Тёмный

JAMANI AMKENI TAYALI SIRI IPO WAZI KIFO CHAJA KWETU EV PASCHAL CASIAN 

PASCHAL CASSIAN OFFICIAL  YOUTUBE
Подписаться 146 тыс.
Просмотров 112 тыс.
50% 1

#0766998994 #call0688199370 #

Развлечения

Опубликовано:

 

4 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 408   
@user-yl8ni9wn4t
@user-yl8ni9wn4t 20 дней назад
Nitaingia MBINGUNI kwa kishindo, hata Dunia nzima irudinyuma mimi siwezi...nampenda YESU KRISTO PEKEE ndani ya moyo wangu....kisu kipite shingoni, lakini MBINGUNI niingie...Dhambi ndiyo kizuizi cha Mwanadamu kwenda mbinguni, kuwa mtakatifu sana mpendwa ...1petro 1:15-16, waebrania 12:14...
@ControlRoom-q1s
@ControlRoom-q1s 20 дней назад
Amina
@veronicanestory1662
@veronicanestory1662 18 дней назад
Mungu akubariki saana mtumishi, Baki na msimamo huo huo Yesu ndiye njia
@stellahokworo3947
@stellahokworo3947 18 дней назад
Amen 🙏
@eliaslyabonga8112
@eliaslyabonga8112 14 дней назад
0:24 ​@@ControlRoom-q1s
@user-uu2cl1jp8y
@user-uu2cl1jp8y 12 дней назад
Amen Amen
@petermochengo8647
@petermochengo8647 19 дней назад
Unabii huu sio watumishi wengi wanauelewa Mungu akubariki sana bro this massage is so powerful
@Jacksonswai685
@Jacksonswai685 18 дней назад
Ukweli ni huu amini nawambia saut aitojirudia tena masikioni mwako usiposikia ujumbe huu ukaufanyia kazi utalia na kusaga meno, emen mungu akutie nguv mtumishi
@AnjelaTemu
@AnjelaTemu 17 дней назад
Mchungaji Mungu akubariki sana sana unasaidia kuukomboa ulimwengu, watu tunapotoshwa na watumishi wa uongo paka tunakosa tumaini kabisa ila wewe ndie mtumishi wa Mungu wa kweli, unaesema ukweli na kufichua Siri nzito zilizifichika za manabii wa uongo nakupenda sana mtumishi na naikubali sana kazi Yako Mungu akuzidishie Maisha marefu yaliyojaa neema nyingi Ili uzidi kuikomboa Dunia 🙏🙏🙏
@LuftansahMahmoud
@LuftansahMahmoud 13 дней назад
Na huyu pekee ndo anasemaga ukweli hao wengine wanatafta hela na miujiza ya uongo😢😢😢😢
@emmanuelmataro4273
@emmanuelmataro4273 17 дней назад
Ni vizur usimame kwenye kweli ingia sabato ili uwe sawa na mitume na mtumishi halali wa mungu
@user-gg5gp7um3v
@user-gg5gp7um3v 15 дней назад
Amina mtumishi wa Mungu, unayoyafundisha yanaendana kabisa na anayofundisha mtumishi wa Mungu mwakasege, mfano kuna lile somo la....(mpe Mungu moyo wako auandae kwa yanayokuja)...Mwenye sikio na asikie,Mungu atusaidie,,Wa Kristo wenzangu tuamke
@AgathaKayombo-qq2xm
@AgathaKayombo-qq2xm 10 дней назад
🙏🙏🙏🙏🙏
@Khadija-f7b
@Khadija-f7b 20 дней назад
Amina mtumishi wa MUNGU Asante Kwa ukweli huo wahubiri wengi hawahubiri hii enjili ya kweli, mwenyezi mungu akutunze Amina
@jamesmgonda
@jamesmgonda 17 дней назад
Safi Sanamu ya mnyama -umoja au muunganiko wa makanisa Alama ya mnyama-jumapili
@user-ii1qk9xn9z
@user-ii1qk9xn9z 20 дней назад
Mungu aturehemu sana. Tayari inaendelea na iko wasi ni Mungu atutie nguvu watakatifu wote duniani tusimame katika kweli yake tusimuasi Mungu. Yote aliyotabiri Bwana Yesu yametimia. Mungu awe pamoja nawe mtumishi kwa kazi hii nzuri.
@GustaveAbedi-td9yv
@GustaveAbedi-td9yv 18 дней назад
Ubarikiwe mutumishi wa Mungu au nom de Jésus Christ de Nazareth 🇨🇩🇨🇩
@sianagodson3690
@sianagodson3690 20 дней назад
Mungu akutunze Mtumishi..nakufuatilia sn, mafundisho Yako,tunaomba Mungu akuwezeshe utuandalie Somo la Jinsi ya kulishinda Hilo pambano,tufanye nini kama wakristo,na ikitokea tangazo la dini Moja,tupo makanisani, tufanye nini?tutaabudu wap? tunaomba utuandalie Jinsi ya kulishinda Hilo pambano la mwisho. SoMo la la tangazo la kifo kwa Wacha Mungu limenifungua macho,kweli inaogopesha Mungu tusaidie tu
@Jesusisaking1
@Jesusisaking1 20 дней назад
Nakupenda kaka Yangu ,God bless you❤
@SalumJuma-iz2gj
@SalumJuma-iz2gj 18 дней назад
Akuowe bc
@user-no2tw5vb8j
@user-no2tw5vb8j 20 дней назад
Mimi ninacho kijuwa ni tunaisha nyakati za mwisho. Yesu christo yu mlangoni
@Khadija-f7b
@Khadija-f7b 20 дней назад
Mwenyezi mungu akutunze mtumishi wa MUNGU Asante Kwa ukweli huo wahubiri wengi hawahubiri hii enjili,❤
@luciadominik1626
@luciadominik1626 20 дней назад
Sasa mtumishi umesema utatuambia wanatukamataje lakini hujaseama sabb tumejisajili mtandaoni
@carolinelema8689
@carolinelema8689 13 дней назад
MTUMISHI TUFANYE NINI ? WATOTO WATAPONAJE?
@user-ep9by3ui1v
@user-ep9by3ui1v 17 дней назад
Piga kelele askari wa bwana ❤❤🙏🙏🤝
@JohnAmani-f1y
@JohnAmani-f1y 16 дней назад
Neema ya mungu iwe juuyako mtumishi wa mungu tupo vijana wenye kutamani kuujuwa ukweli mungu akupandishe viwango nasi tupate kuelewa zaidi k.t.k jina la yesu
@mako331
@mako331 18 дней назад
Ndio maana ninapoona wakristo wamejazana kwenye mikutano ya kina Mwamposa ninalia kwamba njaa ya neno ni kubwa sana. Watu wanafuata udanganyifu wa miujuza, njia ya upotevu ni pana na ni wengi waipitayo njia ya mbinguni ni nyembamba waipitao ni wachache
@DieudonneDutsisi-k8c
@DieudonneDutsisi-k8c 13 дней назад
Mungu wangu abariki sana tena sana Mtumishi kwa kweli dunia yote watu wangeishi neno hii kabla kanisa kunyakuliwa!
@user-iv9yc8hl7n
@user-iv9yc8hl7n 20 дней назад
Nakuelewa sana mtumish wa Mungu,Ubarikiwe Kwa ujumbe huuu
@emmanuellupiga
@emmanuellupiga 17 дней назад
Ubarikiwe mtumishi kwa kweli hizi ipo vita ya ibaada nani aabudiwe kati ya Mungu na. Shetani Tunakoelekea na harakati zishaanza ni kwamba jumapili inaenda kutangazwa kuwa siku maalum ya ibaada na ni lazima ukibisha kifo kinakuhusu Kwann ni lazima: kuna siku ya ibaada ambayo Mungu aliiweka kwetu sisi wanadamu nayo bili kuficha ni jumamos ndiyo siku inayomtukuza Mungu wa mbinguni na kumtambulisha kuwa ndiye muumbaji wa mbingu na nchi Kwa sababu ibilis naye anataka aabudiwe ameweka siku yake kwa wanadamu ambayo ni jumapili na mpaka sasa taratibu zinaendelea jumapili kuwekwa rasmi ni lazima uabudu katika siku hiyo hutaki kifo Lengo ni kuitoa sabato ya kweli inayomtukuza mungu na kubakiza inayomtukuza ibilisi Hizi agenda sasa ni kutafuta sababu mfano kuna agenda juu ya uchumi Kwamba eti watu wanakuwa na siku nyingi za kupumzika hawafanyi kazi hivyo uchumi unashuka iwekwe sasa siku moja ili watu wafanye kazi Ila ukweli sio hoja ni namna tu wapate kukubalika na habari yao ya kusimika jumapili kama siku ya ibaada na nyuma ya hili yupo ibilisi mwenyewe kwa kutumia mawakala wake hasa kanisa katoliki kwa uongozi wa papa.
@user-um5rh8ov7b
@user-um5rh8ov7b 17 дней назад
Tuamke jamni , tuwaombee Watumishi wa Mungu kama hawa wanatufungua sana
@officialfaraji11
@officialfaraji11 12 дней назад
😂😂😂😂
@AllanKabuga-k2d
@AllanKabuga-k2d День назад
Mungu akubariki sana binafs nakufuatilia sana pastel pascal ubarikiwe
@magnibrondi3152
@magnibrondi3152 19 дней назад
Mungu azidi kukubariki.ayo njo mahubiri tunayo itaji kwa sasa. Abari za baraka zinesha tuchosha🙏🙏
@blessedggithinji6192
@blessedggithinji6192 15 дней назад
Jesus Christ am with you always 🇰🇪🙋🏼‍♀️💃🎤iwill never betray you Jesus forever🇰🇪🙋🏼‍♀️💃🎤
@BeatriceMirasano
@BeatriceMirasano 13 дней назад
Mwenyezi MUNGU akutie nguvu mtumishi wake, maana watumishi wengi hawalijui hili japo kuwa MUNGU mwenyewe amesema sana na wateule wake!... Huu sio muda Wa kuangalia dini wala dhehebu, sikiliza ujumbe na kuufanyia kazi muda umekwisha.
@SophiaThadei-hx4wd
@SophiaThadei-hx4wd 17 дней назад
Mungu akubariki Sana kwakusema ukweli, uwe na umli mlefu Mungu akutumie zaidi
@user-ks9ui8td7y
@user-ks9ui8td7y 20 дней назад
inambindi tukae kwa maombi na tuwe na Imani na tumutumikie muumba wetu
@DismondIsmael
@DismondIsmael 20 дней назад
Eee Mungu uturehemu Na umlinde mtumishiwako na mabaya yote na umpeujasiri wa kufunua sirihiii iliwatu watubu Na kukujua Yesu,uliyeMungu.
@Jamalabdala-k1b
@Jamalabdala-k1b 12 часов назад
Nakukubali sana pasta ,,,,,nakupata inchini mozambiq
@LUKASDAUD-q6w
@LUKASDAUD-q6w День назад
Kuhubiri unahubili lakini wewe nawe unaisujudia sanam ya mnyama bado upo kundi hilo tuuuh fanya uamuzi wewe kwaajili ya neema uliyo pewa na Bwana ukweli unao uchaguzi niwako usiwendeele kudanganya watu ingali unajua utakinywea kikombe chaazabu Bwana akubariki ufanyapo maamuzi 🙏🙏🙏
@user-em1ui1xi2d
@user-em1ui1xi2d 19 дней назад
Mungu akubariki sana mtumishi
@ChristianLife-cc9sx
@ChristianLife-cc9sx 13 дней назад
Kuna wakati nahisi Yesu alisharudi Ila sasa nikijiona nipo humu na mimi 😢 huwa naogopa sana. Tupambane sana sana maana kuumbe kwa upande mwingine utajiri wa wasiomjua Mungu ni sawa na kumwaga maji katika Gunia.... Hata na mataifa makubwa!
@imeldamwinyi3141
@imeldamwinyi3141 12 дней назад
Hmm.. Hallelujah Glory!😢😢 Kwakweli Yatupasa Kama Kanisa Tushikamane Sana ibilisi Asipate Nafasi Kwa Jina La YESU!
@JELSONMAUKI
@JELSONMAUKI 20 дней назад
Hii tumesoma chuo kabksa tena ilkuwa second Year first semester 😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮
@lilianluhasi311
@lilianluhasi311 20 дней назад
KAMWE ROBOT HALITAFANANA NA MWANADAMU. ROBOT MBAKA ULIPTOGRAM, LAKINI MWANADAMU HANA LIMITI. YU HURU KWA LOLOTE
@JohnAmani-f1y
@JohnAmani-f1y 16 дней назад
Neema ya mungu iwe juu yako mtumishi wa mungu tupo vijana tunao tamaani kuwelewa haya mungu akupandishe viwango nasi tupate kuelewa zaidi k.t.k jina la yesu
@BenardPaul-t4x
@BenardPaul-t4x 18 дней назад
Mungu wa mbingu na nchi akutuze ili uendelee kupiga kazi ya mhubiri
@AnnaMwailenge-hy3xg
@AnnaMwailenge-hy3xg 12 дней назад
Barikiwa sana mtumishi wamungu 🙏
@bwiremgonya1394
@bwiremgonya1394 4 дня назад
Ahsante sana mtumishi. Mambo hayo yamehubiriwa sana na wasabatho(SDA).ila wengi hawakutilia maanani. Time will tell.
@user-oc2zq5hn3h
@user-oc2zq5hn3h 12 дней назад
Ameen.mtumishi wa Mungu wape watu kwel ya Mungu na utakiwa umefanya sehemu yako
@JacksonJosephQamunga
@JacksonJosephQamunga 6 дней назад
God bless your man(mtumishi wako)
@elianamartin6987
@elianamartin6987 8 дней назад
Mungu akulinde mtumishi wa mungu hakika napenda wimbo wako fremason nabalikiwa sana
@user-id1cg8ik1d
@user-id1cg8ik1d 18 дней назад
Mungu nirehemu mimi ,,niweze kukukuta mbingun
@alirashidmussa6545
@alirashidmussa6545 5 дней назад
L
@laurentbulabo5002
@laurentbulabo5002 19 дней назад
Mtumishi huyu anaifundisha iliyokweli, neno halisi la Mungu, Mungu peekee anamlinda
@Kabendera-s1w
@Kabendera-s1w 12 дней назад
Ubarikiwe mutumishi wa Mungu Tuna kufata vizuri saana
@DainesKanenile
@DainesKanenile 17 дней назад
Barikiwa Sana Mungu tuhurumie
@JacksonMakuta
@JacksonMakuta День назад
Mungu akusaidie sana na akulinde na maadui hata wanao kukashifu kwenye hizi comment Mungu awafunue sana
@SundayEugen
@SundayEugen 7 дней назад
Mtumishi wa Mungu Mungu akubariki aweke ulizi juuyako maana maaduwi niwengi unavofichuwa Siri hizo Mungu akubariki na Mungu atufikishe salama huku tuendako!
@martinahlighare6495
@martinahlighare6495 20 дней назад
Mwenyezi Mungu atusaidie tunapoishi katika hii dunia ya dhiki. Mungu azidi kukutumia ili kufanyika jicho pevu kuerevusha ulimwengu.
@OmarKhairalla-tx6sv
@OmarKhairalla-tx6sv 18 дней назад
Amen be blessed man of God
@DominicaUggy-em8vc
@DominicaUggy-em8vc 20 дней назад
Jamani! Mungu akulinde kaka angu. Nakufatilia tangu BSS 2009. Lkn Mungu amekuinua kwa namna ya ajabu sana.
@SaimonmsimbegeMwakajonga-wt6rr
@SaimonmsimbegeMwakajonga-wt6rr 19 дней назад
Kamanda wayesu hongera sana nakuelewa
@FrolaRobinson
@FrolaRobinson 20 дней назад
God bless you
@RaphaelSiwale
@RaphaelSiwale 17 дней назад
Mungu akubariki mtumishi
@emmanuellupiga
@emmanuellupiga 17 дней назад
Mpango wa ibilisi ni kutaka aabudiwe hivyo anaenda kinyume na Mungu kwa kila jambo Mungu alisema ndoa ni kati ya mwanaume na mwanamke Shetan yeye hata mme na mme wanaweza oana Mungu alisema ibaada ni siku ya saba Shetani yeye hata siku ya kwanza ya juma ni sawa tu So tuko vitani na vita ni kati ya wema na uovu ni kuchagua upande ni wapi usimame kwa Mungu au kwa shetani
@dolyjinemongare8787
@dolyjinemongare8787 8 дней назад
Nakuunga mkono hakika..maana ni watu wengi wasioweza kufasili habari za mnyama... asante MTUMISHI WA MUNGU ALIYE HAI... ALIYE NA SIKIO NA ASIKIE AMBAYO ROHO AYAMBIA MAKANISA
@user-ne1cd7oq4z
@user-ne1cd7oq4z 18 дней назад
Mungu a kubariki mtumishi wa mungu,huu ni ukweli mtupu.aliye na sikio na asikie
@nestorypesambili7341
@nestorypesambili7341 20 дней назад
Amen, ubarikiwe mtumishi wa Mungu
@angelitapaulo
@angelitapaulo 16 дней назад
Kitu cha muhimu sana kulinda moyo wako na tukiacha yale yote ya Dunia
@SikuzaniJeremiahMwasinyanga
@SikuzaniJeremiahMwasinyanga 16 дней назад
Mungu azidi kukutunza Asante Kwa ujumbe mzuri.
@jamesboka-kk9rv
@jamesboka-kk9rv 19 дней назад
twambie baba tupone🎉 Mungu azidi kukuimalisha kwa mafundisho mazuri🎉🎉
@KolestaMkamati
@KolestaMkamati 20 дней назад
Asante sana kwamahubili mazur waliompaya kristo nadhani mnselewa
@HelenaMasele-ug3hi
@HelenaMasele-ug3hi 10 дней назад
Mungu azidi kukutumia katika kutuelimisha na kutufundisha neno la Mungu
@SmilingFuchsiaFlower-jl7dg
@SmilingFuchsiaFlower-jl7dg 19 дней назад
Mungu akubariki niwachache wakuongoza ninekuelewa bro
@esterkanudachandaruah6619
@esterkanudachandaruah6619 14 дней назад
MUNGU 🙏 atusikie maombi yetu 🙏🙏maana paspo yeye sisi peke etu Hatuwezi
@user-vy1iv1ec2u
@user-vy1iv1ec2u 13 дней назад
Asante mtumishi wa Mungu. Kuhusu iyi simu ambayo lazma kila mtu awe nayo,tufanye je, ili tusiingizwe ao tusiwe kwenye système hiyo?
@user-servodeJesus
@user-servodeJesus 20 дней назад
Glória Deus!, estamos juntos servo de Jesus amém 🎉🎉🎉.
@agnesspaul1866
@agnesspaul1866 9 дней назад
Mungu atusaidie ni hatari sana hasa tysio jua kitu
@neemachaula6112
@neemachaula6112 15 дней назад
Ubarikiwe sana mt nakuelewe sana
@MeshackKayuni
@MeshackKayuni 20 дней назад
MUNGU akusaidie Mtumishi tupo pamoja
@MithuMark-eo4dc
@MithuMark-eo4dc 20 дней назад
I m desrat aria plez pray for my pepples
@bebysheni-gf1zf
@bebysheni-gf1zf 14 дней назад
Waache tu wawatume masanam inshallah washindwe na walegeee Kwa nguvu za mungu
@FelixMikao
@FelixMikao 11 дней назад
Baba tufundishi tupone asa kwa Aya tumeanguka sanaaa😭😭😭 usiache🙏🙏🙏🙏
@user-kb8wv6kg8g
@user-kb8wv6kg8g 13 дней назад
Yesu tusaidie tunaomba nguvu zako turemu huku chini ya jua,roho wako mtakatifu atufundishe,
@EdnaAdammsyani
@EdnaAdammsyani 12 дней назад
Amina mungu atusahidie maana tayari tumeshaanza kuyapitia
@user-xh6mt8xj9d
@user-xh6mt8xj9d 16 дней назад
Mjue Allah msitukufurishe mnaona mmetufikisha hapa tulipo mnampenda mdomoni lakini moyoni mwenu hamnae mnawapoteza hata waliowalokole
@weremamediaproduction8583
@weremamediaproduction8583 16 дней назад
Hongera sana mtumishi wa Mungu
@ShukraniChomolla
@ShukraniChomolla 20 дней назад
Eeee Yesu shuka upesi utuone waja wako tunapotea😢
@SiLVIARAJAB
@SiLVIARAJAB 6 дней назад
Kiukweli twapaswa kulisoma neno na sio kusomewa wengi wao tunapenda kuaminishwa miujiza kuliko kufuata njia ya kweli na uzima
@elishampoki8751
@elishampoki8751 20 дней назад
Mtumishi hiyo kitu nimeona , Mungu hataacha kuwafunulia sili wateule wake, hiyo,unachokisema nisahihi,kabisa,
@John.F.lazaro
@John.F.lazaro 14 дней назад
Mungu akubariki sana mtumishi 🙏🙏🙏
@user-ef7pn5wt7g
@user-ef7pn5wt7g 20 дней назад
Mungu akulinde❤
@ZachariaGidion
@ZachariaGidion 14 дней назад
Amen begakwabega mtumish wa mungu❤
@user-eq9pw6cu5e
@user-eq9pw6cu5e 13 дней назад
Luka urukavyo Ufunuo 1:16-20 Yesu alikuwa na kinara na kinara kina vinara saba na juu ya kinara nyota saba, vinara ni makanisa na Nyota ni malaika kwa hiyo Bwana Yesu Kristo kwenye mkono ambayo ni mamlaka yake ana malaika saba ambao ndio Yesu aliwatuma ndio macho ya Mungu waonaji Manabii kwa kila wakati. Ufunuo 5:6 ndio waliotumwa Dunia huu ndio wakati wa mwisho kanisa la Laodikia kila mtu ni mjuaji ni ngumu Mungu kuwasaidia 3:17 ni vipofu uchi kanisa lina kelele nyingi. Lakini Mungu alisema Malaika wa saba (mjumbe) Ndio ATAFUNUA Ufunuo 10:7 nje ya Hapo unaswa ila ujui kama umenaswa mnyama waliwadanganya wakubwa kwa wadogo, Tajiri na maskini. itakuwa kama kuja kwa kwanza Yesu Kristo alivyo wakuta Mathayo 23:1_34Je hao hawakuwa wahubiri na viongozi wa dini je walimkubali Yohana Mbatizaji, je Walimkubali Bwana Yesu Kristo.
@vivianalute644
@vivianalute644 20 дней назад
Mungu MUNGU akubariki sana
@mtemikana6714
@mtemikana6714 17 дней назад
Ubarikiwe mutumishi wa Mungu
@ErnestSaileni
@ErnestSaileni 13 дней назад
Mungu akubaliki mtumishi wa mungu
@gwamakamwakalonge
@gwamakamwakalonge 16 дней назад
Kaza buti mwanaumeeeeeee tuko pamoja nawewe kumsujudu mwanaume yesu
@DamilesMichael
@DamilesMichael 13 дней назад
Unatafta kiki kwa nguvu, na ungekua umesoma ww ungetusumbua sana mi nashukuru sana hujui kuandika
@user-cr1sj8xw9x
@user-cr1sj8xw9x 12 дней назад
Mungu akusaidia injiri hi ni Adimu Sana miaka hii
@MakaliusNgua-vb5sb
@MakaliusNgua-vb5sb 20 дней назад
Hapo yatupasa tuinue macho yetu kwa kristo ndiye msaada pekee
@user-kx4wd5vb4j
@user-kx4wd5vb4j 18 дней назад
Kama sisi ni viumbe wa Mungu na tumeubwa na Mungu hatutaweza kuweka hofu juu ya maroboti maana tunajua kua Mungu alietuumba ndie anaetuongoza juu ya rizki zetu.
@janetmwendwa3093
@janetmwendwa3093 14 дней назад
Kweli kabisa mtumishi toboa Siri na Mungu akulinde amen
@user-dn2zs3fx1u
@user-dn2zs3fx1u 14 дней назад
Ubarikiwe mtujmishi wa Mungu
@ruthmuja7792
@ruthmuja7792 20 дней назад
Mungu Atusaidie sana
@gasparlubaga5866
@gasparlubaga5866 20 дней назад
Mungu akutie nguvu mtumishi wa Mungu
@user-wi8og3sv4j
@user-wi8og3sv4j 20 дней назад
Hata baideni hana tofauti na robotic inayokontroliwa
@PeterMahona-zd3oz
@PeterMahona-zd3oz 20 дней назад
Mungu anisaidie mtumishi
@EricMurhula
@EricMurhula 19 дней назад
Mungu aku jaze upako papa
@FrankiAndrew
@FrankiAndrew 20 дней назад
Amina Amina Amina
Далее
Угадай МОБА 1 🥵 | WICSUR #shorts
01:00
Просмотров 389 тыс.
Dhambi mpya  Hiihapa :  Mch Abiud Misholi
34:25
Просмотров 64 тыс.
MACHAWI ALIYE ACHA UCHAWI NA KUA MCHUNGAJI PART 2
32:24
20 июля 2024 г.
0:11
Просмотров 2,5 млн
БАБУШКИН КОМПОТ В СОЛО
0:19
Просмотров 12 млн