Тёмный
No video :(

"Kasimama MJINGA MMOJA kutetea bei ya sukari, ni jambo la ajabu" Mbunge Katani achachamaa Bungeni... 

Habari Digital
Подписаться 1,2 млн
Просмотров 11 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

20 июн 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 37   
@emmanuelpeter9744
@emmanuelpeter9744 Месяц назад
Na hapa ndimpo tatizo lilipo tunapokuwa na watu wanaongea kutumia hisia bila fact halafu ndani ya Bunge. Tutaelewana tu soon maana huu ni wakati wa Mungu. Well done 👍 MPINA pamoja na ujinga wako bro but you will be counted as a hero 👍✌️
@MohamedBlanker-jw9qy
@MohamedBlanker-jw9qy Месяц назад
Tupo sehemu mbaya Sana
@user-us5xl4zu3r
@user-us5xl4zu3r Месяц назад
Ni mjinga sana tu.Anajali tumbo lake,kuliko waliomweka madaakani,ndio wale Nyerere ,ni malaya malaya tu.
@teddysanga1840
@teddysanga1840 Месяц назад
msenge sana huyu jamaaa kwahiyo anafurahia ufisadii jiziiiii hili katani
@hassaniulende-sp6io
@hassaniulende-sp6io Месяц назад
SAFI SANA MMBUNGE KATANI NI KWELI KUNA WAJINGA WENGI SANA NCHI HII ,
@JoshuakaruJoshu-pk3es
@JoshuakaruJoshu-pk3es Месяц назад
❤❤❤❤ kweri kunawajingawengi umo
@user-dq1ss2uq6u
@user-dq1ss2uq6u Месяц назад
Acheni matusi wabunge hatukuwatuma kutukana kama hamna hoja nyamazen
@shafiijuma840
@shafiijuma840 Месяц назад
Habari digital mnakata sana taarifa
@GodfreyMwamaso
@GodfreyMwamaso Месяц назад
Ujumbe umefika
@waluohopaulo2116
@waluohopaulo2116 Месяц назад
Hiyo sio matusi
@noelbryson7840
@noelbryson7840 Месяц назад
Hapa mbunge hakuna 😢
@CalistiNicetas
@CalistiNicetas Месяц назад
Hana hoja akae chini
@user-ze6lx9ng6s
@user-ze6lx9ng6s Месяц назад
Bashe chanzo cha bei ya sukari kupanda, RIP JPM
@amosmwampamba
@amosmwampamba Месяц назад
Mmakonde mjinga huyu, yupo kutetea ufisadi itakuwa kashalambishwa tayari
@MasoudyMichael-ox7xl
@MasoudyMichael-ox7xl Месяц назад
Wabunge wengi Nikweli Ni .....alichosema huyo mbunge😅
@nestor384
@nestor384 Месяц назад
Huyu jamaa si bure anataka kuwaona wananchi hawana akili na kana kwamba fikra inayopinga wizi kupitia uhaba wa sukari wa kuchonga ni mjinga. Yeye si mjinga tu ni fala na mpumbavu!
@user-rg5sg1xz8p
@user-rg5sg1xz8p Месяц назад
Hahahahahahahahahhahahahahahah kweli akili ndgo ina endesha hahahahahahahahahahahaha
@NardhisMhagama-sy3eq
@NardhisMhagama-sy3eq Месяц назад
Ni mjinga kweli
@user-hb8er6dq2q
@user-hb8er6dq2q Месяц назад
Wew ndo mjinga
@user-yv8ww7lg1x
@user-yv8ww7lg1x Месяц назад
Huyu kachaguliwa ama kawekwa tuu na fisiem
@rashidyyusuph4386
@rashidyyusuph4386 Месяц назад
Kwani ujinga matusi?
@JoshuakaruJoshu-pk3es
@JoshuakaruJoshu-pk3es Месяц назад
Safi sana kweriuyonimjinga
@lameckbalekere1962
@lameckbalekere1962 Месяц назад
Hii Kenge hii
@RubenMtuwaMungu-bz8ee
@RubenMtuwaMungu-bz8ee Месяц назад
Bado bei ya sukari iko juu licha ya ujinga wa Mpina. Imagine sukari ya Malawi ni tsh 2400@kg ambako kampuni ya Ilovo inazalisha sawa na Kilombero.
@user-cw2nj4io3v
@user-cw2nj4io3v Месяц назад
Kwenye hili Bunge Kuna wawakilishi wa Serikali ambao ndo wengi kuliko wawakilishi wa wananchi, hakuna sababu ya kuwachagu wateuliwe tu kama mawaziri pasiwepo na Bunge, kama mbunge anadiriki kusema lazima tutetee Serikali Sasa nani atamtetea mwanainchi?
@frbm1729
@frbm1729 Месяц назад
Hili ndo JINGA sasa
@shabansalum1848
@shabansalum1848 Месяц назад
Mbunge wa jimbo ni vema kuwa makini na michango unayotoa..bungeni kwa niaba ya wanainchi na taifa kwa ijumla wake
@Lo-33
@Lo-33 Месяц назад
CCM hoyeeeee😂
@albetomfuse444
@albetomfuse444 Месяц назад
afu huyu Kama haja wahi kupona
@barakakevela245
@barakakevela245 Месяц назад
WAZALENDO NI WACHACHE WEWE NI BOXI, MPINA, MCHENGERWA MAKONDA WAKO VIZURI SANA ILA WEWE MBUNGE HATUKUELEWI
@lutegomakoyeluhahula361
@lutegomakoyeluhahula361 Месяц назад
Mimi mwenyewe sijaliondoa na wala sitaliondoa hili neno kwenye Hansard ya kichwa changu.
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 Месяц назад
wabunge wengine wanatumwa na wenye viwanda vya sukari ili kuwatesa walaji,hii ilitokea wakati wa mwalimu julius nyerere,illafika mahali sukari haipatikani madukani!!
@hassanimngetege2904
@hassanimngetege2904 Месяц назад
Ng'ombe mwingine huyu kweli tumelaaniwa
@infodigtechforcommunityemp4103
@infodigtechforcommunityemp4103 Месяц назад
Ng'ombe mwingine huyu hapa mbuzi kabisa
@Kakamkubwa3564
@Kakamkubwa3564 Месяц назад
Virus network.
@JohnManyilizu-rl5bm
@JohnManyilizu-rl5bm Месяц назад
No balancing here you are typically wrong
@infodigtechforcommunityemp4103
@infodigtechforcommunityemp4103 Месяц назад
Mjinga ni wewe
Далее
«Ой Бой» откуда выражение?
00:45