Тёмный

JOHN HECHE BUNGENI LEO "MIMI NI KISIKI CHA MPINGO" 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 75 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

8 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 57   
@obagoabhiathan3565
@obagoabhiathan3565 4 года назад
Kama umegundua heche alitaka kumtukana huyo mmbunge ila akapotezea...... Gonga Like sawa na mbunge letu
@jonathankizindo2817
@jonathankizindo2817 4 года назад
Taarifa tena!!!? Mungu wangu!!! wabunge wengine hawatakiwi kuwa bungeni wanapoteza muda tu na pesa
@masuseleman978
@masuseleman978 4 года назад
Safi sana Mh Heche. Japo wanajisahaulisha usichoke kuwakumbusha!
@privatustheodory4402
@privatustheodory4402 4 года назад
Safi sana mh. Heche mungu akulinde na akuludishe bungeni tena 2020!ninyi ndo wabunge wa kitaifa
@williammbuzimai5744
@williammbuzimai5744 4 года назад
Ahsante heche, Wamezidi sana hawa kutoa taarifa na spika nae ndio wale wale.
@jeremiadaudi5780
@jeremiadaudi5780 4 года назад
Mara haina mashoga mungu bariki tarime, bunda, rorya, serengeti, wanaumeeeeeee
@geraldgodsontv7982
@geraldgodsontv7982 4 года назад
You deserved to be general Secretary of cdm hon.heche
@salaichacha5040
@salaichacha5040 4 года назад
Heche nakukbali sana kamanda
@FaroukBakar-yn2zt
@FaroukBakar-yn2zt 9 месяцев назад
John heche rudi bungeni njoo utupambanie wananchi wako
@mpelienock
@mpelienock 4 года назад
Hizi taarifa sasa ni kama mchezo wa kujambisha Sasa tunataka taarifa zenye mashiko.
@martinkarata1097
@martinkarata1097 4 года назад
Ndio nchi yetu iyi
@kingkyoma83
@kingkyoma83 2 года назад
Good heche
@evansmlalo4049
@evansmlalo4049 4 года назад
Wabunge wwa CCM acheni kujifanya mnapedwa sana nchi hii. Mbunge amesimama achangie kubwa jinga linasimama kuomba taarifa au mwongozo wa Spika. Huu nu upuuzi wa hali ya juu sana. Watanzania tunakemea sana tabia hii kwa kuwa wabunge wa upinzani na wao ni Watanzania tena wana michango yenye tija sana kuliko hilo kubwa jinga linaongelea habari za Salome Makamba mda wake wote. Wabunge wa CCM jifunzeni nidhamu. Watanzania wanaomchagua mbunge wa Kishapu na wenyewe ni wapuuzi. Mbunge anajadili mbunge mwenzake badala ya kuchangia hoja na mambo yanayohusu watu wake wa Kishapu. Watanzania wakikichagua chama cha CCM mjue maendeleo nchi hii ni "NDOTO ZA ALINACHA" Tunaita Business as Usual. Hata huyu Magufuli mnaemsifia kwa kufanya kazi za kununua Ndege kwa pesa cash akose akiba ya kununua hata Barakoa ni Rais wa majanga tu. Anaendesha nchi kwa kodi za minavu na Mananasi kwa kuwafunga Matajiri na wengine kukimbilia nchi jirani kwa hofu ya huyu DIKITETA. Angalia Watanzania mnapambana na Corona yeye kakimbilia CHATO. Haiwezekani nchi iendeshwe bila matajiri kama Hazina haina fedha Serekali itamkopa nani kuendesha nchi. Watanzania wanaowachagua wabunge wa CCM kwenye majimbo yao wanachagua MIZIGO.
@muniraahmed624
@muniraahmed624 4 года назад
Kisiki cha mpingo😁 Nanikwel eti
@athumanimakorongo254
@athumanimakorongo254 4 года назад
ntk ...dah
@jovitikulunge2020
@jovitikulunge2020 4 года назад
Wabunge we ccm tunawachaguagatu lakini amna msadawowote kwenye nchi nchi inapiganiwa na wapinzani sikuzote
@mgonjtzmgonjatz1155
@mgonjtzmgonjatz1155 4 года назад
Hapo nkweli nice
@dnaofgodtv4873
@dnaofgodtv4873 4 года назад
Tatizo la kuingiliana na taarifa, ni kiti!!!!!
@binotimarwa873
@binotimarwa873 4 года назад
Kuna wabunge wengine bungeni hawana hoja hawachangii chochote wanasubiri wengine wachangie Ndio na Wao wasimame ili wapiga kura Wao wawaone lakini hatujawachagua kwenda kutoa taarifa bungeni tumewachagua ili mkatatue shida za wananchi....!
@phiniasphinias8963
@phiniasphinias8963 4 года назад
Nita......!!!
@julius.m.issame3311
@julius.m.issame3311 4 года назад
Hili swala HECHE kalisema saaana Toka 2015 Analiongelea Tuu..Aisee
@batulemwamwaja6524
@batulemwamwaja6524 4 года назад
Heche songa mbele wenye akili tunakuelewa
@abrahamyohana4953
@abrahamyohana4953 4 года назад
Spika hatukuelewi simamiahaki manamudawako ndohuu! Henche anaongeakuhusu hakizawatu inamanawewe haijakuingiaakilini!
@shebaminde7656
@shebaminde7656 4 года назад
Nitaku,,,,,,,,,,,,,,,😂😂😂😂 usimalizie babangu Vunga linda muda wako tu!
@milajihamis7987
@milajihamis7987 4 года назад
magufuri chato
@maternsengerere6942
@maternsengerere6942 4 года назад
Habari kwa unaesoma comment hii naomba japo dakika mbili zako mimi ni chipukizi hapa RU-vid nina channel yangu naomba uangalie video hii kwenye link Kama una ushauri unataka unipe comment kwenye video. Chukua tahadhari dhidi ya corona. Mungu akubariki asante kwa muda wako. ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-NeuVxfiyjKw.html
@goodlucktemu3149
@goodlucktemu3149 4 года назад
ntakukata ngebe alitaka kusema ivyo mh heche_
@happyeugen468
@happyeugen468 4 года назад
Nita. Kupa covid 19
@mishaelmisana7674
@mishaelmisana7674 4 года назад
Me nlkuwa nasbil mwisho wa nta
@ezekielevarest9215
@ezekielevarest9215 4 года назад
Hahahhah
@vanviccatv9977
@vanviccatv9977 Год назад
Nasubiria 2030
@emmanuelgabagendi3169
@emmanuelgabagendi3169 4 года назад
Saf sana heche
@darkplatnum9006
@darkplatnum9006 4 года назад
Sas kama mnasema kuwa wabunge wa (sisiemu) hamna kitu na laise je nae hana kitu maaana na yey amechkua urais kibabe
@vanviccatv9977
@vanviccatv9977 Год назад
2030 kama mungu akimjalia kumpa hai huyu mtu M4C wanakuwa chama tawala trust me
@pendomoshi3498
@pendomoshi3498 3 года назад
Mwege
@mosesndahani243
@mosesndahani243 4 года назад
Yaani watu wa chama hiki inakera na mambo ya taarifa
@annasilvesta1427
@annasilvesta1427 4 года назад
Nic
@davidmloge7277
@davidmloge7277 4 года назад
Dah! 😷
@twayibmood7319
@twayibmood7319 4 года назад
Huyu mbunge alotowa taarifa Madevu yake meupe pumba tupu
@kijangapeter5135
@kijangapeter5135 4 года назад
Jembe hilii
@josephgervas7731
@josephgervas7731 4 года назад
Safi sana tata mbuya ule
@yohanapetro4937
@yohanapetro4937 4 года назад
Hao meanings Wa ccm miongozo ya ovyo
@siwemaalphoncy2452
@siwemaalphoncy2452 4 года назад
Nitakutema manha
@japhetaron5038
@japhetaron5038 4 года назад
Huyo mtaka taharifa anataka asikike au aonekane mdhaifu huyo
@shadrackdamiani1363
@shadrackdamiani1363 4 года назад
duh sina lakuongea kabisa coz naisi wana bifu hao wabunge
@eliudimsunu7638
@eliudimsunu7638 4 года назад
nakubal brother heche
@abelzablon5977
@abelzablon5977 4 года назад
WA bunge ccm ni pasua
@stentafoundation7101
@stentafoundation7101 4 года назад
😀😁😁😁😀😁
@abdukadiliissa8076
@abdukadiliissa8076 4 года назад
CCM hawa banaaa
@lifestyletv4338
@lifestyletv4338 4 года назад
Nita.....haha mkurya bhn
@MamaSean07
@MamaSean07 4 года назад
Wakurya hatupendi dharau
@lifestyletv4338
@lifestyletv4338 4 года назад
@@MamaSean07 hah kwel nmeona
@brunomirambi8792
@brunomirambi8792 4 года назад
Tema mulla
@lifestyletv4338
@lifestyletv4338 4 года назад
@@brunomirambi8792 hahha nakubal
@muniraahmed624
@muniraahmed624 4 года назад
Kisiki cha mpingo😁 Nanikwel eti
@pendomoshi3498
@pendomoshi3498 3 года назад
Mwege
Далее
Сказала дочке НЕТ!
00:24
Просмотров 1,1 млн
MBUNGE BWEGE ALIVYOZUA BALAA BUNGENI LEO
13:38
Просмотров 736 тыс.
JPM Amrarua HECHE Hadharani "Naweza Nikakuzaa"
4:12
Просмотров 243 тыс.