Тёмный

KAPTENI IBRAHIM TRAORÉ: Mwanajeshi Mtata na RAIS wa mpito wa BURKINA FASO aliyempindua BOSI wake 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 599 тыс.
50% 1

Follow kurasa zetu za mitandao ya kijamii:
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti

Опубликовано:

 

31 июл 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 683   
@khadijambuya794
@khadijambuya794 11 месяцев назад
Huyu kaka kma gadaffi mwenyezi mungu akuzidishie afya na nguvu ktk taifa lako na Africa 🌍
@EZEKIELHAKI
@EZEKIELHAKI 10 месяцев назад
Nina ujumbe wako president wa Burkina Faso, Ezra 10:4.Mungu wa mbinguni akuongoze
@KADALAtv255
@KADALAtv255 16 дней назад
I love this this man may God protect Him and help Him to achiieve His goals for the benefits of Hi Nation Burkinafaso🥰🥰🥰🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@tanzania_001
@tanzania_001 11 месяцев назад
Mtazamo wangu ni kuhusiana Na vijana wa kitanzania mkienda jeshini muende kwaajili ya nchi yenu cio kwaajili ya wanasiasa Na vyama vyao full stop
@GitariroBujenia
@GitariroBujenia 11 месяцев назад
Bila shaka wew ni miongoni mwawatu wenye walio pigwa vita na traore
@adamapollo9859
@adamapollo9859 11 месяцев назад
Safi sana ndo kama hivi ichi inaborongwa wako kimya 😂😂
@lilianeerica3318
@lilianeerica3318 11 месяцев назад
​@@GitariroBujenia😂😂😂😂😂
@freenaturetv
@freenaturetv 11 месяцев назад
JINSI YA KUMFANYA MPENZI WAKO AKOJOE AFIKE KILELENI
@bboypezo4773
@bboypezo4773 9 месяцев назад
Ni kweli Broo
@husseinhemedi9314
@husseinhemedi9314 2 месяца назад
Hii habari nairudia kila mara kwasababu anaesimulia na anae simuliwa wote Big up
@OmaryMwacha
@OmaryMwacha 2 месяца назад
We kibaraka utatawake upowapi sasa
@ayshaothman3995
@ayshaothman3995 Месяц назад
​@@OmaryMwacha😂😂😂
@Farajahelene23031
@Farajahelene23031 11 месяцев назад
ibraham is young handsome black presindent in africa we are proud of him we super hero keeep going we love him
@karoltunduli107
@karoltunduli107 11 месяцев назад
Not yet a hero .. a hero who sells tou to Russia is another entity into slavery .
@freenaturetv
@freenaturetv 11 месяцев назад
JINSI YA KUMFANYA MPENZI WAKO AKOJOE AFIKE KILELENI
@DeBoy-oy2jg
@DeBoy-oy2jg 2 месяца назад
Acha comment za kishoga shoga ,mpumbavu mmoja wewe
@FaiqKhamis
@FaiqKhamis Месяц назад
Kojowa weye cc tunatafuta maisha pumbavu wewe
@sonnyr1899
@sonnyr1899 11 месяцев назад
Roho Ya Thomas Sankara imerejea ulimwenguni kupitiya huyu kijana.
@marwagabrielmwita4947
@marwagabrielmwita4947 11 месяцев назад
Napenda sana Tanzania kwa upekuzi na habari tendeti ....Kenya tuko na comedian tu
@erickkimambo6434
@erickkimambo6434 11 месяцев назад
Mm kwa upande wangu nime kubali kuwa Ibrahim ni kiongozi mjasiri ila nina wasiwasi Mwaka juzi tu hapa tulikua na rais wetu tuliye mpenda sana na aka uwawa Tukadanganywa eti ni moyo na huyu nae ni simba ila awe makini sana awatizame sana hawa walioko nyuma yake Hata magufuli alidondoshwa watu wake wa karibu
@emmanuelmlowe-ew7gx
@emmanuelmlowe-ew7gx 9 месяцев назад
Siyo watu wake wakaribu ila cadema walishirikiana nawale wa makinikia yaani mabeberu
@emmanuelmlowe-ew7gx
@emmanuelmlowe-ew7gx 9 месяцев назад
Chadema wala cy wengine
@AbubakarKibenga
@AbubakarKibenga 4 месяца назад
Jamaa analindwa na urusi
@femidayahaya4882
@femidayahaya4882 2 месяца назад
​@@AbubakarKibenga Bora iwe hvyo asee
@jamesnkumbila5937
@jamesnkumbila5937 11 месяцев назад
Sky tunawapenda sana ...keep pushing 😊❤🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@Supershopdubai-ck8td
@Supershopdubai-ck8td 11 месяцев назад
Kbs nimefulahii kwaiyimakala kiukweli umenigusa pabaya from 🇧🇮🇧🇮 nawapendasan gonga 👊👊 tujuan❤❤
@mughishajohn3287
@mughishajohn3287 11 месяцев назад
👊👊👊
@missmwayway4704
@missmwayway4704 11 месяцев назад
M/mungu azidi kumpa Afya njema na maisha marefu na Uzima na nguvu Katika kulitumikia Taifa lake 🤲🤲🤲🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@simontamba2189
@simontamba2189 11 месяцев назад
Tuko pamoja tunawapenda viongozi wazalendo
@missmwayway4704
@missmwayway4704 11 месяцев назад
@@simontamba2189 yeah
@fadhumohassan2566
@fadhumohassan2566 11 месяцев назад
@DeBoy-oy2jg
@DeBoy-oy2jg 2 месяца назад
Aamin yarabbil'alamin
@mamawamireille4872
@mamawamireille4872 2 месяца назад
Ameen
@rockycity7213
@rockycity7213 11 месяцев назад
Mwandishi na msomaji wote mko vzuri sana pongezzzi 👏👏🌿🌸🌷🥀
@naimaabdu8012
@naimaabdu8012 11 месяцев назад
Ibrahim Traore is the incarnation of The late Thomas Sankara. Bravo brother.
@emmanuelmlowe-ew7gx
@emmanuelmlowe-ew7gx 11 месяцев назад
sasa dunia ione ukweli kwamba Ufaransa inaishi kwasababu ya mali zaafriKa. sasa hataki kutoka Niger. mirija ya kunyonyea Afrika inakatwa.
@freenaturetv
@freenaturetv 11 месяцев назад
JINSI YA KUMFANYA MPENZI WAKO AKOJOE AFIKE KILELENI
@SefuAthuman-zw2bz
@SefuAthuman-zw2bz 5 месяцев назад
@SalamaNauthary-ip4iy
@SalamaNauthary-ip4iy 11 месяцев назад
Mtoto mdogo maskin' ALLAH nami naomba unijaalie watoto wenye Akili kama huyu 🤲
@twahasuleiman-lo9vl
@twahasuleiman-lo9vl 11 месяцев назад
Mashallah
@user-md9iy9qn1k
@user-md9iy9qn1k 11 месяцев назад
Akili za uuwaji hizo bwana omba Allah akupe watoto wenye elimu ya dini sio politic
@adkajisi4536
@adkajisi4536 11 месяцев назад
@@user-md9iy9qn1k Elimu zote ni muhimu ukikosa kimoja bado ni Tatizo
@makhanguwakhutu2408
@makhanguwakhutu2408 11 месяцев назад
aamin hyo duaa zangu pia
@abelchacha5977
@abelchacha5977 11 месяцев назад
Hii ni sadaka. Mambo ni mengi atazonngwa sana mumgu amlinde.
@NdayishimiyePhilippe-tp3or
@NdayishimiyePhilippe-tp3or Месяц назад
Namupenda TORAOR KARIBU BURUNDI ❤❤❤❤❤❤
@Junior-ct1cx
@Junior-ct1cx Месяц назад
Wow
@abelnyalusi1256
@abelnyalusi1256 11 месяцев назад
Bravo brother Ibrahim Traole The Hero of Africa. He is incarnation of late President Thomas Sankara.
@freenaturetv
@freenaturetv 11 месяцев назад
JINSI YA KUMFANYA MPENZI WAKO AKOJOE AFIKE KILELENI
@didacensengiyumva9916
@didacensengiyumva9916 11 месяцев назад
Mungu amupe nguvu za kuongonza na kufikisha mbali wanainchi wake na sisi watoto sote wa Afrika!
@emmanuelmlowe-ew7gx
@emmanuelmlowe-ew7gx 11 месяцев назад
sasa dunia ione ukweli kwamba Ufaransa inaishi kwasababu ya mali zaafriKa. sasa hataki kutoka Niger. mirija ya kunyonyea Afrika inakatwa.
@freenaturetv
@freenaturetv 11 месяцев назад
JINSI YA KUMFANYA MPENZI WAKO AKOJOE AFIKE KILELENI
@aishaothman782
@aishaothman782 9 месяцев назад
​@@freenaturetvacha ufala wenzio wanawaza maendeleo wefanya ujinga
@aishaothman782
@aishaothman782 9 месяцев назад
@aishaothman782
@aishaothman782 9 месяцев назад
​😢😢😢
@afandechanel1507
@afandechanel1507 11 месяцев назад
Mungu tuna kuomba utuletee na sisi Magufuli Mwingine Amennnn
@GeofreyJones-le3gs
@GeofreyJones-le3gs 11 месяцев назад
Akika
@amirimbago8325
@amirimbago8325 11 месяцев назад
KWANI YULE NILOWALETEA MUMEMPELEKA WAPI...??? NAHUYU MNAE MTAKA NIKIWAPA MTAMUWEKA WAPI...???
@user-qs7lj7kj1k
@user-qs7lj7kj1k 11 месяцев назад
​@@amirimbago8325🤣🤣🤣🤣🤣
@hendricaoduba6028
@hendricaoduba6028 11 месяцев назад
​@@amirimbago8325😂😂😂
@hafsahussein8824
@hafsahussein8824 11 месяцев назад
@@amirimbago8325 🤣🤣🤣🤣🤣
@festuskathuki8229
@festuskathuki8229 10 месяцев назад
My agemate and here am just cabagging, big up my age mate Triore... we support you from Kenya!!!!
@gesigaaamohamed3129
@gesigaaamohamed3129 3 месяца назад
We endelea kula jaba
@sonnyr1899
@sonnyr1899 11 месяцев назад
Sauti yako inafiti sana kwenye hizi makala brother. Nakuona mbali sana ktk kutangaza mambo ya Nature stori za wanyama. Sauti nzito Alafu matamshi yako ya kiswahili ni safi sana.
@asiliyetuonlinetv5063
@asiliyetuonlinetv5063 11 месяцев назад
Sky ni level nyingene kabisa kwenye mambo haya ,namkubari tangu anafanya SINTASAHAU ya radio free enzi hizo🔥🔥
@AshaMakame-zg9xi
@AshaMakame-zg9xi 11 месяцев назад
Kweli yaani km mswahili wa mjini alojifunza na akafaulu vizuri #sky
@user-yr4nx5kq6d
@user-yr4nx5kq6d 11 месяцев назад
Kipindi cha wanyama😅😅😅
@godfreybahitwa4798
@godfreybahitwa4798 11 месяцев назад
​@@user-yr4nx5kq6d😅😅😅😅 We jamaa bhana
@thierrybisimwa3312
@thierrybisimwa3312 11 месяцев назад
Makala naikubali ila ambiya waafrica ukweli wote, wa France ndiyo shida wame pora izi inchi nakuuwa viongozi wazuri wote. Africa tusimame pamoja nakupinga wazungu na izi mbinuzao. I love that young brave man and Russia for thier kind contribution to our freedom.
@Mpakauseme
@Mpakauseme 11 месяцев назад
Huo ndio upumbavu wa mwafrika shida si mfaransa shida ni waafrika wenyewe waliotwa majukumu kuongoza pahala fulani au nchi fulani na hiyo ndio shida wala si mzungu wala baniani, . Huyo dogo sasa kajitoa na ana akili kweli kweli nafikra tofauti na waafrika wengine
@freenaturetv
@freenaturetv 11 месяцев назад
JINSI YA KUMFANYA MPENZI WAKO AKOJOE AFIKE KILELENI
@linusdavis9072
@linusdavis9072 11 месяцев назад
God give us leaders like this one in the whole of African God bless Traore Gob bless Africa
@freenaturetv
@freenaturetv 11 месяцев назад
JINSI YA KUMFANYA MPENZI WAKO AKOJOE AFIKE KILELENI
@DeBoy-oy2jg
@DeBoy-oy2jg 2 месяца назад
Aamin
@makhanguwakhutu2408
@makhanguwakhutu2408 11 месяцев назад
afrika inahitaji wanaume jasiri kama hawa ndani jeshi
@blardymunggas6884
@blardymunggas6884 11 месяцев назад
BLACK PATHER IS BACK💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻 Kaptain Ibrahim will save and unite all of Africa🙏🏻💪🏻💪🏻💪🏻
@africanmandetraveler2847
@africanmandetraveler2847 11 месяцев назад
The spirit of Thomas Sankara is with young Solder Ibrahim Traore
@RashidMuhunzi-pr5xj
@RashidMuhunzi-pr5xj Месяц назад
TRAORE yupo juu SANA, MR,IBU PIGA KAZI BABAAA!! AFRIKA TUNAJIVUNIA!!.
@realbeda2880
@realbeda2880 11 месяцев назад
Sauti iko vyema sana stori nzuri yenye kuwafunza viongozi wetu wasijisahau nafasi walizoaminiwa na wananchi
@freenaturetv
@freenaturetv 11 месяцев назад
JINSI YA KUMFANYA MPENZI WAKO AKOJOE AFIKE KILELENI
@jayreign5155
@jayreign5155 11 месяцев назад
Am proud to be an African... I can feel and hear the voice of the late Cptn Thomas Sankara in this region.Bravo Zulu President Ibrahim Traore. 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
@buharimwanga284
@buharimwanga284 11 месяцев назад
Sankara reincarnation #Sankara again.
@richimuniko3578
@richimuniko3578 11 месяцев назад
Viongozi wa CCM Sasa mjifunze kupitia hili Somo maana mnatuburuza nchi imeganda tunamkumbuka Jpm.
@karoltunduli107
@karoltunduli107 11 месяцев назад
There is nothing to be proud of if we are still hooked on Russia we need a free Africa state without puppets 😊
@HeneryMsingi-mf5qh
@HeneryMsingi-mf5qh 11 месяцев назад
​@@richimuniko3578lk
@MartinWanyama-ej8ei
@MartinWanyama-ej8ei 11 месяцев назад
​@buharimwanga284
@masumbukoaugustin5327
@masumbukoaugustin5327 2 месяца назад
Traore kapteni Ibrahim ni mwanaume.mwanajeshi suja.mungu akubariki sana
@mananzizaabdul2689
@mananzizaabdul2689 11 месяцев назад
My brother ibrahim assalam alaikum warahmatullah wabarakatuh..i really really appreciate for what you doing ..you are our heroes doesn't mean am not from burkina faso but am from African i always cry of joy when i see you on the TV..may Allah make me to meet one day..we really proud to find you in our africa..
@blardymunggas6884
@blardymunggas6884 11 месяцев назад
BLACK PATHER HAS REINCARNATED. AFRICA HAS HOPE NOW. HALLELUJAH, ALLAHUAKBAR🎉🎉
@ZeraGeofrey
@ZeraGeofrey 11 месяцев назад
Another Sankara
@freenaturetv
@freenaturetv 11 месяцев назад
JINSI YA KUMFANYA MPENZI WAKO AKOJOE AFIKE KILELENI
@francisshimbala1629
@francisshimbala1629 11 месяцев назад
Best wishes to 🇧🇫 is a new rise 🙌✨️
@user-zs7zn1kk4r
@user-zs7zn1kk4r 11 месяцев назад
VIVA VIVA VIVA VIVA VIVA VIVA MR TRAORE.....MAY GOD GUIDE N PROTECT U EVER ...AM PROUD TO B AN AFRICA much ❤❤❤❤❤❤❤❤from KENYA
@MkenyaN
@MkenyaN 11 месяцев назад
Simulizi nzuri sana. Hongera sana Sky!
@ibinnassor
@ibinnassor 11 месяцев назад
Nilikua naisubir sana hii taarifa, thanks SNS
@husseinismail7333
@husseinismail7333 11 месяцев назад
Mnaoshabikia mapinduzi kama haya yatokee tz, napenda mkumbuke yaliyotokea sieraleon wakati wamapinduzi ya kijana mdogo valentine stresser, au samwuel doe wa Liberia! Mapinduzi hayo yalileta Tija gani ktk nchi hizo, zaidi ya mateso maishamagumu na mauaji ya raia? Mnayoyashabikia manayaelewa au ni chuki za kijinga?
@musicworldwide2625
@musicworldwide2625 11 месяцев назад
Thomas sankala is live ONE AFRICA 🌍 ITS TIME TO UNIT
@wemamtundu7906
@wemamtundu7906 11 месяцев назад
Nchi sizo penda uchawa kwa ajili ya wachache moja ni Urusi. Mimi nampenda sana Putin hapendi ujinga
@victorvancharlz9125
@victorvancharlz9125 11 месяцев назад
Putin anataka wazungu wenzie wakose kabisa nguvu kwa kua wanaiba mali za africa na kukuza uchumi wao. Kwa hiyo mwamba anataka kuwabinya haswa wakose kiburi
@msangodiesel3132
@msangodiesel3132 11 месяцев назад
Putin anabeba kijiji huko wazungu hawali Africa ipo na mrusi na china
@goodluckmsoka3660
@goodluckmsoka3660 11 месяцев назад
Nidhamu ya Urusi na China kunyonya Afrika huo ndio ukweli hakuna Atakaye kusaidia bila faida
@user-md9iy9qn1k
@user-md9iy9qn1k 11 месяцев назад
Politic hiyo kesho vita njo mtajua maana ya white peoples na maana ya American 🇺🇸 subirieni mtajua moja na iyo Russia 🇷🇺 vita ya Ukraine 🇺🇦 imemshinda anakimbilia africa kwan liini Russia 🇷🇺 kuiunga mkono africa
@sabraham5308
@sabraham5308 11 месяцев назад
Mnafurahia hatari,Afrika inaingizwa katika vita na Wagner kwa kuiba madini ya Afrika,vita ya Sudan,Niger nakadhalika yote ni mazao Wagner,Afrika itakuja juta kwa kuwakaribisha Wagner,hicho ni kikundi cha majambazi,ambacho Putin aliyekiunda na prigozin kimemshinda,kikundi hichi kiliundwa na wafungwa,kwa mfano mtanzania aliyeuwawa vitani,kule ukraine,aliyekuwa akitumikia kifungo cha maisha k wa kosa la kukamatwa na madawa ya kulevya,mnapokua mnaandika habari,jaribuni sana kuwaelekeza wasomaji katika uhalisia,tusijenge kizazi cha kupotosha na kuwashindilia propaganda za uwongo,hii itapelekea kuwa na jamii isiyojifahamu.
@sabraham5308
@sabraham5308 11 месяцев назад
Mnafurahia hatari,Afrika inaingizwa katika vita na Wagner kwa kuiba madini ya Afrika,vita ya Sudan,Niger nakadhalika yote ni mazao Wagner,Afrika itakuja juta kwa kuwakaribisha Wagner,hicho ni kikundi cha majambazi,ambacho Putin aliyekiunda na prigozin kimemshinda,kikundi hichi kiliundwa na wafungwa,kwa mfano mtanzania aliyeuwawa vitani,kule ukraine,aliyekuwa akitumikia kifungo cha maisha k wa kosa la kukamatwa na madawa ya kulevya,mnapokua mnaandika habari,jaribuni sana kuwaelekeza wasomaji katika uhalisia,tusijenge kizazi cha kupotosha na kuwashindilia propaganda za uwongo,hii itapelekea kuwa na jamii isiyojifahamu.
@kingyehoshafatitvbornerys2496
@kingyehoshafatitvbornerys2496 11 месяцев назад
Hii nchi kuanzia wananchi hadi viongoz wote ni wababe🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@julianamasunga3458
@julianamasunga3458 11 месяцев назад
Ha ha haaaa
@oscarkasalile3966
@oscarkasalile3966 11 месяцев назад
Tunahitaji mabadiliko Tanzania tumechoka kuongozwa na wanasiasa waongo, wanaotoa ahadi alafu hazirimii, tunahitaji jeshi kushika nchi.
@adkajisi4536
@adkajisi4536 11 месяцев назад
Acha mihemko umewahi ona jeshi likishika dola?
@gabrielmoses6860
@gabrielmoses6860 11 месяцев назад
Acha uvivu wa kufikiri kijana,,, kinachoharibu Burkina Faso ni ugaidi na uchu wa madaraka!!! Sasa wewe unavitaka hivo Tanzania
@maishaforreal7798
@maishaforreal7798 11 месяцев назад
Ndio khaddafi
@mzongekibwana838
@mzongekibwana838 11 месяцев назад
​@@adkajisi4536😂😂😂😂😂 wewe ulisha wai kuona..au unataka kututisha..tu..au ndio mihemko yenyewe iyo 😅😅😅😅
@mussamontellijr2802
@mussamontellijr2802 11 месяцев назад
Ccm out military in
@cidewashington670
@cidewashington670 11 месяцев назад
Glory to Burkinafaso 🇧🇫
@belzylucas7275
@belzylucas7275 11 месяцев назад
Handsome kings strong power ❤❤❤
@shadrackjoel2393
@shadrackjoel2393 11 месяцев назад
One Africa big up sana Ibrahim mungu akufanyie wepesi kuisimamia nchi yako iyo ndy miamba tunayo itaka Africa sio wengine kutigisha matako tu na kujiwekezea Mali kibao awaangalii na wengine walio waweka hapo kwenye kiti kpt Ibrahim respect sana kamanda
@freenaturetv
@freenaturetv 11 месяцев назад
JINSI YA KUMFANYA MPENZI WAKO AKOJOE AFIKE KILELENI
@jumamussantuiche
@jumamussantuiche 11 месяцев назад
Kafanya vzur captain ibrahimo
@kingyehoshafatitvbornerys2496
@kingyehoshafatitvbornerys2496 11 месяцев назад
Ukisikia kitu inagonga Roho ndo hii... Africa nzima inatakiwa iwe ya kijeshi yote
@zezeshort
@zezeshort 11 месяцев назад
Kabisa Bora iwehivyo
@simbaedouardo8499
@simbaedouardo8499 11 месяцев назад
Mungu kaamuwa kuwaletey wa Birkinafaso Sankara incarnation
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 11 месяцев назад
Nikweli aisee
@ThomasMagoti-it4ty
@ThomasMagoti-it4ty 11 месяцев назад
Thomas sankara ❤
@joemakenn
@joemakenn 11 месяцев назад
C'est homme est à applaudir. Intelligent et courageux. Je prie qu'il ne change pas. L'Afrique à besoin de tels chefs d'états. IBRAHIM TRAORÉ
@scardenampembe7970
@scardenampembe7970 11 месяцев назад
M
@AliyIbrahimMohammed
@AliyIbrahimMohammed 11 месяцев назад
Umeleta makala tamuuuu leooooo❤❤❤
@ramazanimajaliwa6195
@ramazanimajaliwa6195 11 месяцев назад
I wish him all the best Mr president traoré
@JuniorCyrilMramba-oo9gs
@JuniorCyrilMramba-oo9gs 11 месяцев назад
Pamoja na sifa kadhaa alizonazo Ibrahim Traore kiongozi huyu ni jasiri sana na atafanikiwa katika azma yake ya kuiweka salama nchi yake ya Burkina Faso. Zaidi ya yote leo baada ya kuisikiliza makala hii nimemkumbuka sana Rais wetu wa Tanzania hayati Magufuli JPM alikua jasiri sana na mwenye uzalendo. Alifanya maamuzi magumu ila yalikua na tija na maslahi mapana kwa wananchi wa Tanzania. Nangetamani angekuwepo lazima angefanikiwa kuongea na Putin Mambo makubwa ya kimkakati juu ya nchi yetu. Sio alichoenda kufanya Majaliwa. Muwakilishi wa Samia mpaka sasa la maana ni kupiga picha na Putin sijaona kingine alichofanya kuizungumzia nchi yani hana mashiko.
@BabaBalingasi-hp6gd
@BabaBalingasi-hp6gd 11 месяцев назад
Kwelii kabisa. Naunga mkono asilimia Mia. Magu angekuwepo ingependeza zaidi maana wangeelewana sana na Putin. Ingekuwa Mjadala wa Dunia. Kwanza hakupenda kusafiri. Lakini hiyo ya Russia angeenda....
@byesigwafabian9255
@byesigwafabian9255 11 месяцев назад
Magufuli akupumzishe mahali pema peponi, hakika kazi nzuri uliifanya. Mwenyezi Mungu azikumbuke kazi zako za kuwahurumia masikini na kuwarudishia mali zao, moyo wako wa huruma Mungu aukumbuke. Hukusita kumtanguliza Mungu mbele na kusema watu wote waombe kwa imani zao. Nikweli tunaokolewa kwa Neema wala siyo kwa nguvu zetu au mapenzi yetu. NB: You can the body but never an idea! when the body is separated with the spirit but ideas do live longer! God the power of divine remember you servant Dr. John Pombe Joseph Magufuli and grant him the eternal peace! Amen 💖💖
@MACHOYATAI-jk6fu
@MACHOYATAI-jk6fu 11 месяцев назад
Kabisa majaliwa ni msaliti amejiunga na Samia kuuza bandari
@BrotherR9
@BrotherR9 11 месяцев назад
Brother kwenye makala 360 unatusha mzee baba hizi ndizo tunazihitaji zaidi ya zoote ingependeza kila siku tupate hata makala 3
@JeremiasikilianiJeremiasikilia
@JeremiasikilianiJeremiasikilia 3 месяца назад
This is rock that fought for his country, Buki and Faso with all his skills so that the people will have great peace and love, Captain Ibrahim Traore, God bless you and your family in general Amen,,,,,,,,,,my name is Jeremiasi Kiliani From Tanzania🇹🇿
@jameswanyancha5940
@jameswanyancha5940 11 месяцев назад
He is a leader
@user-yy8qv5zo8d
@user-yy8qv5zo8d 11 месяцев назад
Mungu amlinde Sana tusije sikia habar mbaya kwake maana Africa du
@user-wi1zl6ip5p
@user-wi1zl6ip5p 13 дней назад
Saafii sana
@mwanjumajongette8187
@mwanjumajongette8187 11 месяцев назад
Kijana shunja allah akujaliye ngumvu na kukulinda pia
@najmahhassan7853
@najmahhassan7853 11 месяцев назад
God bless him 💪🇹🇿
@Maya-bm9bu
@Maya-bm9bu 11 месяцев назад
Her tena 😢
@freenaturetv
@freenaturetv 11 месяцев назад
JINSI YA KUMFANYA MPENZI WAKO AKOJOE AFIKE KILELENI
@iamthefarmerceo2316
@iamthefarmerceo2316 11 месяцев назад
Bro yo got international vocal aiseee🎉🎉
@gibbs1320
@gibbs1320 11 месяцев назад
Hiki kitendo kina takiwa kitokee Tanzania pia. Tumechoka huu ujinga wa CCM hakuna cha maana wana fanya. Maisha magumu na uchumi ni mbaya japo kuwa kila aina ya rasilimali.
@upendosteven6733
@upendosteven6733 11 месяцев назад
Maavi ndugu yangu hawa wakwetu wanywa supu hawa hakuna kitu uoga mwingi
@juliussilvestar8988
@juliussilvestar8988 11 месяцев назад
Upendo ha ha ha ha ha mmmh
@mlenglewis1747
@mlenglewis1747 11 месяцев назад
Mnasema maisha mangumu tanzania na nje mkija kenya mtafanya nini manake uku hakuna huruma ata kidogo
@amerjuma4574
@amerjuma4574 11 месяцев назад
Jeshi la Tanzania ni dolla .. jiulize linaweza kufanya hivo? Wakat wao nisehemu kati ya hicho chma ×
@wazirihamisi6484
@wazirihamisi6484 9 дней назад
Ongera sana brother
@lawrencendathianjeri7358
@lawrencendathianjeri7358 11 месяцев назад
Waooo he is one of great leader may God bless him and may his dreams come true we need more like him in Africa. 🇰🇪 we are Africa and Africa is our business
@freenaturetv
@freenaturetv 11 месяцев назад
JINSI YA KUMFANYA MPENZI WAKO AKOJOE AFIKE KILELENI
@Peter235paul
@Peter235paul 9 месяцев назад
Mungu akulinde nawabaya
@victaboy7273
@victaboy7273 11 месяцев назад
Napenda watu kama hawa
@festuskathuki8229
@festuskathuki8229 10 месяцев назад
I pray for you to live long Mr. Triore! Please live long and safe Africa.
@umukulthumu1419
@umukulthumu1419 11 месяцев назад
Niliingojea kwaham hii makala nahata nilitaka nije istagram nikwambie kaka tuletee makala ya huyu mwamba 🙌
@mustaphamatelefone-lc9pr
@mustaphamatelefone-lc9pr 11 месяцев назад
Uyu jamah ni mwamba💪💪💪
@SonkoMolle-if3tz
@SonkoMolle-if3tz 11 месяцев назад
Huyo Thomas sangara mdogo Burkina Faso wamushukuru mungu kwa hilo iyo watokea 🙏🙏🙏♥️♥️
@eugenejr.8844
@eugenejr.8844 11 месяцев назад
Watu wakimyaa ni watu wenye IQ,IQ na Uwezo mkubwaa Sanaa. Afrika inahitaji viongozi kama hawa sada
@issaathumani7610
@issaathumani7610 11 месяцев назад
Ni kweli watu wakimya wana vifua vya kuhifadhi mambo na uwezo mkubwa wa kutafakari mambo makubwa kwa kina na kutathmini mambo na kuyafanyia maamuzi yenye maslahi.
@timboxlee919
@timboxlee919 11 месяцев назад
Strong leader Africa, congratulations 👏👏traore
@rayjohn5924
@rayjohn5924 11 месяцев назад
Number3 on trending,, Am proud sns
@VolcanNgoy-oz8ry
@VolcanNgoy-oz8ry 11 месяцев назад
Asante sana
@nassibugodfrey1405
@nassibugodfrey1405 11 месяцев назад
Nasikia mki namba mbili RU-vid trending nyumbani Tanzania 🔥🔥🔥🔥
@zenobiasangawe7090
@zenobiasangawe7090 2 месяца назад
Pambana sana 🎉🎉🎉baba
@SingoMedia
@SingoMedia 11 месяцев назад
Shukran sana
@user-gc1ez1yv4k
@user-gc1ez1yv4k 11 месяцев назад
Hongera my captain.Achana na kelele za kiraia.
@hansjames3156
@hansjames3156 11 месяцев назад
Good narration,quite informative.
@mackerphillip5179
@mackerphillip5179 11 месяцев назад
Much love bro gad bless u
@madaiincubationcenter4947
@madaiincubationcenter4947 11 месяцев назад
Safi sana kwa kutuletea habari iliyoshiba mboga saba
@uaeuae1871
@uaeuae1871 11 месяцев назад
😂😂
@stevenkomanya1442
@stevenkomanya1442 11 месяцев назад
Asante kwa kurejea ushauri wangu... God bless you all
@Mbeyaconscious
@Mbeyaconscious 11 месяцев назад
Jamaa Genius Sana 🙏🏼
@Kakajambazitv..
@Kakajambazitv.. 11 месяцев назад
I love this guy for sure 😊
@SalamaNauthary-ip4iy
@SalamaNauthary-ip4iy 11 месяцев назад
Mashaallah Kheir
@ebengapierre8826
@ebengapierre8826 Месяц назад
Mungu akulinde uyu Traoré ili wapinzani wasifanyikiwe kwakila jambo Traoré mungu akuzidishie kilakitu ambacho unaweza kufanya
@charlesgasper-wo9hc
@charlesgasper-wo9hc 11 месяцев назад
Ayoung boyleader in Aftica we aresupporting you can dosomething defference from others. Godblessyou. Ifrom Tanzania
@yasintakahamba1320
@yasintakahamba1320 11 месяцев назад
Natanga Kwa jina la MUNGU aliye hai tumbo langu likatoe watoto Kama huyu kijana ili Tanzania ikakomeshwe na wizi wa CCM
@EzekielJohnMollel
@EzekielJohnMollel 11 месяцев назад
Perfect 100%
@shikanyota
@shikanyota 11 месяцев назад
Shukran
@aminaabdallah3644
@aminaabdallah3644 11 месяцев назад
Asante kaka sky 🔥🙌
@MouriceNdomba-zr5hx
@MouriceNdomba-zr5hx 11 месяцев назад
putini lengo lake nikuuharibu utawala ambao wa magharibi wanatawala afrika honger sana putini wamagaribi wanaiharibu sana afrika utafikiri kwao
@kwisa4899
@kwisa4899 11 месяцев назад
mkipewa nchi mutaweza kuziendesha ?
@jimmykatana6409
@jimmykatana6409 11 месяцев назад
Afadhali zimwi ulijualo kuliko malaika usiyemjua
@Mpakauseme
@Mpakauseme 11 месяцев назад
Huo ndio ujinga wa mtu mweusi kwanini usiseme waafrika tujisimamie wenyewe pasipo na putin au mchina , wewe akili yako ni sawa tu nyani, Putin hawezi kuinua africa africa itainuliwa na waafrika wenyewe
@alimuhamed1830
@alimuhamed1830 11 месяцев назад
Allah bless him ♥️
@mfalmegideon3987
@mfalmegideon3987 11 месяцев назад
Hii Makala utafikiri ni DW mjini Borne Ujerumani Bravo Sns
@blaiseuwizeye250
@blaiseuwizeye250 11 месяцев назад
Good Man
@FabienRwasa
@FabienRwasa 2 месяца назад
Traore hongera sana nakusongambere tanzania nawapendasana
@MrChachaboyKingmselfLinu-de6yx
@MrChachaboyKingmselfLinu-de6yx 11 месяцев назад
Good leadership 🙌🙌🙌🙌 Ibrahim Traure
@augustomariosama1542
@augustomariosama1542 11 месяцев назад
MashaAllah
@msodokidasilva6739
@msodokidasilva6739 11 месяцев назад
duuuh ii nchi noma sana , 🙌
@user-wp7ik4sg3q
@user-wp7ik4sg3q 9 месяцев назад
Thanks
@luendosabah2047
@luendosabah2047 11 месяцев назад
Felicitation Ibrahim Traore God protect you and you people ❤️💐🎈🙏
@freenaturetv
@freenaturetv 11 месяцев назад
JINSI YA KUMFANYA MPENZI WAKO AKOJOE AFIKE KILELENI
@user-pi3km3ho8l
@user-pi3km3ho8l Месяц назад
keep it up ;;;; traore
@saimonwatanzaniatanzania1436
@saimonwatanzaniatanzania1436 11 месяцев назад
Geologist Ibrahim ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@BabaBalingasi-hp6gd
@BabaBalingasi-hp6gd 11 месяцев назад
Siyo mchezo. Ni course ngumu sana hiyo
@thestonetown3302
@thestonetown3302 11 месяцев назад
SnS❤❤❤❤❤❤let’s fly together
Далее
Joy and Anxiety Mood (Inside Out Animation)
00:13
Просмотров 1,1 млн
Joy and Anxiety Mood (Inside Out Animation)
00:13
Просмотров 1,1 млн