Тёмный

KENYA HAWATAKI USHIRIKA NA NATO WANATAKA RUTO AONDOKANE KABISA NA MANYANG'AU 

UKUU WA MWAFRIKA (IBM)
Подписаться 33 тыс.
Просмотров 14 тыс.
50% 1

Mpenzi mtazamaji wa IBM CHANNEL endelea kutufuatilia kwa ajili ya kupata elimu zaidi ya uzalendo, ukombozi wa kifkira na ukuu wa Mwaafrika hapa hapa. tunakupa pia makala mbalimbali zinazohusiana na ulimwengu tunaoishi na taarifa zetu ni za ukweli na uhakika sio za uongo. karibu tuendelee kuwa pamoja. kama hauja-subscribe tafadhali fanya hivyo ili usipitwe na chochote.

Опубликовано:

 

28 июн 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 41   
@omarhababuu3159
@omarhababuu3159 18 дней назад
Wakwanza naomba like zenu timu urusi
@OmbastarlyComedian-hd2gy
@OmbastarlyComedian-hd2gy 15 дней назад
Timu urusi
@AbdallahBakar-oc3ue
@AbdallahBakar-oc3ue 18 дней назад
Nimewapenda sana kenya afrika imejifunza kwa huyu mbumbumbuu ruto
@michaelmakalanga
@michaelmakalanga 18 дней назад
Safi sana kwa uchambuzi mzuri ubarikiwe sana
@hanifahassan-sf1gg
@hanifahassan-sf1gg 18 дней назад
Tukimalizana na serikali yetu wa amerika wote kwao we dont want to be colonize 🇰🇪🇱🇧
@marcongeleja9450
@marcongeleja9450 18 дней назад
Hii hata Tz ipo mbunge anastafu baada ya miaka 5 anakula mil 250 bila kodi wala kikokotoo. Huku walimu, doctor nk wanalipa kodi kikokotoo na mshahara kidogo.
@mbuyaelyaoni6266
@mbuyaelyaoni6266 18 дней назад
Yaani nina raha moyoni. Hawa Gen Z, ❤❤❤❤❤❤, Frankly I love them. Yaani Ruto ni kibaka halafu mpumbavu. Je haoni Ukraine? Fuko anaweza kuwa na dili na Simba? My God, I admire Gen Z. Yaani katika marais wapumbavu Africa Ruto ni namba 1. Sasa one watoto wanavyomdhalilisha. Nadhani nchi za Africa sinapaswa kujifunza jambo hapo. Yaani Mwanzoni nilimwona Ruto kma mtu wa maana kumbe hata watoto wanamshangaa. Gen Z pambaneni, yule wa kwanza atakuwa wa mwisho na wa mwisho atakuwa wa kwanza. Mmeshafika pazuri, msirudi nyuma❤❤❤❤
@abduljuma7807
@abduljuma7807 18 дней назад
Jamani wa Afrika tuamke Kwenye wanaonesha njia waamarekani ndio tatizo wanaangali patayo sio yawote msikubali kabisa mtatumiwa tuu wazi hao wamarekani
@abubakarsaid7303
@abubakarsaid7303 18 дней назад
Yani kwa viongozi hawa wa Africa tulonao .tutaendelea kua watumwa hadi mwisho wa dunia😢😢
@MohammedBwanga
@MohammedBwanga 18 дней назад
Hio ndio sababu kuu hamna nyengine kwnn Rais ruto anawakaribisha Nato?
@user-fj5dy9hh5v
@user-fj5dy9hh5v 18 дней назад
Zakayo anatafuta sifa kwa mabepari kwanimi wakenya wasimuondoe
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 18 дней назад
Mm nadhani Ruto hajielewi.
@ibrahimabdullah1887
@ibrahimabdullah1887 17 дней назад
Hatutaki wanyonyajii
@ChumanaSusi
@ChumanaSusi 18 дней назад
Lazima Ruto ataenda. Apende asipende. Mwizi fisadi mkubwa na baraza lake lote. Rais wa bandia muuwaji ,pathological liar. Ruto my foot 🇰🇪
@innocentnibasumba7021
@innocentnibasumba7021 18 дней назад
Wa kenya wasimame imara africa isiuzwe
@SalumJuma-iz2gj
@SalumJuma-iz2gj 15 дней назад
Wkenya mumenifurahisha apo mlipo taka jeshi lenu lirud kenya
@user-te7sq5hl4d
@user-te7sq5hl4d 18 дней назад
Tunchoka na Ruto atumtaki
@user-to4jw7tm1j
@user-to4jw7tm1j 18 дней назад
Hataweza kwa sababu kashapewa donge Kule ni free mason ukila unaliwa (nato)
@ELIFASMADEBHO
@ELIFASMADEBHO 14 дней назад
Mwalimuu serikali ingekuona bhn
@OmariJuma-su6fz
@OmariJuma-su6fz 17 дней назад
Nikweli kk tuko pmoja niko ujerumani
@abduljuma7807
@abduljuma7807 18 дней назад
Wakenya simamieni maamuzi yenu kwa amani serekali isikilize wananchi waondoke huko Magharibi ndio kunakoleta shida zote hizo wazungu Hawa ndio wanotaka Afrika iwe hivyo kupitia wanasiasa Hawa mkiwakataa wamagharibi mtaona mtakavyo kaka kwa amani nauchumi wetu utakiwa kwa ajili ya wote na usawa
@abduljuma7807
@abduljuma7807 18 дней назад
Hao wamagharibi ni wezi wa akili zetu Mali nguvu Kazi zetu wanasiasa ndio mwiba kwa wananchi kilaini wanatuibia kujenga kwao sisi huku ni miziki tu na kuwapa viti vya mbeele viongozi wanotaka kuwatumia ambkeni
@user-hy5zd5rn6r
@user-hy5zd5rn6r 18 дней назад
Tulikataa "finance bill"Kwa sababu wakipewa hizo pesa na magharibi mafisadi wataiba Kisha wanainchi wabaki wakilipa ndio maana tumekataa hiyo bill hatujakataa mambo ya magharibi.Tunataka pesa Lakini isiibwe na wanasiasa
@afropanorama4730
@afropanorama4730 17 дней назад
watu wanafukuza marekani,ila kuna viongozi vichwa mavi bado wanakaribisha manyan'gau
@NdovuDentalClinic_
@NdovuDentalClinic_ 15 дней назад
Tembelea #ndovudentalclinic kwa matibabu ya :- 1. Mpangilio WA Meno 2. Teeth filling 3. Teeth cleaning 4. Implants 5. Whitening 6. Root canal treatment 7. Veneers
@simonmartin5358
@simonmartin5358 18 дней назад
Kenya safiiii
@jimjam-xg7rv
@jimjam-xg7rv 18 дней назад
Safi mkuu❤
@festinamwakipale3919
@festinamwakipale3919 15 дней назад
Hata aje malaika aiongoze.dunia lakini siku ya.exp ya dunia ni mbaya.leo.wanadamu wanaitegemea.sana.serikali utafikili serikali ndo imeumba.dunia.Mungu awasaidie kujua vitu vinavoendelea wananchi na viongozi.wetu.wanadamu.dunia.exp.yake imefika tumgeukie.Mungu.na.tumkiri.yesu.kuwa.ni.mwokozi.wa maisha.yetu hakuna serikali itakayogawa.hela.kwa.wananchi.wake.inatakiwa.wananchi.tuijenge nchi.yetu Mungu awafundishe viongozi na wananchi.kuitunza nchi.yao.hata tukiandamana.tunajiongezea ugumu wa maisha tu na mabaraa.dunia na hizo fujofujo.hizo.atakaelipa.ghalama.ya.mtu.hayupo badala.yake.mabaya.yanatujieni.amelaaniwa.mtu yule amtegemeae mwanadamu na moyon mwake amemwacha Mungu watu wanaandamana.lakin.ukute ndo mashoga walawiti wazinzi.watelekeza watoto kila.sehemu mafreemason waganga wachawi.walevi.wakubwa.ni.hatari.sana hiyo.japo.dunia.imegeuza mema ni mabaya na mabaya ni.mema.okey.ila.dunia.itaomboleza.wadada.wanaandamana matumbo yako nje.wanataka.mkuu wa nchi awabaliki.mkuu wa nchi.ana.biblia au.guraan au mkuu.wa.nchi alimsaidia Mungu kuumba dunia.jaman.tuendelee.kutegemea maraisi.huku mashoga walawiti wazinzi walevi mafreemasoni.wachawi.tutegemee kuandamana.kutatusaidia.tuliosababisha mabaya leo duniani wakulaumiwa mafreemason marawiti.walevi wachawi.wazinzi.mashoga.na wengine wengi.kama.hawa.hata.aje.maraika kuongoza dunia.kama.hawa.watu.kama hawa hawatubu na kuacha.dhambi.zao.magumu yataongezeka.na.kuongezeka hii dunia iliubwa na Mungu hata dunia iliye kama.mabundi lakini dunia.Mungu aliiumba kwa masilai.yake
@ezekielphilemon7343
@ezekielphilemon7343 17 дней назад
Ndivyo ilivyo
@bakarikayugwa3295
@bakarikayugwa3295 18 дней назад
Akili kisoda nguvu kontena viongozi wetu baazi wa Africa
@AbdulazizMohammed-wi8qz
@AbdulazizMohammed-wi8qz 18 дней назад
Sasa nashangaa kuna mashekhe wanawaona waandamanaji wahuni wanaoandaman sio wahun ni watu wanaojitambua
@azizihfarijala5307
@azizihfarijala5307 18 дней назад
punguza siasa tupo nondo
@ChumanaSusi
@ChumanaSusi 18 дней назад
Kile tunataka kenya 🇰🇪 nikujua pesa zinakopwa za nini na zimefanya kazi gani. Total audit ya deni ya nchi tujue tunalipa nini ndiyo tupigwe kodi kinyama hivyo
@user-hy5zd5rn6r
@user-hy5zd5rn6r 18 дней назад
Uongo wako mwalimu hatujakataa ushirika bali hatutaki pesa ikipeanwa ije kuibwa na wafisadi kisha mwanaichi abaki akilipa deni ya pesa iliyoibwa.Niko Kenya huezi nidanganya.Pengine wale wako inje ya Kenya
@stevensosipita
@stevensosipita 16 дней назад
UKO KENYA LAKINI HUJUI KITU WEWE TULIA HUKO
@user-hy5zd5rn6r
@user-hy5zd5rn6r 15 дней назад
@@stevensosipita Sasa wewe hata hujafika huku utajuaje mambo ya huku?
@stevensosipita
@stevensosipita 15 дней назад
@@user-hy5zd5rn6r NDUGU YANGU UPO HUKO KENYA LAKINI HUJUWI MAMBO KIUNDANI AFRICA TUMECHOKA NA MASHOGA WA MAGHARIBU TUNAUMIA KUONA RUTO ANAKUMBATIA SHOGA AU MPAKA UONE RUTO AKIPINDULIWA NAONA NDO UTAAMINI?
@user-hy5zd5rn6r
@user-hy5zd5rn6r 15 дней назад
@@stevensosipita Kwani huoni raisi wako akizunguka na kuomba misaada au huna hata tv? Pesa tunahitaji Lakini sio iletwe halafu iibwe mwananchi abaki akilipa hiyo ndio hatutaki sio eti hatutaki pesa ya wazungu elewa sio kuropokwa bila ufahamu.Ambia raisi wake aende Warabuni kama Kuna pesa atapewa.Kiufupi hatutaki wizi katika serikali.Period
@stevensosipita
@stevensosipita 15 дней назад
@@user-hy5zd5rn6r wewe kuwa na akili mwenye hana TV ni wewe huyo samia na ruto sawa niwatu wakujikomba kwa wazungu wakati nchi zao zina kila kitu nyie subirini serikali iwawekeeni pesa kwa mfuko au hizo mali mmeharibu ruto atatoa pesa kwa mfuko wake kutengeneza?hamuwezi fikisha message kwa amani hadi kuharibu miundombinu hiyo ni akili au mavi yamewajaa wakenya?
@DafiMohamed-dz8xk
@DafiMohamed-dz8xk 18 дней назад
Kenya wananchi nawaunga mkono ni fundisho kwa vibaraka wa western countries...Huyo Ruto ni mtu ambaye hafai kabisa anatumiwa kama chambo marekani ndio zake hata kwao kuongea vitu vibaya wanatumia watu wenye asili ya Africa ili wao wanajitoa..
Далее
Beautiful game!😍
00:20
Просмотров 2,8 млн
TANZANIA WAUNGA MKONO MAANDAMANO YANAYOENDELEA KENYA
7:00
Tutorial | LLMs in 5 Formulas (360°)
2:40:31
Просмотров 213 тыс.