@RehemaMtono 22 дня назад
Pole dadaangu MUNGU atamponya mtoto
@rehemalugoma5638
@rehemalugoma5638 22 дня назад
MUNGU AKUTEE MUMY
@Ezeqsweya1116
@Ezeqsweya1116 22 дня назад
Makonda SADAKA ZAKO NA WEMA WAKO UMEFIKA MBINGUNI
Далее
Amazing weight loss transformation !! 😱😱
00:24