Тёмный

"VIONGOZI NA WANAHABARI ACHENI UCHAWA MNAUMIZA WANANCHI" JAJI WARIOBA 

WATETEZI TV
Подписаться 42 тыс.
Просмотров 27 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

3 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 149   
@BenardLucumay
@BenardLucumay 3 дня назад
Madini ya maana sana kutoka kwa mheshimiwa Jaji Joseph Warioba Mmoja wa wazalendo wachache wastaafu tunaojivunia nao! Mungu aendelee kukupa afya njema na maisha marefu Mzee wetu ambaye pia ni Waziri mkuu mstaafu!
@machoguhameri7757
@machoguhameri7757 2 дня назад
Jaji Mkuu mstaafu, Waziri Mkuu mstaafu, na Makamu wa Rais mstaafu
@thomaskiponda6079
@thomaskiponda6079 2 дня назад
MZEE WARIOBA ANGALAU MTU AKISIKIA INAONGEA ANAPATA HAMU YA KUSIKILIZA SAFI KAMA NYERERE!!!!!!!!!! SAFI SANA TUNAKUPENDA❤❤❤❤❤
@josephmathayo5139
@josephmathayo5139 2 дня назад
Mwenyezi Mungu aendelee kukulinda ndugu Joseph Sinde Warioba. Ili uweze kutupatia Madini ,Weledi na kuwakumbusha viongozi na Waandishi wa Habari.waache uchawa na kuandika Habari zenye faida Kwa wananchi.
@goodlackriwa6728
@goodlackriwa6728 2 дня назад
🎉🎉 Mzee ana Madini matupu ht siku Moja hajawai kuyumbaa ni mtu mwenye msimamo sana ,na shindwa kuelewa serekali kwanini hamtumiiie huyu, Mungu Amjaliee Mzee warioba Maisha marefu
@godrickngoli5904
@godrickngoli5904 2 дня назад
Mbona anatumika. Si amesema kuwa alipewa kazi na Rais. Hujasikia?
@othmanali5362
@othmanali5362 2 дня назад
Zahabu ni zahabu tu hongera Mzee.
@marianmartin7483
@marianmartin7483 День назад
Baba umesema maneno mazito sana, mwenye masikio amesikia. Ujumbe umefika sawasawa. Mwenyezi mungu akujalile afya njema baba.
@user-sl1ko9me7u
@user-sl1ko9me7u 3 дня назад
BRAVO MH. MZEE WARIOBA....MANENO YA HEKIMA NA BUSARA KWA WAANDISHI WA HABARI HAPA NCHINI MWETU.
@yahyahamisi2038
@yahyahamisi2038 2 дня назад
Mzee CCM ni chanzo cha matatizo ya nchi yetu 🤔 uhwawa , Ukada , ukanda , utanganyika , Uzanzibari , udini , ubabe , tabaka , rangi , unyanyasaji , unyanyapaa , dharau , haya mambo yanatugawa 🤔 watu wanatekwa , wanateswa , wanahujumiwa , wananchi tutaendelea kuwa wavumilivu , Kuna Mtu alikusukuma pale UDSm 😭 kisha akapewa ukuu wa Wilaya ya Kino na kisha ukuu wa mkoa Mpaka Leo 🤔 watu Toka kambi ya upinzani wakirudi chama Twawala wana Katengo maalum ka ukuu wa Wilaya Wilaya 😂 , ukurugenzi , Usalama , 😂 hivi mpaka Leo waliomtolea bastola Nape N auye pale st Peters church bado hawajulikani 🤔 wakati walionekana kwene runinga 😮 tinahitaji surveillance cameras za KGB , CIA , M15 , n a MOSSAD 😂😂 Jinsi tunavyofikiri sivyo kizazi kijacho kitaka kitakavyofikiri 🤔 tunajitengenezea timing bomb 😭 GEN Z 😂 Isikilizeni nguvu ya umma , ikisema no retreat no surrender kutakuwa hakuna jinsi bali ni kulia na kusaga meno 🤔 sio Tanganyika tu bali hata Zanzibar na zanzibara 🤔 Katiba mpyaaaaaaa 🙏🙏🙏 tujifunze kuwasikiliza wananchi wanachokitaka 🙏 tuache kuwawanyanyapaa maskini na wanyonge 🙏 Mzee Butiku , Mzee Warioba tunawaomba .kalisimamie hili maana Chama Twawala chatupeleka halijojo 🙏🙏 katiba mpyaaaaaaa 🙏🙏
@mtakamatv
@mtakamatv 2 дня назад
Mzee mungu akubariki kadri unavyozeeka unazidi kuwa tunu kubwa,mhimu kwetu wenye akili tunakuelewa ila machawa hawataelewa.
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm 2 дня назад
Shukrani sana ndugu Warioba. Nchi hii imegeuzwa kuwa ya wachache sana kwa sasa.
@user-gc1ez1yv4k
@user-gc1ez1yv4k 2 дня назад
Asante mzee.Taifa limeoza,tumekuwa vizabinazabina.Wachumia tumbo,kwa hao unaoongea nao wao ndiyo hovyo mno,wanalala wanawaza bahasha za viongozi na wanasiasa.Tamaa na heshima havikai pamoja.
@emmanuelmasele9585
@emmanuelmasele9585 3 дня назад
Hongera,Mungu akuongezee muda wa kuishi ili uendelee kulitibu Taifa letu.
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 3 дня назад
Mheshimiwa Warioba pigania Taifa hili ili lipate KATIBA MPYA.
@StephanoMathias-e2z
@StephanoMathias-e2z 2 дня назад
Mzee wetu wewe.. mmebaki wachache sana wa aina yako hapa duniani. Tunakuombea kheri kwa BWANA..
@StephanoMathias-e2z
@StephanoMathias-e2z 2 дня назад
Wewe mzee wetu wa busara nakukubali saana. Mwenyezi mungu akuzisdishie uhai
@josephmilandononi1096
@josephmilandononi1096 День назад
Waziri Mkuu Mstaafu Joseph Warioba hakika hakima na busara zako Bado tunazihitaji sana nchi yetu ya Tanzania.
@desiderihugo5704
@desiderihugo5704 День назад
Hii na sauti ya mtu liaye nyikani msikieni yaye .Asante Mzee Warioba kwa nasaha zako . Wenye masikio na wayasikie hayo maneno ya huyo mzee wetu.
@malaryhillary3075
@malaryhillary3075 2 дня назад
❤❤❤ Asante mh Warioba siku zote unatoa madini ya kweli
@marymaleko5377
@marymaleko5377 2 дня назад
Barikiwa sana baba he kima,busara zimetawala.Je hawapo wengine kama huyu mzee,nakwani wako kimya.
@hafidhally7998
@hafidhally7998 3 дня назад
Fact and rogic... Mzee tunakuelewasana mungu akupe umli mrefu tuendelee kuchota busarazako
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 2 дня назад
Logic sio rogic ,,,,,,,sio lazima sana uwe unaandika kiingereza
@user-hj3ky9zy6y
@user-hj3ky9zy6y 2 дня назад
Mh walioba we mtu wa maana Sana mungu akutunze
@user-kq7in8gd9o
@user-kq7in8gd9o День назад
Pongezi na hongera Sana Mzee wetu mwenye busara njema na maumivu makubwa Kwa wananchi wa Tanzania hakika Mungu akubariki wewe nitunu yetu hapa nchini .
@kulwasalum3597
@kulwasalum3597 2 дня назад
Utakumbukwa sana , hasa ktk kuwapigania walala hoi.... Mungu akupe afya na uhai mrefu... . Amin..........!!!!
@dismasmtui729
@dismasmtui729 17 часов назад
Hongera sana Mh kwa kuwa wazi.Kila mtu anataka kumsifu raisi, amekuwa kama Mungu!!!
@ezekielmirambo8704
@ezekielmirambo8704 2 дня назад
Mungu akujalie baraka nyingi sana kiongozi wetu mstaafu hapa duniani na hata mbinguni
@user-bg8zz5vw5v
@user-bg8zz5vw5v День назад
Mungu aendelee kukuweka mzee wetu mwenye fikira kubwa na Moyo wakuwapenda watanzania nasio Hao machawa wanaotumiza.
@Ushauri235
@Ushauri235 2 дня назад
Mzee Mungu akulinde tu upo duniani kwa lengo maalumu
@rogersiddy
@rogersiddy 2 дня назад
Kbsa hujakosea kbs comment yako aisee huyu mzee Mungu anamakusudi nae kwenye taifa letu aendelee kumpigania zaidi afya njema uhai mlefu zaidi🙏🤲
@RobertJonathan-jm5um
@RobertJonathan-jm5um 9 часов назад
Hongeraa mzee wa busara. Nchi hii imeyumba kwa kutokuhemu busara zenu
@user-sw7tf1ob1b
@user-sw7tf1ob1b 2 дня назад
Omba Mzee mungu akupe uzima utakuja kusema tuliwambiya
@richardjafu7404
@richardjafu7404 День назад
Asante sana Mzee. Nchi imekuwa ya machawa. Viongozi wote wamekuwa machawa ndiyo maana kila baada ya sentensi mbili lazima amtaje raisi. Hii yote ni Kwa sababu ya self sensorship.
@kipronobett7122
@kipronobett7122 День назад
Great wise words babu. worthy to be listened by all. Kudos
@israelmkaka2807
@israelmkaka2807 2 дня назад
Umenena Vyema Waziri Mkuu Mstaafu
@sangijomnyami8727
@sangijomnyami8727 2 дня назад
Wanainchi tumetengwa Sana tunapandishiwa Kodi ya pango Kila tunapo weka luku Toka 1500 Hadi 2000bila huruma.
@khalidmamdadi1072
@khalidmamdadi1072 2 дня назад
Tunakuombea sana Mzee wetu
@user-zk9ox3di4b
@user-zk9ox3di4b 2 дня назад
asante sana baba warioba ni kwanini serekali imekua sumu kwa mwanchi wa kawaida anaumia watumishi wa serekali wakitucheka na kutudharau wananchi na kutupokonya maeneo yetu ya kijamii pamoja na mali zetu pili Tanganyika serekali. Inafanya mambo bila kuwausisha wananchi je nauliza iyo ni haki sisi kuongozwa kidikteta je nauliza mbona tugandamizwe utu husishwi tutoe maoni yetu nikweli kabisa atushirikishwi uwoni ujambazi. ndani ya serekali ndio tujue yakwamba mnapenda nikweli udikiteta kamili tuwe kama marekani tunataka tupate uhuru Tanganyika ni yetu Kila pahali sisi tutaenda wapi wanyonge tupewe haki zetu vijana wa kizazi kipya waamke kuitetea nchi yetu msilale Tanzania walio wengi vijana wapewe mashamba wajiajiri kuliko kuajiriwa na waarabu tumekataa kuporwa na viongozi walioko mamlalakani wanatutisha na wasio julikana wako ndani ya serekali ndio maana iyo CCM inaendelea kugandamiza watanganyika baba warioba okoeni Tanganyika kwasababu Kuna wahuni nda ni ya Tanganyika serekali imeficha mabepari ndani ya serekali atutaki mabeberu ndani ya nchi yetu msilale Tanzania asante sana wenu Simba sauti ya wanyonge tupewe haki zetu zote watanganyika tulinde tanzanaiti yetu msilale Tanzania walio wengi vijana wapewe mashamba wajiajiri kuliko kuajiriwa na waarabu tumekataa kuporwa na wezi wachache mwsho wao umefika
@tumainimwaifunga3884
@tumainimwaifunga3884 2 дня назад
Mzee Mungu akutunze, na Butiku
@ibrahimkibira9943
@ibrahimkibira9943 2 дня назад
Tunu iliyobakia Tanzania 🇹🇿...huyu mzee sio mnafki
@Brunn-mh2bq
@Brunn-mh2bq 2 дня назад
Mzee huyu ni simpo hana makuu hana cha mtu alichokula wala alichoiba. Matokeo yake hana presha. Maisha yake yana amani. Ataishi maisha marefu sana . Wengine jifunzeni kwake la sivyo mtaishi maisha ya ubatili mtupu na hivyo mafupi na ya woga na taharuki za kutisha
@kasomishedrack5027
@kasomishedrack5027 2 дня назад
"CHAWA" ni mdudu mnyonya damu kwa binadamu kwa maana hiyo Sasa Kama waandishi ni chawa basi maana hiyo ni wanyonyaji wa wananchi kwa kutokuwapa taarifa nzuri na za ukweli na hivyo kuanza kupambana kujinufaisha kwa kupewa rushwa ya kitu kidogo,vyeo na kupewa trip za nje. Rejea Dp world ilipoenda kutiwa Saini nje baadhi ya waandishi walijinasibu kupewa zawadi na kununua magari ya gharama baada ya kusemwa na watu wakaanza kuwakejeli kusema nyie "mmepitwa na wakati"
@elioimer8423
@elioimer8423 2 дня назад
Ushuhuda ya anayosema mzee Warioba(Mungu akulinde) kuwa ni ya kweli pasipo Shaka ni yaliyomkuta speaker Ndugai. Pamoja na sifa zake zote ccm hawakuwelewa wakamsulubu , kwa hiyo toka hapo ni sif😮a kwa raisi kwa kiongozi yeyote anayetoa hotuba.
@edsonpetro3754
@edsonpetro3754 2 дня назад
Mzee unazeeka vzr akili inaongezeka sanaaa
@user-ec8qn3cv1l
@user-ec8qn3cv1l 13 часов назад
Ongera Mzee warioba unaonambari niwewepekeyako uriebaki kuongeaukweri naminaamini unapenda mbadiriko yakweri kwasababu unajuasasaivi watu wanajitabua ira pawaipokwenye vyombovya Dora watuugopa
@EmmanuelSalli
@EmmanuelSalli 2 дня назад
Hapo kwenye kero mzee wangu nimepapenda
@godfreybitakama9845
@godfreybitakama9845 2 дня назад
Hakika barikiwa sana mzee
@YohanaPetro-xv9tp
@YohanaPetro-xv9tp 2 дня назад
Uyu Mzee Jamani Anazeeka Vizr Akifa Aende Moja Kwamoja Mbinguni
@mtakamatv
@mtakamatv 2 дня назад
Sema na wabunge wetu,wanatuumiza sana wananchi,uchawa umekuwa tatizo
@MwambaWarusaka
@MwambaWarusaka День назад
Kabisa mzee uko makini Sana nakuelewa hoja zako miaka kumi na nane Leo hii serikali machawa wamejaa haina lolote ushenzi tuu
@kashiririrkaasongwisye9487
@kashiririrkaasongwisye9487 2 дня назад
Miongoni mwao tunu za taifa zilizobaki!
@user-io6yj9fs2h
@user-io6yj9fs2h 2 дня назад
Mzee walioba mungu aeendelee kukupa busala hizo wabunge wamekuwa machawa hakuna bunge pale kila mbunge anataka aonekane amemsifia rais mda mwingi wanamaliza kwenye kupongeza tu
@user-ii2vm5vv1b
@user-ii2vm5vv1b 2 дня назад
Elieshi poul:Mungu aendelee kukupa maisha marefu kwa hekima Yako.
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im 2 дня назад
Waandishi wa habari na wawo wanaanza kutekwa na serikali. Jambo la sukari kuhusu Mpina na speaker wa bunge, hawajaandika chochote ni Kimya tu. . Watanzania tunatgemea magazeti magazeti kuandika bila upendeleo haki za watanzania
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm 2 дня назад
Wameshatekwa. Hawaandiki yanayopaswa na yanayowahusu na kuwakabiri wananchi. Wanamtukuza na kumsifu Samia tu. Ni Samia, Samia, Samia. Kaziba kila Mtanzania. Hata Mungu hatajwi namna hii. Hata yeye mwenyewe anaendekeza na kubariki hili. Inamaana Tanzania nzima yuko Samia peke yake. Hakuna mtu mwingine nchini bali Samia na huyo Mama yao tu. Hatuna Bunge wala Mahakama nao ni Samia tupu. Mmetekwa kifikra kielimu, kiuchumi. Wananchi wamefunikwa na kuona hawana maana. Wanamwonyesha Samia na CCM tu. Wengine wote wamewafanya hawana maana yoyote ile. Ni ujinga wa kiakili usioelezeka.
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im 2 дня назад
Mzee Warioba umeongea ukweli wa hali iliyopo. Uwoga unaumiza watanzania.
@MatronaThomas-wz5si
@MatronaThomas-wz5si 2 дня назад
Mzee ana busara sana❤❤❤
@festokemibala5832
@festokemibala5832 2 дня назад
Haya unayoyasema Mzee utawala hawataki kuyasikia. Rejea kauli za Mwigulu na wenzake kuhusu mustakabari wa maisha ya watz, wao wanaona anayetofautiana na sera na mitazamo yao huyo anatakiwa kuhamia sehemu nyingine ya nchi kama Burundi nk! Wanatamka haya mchana kweupe utadhani wanawaongoza manyani!
@user-sw7tf1ob1b
@user-sw7tf1ob1b 2 дня назад
Wananchi Mzee tunaelewa tuna subili mungu mpango wake hatatutesa milele na ccm na makada wao chadema na zitto wao tunajua
@Wiittole
@Wiittole 2 дня назад
Mh jaji Sinde warioba umewapa ushauri mzuri na muhimu vyombo vya habar lkn hatuwezi ona mabadiliko yyte coz vyombo vyote vimejaa machawa wa ccm
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 2 дня назад
Our Old man during late julias kambarege Nyerere sinde warioba our country is on big trouble whatever sinde warioba you will talk about ccm no solution only tanzania people take action hakuna njia nyingine uwoga wetu wenyewe ndio unatumaliza ktk taifa letu
@sospeterodhiambo6869
@sospeterodhiambo6869 День назад
Hakika namkubali Mzee huyu Ndo aliyebaki nchini kwa kutetea haki za wananchi
@abdallahkihanza482
@abdallahkihanza482 11 часов назад
Uchawa umepoteza hata mvuto ktk magazeti yote, ndio maana hata biashara ya magazeti, imepungua, maana magazeti yote yanaandika habari moja, waandishi waliowengi hawana ubunifu, pia uchawa umepitiliza
@georgempogomi7329
@georgempogomi7329 2 дня назад
Mhe Asante sana umebaki wewe tu sauti ya wananchi wengine wote na machawa wa mama na wizi
@mwaamwetahussain9947
@mwaamwetahussain9947 20 часов назад
Hawataacha hawa wameshikishwa kitu lazima wafanye juu chini wapige mdomo 😢
@simongwandu7392
@simongwandu7392 18 часов назад
Wananchi tunasikitishwa nakauli ya Baadhi ya viongozi kutumia matusi kauli ya Uchawa neno hili iende baraza la kiswahili Kupata ufafanuzi juu ya maanayake na matumizi yake.
@raphaelondego7703
@raphaelondego7703 19 часов назад
Mzee Waroba umenena ukweli.
@daudimichael7338
@daudimichael7338 2 дня назад
Wamebaki wachache hawa wazee, wakiisha tuendako ni kubaya zaidi
@Esterkomba-ef7eb
@Esterkomba-ef7eb 2 дня назад
Nimekuelewa sana mzee
@adrianoadriano-ys6bm
@adrianoadriano-ys6bm 2 дня назад
Mzee hakuna waandishi wa habari kizazi hiki, kwa sasa ni wapiga stori na umbea.
@user-vl7yy8gz9k
@user-vl7yy8gz9k Час назад
Waandishi waliandika haya ya mzee magazine Uchida H Waandishi mhimili wakimezwa nchi kuangamia
@innocentmleli1196
@innocentmleli1196 2 дня назад
Wape somo, wamepotoka.
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im 2 дня назад
Wawekezaji haswa wageni ndiyo wanathaminiwa zaidi ya wananchi wazaliwa.Tunaanza kuwa wageni nchini mwetu
@user-xs3ko8pg2g
@user-xs3ko8pg2g 2 дня назад
Mzee una hekima! Ni hazina ya taifa letu, ushauri wangu aliyekupiga kipindi kile atafutwe afungwe, madeleka na mwabukusi wakusaidie
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm 2 дня назад
Wekeni tunayochangia hapa gazetini tafadhali sana badala ya wewe mwanahabari kuachagua. Tunachukua muda kuwasomeni na nia ni kuhabarisha watu badala ya wewe kuyaweka kapuni.
@georgempogomi7329
@georgempogomi7329 2 дня назад
Mungu akulinde
@DullahKalanje
@DullahKalanje День назад
Sahii sana
@kyaruzilutaadolph1835
@kyaruzilutaadolph1835 2 дня назад
Kweli old is gold
@user-gc1ez1yv4k
@user-gc1ez1yv4k 2 дня назад
Hapo hakuna wandishi,Mh angalia hata kalamu wanazotumia mbele yako.
@simonnaivasha6393
@simonnaivasha6393 3 дня назад
Sure, mzee ,jaji mstaafu, Warioba waambie kizazii hiki cha IT L lakini hawajui jukumu Lao kwa jamii! Kuna mihili mitatu ya utawala katika Taifa , Bunge , mahakama na serikakali , wanaunganishwa na Waandishi wa habari waliosoma vizuri sio makanjanja, umefahamu??
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im 2 дня назад
Kwa sasa wananchi sio kitu. Ingawaje katiba inasema power ni ya wananchi. Power imekuwa ya wakubwa. Tumeona speaker wa bunge kamufukuza Mbunge Mpina kama mbwa. Bila heshima. Hiyo imewauma watanzania wapenda haki kwa wote. Wananchi wamezibwa midomo. Watetezi wote either wanaondolewa ama kunyamazishwa. Tunaambiwa mama Kąkopa na kumwaga pesa. Pesa hiyo haziwasaidii wananchi bali mafisadi. Tofauti kati ya matajiri na masikini inazidi kukuwa. Hii yote ni ukosefu wa haki.
@PaskaliCharles-pz8ds
@PaskaliCharles-pz8ds 2 дня назад
Hakika busara za huyu mzee na hekima yake ni muhimu kwa taifa anaongea ukweli wananchi hatusemewi wanadili kuwasifia viongozi mpaka vyombo vya habari vimepoteza mvuto kwa wananchi ni wachache sana wanaofuatilia habari sababu habari zinaupendeleo
@SaidOmary-fd3bj
@SaidOmary-fd3bj День назад
TATIZO MSTAFUU WENGI WALIANDIKA HABARI ZA UKWELI MWISHO WAO UNAKUWA MATATIZONI (NDIO HOFU YA WAANDISHI)
@debbiemes4600
@debbiemes4600 2 дня назад
Mimi nachoka kabisa na watanzania. tunapewa nafasi ya kuchangia baada ya msemaji mkuu kutoa hoja yake, Wantazania wengi tofauti na nchi zingine badala kuchangia hoja wanamwobea kwa Mungu. Sikatai je mchango huo unaenda na hoja? Tumezidi k.m Mungu akulinde, au kumsifia au huo nao ni uchawa?
@kenethmaseti8953
@kenethmaseti8953 2 дня назад
Tasnia ya habari imeharibika sana tuna wahandishi wa habari wa hovyo sana.
@GodfreyOsward
@GodfreyOsward 2 дня назад
Walio salama, ni wapi pamebaki?
@marandoruzali1946
@marandoruzali1946 2 дня назад
Mzee wa maana kabisa
@user-wz2gn1jx2h
@user-wz2gn1jx2h 3 дня назад
Kuna kipindi cha wasafi chaki sitokitaja wanapenda sana kusifia
@user-sw7tf1ob1b
@user-sw7tf1ob1b 2 дня назад
Hatuna haki muze hao walio pewa dhamana watafute kazi nyingine unaenda mahama unaka miaka kumi 20 heli usuluwishi kuliko majaji mugogolo wa aridhi Jerry makonda majaji Ina wachukua miyaka kalane wa mahakama anatafuta faili mwaka napo amepewa pesa mpaka tuchapane ujinga utaisha
@kindysuleiman5935
@kindysuleiman5935 2 дня назад
Warioba kama unayajua kipi kinachowapa woga sote tunafaham serikali Ndio inayoziba midomo
@EmmanueliZani-ur9bi
@EmmanueliZani-ur9bi 2 дня назад
Asante sana Mzee kwa hii Elimu, maana hicho ndicho kinachoendelea kwa taifa letu. Mungu awasaidie waandishi wa habari ili wasilalie upande mmoja. Asante.
@aloycemruma6552
@aloycemruma6552 2 дня назад
Hivi kitu linamka. Linampo nda Mzee kama huyu. Dunia..inamtambua .lenyewe halijawahi kuwa hata balozi. Wanyumba. Kumi. Kwa hiyo lunafurahia kutwekwa Watu akitekwa. Make wako ndio utamkumbuka hu. Mheshimiwa
@wilsonmbughi6445
@wilsonmbughi6445 2 дня назад
Huyu Mzee ni mzarendo
@Ba63828
@Ba63828 2 дня назад
Mzee na hili la sala kila penye shughuli za serikali wakati serikali haina dini? Je vipi ubabe wa baadhi ya viongozi kwa wananchi na wafanyakazi wa kada ya chini?
@knight6757
@knight6757 2 дня назад
Tunaelekea huko kuwa tabaka ya ufalme!
@abdallahkihanza482
@abdallahkihanza482 11 часов назад
Mzee hapo unapoteza muda hao wana malengo yao
@user-jl5un4wf3u
@user-jl5un4wf3u 2 дня назад
Baadhi yamabaki Yatunu zauzalendo wakweli nawenyeelimuduniia hekimana maalifa waliendesha nchi kwa uadilifu nakulinda mali naurithi amalia asili ikiwemo aridhi.
@user-sw7tf1ob1b
@user-sw7tf1ob1b 2 дня назад
Machinga hao ndio tunaotegemea siyo wajinga wasomi hata wakati wa uhulu nyelele alikua na wajinga wasomi wakaa pembeni wakasema ni chama Cha wajinga hivi tumeteseka miaka 62
@MohamedBlanker-jw9qy
@MohamedBlanker-jw9qy 2 дня назад
Hats wabunge machawa ona walivyomshambulia mpina
@jizzotheking9238
@jizzotheking9238 2 дня назад
Kujipendekeza ndo kunalet shid kwa media na viongoz
@khadijabuberwa3362
@khadijabuberwa3362 2 дня назад
Mzee walyoba anasema ukweli mengine lakini siyo yote zamani wao walikuwa wanasema zidumu fikira zamwenyekiti labuda sikuizi ndio imebadirika wakaita itifaki
@GodfreyOsward
@GodfreyOsward 2 дня назад
Zire zilikuwa fikria sio mawaza, kila binadamu anayo mawazo kwa sababu mawazo na maoni ni bidhaa rahisi hapa duniani.Fikra ni bidhaa adimu na ni ngumu kuwa nazo. Fikria zile zilizaa viwanda, umoja wa kitaifa. Ni fikira hizo zimetuweka Hadi leo. Sasa hivi mawazo yanaongoza. Sasa ni Tumetoka kwenye kuheshimiana, sasa taifa la nyimbo na shangwe
@husseinmkanga7794
@husseinmkanga7794 2 дня назад
Kuna dada hapa analala wenzie wanachukua Note akitoka hajui nini kimeongelewa.
@user-gv8yn9lg1i
@user-gv8yn9lg1i 2 дня назад
😂😂😂😂😂
@yahyahamisi2038
@yahyahamisi2038 4 часа назад
Uchawa , ukada , ukanda , uzanxibY na Uzanzibari, udangyika , ni shit shidaaaaaa ktk muunganimo huu😂😂 nyambafu zetu 😂😂😂 midanganyika Timo tuuu bwashet😂😂 hivi sie Wadanganyika aliyeturoga ni nani? 😆😆😆🤣🤣😆
@SaidiMkome-qq7hy
@SaidiMkome-qq7hy 2 дня назад
🙌🏃🏃🏃🏃
@yordanyona1234
@yordanyona1234 2 дня назад
Chawa na waandishi na wabunge wote wamekuwa machawa wanaumiza taifa
@rabiakitigwa9120
@rabiakitigwa9120 2 дня назад
Siyo chawa tena ni mikunguni tu
@seifusengondo9170
@seifusengondo9170 2 дня назад
kukosoa kaachiwa mpina
@KaidiMajengo-sv7dd
@KaidiMajengo-sv7dd 2 дня назад
Mung, akuzidishi, Hakuna, mwingine
Далее
Редакция. News: 124-я неделя
52:01
Просмотров 1,2 млн