Тёмный

DUANE KEFFE D DAVIS: Ukweli wa kusisimua wa MAFIA na SHAHIDI pekee anayemjua MUUAJI wa TUPAC SHAKUR 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 55 тыс.
50% 1

Tembelea www.sns.co.tz kwa habari nyingi zaidi
Subscribe kwenye channel yetu ya WhatsApp
whatsapp.com/channel/0029Va84...
Follow kurasa zetu za mitandao ya kijamii:
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti

Опубликовано:

 

21 ноя 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 96   
@claudekabonga6150
@claudekabonga6150 7 месяцев назад
Mimi ningependa utupatie story ya mwanadada SARAFINA wa SOUTH AFRICA
@OmarMohamed-xb7dr
@OmarMohamed-xb7dr 4 месяца назад
Hi❤❤
@fiston-asifiwe
@fiston-asifiwe 7 месяцев назад
Mungu amlaze mahali pema 🙏
@salimtabu4703
@salimtabu4703 7 месяцев назад
Kuna kitu kinamtafuna huyu damu ya MTU aiendi salama Rest in peace maniga PAC
@lughainstitute8627
@lughainstitute8627 7 месяцев назад
You're absolutely talented
@malickkasuga4805
@malickkasuga4805 7 месяцев назад
Simulizi nzuri sanaa kongole ndugu mtangazajii
@mancholotrasco8350
@mancholotrasco8350 7 месяцев назад
Save my comment y'all... Keef D atakufa kabla hata ya kesi haijaanza kusikilizwa watasema amekufa Kwa ugonjwa wake wa saratan ya tumbo iliyokiwa ikimsumbua mda mwingi na hiyo ndio itakuwa mwisho wa habari wankesinya Tupac... Atauliwa akiwa jela just kuficha watu husika .. Leo try 23/11/2023 keep it
@hassanngayaga3202
@hassanngayaga3202 7 месяцев назад
Kweli kaka nakubaliana nawewe kabisa
@Sasha-xl9th
@Sasha-xl9th 7 месяцев назад
Kama alivyouwawa the guy aloshuhudia na badae akafa yule alopiga risasi..... nasave comment yako
@princekarani7836
@princekarani7836 7 месяцев назад
Iyo 100% ni kweli,ndilo litakalofanyika.Na iyo kesi ilifichwa tu coz watu walishatoa pesa tu.Hapo akina Diddy watafanya kitu kumpoteza jamaa
@mtambogeof5648
@mtambogeof5648 7 месяцев назад
Hakika ya unayosem
@stephanomoses7694
@stephanomoses7694 7 месяцев назад
Nakubali
@stevenmeshack467
@stevenmeshack467 7 месяцев назад
Mm naona uyuu jamaa kama asemi nani kumuwa pac wemuhue uyuu jamaa
@ismailkasim7960
@ismailkasim7960 7 месяцев назад
Nomaa
@sonnyr1899
@sonnyr1899 7 месяцев назад
Kabla sijasikiliza kwanza na like na kisha na share Alafu nakoment. Sauti Ya chuma mwenyewe Mze Sky Woka a.k.a Sky King
@issanaseeb7699
@issanaseeb7699 7 месяцев назад
Legend Never Die👊
@luendosabah2047
@luendosabah2047 7 месяцев назад
Nishida awa weusi niwajinga sanaaa,lazier yakuwuwana tu!!!
@alexander19077
@alexander19077 7 месяцев назад
Continue to R.I.P Tupac
@chany9950
@chany9950 7 месяцев назад
Sky👍🏽👍🏽👍🏽🇧🇮
@kenmumo690
@kenmumo690 7 месяцев назад
Pac lives on for ever
@rajabdibwa6415
@rajabdibwa6415 7 месяцев назад
Visasi lakini hakuna suluhisho! Hii kesi itazunguka hapo hapo hakuna atakaepatikana na hatia
@sonnyr1899
@sonnyr1899 7 месяцев назад
Kesi Ya 2Pac ina siri nyingi maana hata serekali ya marekani pia ilikua inamuona tupak kama tishio haswa kutokana na ushawishi ulio kuwa ukizidi kukuwa katika ya wetu weusi ni kama msala ulio mtokea Malcom X na nation of islam ndio walitumiwa kummaliza ndugu yao.
@hassanbakari4525
@hassanbakari4525 7 месяцев назад
MUUAJI ANAKUWA ANAJULIKANA SEMA WATU HAWANA USHAHIDI....WATU HAWATAK KUONGEA BILA USHAHIDI,,,NA HAKUNA MAJIBU MPAKA KIAMA
@princekarani7836
@princekarani7836 7 месяцев назад
Sio kweli kwenye iyo kesi kuna watu walilipwa pesa kwa maafisa wa serikali ya marekani ili muuaji asikamatwe,ivi kweli FBI wa marekani washindwe kumkamata mtuhumiwa wa mauaji kama ya Tupac artist mkubwa ivyo
@hassanbakari4525
@hassanbakari4525 7 месяцев назад
@@princekarani7836 HATA WAKIJULIKANA WATAKAA KWA MDA KISHA WATAACHIWA...NI KESI AMBAYO HAINA USHAHIDI,,WATU WANATAKA USHAHIDI.
@mackjr5291
@mackjr5291 7 месяцев назад
Technology ilikuwa haiko kubwa kama sasa
@ursulinenyandindi3051
@ursulinenyandindi3051 7 месяцев назад
pesa itakufanya usikamatwe. Ukiwa choka mbaya unazolewa fasta
@majaliwaomary7171
@majaliwaomary7171 7 месяцев назад
Gemini we live forever
@ericmiles2036
@ericmiles2036 7 месяцев назад
@Brunotarimo10
@Brunotarimo10 24 дня назад
Mnatisha sky sns
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 7 месяцев назад
👊✌🙏.
@faridamohammad004
@faridamohammad004 7 месяцев назад
I'd say he's guilty..periiooddtt!
@RoseMary-sw2ec
@RoseMary-sw2ec 7 месяцев назад
Yn hay mauwaj yan sinto faham nying sn yn kuna wanaosema serikal, wengne magenge ya wahun kuna wanaosema ni illuminati yn haijulkn daaah😢😢all in all rip makaveli🙏
@KilakaMaboti
@KilakaMaboti 2 месяца назад
Inasikitisha sana kifo tupac
@zclassicfashionz1573
@zclassicfashionz1573 3 месяца назад
Dah! Hii ni muhim sana
@issacalley5145
@issacalley5145 7 месяцев назад
2pac Alikuwa ni Muhuni Alipaswa KUFA in Any Cost hizo Ndio Street Tie's in US All Gangstar Must Die..King Von alikuwa muuaji Nae Akafa Pia Damu Uifuata Damu..You Can't Run
@fajosangale8728
@fajosangale8728 7 месяцев назад
Bro #FredrickBundala, si ungetumia neno mjomba kuliko Mpwa , Umetuchanganya sana huku 🇰🇪🇰🇪😅😅
@aloycekomba1
@aloycekomba1 7 месяцев назад
Nephew ni mpwa na uncle ni mjomba usichanganyikiwe mkenya
@sevystaronedancer1785
@sevystaronedancer1785 7 месяцев назад
Duuuh inaumiza sana
@AliAbdulla-xq8vr
@AliAbdulla-xq8vr 7 месяцев назад
Makaveli
@FurahaNgomango-zr3bz
@FurahaNgomango-zr3bz 6 месяцев назад
Bundala nakuelewa sana kaka
@beatbyrich2891
@beatbyrich2891 7 месяцев назад
Keffe D hakuwa Mafia, Keffe D ni Gang member kutoka South Side Compton Crips. Hakuna Mafia Los Angeles kuna gangs katika set zote.
@user-qy6nm2vh6l
@user-qy6nm2vh6l 5 месяцев назад
I wanna know who was recorded a video during the killing of 2pac
@kennohg6152
@kennohg6152 7 месяцев назад
Tupac still alive seen him in Cuba
@dianajohnson7268
@dianajohnson7268 7 месяцев назад
🙄🙄
@faumahona5769
@faumahona5769 7 месяцев назад
Propaganda
@mtimti3912
@mtimti3912 6 месяцев назад
YOU are very right @@faumahona5769
@mdbosco1640
@mdbosco1640 7 месяцев назад
🥰🇧🇮
@stevenmeshack467
@stevenmeshack467 7 месяцев назад
Wamchome sindano ya sumu
@user-jg3ek6ot3u
@user-jg3ek6ot3u 7 месяцев назад
Nani alipiga picha few mns kabla ajaondoa gari???
@musakaphu4581
@musakaphu4581 7 месяцев назад
Camera zipo kwenye traffic kitambo sana sema wako mbele saana ki technology
@rubenprince8990
@rubenprince8990 7 месяцев назад
​@@musakaphu4581umeongea kweli huku kwa wazungu camera ziko kila sehemu tangu zamani
@officialnadoboytz1005
@officialnadoboytz1005 7 месяцев назад
Huwa wanabadilisha tu new system but zipo kitamboo 😂
@raulmagige2698
@raulmagige2698 3 месяца назад
​@@officialnadoboytz1005camera gani sasa mpaka Leo hamjui muuaaji maanake wanamjua sasa serekali
@officialnadoboytz1005
@officialnadoboytz1005 3 месяца назад
@@raulmagige2698 Wanakosaje Kumjua 😂😂😂
@eizerbitz6715
@eizerbitz6715 7 месяцев назад
Hii ishu bado kubwa sana. Very complicated
@swazi-bmzwabusarawysd8083
@swazi-bmzwabusarawysd8083 7 месяцев назад
One love 2 pac Shakur
@gilbertkalanda9354
@gilbertkalanda9354 7 месяцев назад
Pumzika Mwamba , 2Pac , dunia haina haki, Haki yako utaipata kwa Mungu, by the way haitasaidia kitu maana familia yako(2pac) pia ilisha perish. Pumzika Mwamba.
@ibrahimbashirkivina6929
@ibrahimbashirkivina6929 7 месяцев назад
Diddy is murder
@KilakaMaboti
@KilakaMaboti 2 месяца назад
Keefee d anajua ukwer wote
@saleh9997
@saleh9997 7 месяцев назад
R.I.P Tupac leteni makala ya mcheza mieleka aliyefariki ulingoni mwaka 1999
@praxedantale7817
@praxedantale7817 7 месяцев назад
Iyo tayali walishaiweka angalia utaikuta
@brunoh_bx
@brunoh_bx 7 месяцев назад
​Share link yake
@KichuyaMaja-qq5zn
@KichuyaMaja-qq5zn 7 месяцев назад
Kwetu angesema mwenyewe 🇹🇿
@umojamedia4167
@umojamedia4167 7 месяцев назад
Angepigwa spana ad aseme😊
@user-yv1if8ii8v
@user-yv1if8ii8v 7 месяцев назад
Kama yupo hai basi babu tupac rudi
@PesaMadafu
@PesaMadafu 7 месяцев назад
Nooo when left the the area . He saw an Orlando he approach him and started punching him and his crews jumped him . Orlando was keefe nephew and after they beat him up they left in car that’s how the story should started. Don’t 2 pac like he didn’t start some shit .
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 7 месяцев назад
Hao ndio wamarekani sasa
@user-cz2co3bc3g
@user-cz2co3bc3g 7 месяцев назад
Apig😂 loba
@user-bc3xw4bh5d
@user-bc3xw4bh5d 7 месяцев назад
Story ndefu Sana inachosha Tupe story fupi yenye ujumbe Kamili muda hautoshi kuangalia video moja zaidi ya dakika 10
@elisafimbwambo7141
@elisafimbwambo7141 7 месяцев назад
Makala hiyo
@aminmohammed4249
@aminmohammed4249 7 месяцев назад
Tuletee na ya BIG please
@eizerbitz6715
@eizerbitz6715 7 месяцев назад
Kwanini amejitokeza na hataki kuweka wazi ukweli?
@user-ni8bw1ps9t
@user-ni8bw1ps9t 7 месяцев назад
Diddy anatafutwa hapa
@user-kg7of9fr5x
@user-kg7of9fr5x 7 месяцев назад
Huyo ndio muuaji ndio maana anapiga chenga
@gilbertkalanda9354
@gilbertkalanda9354 7 месяцев назад
Mafia anaona time go, anafanya ungamo kiaina
@boncenagottalent
@boncenagottalent 6 месяцев назад
UNYAGO EP 06 ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-SKLze9VYuQM.htmlsi=YxaWFqmbqgsBrEZI
@jeturdasimon4851
@jeturdasimon4851 7 месяцев назад
Sasa kwanza mtu mwenyewe ni marehemu mtalajiwa siwambane tu atasema
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 7 месяцев назад
Ingekua bongo kesi ishafutwa zamaaani
@AbubakarHabibu-hp2ku
@AbubakarHabibu-hp2ku 7 месяцев назад
Kama amepatikan bas auwawe yeye na wenzake
@mbwizax87
@mbwizax87 7 месяцев назад
Waliokuwa kwenye gari wote walishakufa kasoro huyu
@bukuruyassini
@bukuruyassini 7 месяцев назад
2pac si mzungu ndoman kesi yak imekaa myaka na myak
@pesaspy_tv
@pesaspy_tv 7 месяцев назад
Huyu jamaa kama risasi ya kwanza inatoka kwa nini asingeikimbiza gari huyu Suge knight anajua chanzo cha kifo
@ms_teeonly
@ms_teeonly 7 месяцев назад
Kabisa😢
@Oldskulgemini9991
@Oldskulgemini9991 7 месяцев назад
Walikuwa kwenye mataa
@felisteronesmo3091
@felisteronesmo3091 7 месяцев назад
Jina kubwa upeo kindude, @Oldskul... Emergency Haina mataa, alert yoyote unaruhusiwa kuchukua hatua zakiusalama .
@elchapojr638
@elchapojr638 7 месяцев назад
I think mm ni miongoni mwa wanaoamni kuwa jamaa yupo hai
@farajiissa560
@farajiissa560 7 месяцев назад
Mwamba akiminywa pumbu atasema tu
@stanslauschatata3483
@stanslauschatata3483 7 месяцев назад
tena watumie prize
@naftaribulenya5847
@naftaribulenya5847 7 месяцев назад
😂
Далее
Спецэффекты в Симс 4
00:36
Просмотров 279 тыс.
Mike Tyson - All Knockouts of the Legend
38:39
Просмотров 169 млн
Спецэффекты в Симс 4
00:36
Просмотров 279 тыс.