Katika video hii nitaonyesha jinsi ya kupika biriani kwa njia rahisi. Biryan ni mchanganyiko wa vyakula kama mchele,nyama, na viungo tofauti vya chakula. chakula hiki asili yake ni India na ni kitamu sana na rahisi kuandaa. Biryani inataka kufanana na pilau
23 фев 2019