Тёмный

Msimamo Mkali wa Makonda kwa Watu wa Haki za Binadamu na Wanao Msema Mitandaoni,. 

HABARIMPYA TV
Подписаться 631 тыс.
Просмотров 12 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 46   
@baloziimohamedii7028
@baloziimohamedii7028 2 месяца назад
Tunakuombea mungu sana akulinde na mafedhuli na mabaya na kila shari mungu akulinde na hao mashetani sisi tuka sambamba na Mama Samia na Mkuu wa mkoa piga kazi mzee
@BeniJohn-xd3cn
@BeniJohn-xd3cn 2 месяца назад
Safi Sana kazi kazi
@OlivreKimario
@OlivreKimario 2 месяца назад
Safi sana nakupendaga maanake unatumia busara na akili kuwajibu hao manyumbu,wamesikia baba piga kazi na mungu akutangulie
@stevenkatani3047
@stevenkatani3047 2 месяца назад
Nakuaminia mzeeee wew ndo umeletwa na Mungu kwa maneno haya waxhindwe na walegeee
@subirajohn728
@subirajohn728 2 месяца назад
Fanya kazi Bro❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@AlHamra-k4u
@AlHamra-k4u 2 месяца назад
Big up jembe letu Makonda ✊✊✊💪💪💪🔥🔥🔥🥰🥰🎉🎉
@maximiliankassimmakarabeka1691
@maximiliankassimmakarabeka1691 2 месяца назад
Nakukubali sana ndg makonda hii tanzania ukifanya vizuri tu. Unaingia kwenye shida. Kila mtu mwanasiasa. Eti washeria nao wanasiasa tutaenda mbele kweli. Hii yote inasababishwa na kuajiri kiunfugu ukimgusa tu ndgu yao utasikia kelele. Kama buti makanda.😊
@teshashaban2479
@teshashaban2479 2 месяца назад
Namba Safiiiii mh makonda . Chapa kazi namama kafanya kweli kafukuza kenge wawili waovyo
@elizalutiga6287
@elizalutiga6287 2 месяца назад
Twende kazi
@harithimahmoud1577
@harithimahmoud1577 2 месяца назад
HUYU TRAORE WA TANZANIA BIG UP SANA BROTHER
@ST.PAULCENTRE
@ST.PAULCENTRE 2 месяца назад
big up kwake rc wetu arusha
@siamollel6051
@siamollel6051 2 месяца назад
Arusha, Arusha,Arusha,Kuweni Makini sana,Msilewe Maneno,Ni muda wa kuhitaji vitendo zaidi,,Nchi ni yetu sote,tuinenge kwa juhudi ,Tuiombee Kwa pamoja
@rejobu9723
@rejobu9723 2 месяца назад
Kazi yako imebarikiwa na mungu usigeuke nyuma tupo pamoja nawe kwenye maombi 🧎🧎🙏🙏
@DorkasKamau
@DorkasKamau 2 месяца назад
Nakushukuru sana kamanda
@jeremiahcharles6027
@jeremiahcharles6027 2 месяца назад
Kiongoz nia yake ni nzuri sana ,,,,tunakukubar
@gichongeevaline1230
@gichongeevaline1230 2 месяца назад
Unafaa sana kiongozi umewapa pressure 😂😂😂😂
@aerobicdanceandtaekwondotr371
@aerobicdanceandtaekwondotr371 2 месяца назад
Ndugu Makonda usiogope, siku zote waovu wana nguvu kuliko nguvu katika Dunia, ila uwezo wa Mungu ni mkubwa mno, haijarishi utakaa ofisini siku moja au mbili, Mungu wa wanyonge atakupa ofisi nyingine.
@alexvenas2699
@alexvenas2699 2 месяца назад
Hao wa haki za binadamu ,Kuna maovu mangapi yametokea na hawajatokea kuyakemea wametulia tu kwenye maofisi Yao? Makonda piga kazi achana na kelele za watu wenye mlengo tofauti na haki.
@mrsferuzi7443
@mrsferuzi7443 2 месяца назад
Chuma hicho hapa kazi tu RC hoyee
@georgemtewele7656
@georgemtewele7656 2 месяца назад
Genius 😅😅 kama ni msomi huwezi mwelewa makonda 😮 CCM mnafeli wapi, hamna kulindana kwenye uzembe, rizika na cheo chochote, kimudu apa hata mkimpa ubalozi atawanyoosha tuu,, mi namkubali mwamba toka akiwa DC Kinondoni.😅😅
@songeza
@songeza 2 месяца назад
Ukweli ndio hivyo usitetereke Songa mbele RC ❤
@BeniJohn-xd3cn
@BeniJohn-xd3cn 2 месяца назад
Umewakaziya macho awakuamini 😂😂😂😂
@ManenoMaiko-zb2it
@ManenoMaiko-zb2it 2 месяца назад
We htr makonda kama makufuli vile
@gracemima5234
@gracemima5234 2 месяца назад
Makonda tunakupenda. Arusha mahali pagumu. Kuna makundi ya mafisadi wanaotegemea kutetewa na vituo vya haki za binadamu. Vutuo hivi vimeshindwa kutetea haki za watoto wa Palestinia. Vituo hivi vinavyojivunia kutetea haki za binadamu Vingi hapa Afrika zinatetea haki za wageni na kudhohofisha maendeleo ya nchi.
@BeniJohn-xd3cn
@BeniJohn-xd3cn 2 месяца назад
Ndiyo mwana ukweli ndiyo 😂😂😂
@SinguMahona-gh8ct
@SinguMahona-gh8ct 2 месяца назад
Safi Sana makonda
@loserian-mj1gj
@loserian-mj1gj 2 месяца назад
Vipi Tena mbona walikuwa wakali hatuwasikii Tena
@PaschalGerad-xq4lw
@PaschalGerad-xq4lw 2 месяца назад
Tutaandamana tunataka makonda awe mh rais maana nijembesana huyu jamaa
@OlivreKimario
@OlivreKimario 2 месяца назад
Inawezekana
@florencemeza6540
@florencemeza6540 2 месяца назад
Makonda haina haja ya kuwajibu wachumia tumbo yaani HAKI ZA TUMBO
@kenedymwilikwa5408
@kenedymwilikwa5408 2 месяца назад
🙏🙏🙏
@janethpallangyo3855
@janethpallangyo3855 2 месяца назад
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@MasterOil-qm6vw
@MasterOil-qm6vw 2 месяца назад
Songa mbele kaka hao wanaosema inaonekana bado hujawafikia kwa hiyo wanataka wakupinguze nguvu speed ili usiwafikie kwa hiyo mimi naona wapelekee moto hao jiita haki za binaadamu watimbie uwanze nao
@hassanmwallimu5767
@hassanmwallimu5767 2 месяца назад
Hao watu wa haki za binaadamu hawana lolote wanatafuta umaarufu kuna mangapi ambayo watu wanaonewa haki zao mbona hawawesi
@CharlesMisungwi-f8t
@CharlesMisungwi-f8t 2 месяца назад
Mheshimiwa kipimochako Chakazikimebebwa nanguvu zaumma kamanialama zatalakimu nizaidi yaasilimia100 chapakazi kiliochakuku hakimuzui mwewe kuchukua vifaranga.
@ExaveryNgonji-hl6ym
@ExaveryNgonji-hl6ym 2 месяца назад
Ww ni chuma pambana
@teshashaban2479
@teshashaban2479 2 месяца назад
Chapa kazi
@TomassBenson
@TomassBenson 2 месяца назад
Makonda mwangalie huyo mtoto alechamwa na mjomba
@RajabuLanda
@RajabuLanda 2 месяца назад
Kiukwer awamu ya 6 unmushikamano he awamu ya 5 ulikuwa na musukosoko waa nn au 5:16
@HamisLeo
@HamisLeo 2 месяца назад
Tanzania hii haina mda wa kumvumilia mtu anaevunja sheria za utumishi wa umma. Kwani mtumishi anasomea kujieleza kwenye mkutano wa wananchi? Sheria ya utumishi ni barua kwa barua siyo mdomo kwa maneno
@MasterOil-qm6vw
@MasterOil-qm6vw 2 месяца назад
Piga kazi kaka tunakuombea dua achana nao wala?rushwa hakuna haki za binaadamu wala nn bali hao wanasimamia haki za shetani kama wanasimamia haki za binaadamu kwa nn hawaendi kufunga hotel za mashoga
@Zengeni-gz8fe
@Zengeni-gz8fe 2 месяца назад
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿💪💪💪MAKONDAAAAAAAAAAAAAA
@GeofreyKalo-ot3we
@GeofreyKalo-ot3we 2 месяца назад
Jifunze kwa nape wewe
@rommyshabby3959
@rommyshabby3959 2 месяца назад
Ajifunze nn kwake
@GeofreyKalo-ot3we
@GeofreyKalo-ot3we 2 месяца назад
@@rommyshabby3959 kauli iendane na hadhi yke kunamahali kauli TU nitakuja kumponza
@TilfoniKapesa
@TilfoniKapesa 2 месяца назад
Lait,makonda,ange,pewa,nafasi,ya,kuja,kwetu,mbinga,tunge,injoi,yaani
Далее
Grand Final | IEM RIO 2024 | BO5 | КРNВОЙ ЭФИР
6:35:24