Тёмный

KENYA: MUUAJI akamatwa baada ya MIILI 9 kutupwa kwenye DAMPO, akiri kuua WANAWAKE 42 akiwemo MKEWE 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 22 тыс.
50% 1

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Авто/Мото

Опубликовано:

 

19 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 218   
@daudymlauletv8489
@daudymlauletv8489 Месяц назад
Huyu sio muuaji wakenya mnadanganywa
@SharaMan-yn9px
@SharaMan-yn9px Месяц назад
Muuaji wewe basi
@odenmasebo9777
@odenmasebo9777 Месяц назад
Hakika uyu siyo muuwaji amepangwa uyu,acheni uzuzu makenya masenge
@SalhaIradukunda
@SalhaIradukunda Месяц назад
Wana danganya nini ao ni ww😅😅
@daizzmwangi4634
@daizzmwangi4634 Месяц назад
Tusha juwa tunadanganywa 😂😂 walijichanganya
@daizzmwangi4634
@daizzmwangi4634 Месяц назад
@@odenmasebo9777weee Ebu koma tungekuwa waginga finance bill ingepitishwa na hatungejuwa Kama ilivyo pitiahwa kwenu na hata sasaivi hamjui funga mdomo
@user-yp9el7xp8g
@user-yp9el7xp8g Месяц назад
Uy nimfungwa alikwa amefungwa maisha jela,, serikali wanamtumia kutudangaya ukiangalia hizo pant ziko mpya azijawai valiwa
@user-vy2bc6xg3i
@user-vy2bc6xg3i Месяц назад
Jamani poleni mungu yupo atatenda haki inshallah
@saivellybrutally2994
@saivellybrutally2994 Месяц назад
@@user-yp9el7xp8g tangu muda huwo hote mpaka Leo yeye halikua na umri gani
@azadinsweddy9471
@azadinsweddy9471 Месяц назад
Huyu sio mhusika ila serikali inaficha siri hii yenyewe ndio inaohusika
@user-hx2if3ep2m
@user-hx2if3ep2m Месяц назад
SKY WAKENYA hawaamini HIZI habari.
@user-sn4iq6cu1f
@user-sn4iq6cu1f Месяц назад
pengine kama ni muislam eza ambiwa gaidi lkn akiuwa mkiristo anambiwa amepitiwa na shetani
@christopherwami2006
@christopherwami2006 Месяц назад
Achaa upuuzii
@SalamaNauthar
@SalamaNauthar Месяц назад
​@@christopherwami2006 upuuzi upi anasema ukweli
@ProsperUlungi
@ProsperUlungi Месяц назад
Akiri za waislam za kijinga sana
@AlhajiIssa-jb9hr
@AlhajiIssa-jb9hr Месяц назад
Akili za kikafiri.​@@ProsperUlungi
@AlhajiIssa-jb9hr
@AlhajiIssa-jb9hr Месяц назад
​@@ProsperUlungiAmesema kweli.
@zayumar2955
@zayumar2955 Месяц назад
Nyieee mpaka naanza kuwaogopa binaadam wenzangu looh 😢😢😢🙌🙌🙌
@juliuskitomari3057
@juliuskitomari3057 Месяц назад
Nakataa kabisa huyu siyo Muuaji,hawezi kuuwa watu wote hao,huyu katengenezwa ili kuuwa soo
@LucyMutinda
@LucyMutinda Месяц назад
Hyu sio muuwaji ruto yuafucha ukweli wa mauaji ya githurai45
@RandB_Channel
@RandB_Channel Месяц назад
Kenya kuko mauwaji yachini chini sana wakifanya uchunguzi watakamata wengi tu
@queenlinda255
@queenlinda255 Месяц назад
Poleni kenya poleni sana
@abuukajembe-to6sd
@abuukajembe-to6sd Месяц назад
Sio kweli
@kdloon2030
@kdloon2030 Месяц назад
Hii sio kweli,huezi ukaua watu then ukabakisha ushahidi kama hizo chupi chupi na sim zao!Hilo ni chenga la macho
@shahamtindo
@shahamtindo Месяц назад
Ubaya ni kwamba waafrika hatuamini kuhusu SERIAL KILLERS, kila anayepotea tunaamini kapotezwa na serikali. Na hiyo inawasaidia sana hawa psycho kuuankwa miaka mingi.
@gonanzaro5580
@gonanzaro5580 Месяц назад
Mchezo huo bro Hollywood ya Rambo
@RobertsonNandime-eo9fp
@RobertsonNandime-eo9fp Месяц назад
😂😂😂
@user-qq6mv6vh3e
@user-qq6mv6vh3e Месяц назад
Niko upande wako
@Mariam-fm8vq
@Mariam-fm8vq Месяц назад
Subhanallah 😢😢😢jaman kijana mdogo lakin ana mambo makubwa yakutisha tena
@Rukiakadzo
@Rukiakadzo Месяц назад
Kenya yetu tunaifahamu vizuri....huyu ni SCAPE GOAT tu ili tufumbwe macho tu....huyu mtu inasemekana ameanza hiyo kazi tangia 2022...swali ni MDA WOTE HUO ANAUWA WATU NA SERIKALI HAIJUI?? DAMPO LIPO KARIBU NA KITUO CHA POLISI NA POLISI HAWAFAHAMU TU??
@saivellybrutally2994
@saivellybrutally2994 Месяц назад
@@Rukiakadzo muda huwo halikua na umri gani
@sifatiiman
@sifatiiman Месяц назад
​@@saivellybrutally2994kwani 2022 ni miaka mingapi imepita had Leo?
@hasanimkamba8377
@hasanimkamba8377 Месяц назад
Kenya ni taifa lenye maisha ya jabu sana
@vanessalaizer4363
@vanessalaizer4363 Месяц назад
Kwao muhimu ni kuongea kizungu tu mengine nobody don’t cares😂
@ashurajengela3926
@ashurajengela3926 Месяц назад
Mbona walisema kuna miili adi ya wanaume ? Mbona wamempata haraka sana? lakini ata hafananii na hayo ukute wamemtoa kafala 😢😢
@paulntalima6998
@paulntalima6998 Месяц назад
Binadamu wamekuwa wanyama ndugu
@shahamtindo
@shahamtindo Месяц назад
Kaanza kuua mwaka 2020, na serial killer hana muonekano wa ajabu, wengi wanakuwa wa kawaida na ndio maana wanaua kwa miaka mingi sana.
@ashurajengela3926
@ashurajengela3926 Месяц назад
@@shahamtindo duh aiseee sasa kama tangu 2020 ao alio waua mwanzo aliwazika au ?!
@shahamtindo
@shahamtindo Месяц назад
@@ashurajengela3926 wote aliwakatakata, kila serial killer anakuwa na pattern yake ya mauaji, yaani kuanzia anapowinda, anapokamata, kuua, mabaki ya vitu vya muhanga, mpaka namna ya kutelekeza mwili.. shida ni kwamba AFRICA hatuna uchunguzi wa kutosha kuhusu mauaji. Tunamaliza mambo mapema sana hivyo wauaji wanachukua hiyo advantage.. Ukweli ni kwamba hao watu wapo, na wanaua bila sababu. Ni tatizo la akili so kila sehemu wapo
@subrynerysegerow1323
@subrynerysegerow1323 Месяц назад
Unasema hafanani kwani muuaji ana alama? Tuwe makini watu wna roho za ajabu huwezi kumjua yupi ni yupi
@salumsalum5712
@salumsalum5712 Месяц назад
Canga la macho ilo🙄🙄🙄Gen Z muskubali ujinga
@zanzibarboyzanzibar509
@zanzibarboyzanzibar509 Месяц назад
Kivipi?
@Ryannkae
@Ryannkae Месяц назад
@@zanzibarboyzanzibar509 amelipwa ili akubali huyu kaka sio Muuwaji mimi nasomea siasa marekani huyu sio mnachezewa akili
@zanzibarboyzanzibar509
@zanzibarboyzanzibar509 Месяц назад
@@Ryannkae Hakuna kitu kama hichi ata ukisoma wapi it’s not big deal inamana Serikali ya kenya haina Akili Mbaka kufikissha kitu kikubwa kama hichi kwenye Medid?
@HajiKlein-so1rk
@HajiKlein-so1rk Месяц назад
Hii si kweli mtu mmoja auwe watu wote hao bila kukamatwa miaka yote hiyo...😂😂
@NurudinZuberi
@NurudinZuberi Месяц назад
Changa la macho hizo mmepigwa 😂😂😂
@ilakozasembumende1975
@ilakozasembumende1975 Месяц назад
Kila kitu changa la macho jamani😢😢😢😢😢😢 tupeni ukweli basi . Binadamu sis kila kitu tunapinga tuu
@MursalLusinde
@MursalLusinde Месяц назад
​@@ilakozasembumende1975akili za kuambiwa changanya na zako si kila unacho ambiwa ukubali moja kwa moja kua ni kweli bali kabla ya kukubali ipe nafasi akili yako ya kuchambua jambo hilo kwa umakini mkubwa.. haiwezekani mtu aanze kuua toka zamani halafu ghafla apatikane leo tena baada ya miili kuonwa na wananchi labda angekamatwa halafu yeye ndo akaongoza polisi kuonyesha hiyo miili hapo kdg tungeamini... ila watu ni wajanja na wanajua kucheza na akili za watu ndani muda ila kuna vitu vingi vya kutilia shaka kama huyu ndo muhusika wa mauaji shem on u
@Mariam-fm8vq
@Mariam-fm8vq Месяц назад
😂😂😂😂​@@ilakozasembumende1975
@YasreArafat-kk9en
@YasreArafat-kk9en Месяц назад
Haka kamchezo bado kanaendelea Wakenya SS wabongo tushaona hako kamchezo Ila serikali inambinu adimu Sana Haya wakenya Kazi kwenu 😊😊😊
@issachibangu6075
@issachibangu6075 Месяц назад
Politic iyo
@fetychina3969
@fetychina3969 Месяц назад
Heee!😢
@felicianfrancis9895
@felicianfrancis9895 Месяц назад
Dah, inasikitisha sana.
@SaraphinaKidoti-qe7gi
@SaraphinaKidoti-qe7gi Месяц назад
Mamaeee na mm saiz mwaume akiniacha au akinikataaa ni mapanga tu 😂😂
@SalhaIradukunda
@SalhaIradukunda Месяц назад
Eeeeh tu saidie kwa kweli uku minilipo uyo ange uwawa ata yeye 😢😢😢😢😢
@user-qs7lj7kj1k
@user-qs7lj7kj1k Месяц назад
Subhanallah hivi nguvu yaku uwua binadamu kama wewe unayitoa wapi mungu tujariye mwisho mwema😢😢😢
@wambuageorgemutua1930
@wambuageorgemutua1930 Месяц назад
Sio kweli,usiami unachoskia,serikali yetu ndio wauwaji na wezi
@shahamtindo
@shahamtindo Месяц назад
@@wambuageorgemutua1930 mawazo haya ndio yanafanya Serial killer wengi kwenye nchi za kiafrika wasikamatwe coz wa advantage ya imani ya wananchi kuwa mauaji yote ya kimyakimya wanaohusika ni serikali. Ila hawa wauji wa hivi wapo na tunaishi nao na wanaua tena bila sababu.
@wambuageorgemutua1930
@wambuageorgemutua1930 Месяц назад
@@shahamtindo huyu jamaa amekua mahakamani leo amesema alilazimishwa kusema yeyee ni muuaji, serikali imeomba radhi...Kenya sio nchi
@shahamtindo
@shahamtindo Месяц назад
@@wambuageorgemutua1930 hiyo ni kawaida kwa wauaji mbona
@gonanzaro5580
@gonanzaro5580 Месяц назад
Nairobi kwa slams Kuna title
@AwaziRajab
@AwaziRajab Месяц назад
Mbona Polisi Wa Kenya Wanachekesha Sana Mpaka Mtu Anauwa Watu Wengi Ivo Sasa Kama Raisi Ndio Mkuu Wa Kenya Basi Achukue Maamuzi Asikali Waludishe Mishahara Yote Waliopokea Kuanzia Mwezi Na Mwaka Yalipoanza Ayo Mauwaji Kama Kweli Ruto Uko Kenya Kwasababu Ya Wakenya Basi Asikali Hao Waludishe Mishahara Yao Wameshindwa Kazi Inamana Kenya Iko Uchi Inalindwa Na Mungu2
@Sidrasidra636
@Sidrasidra636 Месяц назад
Angelikuwa mwislam wangesema ni gaidi😂 ila huyo anaitwa muhang wakisaikorojia nyie watu!
@georgedaniel4962
@georgedaniel4962 Месяц назад
Hahahahahah 😂
@officialkamdudu
@officialkamdudu Месяц назад
kama wote ni wanawake sawa,ila kama ni jinsia zote basi itakua changa la macho hili
@maryamm7765
@maryamm7765 Месяц назад
Dah 😢😢
@user-px3po9lt8g
@user-px3po9lt8g Месяц назад
Duuh mwanzo wa movie star kafia kwenye garden ndio hii Sasa
@emanueluroki6160
@emanueluroki6160 Месяц назад
Hatar
@halimaabdalla5149
@halimaabdalla5149 Месяц назад
Kaeni mukijua fanyeni yenu bt kwa mungu mutaenda kujibu maswali
@Dachibu
@Dachibu Месяц назад
Mchezo wa kuigiza huu kenya niyetu twaijua uyu so muuaji twafubwa macho ila kyakidani yanaona
@EmmanuelChrispin-bo5xh
@EmmanuelChrispin-bo5xh Месяц назад
Sound
@shahamtindo
@shahamtindo Месяц назад
Ubaya ni kwamba waafrika hatuamini kuhusu SERIAL KILLERS, kila anayepotea tunaamini kapotezwa na serikali. Na hiyo inawasaidia sana hawa psycho kuua kwa miaka mingi.
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 Месяц назад
Siyo kweli ni uwongo haiwezekani asionekane hâta Siku moja Nani alikuwa wanamsaidia ile KAZI si ya mtu mmoja hii imetengenezwa😢
@user-tt3dt9hj4j
@user-tt3dt9hj4j Месяц назад
Hayo maojiano mlimhoji wapi mbona haongei?kama ni kweli aliua mkewe na watu wote hao akiri mwenyewe ndo tujue ni yeye alafu mbona ni wanawake pekee na jinsia mbili walio uwawa!
@wambuageorgemutua1930
@wambuageorgemutua1930 Месяц назад
Sio kweli, tuko Kenya na tunajua michezo yao
@vanessalaizer4363
@vanessalaizer4363 Месяц назад
Waongoooo
@user-hn8fl9ck2b
@user-hn8fl9ck2b Месяц назад
shetani hy kwanza ana sura mbaya pia wakenya wengi ni wana roho mby hasa wana ume
@STARGOLDENSTAR1
@STARGOLDENSTAR1 Месяц назад
Sasa nyie watanzania mkija uku tunawakalipisha ila nyinyi mna roho mbaya sana munawivu
@dianajohnson7268
@dianajohnson7268 Месяц назад
😢
@user-ur7pw9ek6s
@user-ur7pw9ek6s Месяц назад
Subhanallah😢😢😢
@babuwajinaommy725
@babuwajinaommy725 Месяц назад
Hana uwezo huo huyo kunakitu nyuma ya pazia acheni janja
@boscow9380
@boscow9380 Месяц назад
Sasa kwanini asiuwawi na yeye?
@mikemutabuzi3665
@mikemutabuzi3665 Месяц назад
Kiini macho😂😂😂😂
@user-ni2kv3yf6e
@user-ni2kv3yf6e Месяц назад
Mbona anafanana na ruto 😂
@chindemasoftware
@chindemasoftware Месяц назад
Uongo tu, haiwezekane akate wote!
@anna19805974
@anna19805974 Месяц назад
Uwiiiiiiii
@surusuru1994
@surusuru1994 Месяц назад
👀😲😭niliona nijajuwa nikajuwa nisiasa mung wang
@user-wd2bc7bf5x
@user-wd2bc7bf5x Месяц назад
na saiv kenya kuna uuzaji wa kidney ya watoto. wadada na wakubwa 😭😭sijui kwanini watu wamekuwa wanyama hivi jamani
@rakelmula.2439
@rakelmula.2439 Месяц назад
Huyu si muuaji tafadhali wacha kutangaza taarifa huzijui
@mohammed-_-home-_-boy0018
@mohammed-_-home-_-boy0018 Месяц назад
🤔🤔🤔🤔
@ENGGILYAPAUL
@ENGGILYAPAUL Месяц назад
ko alikuwa anaua haraf anapeleka karibu na kituo cha police
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 Месяц назад
Machupi mekundu yote mmeokota mje kutushikia akili
@daizzmwangi4634
@daizzmwangi4634 Месяц назад
Kumbe mfatilii washa jichanganya 😅😅 Leo ni Tuesday we are in as fuck
@edishaa3108
@edishaa3108 Месяц назад
Mbona kama wamchongo😅
@mwanajumaomahundumla6504
@mwanajumaomahundumla6504 Месяц назад
SUBUHANALLAH 😢
@salimbilali5174
@salimbilali5174 Месяц назад
Mtu mmoja haez kuuwa watu wote hao... something is hidden..he is just an intermediary but i think someone somewhere is the main suspect
@mwanajumaomahundumla6504
@mwanajumaomahundumla6504 Месяц назад
Subuhanallah 😢
@dainagano3656
@dainagano3656 Месяц назад
Sura yake ya kiuaji ila pia anaonekana sio muuaji...yan yupo afu hayupo
@alphangeff2933
@alphangeff2933 Месяц назад
hallo SNS , PLEASE DON'T trust our media outlets
@billjames1216
@billjames1216 Месяц назад
Hakuna bwana Ruto na uongo amezidi tu tena sana
@chainbre275
@chainbre275 Месяц назад
Hmmm Hii kama vile imepangwa why hakai muuaji jmn😢
@jospehfabian7856
@jospehfabian7856 Месяц назад
mbona hamkumkamata mapema kama sio uongo. achen kuzingua
@Jibambeshow254k
@Jibambeshow254k Месяц назад
Huyu ameshirikiana n Ruto kaagizwa n Ruto wala wasiwadanganye viongozii wakenya tunawajua vizuri sisi wakenya ndio tunafahamu michezo yao 😢
@user-qq6mv6vh3e
@user-qq6mv6vh3e Месяц назад
Acheni kufanya watu kama hawana akili
@michealouma2410
@michealouma2410 Месяц назад
😂,sio ukweli nyinyi sns pia ni waogo sana ,how comes amepatikana haraka ivo ,,sisi kama wakenya tumekataa
@user-ni2kv3yf6e
@user-ni2kv3yf6e Месяц назад
😂😂 Sasa sns uongo wao wapi😂
@yasminoluoch169
@yasminoluoch169 Месяц назад
HUYU SI MUUWAJE NI UONGOOOO #RUTO MUST GOOOOO
@thomaschenge-lc8wf
@thomaschenge-lc8wf Месяц назад
Duuuh
@user-uy3uk2ul5b
@user-uy3uk2ul5b Месяц назад
Duuu baada ya milikujulikana, je miliisingejulikana je mae asingejulikana.
@jassonnelly3445
@jassonnelly3445 Месяц назад
Kama movie vile kumbe ni kweli
@ludanchuwa5054
@ludanchuwa5054 Месяц назад
Ukifikirisana ukaunga jibu halijifichi pole kwawafiwa na Kenya yote
@lizzygabriel9601
@lizzygabriel9601 Месяц назад
Mmh
@user-td3ss6nk2d
@user-td3ss6nk2d Месяц назад
Movie lakutisha lakutunga😂😂😂😂😂😂😂 gen z wanasema JNNE ZAKAYO MUST GO HOME......
@abdullahmanalex2306
@abdullahmanalex2306 Месяц назад
Hakuna muuaji hapo changa la macho hilo GEN_Z msikubali huyo ni mbuzi wa kafara ili kupoza mambo
@morrismuinde8621
@morrismuinde8621 Месяц назад
😂😂😂 hii ni uongo huyu ni mwizi wa kawaida tu
@user-bz5ti6op6z
@user-bz5ti6op6z Месяц назад
Kenya muokoke msipofanya hivyo knya itawashinda
@democritenzoisaba9117
@democritenzoisaba9117 Месяц назад
Haiwezekani kuuwa watu 42 serikari inazima issue/ Huyo baada ya muda mtamkuta VENEZUERA akira maisha.
@sarafinawanja8549
@sarafinawanja8549 Месяц назад
Hii ni uongo I feel this fake, maybe he's paid to take the blame, this is full of nonsense
@bakariomari24omar21
@bakariomari24omar21 Месяц назад
Hapana hapa hii story imebuniwa na serikali
@SamuelOuma-uy2ci
@SamuelOuma-uy2ci Месяц назад
Huuu ni uongo amekuwa 2 kigezo wanajisafisha
@hidayahidaya-vd3ze
@hidayahidaya-vd3ze Месяц назад
Kama aliumwa yy itakuwa nilazima majirani watakuwa wanamfahamu familia yake anakokaa asli yake Hivo
@mtulivu-ir1nq
@mtulivu-ir1nq Месяц назад
Jamaa huyu ni si mtu wa kawaida aisee dah ila pongezi kwa maofisa uchunguzi wa haraka na kumpata muhusika kwa haraka👊👊👊
@shatonyonge
@shatonyonge Месяц назад
Gen Z washafanya uchunguzi wao na wamepata jina kamili la mshukiwa..kwanza amepatikana kwa haraka sana na kuna mauaji mengnei hawajawahi kamata wahusika...
@Nicholaskinyua253
@Nicholaskinyua253 Месяц назад
Huyu mtu ata astuki huyu ni muaji kweli
@shuwehaharuna6309
@shuwehaharuna6309 Месяц назад
Hastuki kwasababu anajua walio nyuma yake ni watu wazito hii ni fumba macho tu
@EmmyNamoyo
@EmmyNamoyo Месяц назад
🙆‍♀️
@thulanimashaba8491
@thulanimashaba8491 Месяц назад
Jumba bovu hilo anaangushiwa mwana
@flavourboyke
@flavourboyke Месяц назад
Hapo serikali inatucheza
@3erffeoui86
@3erffeoui86 Месяц назад
TUESDAY IS TOTAL SHOWTDOWN
@arkei4003
@arkei4003 Месяц назад
Huyu siye huu mchezo twaujua😂
@user-fy9pw2zr8l
@user-fy9pw2zr8l Месяц назад
sasa huu awawe na yey
@Kuminamoja1995
@Kuminamoja1995 Месяц назад
Propaganda tu sio kweli wakenya🇰🇪 amkeni
@timetravellor5367
@timetravellor5367 Месяц назад
Mbona kakiri kirahisi Ivo
@user-wu8qe4fv4j
@user-wu8qe4fv4j Месяц назад
Ss heeee na yy anyongwe umbwa uyo
@MtegekiKaijage
@MtegekiKaijage Месяц назад
Uchunguzi wa uongo changa la macho wakenya wanadanganywa
@juliuskitomari3057
@juliuskitomari3057 Месяц назад
Hili ni chenga la macho,hamna kitu hapa ,huyo sii muuaji kabisa.
@Moseskoome-l1t
@Moseskoome-l1t Месяц назад
shinda wanajifanya wajuaji kwa kila kitu toka ruto akubali maombi yao
@malkiawagiza1327
@malkiawagiza1327 Месяц назад
Dah! Watu ni dhalimu na bahaimu kabisa.
Далее
Куда так едет 😂
0:11
Просмотров 3,1 млн
Когда ты водитель фуры
0:10
Просмотров 2,4 млн