Тёмный
No video :(

KATIBU MKUU ENZI za NYERERE ATAPELIWA KIWANJA na MUSHI - WAZIRI SILAA AINGILIA na KUMREJESHEA... 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 74 тыс.
50% 1

KATIBU MKUU ENZI za NYERERE ADAI KUTAPELIWA KIWANJA na MUSHI -WAZIRI SILAA AINGILIA na KUMREJESHEA..
Katibu mkuu wa zamani wa wizara ya Afya kipindi cha utawala wa hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Zahra Nuru ameeleza masikitiko yake juu ya kutapeliwa kiwanja chake no. 800 kilichopo Msasani beach jijini Dar Es Salaam na mzee Paul Mushi ambaye inadaiwa alifoji nyaraka na kubadilisha umiliki wa kiwanja hicho.
Kwa upande wake Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Jerry Silaa mara baada ya kumsikiliza mama huyo na kupitia nyaraka amemuagiza kamishana mkoa wa Dar Ea Salaam kiwanja ambacho kilikatwa kutoka kiwanja no. 800 kifutwe na wafufue mipaka pamoja na kipima viwanja viwili no.799 na kiwanja no. 800 na kuhakikisha kiwanja no. 800 wamilikishe Mama Zahra Nuru.
Katibu mkuu huyo amefunguka hayo mbele ya waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Jerry Silaa alipofika eneo hilo baada ya mama huyo kuwasilisha taarifa wizarani ili kupata haki yake.
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9z...
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Опубликовано:

 

23 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 266   
@globaltv_online
@globaltv_online 2 месяца назад
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@husseinkarim7663
@husseinkarim7663 2 месяца назад
Mushi ni Papa mla watu kweli, loh, aliweka serikali zote mfukoni. Mzee Lukuvi hakuyaona hayo? Hongera Waziri, sasa matapeli wataogopa, mungu akupe maisha marefu.
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 2 месяца назад
Mwisho wake umefika
@VictorKotein
@VictorKotein 2 месяца назад
Lukuvi hana ya sheria kama silaa
@VictorKotein
@VictorKotein 2 месяца назад
Lukuvi hana elimu ya sheria kama slaaa
@zenawahindi2425
@zenawahindi2425 2 месяца назад
mwenyezi mungu amuweke uyu waziri haki haki inatendeka izi huyu mama msomi na kahangaika hivi je mjane asienda shule inakuaje mungu katuletea mtetezi mpya mama anajua
@user-ye3fy9kk6r
@user-ye3fy9kk6r 2 месяца назад
Na anajuana na watu wakubwa tu wa inchi,aissee umewaza mbali sana
@KaburuKimath-eu5nf
@KaburuKimath-eu5nf 2 месяца назад
Kwa Hali hii basi mtu mdogo kupata haki ad umwone waziri huzika jeep ni wangapi tunahuo uwezoo Mimi ushauri wangu naona mahakama zetu hazitendi haki
@zenawahindi2425
@zenawahindi2425 2 месяца назад
@@KaburuKimath-eu5nf Cmahakama zote my dear ila kwa mimi nilichopitia nilopokuwa nafatilia ,miradhi ya babangnilu mama aliambiwa ela ikitoka tuwape laki saba nakakubali haikuchelewa na nikaweza kurudi shule kama hela ipo u una hela ucwe na mkono mfupi
@zenawahindi2425
@zenawahindi2425 2 месяца назад
@@KaburuKimath-eu5nf kingine cku zote kama umempeleka mahakamani mtu mzito kifedha au anawatu nyuma yake wazito sahau mambo ya haki
@kutailass6671
@kutailass6671 2 месяца назад
​@@zenawahindi2425unamaanisha kuhinga ama sijaelewa hapo
@afraeliazaelayo
@afraeliazaelayo 2 месяца назад
Asante Mungu. Mpe nguvu mama Samia Suluhu Hassan,Rais wa Jamhuri y Muungano wa Tanzania,Apate Maono ya Kuwateuwa Wateule Wake,wakaongeze Nguvu ya Utendaji wa nguvu wakaungane na Wachapa kazi hawa wanaosimamia Haki. Asante Serikali yetu. Mungu Watangulie.
@MACHOYATAI-jk6fu
@MACHOYATAI-jk6fu 2 месяца назад
Samia ameuza bandari zetu bahati uwanja wa kia ngorongoro tena apewe ngumu!! Nsiatatuuza na sisi hivi kwà nini waisilamu mnakoswa akili!!! 😭😭😭
@hassanhancha1413
@hassanhancha1413 2 месяца назад
​@MACHOYATAI-jk6fu umeongea vyote ukiwa unamzungumzia Rais ila mwishon umeingiza udini shida ni nini nyie ndugu zetu lkn,dini imeingiaje hapo
@ip_header
@ip_header 2 месяца назад
Huyu mama Anajua kujielezea, big Up kwa Mh. Slaa Waziri wa Ardhi kijana smart sana, ataweka alama kwa vizazi vyake hata kwa 100 ijayo.
@stanleynombwe4865
@stanleynombwe4865 2 месяца назад
Ni msomi huyo na mwanasiasa kamwe hawezi shindwa kujieleza
@jasonwatz7457
@jasonwatz7457 2 месяца назад
​@@stanleynombwe4865si kila msomi au anaejua kujieleza ni mwanasiasa
@saeedpazzi1767
@saeedpazzi1767 2 месяца назад
Mama mwenyewe msomi
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 2 месяца назад
Huyu Mama duh..!? Ananyoosha Maneno Hatari
@CikeTanzania
@CikeTanzania 2 месяца назад
Hawa vijana Mama samia waangalie kwa macho matatu wasitoke kwenye hizo kazi plz.
@rosehaule6765
@rosehaule6765 2 месяца назад
Hakika mm namuombea waziri wetu unaponya mioyo yete..Mungu akupe afya njema mafanikio yenye manufaa pole pia damu ya yesu ikulinde
@davidkamando9630
@davidkamando9630 2 месяца назад
Kwenye maombi yetu tuwaombee sana waziri slaa na bwana makonda.. hii ni tunu Mungu ametupatia
@KaburuKimath-eu5nf
@KaburuKimath-eu5nf 2 месяца назад
Waziri hao waliotoà hati bandia kwani wasishughulikiwe
@veronicamokiwa4315
@veronicamokiwa4315 2 месяца назад
Hakika huyu Slaa Makonda na Biteko ni kuwaombea sana
@DanielleMendel-tt2ik
@DanielleMendel-tt2ik 2 месяца назад
Mnamuacha waziri wa kilimo H.Bashe
@user-sl1ko9me7u
@user-sl1ko9me7u 2 месяца назад
BRAVO MH. WAZIRI SILAA....MUSHI NI TAPELI ALIYEKUBUHU....MH. WAZIRI SAFISHA WIZARA YAKO.
@marthaswai1185
@marthaswai1185 2 месяца назад
Waziri,huyo mtu hakuwa pekee yake.Ana mfumo ndani ya wizara yako.Awataje wote ili waondolewe wizarani.Kuna watu wengi wameteseka sana ardhi.Kuna kesi ya 30yrs imezunguka mahakamani
@hawaelymaricca7602
@hawaelymaricca7602 2 месяца назад
waziri Silaa na Makonda Big up KUBWAA. Narudia kusema mama Mh Rais wangu hawa vijana wanapiga kazi bila kupepesa Macho , Ninakuombea sana mama yangu na hawa vijana wako Makonda na Jerry Silaa. Mungu wangu awailinde na kuwasimamia😂 kwa kaz nzuri mnayofanya kwa kweli. Mama bi up kaz iendelee.
@drbalagomwatvonline4937
@drbalagomwatvonline4937 2 месяца назад
Kabisa mimi binafsi namuomba mama amrudishe Ali Happy ampe mkoa maana naye pia ni kiongozi bora sana ambaye hapendi rushwa na tutakuwa na majembe watatu hata viongozi wengine wataanza kuona aibu
@piuskusenge-jf2ob
@piuskusenge-jf2ob 2 месяца назад
Hivi ndani ya nchi hii, kama Viongozi wananyanyaswa inakuwaje raia wa kawaida
@adamhashim3352
@adamhashim3352 2 месяца назад
Swali hili gumu sana
@digitalworld5577
@digitalworld5577 2 месяца назад
Aisee swali hili limenifanya nitafakari sana. Mama yuko kwenye system toka enzi za Mwalimu kadhulumiwa, wenzangu na mie maelfu kwa maelfu mpk wengine watakuwa wameshatangulia mbele za haki walidhulumiwa
@barbarasara4033
@barbarasara4033 2 месяца назад
​@@digitalworld5577 Tena katibu mkuuuuu😅😅😅😅😅😅😅
@ziggertv3185
@ziggertv3185 2 месяца назад
Kwelii kabisa unakuta mtu kaitumikia serikali ila bado anadhulumiwa na ma papa
@mariyamgharib940
@mariyamgharib940 2 месяца назад
Uyu mzee moshi tapeli hatari kabobeya haswa
@user-fj4kj8xc5x
@user-fj4kj8xc5x 2 месяца назад
Nakukubali sana kiongozi silaa, hakika wewe ni mjumbe wa mungu duniani katika kutetea haki za wanyonge wa tanzania
@maneno_kairuki
@maneno_kairuki 2 месяца назад
Kazi nzuri sana. Wachaga wananyooka. Hawa kina mushi matapeli sana
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 2 месяца назад
Ukisikia mtu anaitwa Mushi, Masawe, na Shirima..Ogopa hawa hayo Majina kwa UTAPELI hawafai...ni noma
@frankgichuhi8993
@frankgichuhi8993 2 месяца назад
A true leader ..wish you were in Kenya
@MordAlly-ng8jj
@MordAlly-ng8jj 2 месяца назад
Well done Mh Jerry Slaa, Mungu atakulinda nasi tunakuombea afya na uzima , huyu Mushi ameumiza watu wengi sana , ilitakiwa awekwe ndani na kunyang'anywa maeneo yote
@jonamnyone8014
@jonamnyone8014 2 месяца назад
Huyo Mushi ni yule aliyesema anasikia njaa hajala tangu asubuhi?
@babuuosama8752
@babuuosama8752 2 месяца назад
SLAA NA MAKONDA VIJANA TAJIRI WA NYOYO NA KINAYA NA PESA ZA THULUMA WAMCHAO MOLLAH WAO MUHUMBA MALIPO YENU MWENYEZI MUNGU ATAWALIPA HAPA HAPA DUNIYANI INSHAALLAH !
@user-sw7tf1ob1b
@user-sw7tf1ob1b 2 месяца назад
Kwanini kesi zichukue mwaka nao mahakimu majaji nao watungiwe sheliya wakikiuka nao wapoteze haki waone na familia zao wote
@Brunn-mh2bq
@Brunn-mh2bq 2 месяца назад
"Sheliya" ni mdudu gani sasa. Jifunze Kiswahili la svyo achana na mitandao. Unayeharibu Kiswahili huna tofauti na anayedhulumu haki za wengine. Sheria inapaswa na wewe kukushughulikia
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 2 месяца назад
Wanaogopa
@CasmirKiwale
@CasmirKiwale 2 месяца назад
​@@Brunn-mh2bq😂😂 wanakurupuka tu
@MohamedSleyim
@MohamedSleyim 2 месяца назад
Mungu atuletee watu kama Jerry Slaa wanaofuata haki na kumtanguliza Mungu.Big up Mh.Jerry Slaa.
@kristofuraha3369
@kristofuraha3369 2 месяца назад
Slaa wewe ni baraka sanaaa
@MagrethMallya-we8ui
@MagrethMallya-we8ui 2 месяца назад
Mungu Akubariki tena na tena Jerry, Ambariki na RAIS SAMIA , Ambariki na Makonda. Mungu ana mpango na nyie kazi yetu ni Moja kuwaombea.
@MinskBelarus-il2tl
@MinskBelarus-il2tl 2 месяца назад
Marget, bado umemsahau BASHE
@user-fr7jj1bo7y
@user-fr7jj1bo7y 2 месяца назад
safi sana wakubwa nao wameanza kudhulumiwa na kuibiwa labda sasa mtasikia vilio vya wanyonge
@henrymjema1685
@henrymjema1685 2 месяца назад
Kila kiongozi kwenye eneo lake akifanya kazi kama Jerry, serikali itapendwa Sana na wananchi.
@kazungumatano5938
@kazungumatano5938 2 месяца назад
This is a great fair Government officer🤝🏿
@aminaomary5567
@aminaomary5567 2 месяца назад
Yaan Rais wangu wachapakazi kama hawa usiwatoe sehem zao waache wachape kazi:silaa:makonda: sendega:chalamila:ali hapi tena huyu sio wa kuwekwa ccm huyu serikalini apewe mkoa awe Rc. Kama wenzake hapo iuu.❤❤❤🙏🙏🙏👍👍👍
@user-xn8jh1yw1h
@user-xn8jh1yw1h 2 месяца назад
Lila na Fila havitangamani. Hongera sana Madame kwa kupata hali yako. Good job Mheshimiwa Silaa.
@HassanSheikhghalib
@HassanSheikhghalib 2 месяца назад
Mama yetu kuna mawaziri umewateuwa kama silaha wa aridhi na bashe wa kilimo wallahi mama yetu hukukosea hata kidogo kua nao karibu mana wanakuwakikisha Kwa wananchi jinsi inavo takikana Ni wadilifu tukipata kama hao ishirini nchi yetu itafika mbali mama we Ni raisi usie angalia sura unangalia utendaji mzuri wa ulie mpa dhamana ya kile atakcho enda kukisimamia BG up mama bila ya kumsahau deo ndejembi nae namfatilia Ni jembe mchapa kazi mzuri sana hongera mama Kwa kuwapa vijana nafasi
@NGAMBAKIMTEI
@NGAMBAKIMTEI 2 месяца назад
Salaam Mheshimu Waziri wa ardhi Ee Mwenye Mungu akulinde na akutunze Kwa kutenda Haki Kwa Mtumishi wa serekali . Je vipi huko wananchi hitakuwaje kwenye kazungushwa mahakamani Kwa miaka? Ee Mwenye Mungu unisaidie. Mheshimu Silaa Ndio Jembe na Nyundo Kwa Kujenga Taifa ❤ TZ
@user-mp6zd2ui7r
@user-mp6zd2ui7r 2 месяца назад
Makonda Jeli Bashe Biteko Aweso kwenye nchii Wenda wakatuvusha 🇹🇿
@veronicamokiwa4315
@veronicamokiwa4315 2 месяца назад
Mwenyezi Mungu awapatie ulinzi kwa kufuta machozi ya wengi
@bahiyalumelezy3016
@bahiyalumelezy3016 2 месяца назад
Hongera mh mstaafu zahra nuru kwa kupata haki yako.mungu mkubwa atawafichua kila madhalim kwa wakati wao inshaallah.
@user-pi1st6pj3w
@user-pi1st6pj3w 2 месяца назад
YESU Awabariki sana Kwa kusimamia haki
@ramadhanisalum3898
@ramadhanisalum3898 2 месяца назад
Watu wangu wa maana kbc silaa na makonda ❤❤
@saeedpazzi1767
@saeedpazzi1767 2 месяца назад
Wachaga wengi ni madhalimu wamedhulumu nyumba na viwanja vingi sana hapa mjini,
@bahiyalumelezy3016
@bahiyalumelezy3016 2 месяца назад
Sanaa ni watu wa ajabu hawatosheki wanajifanya wanaijuwa pesa na mali saana lkn mwisho wa siku maiti wanasafirisha kuzika makwao tu.muogopeni mungu vitu vya kupita r
@mandyfitnesstv6738
@mandyfitnesstv6738 2 месяца назад
Sure. Wezi
@brunopeter9776
@brunopeter9776 2 месяца назад
Matapeli
@fatmamansour2764
@fatmamansour2764 2 месяца назад
M mungu akulinde baba na kila shari akuondolee na mahasidi
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 2 месяца назад
Narudia tena kuuliza hili Swali hivi haya si ya Zamani..? LUKUVI alikuwa anafanya Kazi gani..?..huyu JERY SLAA akae kwenye hii WIZARA hadi umauti..Big up sana Mama.
@InnocentLeonard-gy1mn
@InnocentLeonard-gy1mn 2 месяца назад
Kwani huyu Mzee mushi nimkubwa kuriko serikali?🙏
@deusisindwa616
@deusisindwa616 2 месяца назад
Asnt Silaa Mungu akubariki
@georgemwakalindile687
@georgemwakalindile687 2 месяца назад
Huyu Mama miaka ya 1980's alikuwa akiishi oysterbay-mtwara cresent....miaka mingi yupo nje ya nchi.......watendaji wa ardhi wameanza upuuzi huu miaka mingi kuvizia viwanja vya wenyewe walio nje na kuviuza
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 2 месяца назад
yaani..kuna baba moja anitwa david mshiu alikuwa balozi na anashamba bagamoyo. alivorudi nchi shamaba lake lilivamiwa akazungushwa mwisho akafa na pressure juu ya hili swala..kazi kweli
@user-zm4mm4eb5j
@user-zm4mm4eb5j 2 месяца назад
Mama yetu SSH mungu akupe umri mrefu na afya tuletee vijana kama hawa kwenye wizara nyengine kuna madudu mengi tumechoka kuona watendaji wanakusifia sifia tu lakini hawafanyi kazi mama.. Teua majembe mama Usiogope serikali inayosikiliza wananchi ndio serikali.. Nawasilisha
@ScopionScopion-zj9cd
@ScopionScopion-zj9cd 2 месяца назад
mama msomi halafu ana pesa lakini kakosa haki yake je masikini sindio hapati kabx dah kweli pesa Noma sana ukijua kuizungusha kwa watoa haki
@user-jj7qv7kh2s
@user-jj7qv7kh2s 2 месяца назад
Maskini ukizurumia aridhi na huna pa kukaa ,lazima umtafute aliekuzurumu ili kwa gharama yoyote ili kezi akaamue mwenyezi mungu mbinguni sio wa kuwachelewesha watu kama hao
@RoseKimishabhalemi-oz9bn
@RoseKimishabhalemi-oz9bn 2 месяца назад
Asante sana wazirikumshikilia mungu tunajifunza
@abdallahally842
@abdallahally842 2 месяца назад
Huyu waziri mungu ambariki sana
@hassanbilali1697
@hassanbilali1697 2 месяца назад
Hongera sana waziri unafanya kazi nzuri sana.
@marthaswai1185
@marthaswai1185 2 месяца назад
Kongole Waziri Slaa
@user-zq7gw4ik7g
@user-zq7gw4ik7g 2 месяца назад
Waziri Jery slaa mungu akupe maisha marefu . Naamin nami nitapata haki yangu ya ardhi kupitia wewe.
@user-yf6ws8uz2p
@user-yf6ws8uz2p 2 месяца назад
Machozi yananidondoka siamini Kama haya yanatendeka kipindi hiki Cha mama daah inchi ilikua mbaya hii Allah awahifadhi viongozi waadilifu Hawa na rais wetu mwema amiin
@allymkamba1054
@allymkamba1054 2 месяца назад
Raisi ampe ulinzi Waziri asiogope hao papa wala watu.
@fidelismwakanyamale6787
@fidelismwakanyamale6787 2 месяца назад
Aisee baba yangu mushi anakufa masikini Mungu wangu
@adamhashim3352
@adamhashim3352 2 месяца назад
Anyongwe
@maneno_kairuki
@maneno_kairuki 2 месяца назад
Mwizi
@ogossygassayachacha6988
@ogossygassayachacha6988 2 месяца назад
Hongera waziri na mbunge wangu,tumechoka na matepeli wa ardhi
@dn.n4983
@dn.n4983 2 месяца назад
Good job Mh
@user-rk9gr9yf3i
@user-rk9gr9yf3i 2 месяца назад
Mama Samia hongera Jerry Slaa muekee naibu wake Paul Makonda awe naibu wake wa ardhi vilio vitaisha ndani ya siku 100 haki zote za waliodhulumiwa wazipata
@user-ok6lv3je4b
@user-ok6lv3je4b 2 месяца назад
Waziri jery slaa mungu akupe maisha malefu haki uinua taiga balikiwa
@fabianclato3101
@fabianclato3101 2 месяца назад
Wachaga matapeli sana
@JosephuSwai
@JosephuSwai 2 месяца назад
Mama ako
@vashtyburge3998
@vashtyburge3998 2 месяца назад
Acheni kujumlisha watu wote Kila kabila lina wahuni na matapeli
@paulremigiuspaul3293
@paulremigiuspaul3293 2 месяца назад
Stay blessed Mh. Jerry Slaa
@rehemakanyere4188
@rehemakanyere4188 2 месяца назад
Aminaaaa
@MrKhatibu
@MrKhatibu 2 месяца назад
Kila kona owned by Mr Mushi😊😊😊😊
@farusaimon3490
@farusaimon3490 2 месяца назад
Ndugu Viongozi wa Serikali, kama wananchi wenye uwezo wa kuwa na Wanasheria binafsi wanaweza kudhurumiwa, je, kwa wengine ambao hawana uwezo huo, hali ikoje? Ndugu Waziri, kwa kipindi hiki ulichopo madarakani, jitahidi sana utembelee na kwenye maeneo ya miji midogo na vijijini. Huko, watu wanalia na hawana pa kupeleka kilio chao, wala hawana uwezo wa kukufikia mahali ulipo. Anayeijua kesho yako ni mwenyezi Mungu, sisi tunaijua leo yako tu.
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 2 месяца назад
Uyu mama anajielewa sana...na anajuwa sana..iyo ni haki ya uyo mama..hii inchi bwana ina dhurma sana
@Brunn-mh2bq
@Brunn-mh2bq 2 месяца назад
Jamila wewe una umri gani unaandika Kiswahili kama mtoto wa chekechea? " uyu" "uyo" "iyo " " dhurma" ni vitu gani sasa! Huyu, huyo, dhulma ndio sahihi. Acha kuvuruga lugha yetu. Kama huwezi kuandika lugha sahihi achana na kiherehere cha mitandao. Hii lugha si ya mama yako uchezee tu unavyotaka 😢
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 2 месяца назад
@@Brunn-mh2bq pwenti yng nikwamba muheshimiwa slaa anajuwa Sana kusimamia haki za watu Yan Jeri siraha ni kiongoz mzur Sana..anajuwa kazi yake.. na mama Samia pia anajuwa Sana kuongoza nnchi.kwamana uongozi wa urais sio kitu chepes na haswa ukiwa unataka kutenda haki na kufuatilia vitu in details..unajuwa mim ninakero Sana kuhusu Kes za madai Yani mtu unafanya nae biashara kwania njema tu alafu mtu anakudhurumu Kwa makusudi alafu kumbe ukienda mbele unazinguliwa unaambiwa iyo kesi ya madai madai mtu hufungwi kwel iyo ni haki...ndomana matepel ni wengi Sana tena mtu anakudhurumu Kwa makusudi alafu anajuwa huna pakumpeleka nawakati unavyovizibiti lakin unasumbiliwa ndomana nilisema vile..napia yule mama anajielewa kujielezea Kwa dhurma aliyofanyiwa...kiufupi raise wetu katuletea jembe letu Jeri silaha..namkubal Sana mwamba wng..mungu amuweke miaka mianane
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 2 месяца назад
@@Brunn-mh2bq by the way mim ninaumri kama uupendao wewe ukitaka kuniweka popote nakaa kaka ...mim ni chekechea kama wewe kaka
@dubedangali4262
@dubedangali4262 2 месяца назад
​@@jamilaathumani5481usife moyo hatufanani elimu dada ang, lakini Kila mtu anahaki yake hata aliyeishia shule ya msingi
@mishiabdu7478
@mishiabdu7478 2 месяца назад
Mungu akuweke
@adammjomba5814
@adammjomba5814 2 месяца назад
Lakini huyu mzee mushi kwanini ananunua vitu kijanja janja? Mtu umejaliwa mali na jina kubwa unajulikana kwanini usipatiwe viwanja vyako? Kama hao wanaokupa hivyo viwajanja wangekua wanakupenda wange kupatia viwanja halali wewe mzee hushituki tu,? Kweli watu wengi waliosoma hawana Akili wana penda kutumia nguvu nyingi mwisho wasiku wanashindwa na mtu dhaifu mali inapotea. Mwisho wa siku mzee atafilisika tu dhuluma haishindi Haki, kuna chakujifunza apo kwa Mushi viwanja.
@susananyasani6526
@susananyasani6526 2 месяца назад
Waziri Silaa ameamua leo Kero za Ardhi kwa Wananchi wanyonge na kupitia haki kama alivyotumwa na Rais Samia Suluhu Hassan asante Waziri na Rais
@maharagendondo
@maharagendondo 2 месяца назад
HAYA, MAMA TOKA ENZI YA BABA YETU KAMBARAGE ANZULUMIWA JE, SS RAIYA MASIKINI TUTAULIWA TU,
@mzadomwongozo3671
@mzadomwongozo3671 2 месяца назад
Huyu ni waziri mchapakazi sana, swali la kujiuliza ni watumishi wa aridhi na matapeli mahali pengine wataendelea kushikilia madudu kusubiri mheshimiwa aje afumbue (jambo ambalo ni vigumu kutokea ) au wataanza kufanya kazi kwakufuata mfano.
@KaburuKimath-eu5nf
@KaburuKimath-eu5nf 2 месяца назад
Hawa watumishi Wana shingo ngumu Wala hawaogopi
@Brunn-mh2bq
@Brunn-mh2bq 2 месяца назад
Hakuna kitu kinachoitwa"aridhi" ndugu. Neno sahihi ni "ardhi". Acha kuharibu lugha. Tumia kamusi ujiridhishe kwanza kabla kukurupuka kuandika vitu usivyovijua. Muda si mrefu tutatunga sheria kuwashughulikia watu kama wewe. Sio utani mnakera sana.
@kainimlowe9646
@kainimlowe9646 2 месяца назад
Ina Mana na magufuli aliwashindwa
@simonlukiko2850
@simonlukiko2850 2 месяца назад
​@@kainimlowe9646 TATIZO ILIKUWA KWA WAZIR I AMBAYE ALIKUWEPO WAKATI HUO
@menlandmutashobya8377
@menlandmutashobya8377 2 месяца назад
​@@Brunn-mh2bqMwalimu wa kiswahili
@ikulunimahalipatakatifu7642
@ikulunimahalipatakatifu7642 2 месяца назад
Huyu Jamaa Mushi Mhhh mbona Amekuwa Moshi unavuka, hahahhahaha, Ongera Jemedali Jerry Silaha
@oyay2821
@oyay2821 2 месяца назад
Mushi ni jambazi sugu, hapo amepatikana 40 zake zimefika.
@SeifMsellem-ej1kv
@SeifMsellem-ej1kv 2 месяца назад
Katika viongozi wachapa kazi serikali yetu hii hawa watu namba moja Waziri Slaa na mkuu wa mkoa Makonda mama naomba sana hii miamba uilinde ili kazi iendelee
@stanleymwaselela1849
@stanleymwaselela1849 2 месяца назад
Mzee mushi kaisha Kila Kona Yuko hoi
@chefr3020
@chefr3020 2 месяца назад
ni kesi zaidi ya tano namsikia huyo mzee akitajwa
@user-ii6gs2jg4g
@user-ii6gs2jg4g 2 месяца назад
​@@chefr3020duuuu ni hatari Ila pia hatali kwake zaidi
@adamhashim3352
@adamhashim3352 2 месяца назад
Huyo mush mi naona bora apotezwe na wasiojulikana maana kapitezea watu muda
@user-sw7tf1ob1b
@user-sw7tf1ob1b 2 месяца назад
Muhemiwa Jerry sheliya iende bungeni ibadilishwe tunateswa na mahakama mama samiya afute mahakimu na majaji kesi miaka 30 hao wafutwe na wafungwe kesi myaka siwafutwe wasomi wa sheliya wapo au
@baloz8974
@baloz8974 2 месяца назад
Majaji wasomi wengi matapeli
@liberatusjackson5045
@liberatusjackson5045 2 месяца назад
Huyo kstibu nayeye alitenda mema au mema kwawengine....TZ🎉🎉🎉🎉🎉
@user-iw5hu3mc7l
@user-iw5hu3mc7l 2 месяца назад
Daha huyu jamaa anajua sana mambo ya ardhi kama lukuvi
@shabanponera2895
@shabanponera2895 2 месяца назад
Mzee mushi mwizi balaaa
@msafirimaulidi5054
@msafirimaulidi5054 2 месяца назад
Swali langu baada ya Jerry slaa itakuwaje? Ao matapeli awatokuja kuwasumbua upya
@NabiiMkuupdYohana7974
@NabiiMkuupdYohana7974 2 месяца назад
Mungu atainua mwingine
@hajjisanga789
@hajjisanga789 2 месяца назад
Jembe la wizara ya ardhi mtu wa mungu hii ndio heshima ya serekali moja baada ya moja wala kelele hamna kimya kimya span tu hongereni
@JuliusMlengeswa
@JuliusMlengeswa 2 месяца назад
Nakupongeza Waziri. Nimefurahi ulivyo li-handle hili na kusisitiza utawala wa sheria. Kuna sehemu wananchi tunanyanyaswa na watendaji wetu wanaoziweka sheria pembeni na kutumia akili zao finyu.
@AllyMaya-yj3xd
@AllyMaya-yj3xd 2 месяца назад
HII VITA NI NGUMU SANA UNAYOPIGANA JERRY HATA KAMA UNAMUAMINI MUNGU ULINZI KWAKO NI MUHIMU KWA MANUFAA YA TAIFA HAO WATU UNAODILI NAO NI MA GANGSTER BADO TUNAKUHITAJI
@user-ii6gs2jg4g
@user-ii6gs2jg4g 2 месяца назад
Daaa huyu mushi ana nini lakin
@stanastana3199
@stanastana3199 2 месяца назад
Mushi bana daah
@jacklinelyimo7407
@jacklinelyimo7407 2 месяца назад
Mmh kwa kweli Mushi ni kiboko kila kona
@user-zp9qw7oi5w
@user-zp9qw7oi5w 2 месяца назад
Huyo mushi hata lukuvi alimshidwa huyo bonge la tapeli. Mawazili wengi alikua kawashika
@victorcephas3618
@victorcephas3618 2 месяца назад
Who is Mushi in this country?
@clemencemkondya8561
@clemencemkondya8561 2 месяца назад
Hivi mawaziri waliopita walikuwa hawayaoni haya .mheshimiwa Rais Samia awapime watendaji wote na mawaziri kwakuangalia wanachowafanyia wananchi .sivinginevyo inakerea sana .Ú
@saidabdillahi8107
@saidabdillahi8107 2 месяца назад
Good question
@Dadydadonmiki-dg3nl
@Dadydadonmiki-dg3nl 2 месяца назад
Kwahakika sisi watanzania tulio wengi tunaona ya kwamba ni watu wawili tu ndio wanawatetea watanzania,ni Makonda na Slaa tu.
@dubedangali4262
@dubedangali4262 2 месяца назад
Kabisa sioni wengine wanachofanya ila Hawa wawili Mungu awabariki sana
@hamidmussa838
@hamidmussa838 2 месяца назад
Jamaa anakili sanaa!
@saidgawawa8519
@saidgawawa8519 2 месяца назад
Mama Samia hoyeee!! 👍👍💪
@user-iw5hu3mc7l
@user-iw5hu3mc7l 2 месяца назад
Kwani huyu mushi jamani mchaga wa aina gani? Anaharibu jina la wchaga jamani
@user-ki7hd3lg2q
@user-ki7hd3lg2q 2 месяца назад
Wachaga ndio zenu kupora ardhi na Mali za watu kesi nyingi mnazo nenda arusha na moshi mnavyouana kisa ardhi
@user-pe9uo4ec6y
@user-pe9uo4ec6y 2 месяца назад
Mushi achomoki yani kila mahali kadhulumu kiwanja
@ahmedsalim9463
@ahmedsalim9463 2 месяца назад
Good
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 2 месяца назад
Sasa Mushi mbona umekuwa tapeli sana .itakuwa amewapiga wengi wengine wamekufa. Sukuma ndani uyu mushi
@johnmalembo6464
@johnmalembo6464 2 месяца назад
Huyu Mushi ni nani mbona kila Kona anatuhumiwa kwa ardhi..,.. hmmm
@tyivbra
@tyivbra 2 месяца назад
Waziri ni very intelligent
@user-ry8xf1no2s
@user-ry8xf1no2s 2 месяца назад
Mueshimiwa laisi Alha akujalie afya Njema na ma wazili wako Wafanyekazi salama Indio tanzania yenye upendo
@bakarially253
@bakarially253 2 месяца назад
Daaah hii inch kumbe bado tupo nyuma sana
@ManaMediaKE
@ManaMediaKE 2 месяца назад
Kwani huyu MUSHI ni nani hakamatwi?
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 2 месяца назад
Shida si mzee Mushi,shida baadhi ya watendaji wa ardhi ni watu waovu mno!!
@user-kd9dc4li7f
@user-kd9dc4li7f 2 месяца назад
Wachaga wezi hawo wamezoeha kwako kuzurumu Aridhi
@othumanomari1589
@othumanomari1589 2 месяца назад
Masawe typing
@ndolepeter2770
@ndolepeter2770 2 месяца назад
Mmh Wachaga oyeee!
@alexleopold7066
@alexleopold7066 2 месяца назад
Huyu mushi ni hatari sana
@zainabumartin9520
@zainabumartin9520 2 месяца назад
Jaman kuna migogoro sana
@shariffsagaf2305
@shariffsagaf2305 2 месяца назад
Mheshimiwa sio kawaida sielewi waliopita walikuwa wanafanya nini.mheshimiwa slaa tunashukuru kwa kazi yako na tunakumbea wewe na kizazi chako
@salimmalaka256
@salimmalaka256 2 месяца назад
KWANI HUYO TAPELI PAUL MUSHI YEYE NI NANI?? ANAWEZAJE KUICHAFUA NCHII NA KUDHULUMU WATU ANVYOTAKA?? TAIFISHENI MALI ZAKE ZOTE MUWAPE WENYEWE HATA KAMA KAZIJENGA ILI IWE FUNDISHO HAKUNA KUVUNJA.
@AllyMaya-yj3xd
@AllyMaya-yj3xd 2 месяца назад
Yaan paul mushi ndio paul 😂😂😂 ila mwaka huu kayakanyaga asee
@salimmalaka256
@salimmalaka256 2 месяца назад
@@AllyMaya-yj3xd KAMA KAYAKANYAGA NA YEYE MWENYEWE AKANYAGWE PIYA HAHAHAHHH
@mbwanakiting7180
@mbwanakiting7180 2 месяца назад
Intro nyingi bwana
Далее
REFLEX CHALLENGE vs FOOTBALL MACHINE 🙈😱
00:24
Просмотров 2,6 млн
OBLADAET - BARMAN
03:06
Просмотров 222 тыс.
NAPE ATINGA IKULU/AMUOMBA MSAMAHA RAIS MAGUFULI.
2:58